HOTEL YA SUGU KUBOMOLEWA, RAIS MAGUFULI AZUIA "MSIBOMOE HOTEL SUGU, MSILETE SIASA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 689

  • @azaabdallah3186
    @azaabdallah3186 3 роки тому +46

    Pole kaka August Allah yupo pa.oja nawe, hukuiba ulitumia Maarifa na juhudi ukaweza kutengeneza kitega uchumi, congratulation bro pamoja sana.

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 роки тому +111

    Raisi wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuri pongezi nyingi Sana kwako 👏🏼👏🏼👏🏼

    • @shabanhassan4272
      @shabanhassan4272 3 роки тому +5

      Pongezi gani unampa.kwa kubatilisha mpango wake wa aibu aliyotaka kuifanya?!

    • @zach4068-c9e
      @zach4068-c9e 3 роки тому

      @U Online 😆😆😆😆😆

    • @jumakhalfanikali7387
      @jumakhalfanikali7387 3 роки тому +2

      Safi Mh. President hii ndo Tz tunayoitamani

    • @fx-farm6888
      @fx-farm6888 3 роки тому

      @@shabanhassan4272 🤯🤯🤯

    • @keiyalaitayo7903
      @keiyalaitayo7903 3 роки тому +1

      Pongez za nn sas nyie angalien vityuu vya kuandika kwenye mitandao mmsisifu vityuu havisiviki

  • @villanjimmy7625
    @villanjimmy7625 3 роки тому +122

    Huyu maguful ningekuwa na uwezo asngeondka madarakani ❤️❤️❤️❤️❤️💚💖saf San hii ndio Tanzania tunayoitaka

    • @jackson2120
      @jackson2120 3 роки тому

      vitisho ivyooo kazi imeanzaaa

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 3 роки тому

      Hahahhaha... Magufuli.. anajua.. tunapata kodi

    • @binmungiadinininasahachane5888
      @binmungiadinininasahachane5888 3 роки тому

      Kiki tu hizo

    • @ayubnsajigwa1037
      @ayubnsajigwa1037 3 роки тому +2

      Huyo ndiye aliyewatuma kubomoa ameona Aibu HOTEL ilikuwepo toka enzi za JAKAYA lakini hakuna aliyekuwa anamtishia SUGU Kubomoa hotel lakini baada kuingia huyu aliagiza wote waliyoupinzani mali zao ziharibiwe ,zinyang'anywe alianaza na SUMAYE ,MBOWE ,NK

    • @hassanchauluwa7308
      @hassanchauluwa7308 3 роки тому +1

      Usiwe mjinga ww ukitaka kupanda chati kisiasa unatakiwa utengeneze tatizo Kisha ulitatue.ndicho kilitengenezwa lazima kionekane

  • @zuberykharoub6868
    @zuberykharoub6868 3 роки тому +377

    kama una mkubali unclee magu gonga likeeee❤❤❤

    • @ikramurashidichongoe3037
      @ikramurashidichongoe3037 3 роки тому +6

      Nitamkubali kama atamrudisha sugu na Rema na kuwatoa mashekhe gerezani kwani aliwezaje kumtoa babu sea na wanae akashindwa kuwatoa mashekhe kauli alio toa ya kutobomolewa hoteri ni nzuri sana sasa hiyo hiyo kauli aitumie kurudisha walio kimbia na walio fungwa.Nikwambie ukweli ndugu katika Rais ambaye yupo makini na uongozi wake ni magufuri ila amekabiziwa kijiti kilicho liwa na mchwa teali sasa anajitaidi kukiunga ili kikae sawa lakini hawezi bali ili aweze lazima atupuuzie kwanza kwa ajili ya pesa kakusanya pesa zote ili ajenge barabara lakini wananchi hatuna pesa.Sasa naomba wanao mshauli wa mwambie urais sio kujenga barabara ila aangalie ni jinsi gani biza kama chakula mafuta vina zunguuukaje nchini mpaka wanachi wanavipata bila kuwa bei juu mana naona kwa hili hali fahamu kabisa na kama litafumbiwa macho nchi hiii itakuwa mbaya na wanchi wataanza kulana wenyewe ninapo sema kula kuna maana nyingi sana.

