MASKINI!!! INASIKITISHA CAREN ASIMULIA UGONJWA WA AJABU UNAOMSUMBUA ASEMA APASULIWA TUMBO 21

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 808

  • @hawaaman3172
    @hawaaman3172 Рік тому +29

    Anapata maumivu makali sana jamani😭😭😭😭 Allah amjaalie shifaa apone daah 🙏🙏😭😭😭

  • @NimbonaUdhaifa-jw2lo
    @NimbonaUdhaifa-jw2lo Рік тому +13

    Allah akupe shifaa ya haraka dada angu usichoke kumuomba Allah

  • @OmanOman-fb8mj
    @OmanOman-fb8mj Рік тому +13

    Kweli wew jasiri kipenzi Allah atakuponya my love❤utapona

  • @AminaQaiss
    @AminaQaiss Рік тому +4

    Ugua pole mdogo wangu..kuugua c kufa in Sha Allah utapona tafutiwa ustadh akusomee rukiya in Sha Allah yataisha❤❤❤love u sis hawa

  • @DEBBYMAHELLAH
    @DEBBYMAHELLAH 10 місяців тому +6

    duuuuuh naamini hakuna ki2 kinaxhindikana kwa MUNGU BABA NI WA WOTE MUNGU AKUPE WEPESI AKUPONYE DADA

  • @zainatuabdi2881
    @zainatuabdi2881 10 місяців тому

    Hongela dahawa wamjuwa mungu very nice

  • @LinahGaudens
    @LinahGaudens Рік тому +12

    Pole sana kipenzi changu mungu akupe maisha mafefu sana utapona 2 mungu yupo 😢❤🙏🙏🙏🙏🙏💖

  • @maisarah6819
    @maisarah6819 Рік тому +25

    Allah akufanyie wepesi dada,ila naomba uende Kwa sheikh huenda unasibiwa na majini ya sihri mwilini mwako ndio wanakutesa hivyo,manake operation zote ushafanyiwa na Hali bado.sina uwezo wakukusaidia ila nakuombea du'a kwa Allah insha Allah🙏

    • @ruthmzava7320
      @ruthmzava7320 Рік тому

      Jamani neda ukaombewe kwenye makansa ya nayo mwamini yesu🎉❤ utapona hayo ni mateso ya nguvu za kiza kwa yesu hakuna linaloshindikana kwake pole sana Mungu akufanyie wepes kwajina la yesu.

  • @sesilianjala3306
    @sesilianjala3306 10 місяців тому +3

    Kila pito lina mlango wakutokea. Uyu bint huu ni ushuhuda wa maisha yake, MUNGU atajitukuza kupitia wewe. Maombi yangu BWANA atende jambo hili adui aibike kwa jina la YESU 🙏

  • @agentmsami5303
    @agentmsami5303 Рік тому +26

    Allaahumma salli wasallalim Alaa sayyidnaa muhammad waalaaali muhammad.😢😭😭😭😭Yaa rabb😭 .. Allah ni mkarim namuomba Allah akujaalie matokeo mazuri ktk subra yako Aaamin😭

  • @GetrudeMlai
    @GetrudeMlai Рік тому +6

    Maneno yangu mimi mwenyenzi mungu akufanyie wepesi naamini anaweza. Nakupenda mnoooooo mwenyenzi mungu akutunzie family yako Amen

  • @fahymamsangi7303
    @fahymamsangi7303 Рік тому +12

    Natamani siku niamke nione huyu dada amepona Eeh Mungu kaguse kwenye maumivu yake kila siku namuombea Hawa dada angu Mungu wetu muaminifu sana📿🤲🏽

    • @KhayratAlly
      @KhayratAlly 7 місяців тому

      Wallah ht mm nataman apone sana kwa uwezo wa allah atasimama

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 Рік тому +10

    Kama bado upo ni mpango wa Mungu ni ushuhuda mkubwa kabisa duuh Mungu akukumbuke mtoto mzuri ❤

  • @Aishahery
    @Aishahery 10 місяців тому

    Biidhin laha Allah atakukufanyia wepes upon ishaallh

  • @MomEvance
    @MomEvance 10 місяців тому +1

    Mungu pekee ndo kukuponya Dr jitahid uxiache kumuomba mungu kwakua hakuna kama yeye sifa na utukufu vyote anavyo yeye pia upendo mwingi katumwagia .utakua salama kpenz..🙏🙏🙏🙏

  • @mwajumaabeidy8137
    @mwajumaabeidy8137 Рік тому +5

    Allah akupe shifaa.Akuondoshee mazito usiyoyamudu Yaarab..Akupe ushindi kila hatua zako iwe ni neema kw barka zake Allah Yaarab❤❤.

