Atukuzwe Mungu juu mbinguni na amani kwa watu wote,utukufu ni kwako Yesu kwa kumuinua tena mtumishi wako Paul Mwangosi (moyo wa ibada) katika madhabahu hii ya baraka
Mungu Baba asante kwa kunijia majira haya na neno na ujumbe wa wakati kuondoa zuio na walinzi wa zuio. Asante Mungu Baba mlinzi wangu tangu sasa na milele sawasawa a neno lako la ZABURI 121.. Mbariki na kumlinda na kumtunza Mwalimu Christopher Mwakasege familia yake na wote watendao kazi pamoja naye kipesa muda na nguvu katika jina la Yesu Kristo Amina. Haleluya Amina na Amina.
Mungu atukuzwe Siku zote za maisha yetu kwa matendo makuu anayoyatenda kupitia Mtumishi wake Mwl.Christopher Mwasege kumfunulia kuweza kutufundisha nasisi kuweza kumjua Mungu , Mwanaye Yesu kristo na Roho Mtakatifu .Amina.
Asante sana MUNGU Kupitia mtumishi wako nimepona mgongo nilikuwa na sumbuliwa na maumivu ya mgongo wakati maombi yanaendelea gafla pingili za mgongo zilikuwa zina jigauza geuza hakika MUNGU NI MWEMA
Kupitia neno la mungu mteule.wake.mwakasege.mungu.akazame.kiumbe.aliyesababisha.majeraha.moyoni.mwangu.anaitwa.piter.magudi.mungu.wewe.waqua.alivonitenda.maishani.mungu.mimi.siwakisasi.kisasi ..nakuachia.te nda kwa uradhi wa mapenzi yako
*MASOMO YA SEMINA* Kumbukumbu la Torati 8:18 Mwanzo 26 Luka 4:1-8 Zaburi 24:1 Kutoka 10:24-27 Mitume 5:1-11 Mithali 28:20-22 Isaya 28:16 Luka 18:9-14 Warumi 5:1
Jina la Bwana Mungu litukuzwe sasa na milele.Ameeen 🙏🙏🙏
Amen amen Mungu ni mwemwa napata chakula cha kiroho Mungu ambariki mwl.mwakasege family yake na huduma ya Maana kwaujumla❤❤❤❤❤😮😮
Atukuzwe Mungu juu mbinguni na amani kwa watu wote,utukufu ni kwako Yesu kwa kumuinua tena mtumishi wako Paul Mwangosi (moyo wa ibada) katika madhabahu hii ya baraka
Sifa na utukufu ni zako JEHOVAH 😊 happy to see brother mwangosi🎉😊
Ubarikiwe Kaka Paul mwangosi naona uwepo wa Mungu juu yako unapoimbisha Asante Mungu mweza yote
Kabisa.Utukufu kwa Mungu
Asante Yesu kwa Technologia, naweza kurudi na kusikiliza haya masomo kila siku. Jina la Bwana libarikiwe!!
Mungu Baba asante kwa kunijia majira haya na neno na ujumbe wa wakati kuondoa zuio na walinzi wa zuio. Asante Mungu Baba mlinzi wangu tangu sasa na milele sawasawa a neno lako la ZABURI 121.. Mbariki na kumlinda na kumtunza Mwalimu Christopher Mwakasege familia yake na wote watendao kazi pamoja naye kipesa muda na nguvu katika jina la Yesu Kristo Amina. Haleluya Amina na Amina.
Amen amen amen Mungu amtunze Sana mtumishi huyu
Mungu atukuzwe Siku zote za maisha yetu kwa matendo makuu anayoyatenda kupitia Mtumishi wake Mwl.Christopher Mwasege kumfunulia kuweza kutufundisha nasisi kuweza kumjua Mungu , Mwanaye Yesu kristo na Roho Mtakatifu .Amina.
Asante sana MUNGU Kupitia mtumishi wako nimepona mgongo nilikuwa na sumbuliwa na maumivu ya mgongo wakati maombi yanaendelea gafla pingili za mgongo zilikuwa zina jigauza geuza hakika MUNGU NI MWEMA
Hakika nabarikiwa na mafundisho ya mwalimu mwakasege
Mungu naomba unisaidie
Mungu atukuzwe kwaajili yenu na yangu kwakunifunulia siri za ufalme wa mbinguni, barikiwa sana baba
JESUS IS THE KING OF ALL KINGDOMS
Stay blessed, happy to see Mwangosi again
Asante Yesu kwa neno lako
Kupitia neno la mungu mteule.wake.mwakasege.mungu.akazame.kiumbe.aliyesababisha.majeraha.moyoni.mwangu.anaitwa.piter.magudi.mungu.wewe.waqua.alivonitenda.maishani.mungu.mimi.siwakisasi.kisasi
..nakuachia.te nda kwa uradhi wa mapenzi yako
😊😊😊
ROHO MTAKATIFU AKUPE ULINZI KWENYE moyo wako upokee furaha ya Kumuabudu ndani Yako utaona bubujiko.
*MASOMO YA SEMINA*
Kumbukumbu la Torati 8:18
Mwanzo 26
Luka 4:1-8
Zaburi 24:1
Kutoka 10:24-27
Mitume 5:1-11
Mithali 28:20-22
Isaya 28:16
Luka 18:9-14
Warumi 5:1
Amen barikiwa sana Baba ❤
Siriiii za ufalmee❤❤✝️🙏🏾
AMEN
Ameen
Amen 🙌🙏
Mwangosi Jipe Moyo mkuu, watesi wako wasipookoka watakufa wao
Amina
Hakika Mungu Yu hai
Ameeeeen
❤yes
Amina💃💃💃💃👏👏👏👏
MUNGU atusaidie kuvuka sehemu hiyo maan siyo rahisi kupita sehemu hiyo kilahisi.
Tunabarikiwa sana🙏🙏🙏🙏🙏
Nakupa heshima na sifa zote
Watumishi wa MUNGU WA MBINGUNI, hamtakufa bali mtaishi ili myasimulie Matendo Makuu ya MUNGJ
Amani
Mpaka j2
Tunaomba mtuwekee na mistari ya Biblia inapotajwa pia.
Kesho nwahi kabla ya watu wote kufka nijitwalie utukufu mie
Ni mwanza Sehemu Gani?
@@musajacob334 ooh ilikuwa mwanza
Furahisha
Semina imeisha??
Bado ni ya siku tano imeanza jana.
Ni Sehemu Gani?
Ipo jadi Jumapili.
@@musajacob334 Furahisha.
Kiu.kiu.kiu.kiuuuuu .yaneno
Mtumishi.masifu.marefu.marefu.mno.kiuuuuuu.yaneno
Kusifu.siyo.vibaya pia.lakini.ninayoo.kiuuuu.mtumishi
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen Amen
AMEN