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 3 роки тому +3

      Huyu sijui kwa nin akukimbia nnchi kama wale wenzie

    • @janekikoti2179
      @janekikoti2179 3 роки тому +2

      @@emmanuelbonifase1114 Ana Akili

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 3 роки тому +2

      @@janekikoti2179 salute kwako

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 3 роки тому +1

      @@emmanuelbonifase1114 we ulitaka akimbie

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 3 роки тому +43

    Wallah muna Rais... Mungu awaekeeni

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +9

    Halafu wanasema nchi haina amani wala uhuru #mungu azidi kukulinda rais wetu magufuli kwa moyo wako 💪💪💪

  • @mwl.zabronbatega6717
    @mwl.zabronbatega6717 3 роки тому +58

    Millard Ayo habari za uhakika big up

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому +56

    Napenda confidence ya mwamba " sugu"

    • @jenanikilipamwambu8558
      @jenanikilipamwambu8558 3 роки тому

      👐👐👐👐

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 3 роки тому

      Ashukuru Magu kapata huruma yake tu hapo haitakuwa kuwekeza hotel kwa mjengo huo hayapiti maji amshukuru Magu asijimwambafai huko kote alitoa Rushwa tu. Ndio maana kauli inakuja huko viongozi wate walikuwa wapi walikuwa hawaoni

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 3 роки тому +39

    Hongera mheshimiwa rais magufuli

  • @annamwakibinga3190
    @annamwakibinga3190 3 роки тому +1

    Hongera sana mr President Magu kwa hili

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 3 роки тому +56

    Kama umeckia haikuota kama uyogaa gusa like kwa Mh.SUGU

    • @adamamani8816
      @adamamani8816 3 роки тому

      Nae anajifanya hakua na wasiwasi badala yakumshururu rais kwani kama sio roho ya imani ya rais siingevunjwa tu na waliotoa vibali wote wangefukuzwa kazi sema asante rais Magufuli wewe acha ubabe

    • @henrykwilasa5761
      @henrykwilasa5761 3 роки тому

      Good enough!!!!

  • @kifarusongeaolg9726
    @kifarusongeaolg9726 3 роки тому +8

    Utukufu kwa Mungu juu maana niliposikia habari hii roho iliniuma sana kweri Mungu yu mwema

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 3 роки тому +83

    Hongera muheshimiwa raisi magu

    • @jackkileo6740
      @jackkileo6740 3 роки тому

      Ni sheria imezuia

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 3 роки тому +2

      Sasa unamsifia rais kwa kitu gani? Rais alikuwa afukuze watendaji wabovu wanaotaka kudhulumu raia haki zao

    • @festondenga4253
      @festondenga4253 3 роки тому

      @@AhmedAli-gh1lm kaka nahapo rais anatakiwa atoe kabisa watu wenye roho kama hizo ili wajue kuwa vyama so vita

  • @sammiechoppah9104
    @sammiechoppah9104 3 роки тому +1

    Yaani Maghufuli namkubali sana raisi wangu

  • @davidobonyo7558
    @davidobonyo7558 3 роки тому +8

    Mwenyezi Mungu akubariki sana Mh Rais John Magufuli

  • @gibishinchambi1971
    @gibishinchambi1971 3 роки тому +6

    Safi sana serikali yangu good tunyoosheni mambo hakuna unafiki hapa tufanyeni kazi tusonge mbele tupendaneni sisi n watanzania

  • @rahmaqute7320
    @rahmaqute7320 3 роки тому +24

    Safi Sana mzee magu👏👏👏👏

    • @shabanmohamed1545
      @shabanmohamed1545 3 роки тому

      Hongera sana sugu kwa uwekezaji kiukweli uliona mbali sana .

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +1

    Mh magufuli Mungu azidi kumpigania

  • @florameza9529
    @florameza9529 3 роки тому +1

    Asante mkuu asante Rais kwa hekima hii

  • @johnbernad6806
    @johnbernad6806 3 роки тому +4

    Hii ndio Tanzania ya umoja na upendo maana ya upendo ni kujenga na si kubomoa hongera sana mh Rais wetu

  • @zawadicharo9740
    @zawadicharo9740 3 роки тому +1

    Ingekuwa kenya, ingekuwa ishabomolewa. Tz oyeee. Napenda Sana Tanzania. From kenya

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 3 роки тому +1

    Safi sana sana mh.Rais unajua kutetea watu wako

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 3 роки тому

    Asante baba magufuri tutakuelewa tu asante

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 3 роки тому +1

    Safi Sana Mheshimiwa RAIS kwani HAKI sawa

  • @stafordchahe6862
    @stafordchahe6862 3 роки тому +3

    Maamuzi yenye tija....safi sana, nimewapenda.