  • @DidahCuttie
    @DidahCuttie 10 місяців тому +1

    Inshallah mwenyez mungu atakuponya

  • @ZulfaSuliman
    @ZulfaSuliman 9 місяців тому

    Pole Sana Dada hawa Allah atakuafuu in Sha Allah

  • @mimaswit2353
    @mimaswit2353 Рік тому +4

    Alhamdulilah 😢 mungu akupe subraa zaidi na akujalie shifaa ya haraka ,kwa Allah si kitu kukuinuwa ila nimtihani tu akupa na akupenda sana dadangu, mwanao atakuwa na atakuja kukufaa inshaa Allah. Mama pongezi sana😢 Alhambra

  • @FedrickChristopher-o6s
    @FedrickChristopher-o6s Рік тому +11

    Mungu Ni mwema atafanya kwa wakati,mungu amponye,,

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Рік тому +13

    Mungu tunaomba Toba yako Baba yangu MPONYE MTOTO WAKO MAANA SISI SOTE NI WATOTO WAKO TUREHEMU BABA MPONYE KWA JINA LIPITALO MAJINA YOTE KATIKA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI ALIYE HAI

  • @naomysamuel6799
    @naomysamuel6799 Рік тому +9

    Pole sana dada
    Mungu mwema atakufanyia wema
    Utapona kwa ajili ya utukufu wake.

    • @mwantumubakari5904
      @mwantumubakari5904 10 місяців тому

      Inshallah utapona mpz,hiyo ni mapito yatapita kwa uwezo wa allah

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 Рік тому +10

    Duu.pole sana dada kwa tatizo lako mungu akupe nguvu upate kupona.pole sana!

    • @NeemRamadhani-j8h
      @NeemRamadhani-j8h 10 місяців тому

      Pole sana dada na Mungu atakusaidia na utasahau maumivu unayopitia now. nakupenda mungu akutie nguvu

  • @marimabdlah8168
    @marimabdlah8168 6 місяців тому

    ALLAH AKUJALIE PONYO LISILOACHA DHARA MY SIS, HAKIKA ALLAH YUKO PAMOJA NA WANAO SUBIRI

  • @MussaOthman-x6y
    @MussaOthman-x6y Рік тому +3

    🤲🤲🤲🤲
    Mung ata kuafu insh allah..

  • @BeliveMalekela
    @BeliveMalekela 10 місяців тому +1

    Please nenda kanisan Carolina

  • @ZainabuIddy-r1o
    @ZainabuIddy-r1o Рік тому +9

    Utapona kwa uwezo wake Mungu dada usichoke kuomba Mungu 🙏❤️

    • @rhodangenzi
      @rhodangenzi Рік тому

      Binti ananiuma sana, jamani dunia haina huruma nimeanza muda mrefu sana kuangalia habari zake, jamani dada hawa, I see!

    • @MatridaIsaya
      @MatridaIsaya Рік тому

      Jaman mungu muone na huyu dada mateso aliyonayo 🙏🙏🙏🙏

  • @MagoliDickson
    @MagoliDickson 10 місяців тому

    Mwenyezi mungu akusaidie umeteseka sana dada yangu pole kipenzi utapona🙏🙏🙏🙏 amin

  • @SylasJacobo
    @SylasJacobo Рік тому +7

    Mama yetu kipenz raisi samia msaidie huyu dada mungu atakulipa

  • @HalimaKarisa-v7w
    @HalimaKarisa-v7w 9 місяців тому

    Allah akufanyie wepesi dadangu utapona inshallah

  • @tatubadi9010
    @tatubadi9010 10 місяців тому

    Mwenyezimungu akufanyie wepec kwa unayopitia inshaallah

  • @flavianapande8270
    @flavianapande8270 Рік тому +13

    Nimeshindwa kuangalia mbka mwisho mungu amponye inshallah....anapitia maumivu makubwa mno....😢😢😢

