Kuna kitu kinaitwa corporate politics ni mbaya sana na inaumiza watu sana . baadhi ya watu hukanyaga wenzao vichwani ili wasichomoze lakini kama vile Mungu wa ibrahim alivyo inuka na kumpangusa machozi mtumishi wake atasimama na kila mwenye haki anapo onewa. Asante sana baba kimaro kwa neno hili la faraja
Hakuna kulia mbele ya mtesi kwa Jina la Yesu 🙏🙏🙏👏🏻
Amen Amen 🙏 🙏 🙏
Mungu akiamua bwana hakuna wa kuzuia
Asante baba nimejifunza kitu hapa daa Yesu akutunze sana baba
Amen jua la haki
Amen Amen
Ameen ameeen
Kuna kitu kinaitwa corporate politics ni mbaya sana na inaumiza watu sana . baadhi ya watu hukanyaga wenzao vichwani ili wasichomoze lakini kama vile Mungu wa ibrahim alivyo inuka na kumpangusa machozi mtumishi wake atasimama na kila mwenye haki anapo onewa. Asante sana baba kimaro kwa neno hili la faraja
Sitolia mbele ya watesi wangu nilishajifunza
Barikiwa sana baba mchungaji
Asante Yesu Kwa Kunipigania Mbele Ya watesi
MUNGU mwema sana.
Mungu ni Mungu hakuna wakufanan nayee halleluyah
🙏🙏🙏🙏🙏
Malaika wa Bwana hufanya kituo, Amen
Mch. Naomba nipate namba Yako unisaidie jambo langu. Asnt
👏👏👏 pale foleni inapogeuka. Wa mwisho kawa wa kwanza!!
Jua la Haki lionekane kwangu kwa Jina la Yesu
Ameen
Usilie machozi mbele ya watesi wako
Heloooo👋🏾👋🏾👋🏾
Mungu akulinde baba mchungaji
HALLELUJAH
Zitalia mbele ya watezi wangu
Mungu.ni.mwema.kila.wakati
Mungu nipe ujasiri mbele ya watesi
Amen
Ameeeeen 🖐
God of Miracles
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen hakuna kulialia mbele ya watesi
Amen 🙏
Amen
Yeah ni mzuri
Naomba Mungu anipiganie
👋👋🫴🫴👋👋👋👋🫴🫴