  • @jonaskabonda741
    @jonaskabonda741 3 роки тому +2

    Rais wetu John Pombe Magufuli hongera sana kwa hekima zako hutaki kuumiza wananchi wako

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 3 роки тому +2

    Magufuli💞💞❤

  • @jastonelazaro5944
    @jastonelazaro5944 3 роки тому +1

    Mheshimiwa Magu nakukubali sana

  • @sedrickkantabula9253
    @sedrickkantabula9253 3 роки тому +1

    Hii nimeipenda.

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 роки тому +1

    Hii ni CCM mpya good mr.pre

  • @elishakhamis5383
    @elishakhamis5383 3 роки тому +232

    Kama umesikia haikuota Kama uyoga like hapa🤣🤣🤣

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому +1

      😀😀😀😀

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 роки тому

      Hahahahaha

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 3 роки тому +1

      Kwakweli kuna upumbavu ambao unafanywa siku utaleta shida kubwa sana.

    • @alimuhamed1830
      @alimuhamed1830 3 роки тому

      Huyu jama nakubali sana

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 3 роки тому

      @@alimuhamed1830 Hakika anajielewa sana Ndg. Joseph Mbilinyi SUGU. Utaelewa na kujua tu kama hapo mkuu wa mkoa anavyo jikweza kwake kwa kujifanya ni mtu mwema sana wakati yeye na wenzake ndio walikuwa waratibu wa uovu na uhovyo huo.

  • @sisiliamboni4556
    @sisiliamboni4556 3 роки тому +2

    Wewe ndio Rais aongezewe muda miaka mitano tena good magufuli

  • @vianyfrancis2789
    @vianyfrancis2789 3 роки тому +1

    Mh.magufuli wewe ndiye Rais unayotakiwa ktk Tanzania mpya .Hongera kwa maamuzi mazuri

  • @evamariadaudi5038
    @evamariadaudi5038 3 роки тому

    Mkuu wa mkoa kaongea vizur Safi Sana! Viva Mbeya ! Asante mh Rais !

  • @balasisiterezia1609
    @balasisiterezia1609 3 роки тому

    Daah magufuli Mungu akubariki

  • @burundibwizacetribea995
    @burundibwizacetribea995 3 роки тому +3

    Mtoka mbinguni, JPM. Mungu amubaliki saaaana 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @evancetilya5140
    @evancetilya5140 3 роки тому

    Magufuli Mungu akubariki

  • @silaselisha3586
    @silaselisha3586 3 роки тому +17

    Sio vizuri kwa tanzania yetu mtu ananyimwa haki zake kisheria mpaka rais aseme mambo gani hayo! Sheria zifuatwe na mtu wa kusimamia sheria ni mahakama sio rais.

    • @vladiminlenin8883
      @vladiminlenin8883 3 роки тому +1

      Mtu anayeshitaki ni jamhuri mahakama mpaka iletewe shauri

    • @jackson2120
      @jackson2120 3 роки тому

      wakina tundulisu kukimbia sio wajinga kazzi imeanza

  • @radhiambwana8787
    @radhiambwana8787 3 роки тому

    Mungu ambariki sana Mhe Rais.

  • @edsoncharles6326
    @edsoncharles6326 3 роки тому +1

    safi sana ,huo ndio ukomavu wa siasa

  • @estherdavic8521
    @estherdavic8521 3 роки тому +33

    Hiyo inaitwaga cheza na akili zao 😂😂

  • @bigdawstz7258
    @bigdawstz7258 3 роки тому +19

    Daaah!!!! Siasa bhana ....
    Andaaa tatizo then litatue!!!

