MCHUNGAJI ATUMWA KULETA PICHA YA MAKONDA NA WAUMINI KUTOKA BURUNDI HADI ARUSHA, AFUNGUKA HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 128

  • @jackgodgivenzihindula
    @jackgodgivenzihindula 3 місяці тому +10

    ❤❤❤
    Namimi Niko pia jiani kutoka Drcongo 🇨🇩 nakuja Arusha 🇹🇿

  • @user-hu1ev9pt8q
    @user-hu1ev9pt8q 3 місяці тому +15

    Makonda baba.... Hili ni kama.deni, unazidi kukubalika na kuaminika mpaka naona hata wewe mwenyewe unashangaa❤❤ mungu awe nawe katika uongozi bora haswa kutetea haki❤❤ tunakuombea mema

  • @kamikazineema1957
    @kamikazineema1957 3 місяці тому +8

    Na Mimi nakupenda Paul Makonda from🇷🇼🇷🇼

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 3 місяці тому +1

    Mungu akulinde kiongoz imira na shupavu

  • @toyi7605
    @toyi7605 3 місяці тому +14

    Kazi ya Mku ni nzuri kabisa apewe mauwa yake kabisa 💯💯💯💯💯

    • @CatherineMbatta
      @CatherineMbatta 3 місяці тому

      Yes apokeee maua yake kabisa🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @anandemungure2500
    @anandemungure2500 3 місяці тому +12

    Utukufu Kwa Mungu wetu

  • @PeterStephen-on4zz
    @PeterStephen-on4zz 3 місяці тому +15

    Mungu akubariki Baba Mchungaji. Kutoka mbali Burundi mpaka hapa Tanzania 🙏🙏🇹🇿🇹🇿🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @toyi7605
    @toyi7605 3 місяці тому +10

    Makonda mungu akubaliki kwa kazi nzuri unayo fanya

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 місяці тому +5

    Nikumuomba Mungutu kwanza picha ipimwe ikovizuri au . Maana sikuhizi hapana kuaminimtu hovyo hasa haowanchiingine. Mtihani Mungu akulinde makonda

  • @user-wb8nm1wv7j
    @user-wb8nm1wv7j 3 місяці тому +12

    Mungu akulinde Makonda

  • @user-bn1bd1vh5j
    @user-bn1bd1vh5j 3 місяці тому +7

    Safi sana makonda fanya kazi mungu akulinde baba nakuelewa sana ww ndo mabaki ambayo mungu alimjibu eliya amejisazia 50

  • @marystellambogo2820
    @marystellambogo2820 3 місяці тому +12

    Makonda hoyeeeeeeeeeseeee

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 3 місяці тому +5

    Mauwaaaaaa kwamhe Makonda Mauwaaaaa kwa mhe Rais kwakutuletea mhe Mkonda mungu awasimamieni kazizenu

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 3 місяці тому +8

    Huyu makonda kama atajaliwa kuwa na afya njema badae atakuja kuwa kiongozi mkubwa sana siku zijazo

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 3 місяці тому +1

    Mungu akubariki sana Mchungaji na akulinde katika safari yako ya kurudi Burundi

  • @bizomenyimanaelias5455
    @bizomenyimanaelias5455 3 місяці тому +10

    kumbe kakayetu kutoka Burundi yuko vizuli tunakuangalia kutoka makamba Burundi

  • @MedaJeremia
    @MedaJeremia 20 днів тому

    Hata mm nko njian nakuja arusha mungu azid kukurinda katika uongoziako bora africa nzima inagutizama ww kwa mema unaozid gutenda rc makonda mungu azidi kukurinda 🙏🙏

  • @annesmatemu4264
    @annesmatemu4264 3 місяці тому +21

    Kama Burundi wamekubali nyie mnao pinga kunani bwana mwana anatenda

    • @costantinejohn-xn6lw
      @costantinejohn-xn6lw 3 місяці тому +2

      Ukiona mtu anapinga anayofanya makonda jua ni wale mafusadi!!!!