  • @MagoliDickson
    @MagoliDickson 10 місяців тому

    Mwenyezi mungu akusaidie dada angu mwenyezi mung akufanyie wepesi uridi kwenye hali yako 🙏🙏❤️

  • @amaniharub1569
    @amaniharub1569 Рік тому +6

    Allah akupe shifaa akufanyie sahali na mtihani wako

    • @josphenembunde5805
      @josphenembunde5805 Рік тому

      Nilitaka number yao niwaunganishe na mtu mwenye yuko.kenya awasaidie naninajua atawasaidia

  • @asmahasanirashid5059
    @asmahasanirashid5059 9 місяців тому

    Nakuonea huruma sana maskini dahh 😢😢😢pole sana yanamwisho tuu

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 10 місяців тому

    Pole dadahagu 😢😢😢😢mwenyezimungu akufanyie wepesi inshallha

  • @AzizaKhamis-nj2ku
    @AzizaKhamis-nj2ku 9 місяців тому

    Assalaam Aleykum, Allah Akufanyie wepesi ,inn Sha Allah. Na akutie nguvu , uweze kuswali ukiendelea kumbuomba Allah

  • @ahmadichumbueni6261
    @ahmadichumbueni6261 Рік тому +1

    Pole sana dada yang

  • @RukiaHassan-y4r
    @RukiaHassan-y4r 10 місяців тому

    Mung akufanyie wepes utapon umpitia meng pole sana

  • @Rachel-f2m
    @Rachel-f2m 10 місяців тому +1

    Pole sana dada Mungu atakuponya , utainuka tena

  • @pauloMadai
    @pauloMadai 10 місяців тому

    Allah akupe uzima dada ake ❤❤❤❤love

  • @DainesMheni-k9t
    @DainesMheni-k9t 26 днів тому

    Pole Sana Mwayamungu akuupewepesi yaanimpaka tumbolinaniuma

  • @Fx_expertmoneymaker001
    @Fx_expertmoneymaker001 Рік тому

    Ooh jaman namfikiria sana.. Sijawah kumaliza vdeo zake adi mwisho.. Mungu amponye..

  • @rabiarichard
    @rabiarichard 9 місяців тому

    Mwenyez mungu atafanya wepes ,inshallah

  • @happynessshomari7438
    @happynessshomari7438 8 місяців тому

    Ewe nyezi mungu mpemoyo wa ujasili kipindi ichi anachopitia mjawako umponye 😭😭

  • @NeemaNeema-bz7jz
    @NeemaNeema-bz7jz 9 місяців тому

    pole sana hawa nakuonea uruma sana mungu akupe uponyaji akuondolee na mabaya yoye😢

  • @aboubakarjuma3378
    @aboubakarjuma3378 9 місяців тому

    😢😢😢pole sana mungu anatakujaalia utapona allh The Best 😢😢😢

  • @Kiyara0000
    @Kiyara0000 10 місяців тому

    Kweli hujafa haujambika huyu bidada aisee kaumwa Allah ukupe shifaa ndugu yangu na pia subra😢😢

  • @Lexerjoh
    @Lexerjoh Рік тому

    daaahhh yan nataman kungekuwa na wakumuongelea naona anachoka maskini daahh

  • @ClaraDicksoni
    @ClaraDicksoni 10 місяців тому

    Pole sana dada mungu atakufanyia wepesi utakaa sawaaa kipenzi ❤

  • @SwaumLiuti
    @SwaumLiuti Рік тому

    Duuh pole sana dad haw mung atakufnyia wepes inshallah utakuw sawa pole sana

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 Рік тому +2

    Dada pole mungu akupe uponyaji mwema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @HawaAbdallah-s1f
    @HawaAbdallah-s1f 10 місяців тому

