Waziri Wandayi: Maeneo yote yatawekwa umeme

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Waziri wa kawi, Opiyo Wandayi, ameahidi kuhakikisha mpango wa uwekaji umeme kote humu nchini, umeafikiwa. Wandayi alisisitiza kuwa hatua hiyo itatekelezwa kwa ushirikiano na kampuni ya Kenya Power na shirika la umeme mashinani na nishati mbadala ‘REREC’.
    Connect with KBC Online;
    Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
    Follow us on Twitter: twitter.om/KBC...
    Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
    Check our website: www.kbc.co.ke/
    #kbcchannel1 #news #kbclive

КОМЕНТАРІ •