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 3 місяці тому

      Kwa sababu Burundi hawaelewi kitu ndio maana wametuma huyo mtu mjinga

    • @section8ight174
      @section8ight174 3 місяці тому

      @@mataypanga5262mwenzako anaongoza waumini kwenye kanisa lake, wewe je?

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 3 місяці тому

      Mjinga ndo ww naona ni miongoni mwa wale wezi na Wala rushwa ndo maana unampinga​@@mataypanga5262

    • @st.alvincollege6184
      @st.alvincollege6184 3 місяці тому

      Yan mtu ana akili timamu unasema mjinga? Kweli we ni li Tz tabulalasa kabisa

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 3 місяці тому +8

    Nimependa sana huu upendo yaan mpaka nimetokwa 😭😭 ya furaha

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 місяці тому +7

    Huyo mtumishi anajua kuchora yaan ni hatari. Apewe maua yake.❤❤❤

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l 3 місяці тому +10

    Mchungaji upo vzr.

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 місяці тому +3

    Watumishi wa JEHOVAH MUNGU kama Mchungaji huyu wanamkubali Paul CHRISTIAN makonda wanaleta appreciationship zao, lakini kuna mijinga inamponda mara yamuite majina ya ajabu, mara sijui nini, nimeamini mti wenye matunda ndio unapigwa mawe
    Ila binafsi Namuombea sana Paul CHRISTIAN Makonda Aishi maisha marefu na MUNGU AMBAYE NI NIKO AMBAYE NIKO AMFANYE Awe Raisi.

  • @shebbylovemsafi903
    @shebbylovemsafi903 2 місяці тому +1

    Hata Na Mimi Ni muburundi 🇧🇮🇧🇮nipo🇿🇦🇿🇦Ila Kwa makonda hunigeuzi

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 3 місяці тому +3

    Makonda Mungu akulinde

  • @ototek8037
    @ototek8037 3 місяці тому +1

    Makonda hongera kwa kazi nzuri Mungu akuongoze hivyo hivyo.

  • @JailosNiyonkuru
    @JailosNiyonkuru 3 місяці тому +1

    From Zambia big up makonda we love you

  • @manirambona6681
    @manirambona6681 3 місяці тому +1

    Muheshimiwa Makonda Ongera Baba

  • @Didaskamili
    @Didaskamili 3 місяці тому +1

    Asante baba mchungaji kwa kuliona hilo makonda shujaa

  • @edinamwanasenga1584
    @edinamwanasenga1584 3 місяці тому

    Makonda kuwa makini sanaa na watu watakuj kajinala bwana kube cyo❤❤❤

  • @deusmgema8612
    @deusmgema8612 3 місяці тому +1

    Heeeeee Makonda hadi Burundi, jamani acheni Makonda apasue anga

  • @yahayaramadhani6418
    @yahayaramadhani6418 3 місяці тому +1

    Mhe. Makonda Mungu Aku linde sana

  • @user-qb7ej8cp5y
    @user-qb7ej8cp5y 3 місяці тому

    Ubarikiwe mchungaji kwa kuiona kazi ya makonda

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l 3 місяці тому +2

    Mimwenyewè nakupenda Paul makonda kutoka Tanzania 🇹🇿

  • @mengiiblahim4215
    @mengiiblahim4215 3 місяці тому +1

    Makonda oyeeeeeee❤❤❤

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 3 місяці тому +2

    Mwanangu mh makonda yatosha tu kusema MBEBA MAONO WA FAMILIA huwa anateuliwa na mungu , hayumbishwi bali anan’gaa zaidi mpaka anga za mataifa bbyangu mungu azidi kukuonekania tumuone mungu hivyovyo kwako kwa utumishi wako unaomtumikia ktk secta hiyo nyeti ya KURUDISHA vilivyoporwa na wasio na huruma , hata waliporwa ndoa zao bb umewaona kwa jicho la huruma ya kimungu iliyopo ndani mwako ,binafsi nakuombea kwa mungu hicho alichokupatia kisipote bali ufikie hata kuwa pastor makonda ulihubiri neno lake na matendo yake makuu ambayo tunayayona pia kupitia kwako yaliyoshindikana bb unayatatua kwa wema na maridhiano hata kufikia mtu kukiri kwa kinywa kwamba alitenda kosa mungu akubariki na familia yako na mwanao mpendwa kigani christian mungu akamkuze ktk hekima na kimo