    • @jacquilinetenth3447
      @jacquilinetenth3447 3 роки тому +1

      Kweli

    • @abdallahsuleiman4599
      @abdallahsuleiman4599 3 роки тому +1

      Hapakuwa na sababu ya kupoteza muda na kuunguza mafuta kuja hapo kwa sababu hapakua na tatizo,

    • @chikiranathanael3097
      @chikiranathanael3097 3 роки тому +2

      Hahaaaa Kaka ushaaaa Iona hio Ila niwachache Sana wanao jua kilicho tokea

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 роки тому +1

      Waliompa vibali kujenga sio Rais ni watu wa halimashauri ya mji wa mbeya inawezekana kilitolewa kimakosa lakini kama sheria inasema tusijenge kwenye vyanzo vya maji, Rais ametumia uungwana kuzuia kuvujwa kwasababu ni kosa la halimashauli ya mji kutoa kibali. Pia sugu kama anajua sheria za nchi. Hata kukiwa na watendaji wabovu mnataka kumuhusisha Rais huko ni kuto kuelewa. Hongera JPM.

    • @chikiranathanael3097
      @chikiranathanael3097 3 роки тому +1

      @@husseinmkanga7794 hio halimashaur isio jua Sheria za nchi....mkurugenzi wake aliletwa na Nani!? Kwahio muwekezaji akija kuwekeza kwa sheria flani ya wazembi viongoz Mara badaa mtasema walitoa kwamakosa hivyo tutakosa wawekezaji,Ila hapo tunalo jua nikwamba hio no siasa mh lisu Alisha's sema ukitaka kua maarufu katik siasa tengeneza tatizo then litatue

  • @bantwamwasakapiga4941
    @bantwamwasakapiga4941 3 роки тому +1

    Nimeipenda sana

  • @malacktweve6012
    @malacktweve6012 3 роки тому

    Ayo safi sana kichwa cha habari kinafanana na yaliyomo natamani media zile nyingine za kijingajinga zijifunze toka kwako big up

  • @saidishebuge4796
    @saidishebuge4796 3 роки тому +1

    Vizur mzee baba magu

  • @saimonmakoye5009
    @saimonmakoye5009 3 роки тому +3

    Magufuri respect

  • @mashaurimabula2359
    @mashaurimabula2359 3 роки тому +1

    Kwa kweli rais wetu mh Magufuli anayemubeza ujua naye ana lake moyoni

  • @jacksonbahati8948
    @jacksonbahati8948 3 роки тому

    Millard Ayo Safi Sana huna story au habari za uongo big up sana

  • @burudanimwanja1568
    @burudanimwanja1568 3 роки тому +2

    Asante rais

  • @dizzboss7526
    @dizzboss7526 3 роки тому +1

    Ni sawa na mwalimu kuandaa mitihani lazima aandae marking scheme

  • @mghuna
    @mghuna 3 роки тому +2

    hongera sana napenda maamuzi km haya ,huu ndio uongozi unaotakiwa

  • @amissemwenetombwe3236
    @amissemwenetombwe3236 3 роки тому

    Magufuli Rais mzuri sana.

  • @mamukassim4075
    @mamukassim4075 3 роки тому

    Safi Sana. Raisi wetu

  • @liyoghoyayilamtaga8618
    @liyoghoyayilamtaga8618 3 роки тому +1

    Asante baba

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 роки тому +21

    viongozi wa ccm mpunguze kujikomba kwa mzee meko

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 3 роки тому

    Nampenda sanaa rais wangu. Mungu azidi kumpa afya na maisha marefuu.

  • @solomonichisaye8767
    @solomonichisaye8767 3 роки тому +67

    Ndo hvo washamfanyia tangazo la biashara

    • @saimonsanga4510
      @saimonsanga4510 3 роки тому +3

      Umeonaaa eeee

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 роки тому +3

      Live bila ya chenga

    • @Teksani
      @Teksani 3 роки тому +1

      Kwahiyo unaumia au?

    • @sebaskibiki4836
      @sebaskibiki4836 3 роки тому +1

      Tena pakubwa

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 роки тому +2

      Mind set. Siasa za kibongo ni shida hapo kimetengenezwa kitu ni vigumu kwa mburula kuelewa twende kazi

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 3 роки тому +4

    Asante Rais wetu

  • @erasmusshauritanga8485
    @erasmusshauritanga8485 3 роки тому +1

    Nina watoto wa kiume wawili nikipata wa tatu nitamwita John Pombe Shauritanga Magufuli leadership makes me extremely happy.