    Pole sana dada angu hawa mungu atakuponya inshallah na uwe na subra Zaid amini hili ni pito2 litapita zaidi fanya sana ibada mungu ana kusudi lake nakupenda sana 🥰🥰🥰

  • @saidahamid1178
    @saidahamid1178 Рік тому +1

    Pole dada allh atakufnyia wepes utapona ❤❤❤❤❤

  • @ZeitunSalim
    @ZeitunSalim 10 місяців тому

    MUNGU atakusahalishia IN SHA ALLAH utapona na Ramadhan hii IN SHA ALLAH dadangu ALLAH yuko pamoja nawe usikate tamaa ❤

  • @saumucharo3239
    @saumucharo3239 10 місяців тому

    Nakuombea dada mungu akusaidie 🙏🙏

  • @MariaThomas-wm9iq
    @MariaThomas-wm9iq Рік тому +1

    Mpka nmelia jaman😥😥kunawa2 wanajua kutesq wenzao

  • @AyeshaAdamu
    @AyeshaAdamu 10 місяців тому

    Pole sana dada angu mungu atakusaidia 🤲🤲🙏

  • @Officiallmyra
    @Officiallmyra 10 місяців тому

    MWENYEZI MUNGU ATAKUFANYIA WEPESI..pole sana dear

  • @NeemaKashimba
    @NeemaKashimba 10 місяців тому

    Pole my dear Mwenyez Mungu akufanyie wepes utapona mumy

  • @NuruMohamed-cy1uy
    @NuruMohamed-cy1uy 10 місяців тому

    Da pole sana dada mana unapitia maumivu makal mungu atakuponya

  • @SophiaAlly-ry2nd
    @SophiaAlly-ry2nd 9 місяців тому

    Mungu msimamie uyu dada apate kusimama ewe mungu baba muinue uyu dada apate kuilinda familia yake

  • @Fatherleeonlinetv
    @Fatherleeonlinetv Рік тому +1

    YHWH Ni mwenye huwezo lazima atakuokoa tu dada yngu kipenzi 🙏🙏🙏

  • @LatifaMelvin
    @LatifaMelvin 11 місяців тому

    Allah akupe ihasan ya rabbi mpe moyo wa uvumilivu umponye dadaangu 😭😭🥰🥰🙏🙏

  • @estheernamweruchristine1295
    @estheernamweruchristine1295 Рік тому +4

    Yesu chritu aku ponye dada hawa.

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 11 місяців тому

    Da hila huyu dada anateseka jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @HajraAli-zu9ik
    @HajraAli-zu9ik 9 місяців тому

    Allah atamfanyia wepesi inshallah kwa kudra zake atapona

  • @Bnurmwabora
    @Bnurmwabora Рік тому

    Mama afunge kil week cku 3 mungu atasaidia pia n maombi n allah akujalie shifaa y harka🤲🤲

  • @NajmaAbdullah-wq4vd
    @NajmaAbdullah-wq4vd 10 місяців тому

    Inshaallah mungu akuponye dada angu ila mutumainie mungu utapona

  • @NelhamNelxon-cp9gy
    @NelhamNelxon-cp9gy Рік тому +1

    Allah akuponye inshallah utasimama Tena🙏🙏

  • @Ladylaty112
    @Ladylaty112 11 місяців тому

    Pole mwenyezi mungu nimwingi wa rehema atakujalia tunakuombea mpenzi

  • @adharinamwaisaka
    @adharinamwaisaka 9 місяців тому

    Mung atakuponye dad Ang, adi apo mungu mwenyew ametenda, na atazidi kutenda, mungu ni mwenye haki

  • @HajraAli-zu9ik
    @HajraAli-zu9ik 9 місяців тому

    Allah akufanyie wepec ishaallah kwa uwezo wake utapona

  • @lalilaally200
    @lalilaally200 Рік тому

    Polee sanaa Allah atakupa afya ila ukapate kisomo kwa mashekh

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 10 місяців тому

    Pole may utapona inshallah Kwa uwezo mungu pekee❤🤲

  • @MaryamSheby
    @MaryamSheby 10 місяців тому

    Allah akufanyie wepes ishallah

  • @MariaMtambala-w6n
    @MariaMtambala-w6n 10 місяців тому

    Pole sana nduguyangu ilausijali mungu atasikia kiliho chako 😢😢

  • @YaumiIdrisa
    @YaumiIdrisa Рік тому

    Dah hujaf hujaumbika dahc,😥😥😥😥😥😥

  • @marydisii
    @marydisii 10 місяців тому

    Mungu akutetee dada utapona kwa imani mungu ni mwema.