  • @kamalissabig2429
    @kamalissabig2429 3 роки тому +13

    Kwa cku ya kwanza leo Magufuli nmepa hongera ya kwanza maana amefata sheria

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 роки тому +6

      Mnapongezana maigizo hahahaaaa yani MTU atume watu waseme wanabomoa halafu eti anajitokeza MTU kusema pasibomolewe kama amevunja sheria si mbomoe kwani hatujui maigizo yenu upuuz wa siasa za zamani nani hazijui na mtanyooka tu Tanzania saiv ni chadema tu wengine maharamia ya kura tu

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 3 роки тому +1

      @@emmapaul1766 nakuunga Mkono

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 роки тому

      @@emmapaul1766 😂😂😂

    • @kamalissabig2429
      @kamalissabig2429 3 роки тому

      @@emmapaul1766 na kwel umenena baba mjinga hawez kuelewa

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 роки тому +1

      @@emmapaul1766 wewe jamaa una matatizo.

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 3 роки тому +2

    Bora masikini wamuache hoteli yake ni nzuri sana. Hongera umewekeza

  • @crazydaddy7672
    @crazydaddy7672 3 роки тому +2

    Safi sana yapasa kuitizama Tanzania kwanza kimaendeleo na si fitina zakichama Akili safi

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 3 роки тому +1

    Asante RAISI KWA niaba ya Sugu ni vizuri kusema Asante

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 роки тому

      Malaya wa ccm mshukuru wewe sio kwa niaba ya sugu maana hajakutuma kushangilia maigizo ya kipuuz ambayo watanzania wameyashtukia mazwazwa ndo wataamin huo ujinga

  • @givenmgaya6734
    @givenmgaya6734 3 роки тому +1

    Hapo sawa

  • @allysudi4429
    @allysudi4429 3 роки тому +1

    Safi kabisa mh. Rais wewe ni kiongozi wa kuigwa dunia nzima kwakwel.... Tunakupenda Sana mungu akuongoze vyema....Ameen

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 3 роки тому +7

    Pongezi sana mkuu wa mkoa Mbeya, kwa ukomavu wa kisiasa 👋👋👋

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 3 роки тому +24

    Nimekuelewa Sana Mzee Wa Viboko Tuache Sugu Aendelee Na Biashara

  • @moseskisingi9625
    @moseskisingi9625 3 роки тому +1

    Unatengeneza tatizo kisha unalitatua (safi sana.)

  • @eliasmwita390
    @eliasmwita390 3 роки тому +1

    Pongez sana kwa rais wetu

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 3 роки тому +28

    Make and solve .....inasomeka

  • @isackahmed2563
    @isackahmed2563 3 роки тому +4

    Safi sana mh Rais

  • @simbamaduhu1600
    @simbamaduhu1600 3 роки тому +3

    Bigup mkuu wa mkoa

  • @shamsudinally5505
    @shamsudinally5505 3 роки тому +43

    Mkuu wa mkoa nimekuelew San

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 3 роки тому +35

    Chezea magu wewe ni ☈☇🔥

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 роки тому +5

    Mimi Rais wangu ❤️ namkubali,toka sikuyakwanza nilimkubali mno,ninasema huyuhuyu ndio nitamoakula yangu,hata Kama iwe moja roho ilimtamani sana ,niMpango wa Mungu kuwepo kwake,Minampenda mpaka mungu anajuwa.Manafiki yalitaka avunjiwe ili iweje?Tupendaneni dunia hiii tunapita PA.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 роки тому

      Wajinga mmenasa kwenye maigizo Lumumba bhana hahahaaaa ndio maana mlipigwa kila kona kwa akili zenu uchwara

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 3 роки тому +1

      Ety ulimpenda tangu mwazo. . Sasa si angekuoa

  • @yusuphmedson8806
    @yusuphmedson8806 3 роки тому +1

    Nimekubali kwa lais wetu

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 3 роки тому +8

    MAGUFULI NI RAIS WETU MSIKIVU MFUATILIAJI HONGERA RAIS

  • @mobymedia7856
    @mobymedia7856 3 роки тому +34

    Msikivu wa wananchi🙏🏾
    #MobyMedia

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 3 роки тому

    Mnyarukolooo upo vizuri chalamila

  • @juliussenzia8717
    @juliussenzia8717 3 роки тому

    Hongera Rais wetu mtetezi wa wanyonge mungu akupe umri mrefu

  • @janetmlulla374
    @janetmlulla374 3 роки тому +2

    Hongera rais wangu. Kazi iendelee na Mungu akupe afya njema ututumikie watanzania.

  • @gabrieldevid9
    @gabrieldevid9 3 роки тому

    Mungu awabariki wote jaman.hoteli nzuri kias hicho jaman.

  • @isihakatozzo5959
    @isihakatozzo5959 3 роки тому +1

    Tulikuwa tunaitaji mambo yaende hivi sisi tusio Na upande wa kichama. Hongera sana JPM

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 3 роки тому +2

    We sugu acha kujifanya sugu maana hata sugu zikiota mwisho safari zinaisha tu. Cha msingi mshukuru rais maana ni mtu wa watu angekua mbinafsi na kuendana na uvya hiyo hotel ingebomelewa. Nikuombe tu usijione kwamba wewe umepasua mwamba jua kwamba hakuna linalo shindikana serikali ikiamua. Kwa hio basi mshukuru rais that's it.

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 роки тому +35

    ALHAMDULILAH raisi nimuadilifu.

    • @deusimtewele2301
      @deusimtewele2301 3 роки тому

      @U Online Sasa isiwe tiketi ya kuingia CCM kuunga juhudi

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 3 роки тому +1

    Rais wa wote watanzania

  • @rahimaaziz8970
    @rahimaaziz8970 3 роки тому +7

    Mungu akutunze mzee wetu

  • @peterkatumain2299
    @peterkatumain2299 3 роки тому +3

    Safi sana magufuli wawekezaji wa ndani wapewe vipaumbele kama hivyo sugu kawekeza ahalibu ongela baba magu

  • @amedeusmodestikimey9888
    @amedeusmodestikimey9888 3 роки тому +1

    Hao wanaleta kutaka kupandishwa cheo Sasa mzee wetu kangundua🙏🙏🙏

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 3 роки тому +2

    Safi san umeongea point U-ccm na U-chadema tupa kwel maisha yaendelee Asante Rais wa watanzania kwa kusimamia Haki Mwaaaaah

  • @_____gef332
    @_____gef332 3 роки тому +20

    Haikuota kama wiyoga😆

  • @tuombesunzuesperance5196
    @tuombesunzuesperance5196 3 роки тому +2

    Mtu mwenye hekima yake Uncle Magu God bless you 🙏🏻🙏🏻

  • @elizaalony2231
    @elizaalony2231 3 роки тому

    Safi kabisa MH magufuri tunashukuru

  • @henryndosi1114
    @henryndosi1114 3 роки тому +1

    MAGUFULI BABA LAO 🇹🇿 kwa maendeleo ya Watanzania

  • @emanueluledi5616
    @emanueluledi5616 3 роки тому

    Mm lais wangu nampenda sana lais wangu asante mkuu wa mkoa uwo ndo ubinadam sugu ajifunze na ikiwezekana uludi nyumbani kumenoga

  • @joelilukumay9137
    @joelilukumay9137 3 роки тому

    Hongera sana mh Raisi wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, ndg John pombe Magufuli. Kwa hekima unayotumia ya wananchi wako. Ww ni kiongozi wa wananchi Wote . Kura yangu na ya watu wangu haijaenda bure. Mungu akuongezee miaka.

    • @joelilukumay9137
      @joelilukumay9137 3 роки тому

      Umetumia hekima kubwa ya kutetea hoteli ya mwananchi wako sugu. Mungu alijua utatenda Haki. Barikiwa sana mh Raisi wetu. Tunakuombea kwa mungu wa mbinguni.

  • @mossassaid2683
    @mossassaid2683 3 роки тому +8

    Jamaa mnafiki huyuu

  • @csato9415
    @csato9415 3 роки тому +7

    Acheni kutengeneza matukio na kuyatatua wenyewe.

  • @amosmwanga4027
    @amosmwanga4027 3 роки тому +6

    Asante Rais kwa kuliona hili kwa huyu Rais wa Mbeya, na ijulikane kuwa Sugu anakukubari sana.

  • @packgavu5720
    @packgavu5720 3 роки тому +2

    Safi sana mheshimiwa amenyoosha maelezo, sio kama wengine wanaowaza siasa tuu hata kwenye maendeleo.