  • @zainatuabdi2881
    @zainatuabdi2881 10 місяців тому

    Duh mola akupe shifaa dada duh pol

  • @MartinyKisse
    @MartinyKisse 9 місяців тому

    Mungu atakusadia wangu utapona umepitia mengi hayo ni majaribu atapona usiogope kitu mungu atakupa wepes

  • @DaimaMrisho
    @DaimaMrisho Рік тому

    Mwenyezi mungu akufanyie wepesi kipenz unateseka sana nenda kawe mamy utapokea uponyaji

  • @RoseMachael
    @RoseMachael 10 місяців тому +1

    Dada nikushauri nenda kwa mwamposa

  • @RajabuFute
    @RajabuFute Рік тому

    Pole dada naamin mungu atakuponya amin hivyo tunakupenda watanzania

  • @fhnchjk5195
    @fhnchjk5195 Рік тому

    Pole sanaaaa dada Allah akufanyie wepec inshallah utapona inshallah

  • @JacklineMwanga
    @JacklineMwanga Рік тому

    Mpaka ulipofika Mungu amekuponya kipenzi. Pole sana

  • @IbrahimuLikolinji-ly2tp
    @IbrahimuLikolinji-ly2tp Рік тому +3

    Pole sana dada Allah atakuponya insha Allah

  • @dorischegem4322
    @dorischegem4322 10 місяців тому

    Hakuna kitu kigumu kwa mungu believe and you will testify the good work of God.

  • @sophiayBakali
    @sophiayBakali Рік тому +1

    Pole sn mpendwa mungu atakufanyia wepesi utapona insha'Allah sote tunakuombea 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Amosi-w1w
    @Amosi-w1w 10 місяців тому

    Pole sana,dada angu usijali Mungu atakuponya dada angu

  • @RauManumba
    @RauManumba 10 місяців тому

    Pole sana dada mungu atakusaidia utapon 2

  • @SharifuAbdallah-pk6wg
    @SharifuAbdallah-pk6wg 10 місяців тому

    Mungu akuponye kwa ushauri wangu naomba ufike kwa kuhani must kimara temboni naamini uponyaji utapata pale amina

  • @MAMA-f1o8n
    @MAMA-f1o8n Рік тому

    Pole sana Dada hawa mungu atakuponya Iman yako impe mungu utapona

  • @NeemaKassi
    @NeemaKassi Рік тому

    Pole sana careen M MUNGU akuponye dear

  • @MadamVanessa-h9l
    @MadamVanessa-h9l 10 місяців тому

    Dah unaiyaji maombi dada Caren Mungu akutie nguvu

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f Рік тому +2

    Pole sn dada mungu atakuponya unapitia wakati mgumu pole sn kpnz mungu atakufanyia wps🙏🙏

  • @tatuhamady5838
    @tatuhamady5838 10 місяців тому

    Huy dad ananiumiza San roh inaniuma😭😭😭😭

  • @RamadhanKinyerere
    @RamadhanKinyerere Рік тому

    Pole sana dada angu allahu atakufanyia wepesi utapona inshaallah

  • @SaidiRashidi-l5o
    @SaidiRashidi-l5o Рік тому

    Pole dada ang mungu atakusaidia kipenz 🙏🙏🙏🙏🙏 nakuombea upone my sister

  • @glorydaniel8624
    @glorydaniel8624 Рік тому

    Mnamsumbua Sana ,, huo muda mnamhoji mngekuwa mnafaya maombi ,,,Duhhhh Mungu akuponye akuvushe kwa Hilo jaribu