  • @ObedLuhwago
    @ObedLuhwago 3 місяці тому +3

    Mchungaji upo vzr

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 3 місяці тому +1

    Makonda mungu akuongoze ufike mbali

  • @user-mp6zd2ui7r
    @user-mp6zd2ui7r 3 місяці тому +1

    Ndugu kutoka Burundi 🇧🇮💚💙💚💙💚💙💙🖤🖤

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 місяці тому +1

    Nabii hakubaliki kwao watu kutoka Burundi wamempa Makonda heshima kubwa sana, asanteni Burundi.

  • @EvarineMdaki
    @EvarineMdaki 3 місяці тому +2

    Makonda haoni haya Kulitaja Jina Kuu la Yesu.

  • @maharagendondo
    @maharagendondo 3 місяці тому +5

    MAKONDA, WEWE NI KIOO NYOTA YAKO INANG,AA SANA HONGERA

  • @user-nh7ie5kz7l
    @user-nh7ie5kz7l 3 місяці тому

    from zaire nie pia penda sana kazi zako Makonda zina ujasiri uthubutu mkubwa wengi wanapewa mamlaka halafu wanaanza kuwaogopa kuburuzwa kuwaabudu wale wanaowaongoza Mungu wewe ni mkuumwangalie Makonda mpatie na ulinzi wako

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 3 місяці тому +1

    Kama mimi uwa Nafatilia kazi zako Na kila upitapo mungu Akutagulie lakin uzifurahie kila kitu unapewa watu wengine zio patina wa mungu zio kila mtu Aafurahishwa na kazi unae wafanyia wananchi wa Arusha

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 3 місяці тому +2

    Namuona magufuli jr to be Kwa mbaaaaali,

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 3 місяці тому +4

    Tunashukuru watu wa Burundi kwa kuliona hilo, lkn Mh Makonda kuwa makini wasijekukuletea bomu hawatabiliki hao. Wasijekutumia njia dhaifu ya pastor

  • @KhamisShangonga
    @KhamisShangonga 3 місяці тому +3

    Mimi naomba mungu amulinde makonda pia rais hamlete mkoa wa mara

    • @esthersissamo1120
      @esthersissamo1120 21 день тому

      😂😂😂 jamani mwacheni mkuu wetu tukae nae Arusha Mungu ibariki Tanzania na wananchii wote

  • @Mkemia..Kirigiti
    @Mkemia..Kirigiti 3 місяці тому +1

    MAKONDO.! MITANO TENA✊

  • @MedaJeremia
    @MedaJeremia 19 днів тому

    Hadi bulundi kwakweri W ndo makonda wanafki na mafsadi wabane choo utazidi kuishi makonda na utazidi kuitwa makonda mpaka mungu apende heshima yako mkuu

  • @barakakitomary2936
    @barakakitomary2936 3 місяці тому

    Nikimuona mh, makonda nahisi magu wetu bado yupo haii,,mola akulinde zaidiii brooh wangu

  • @LukasiAlubart
    @LukasiAlubart 3 місяці тому

    Hongela sana makondo

  • @goodluckswai7496
    @goodluckswai7496 3 місяці тому +1

    Sanaaaa

  • @joycerwabanu5961
    @joycerwabanu5961 3 місяці тому +1

    Mimi pia nampenda makonda sana.

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 2 місяці тому +1

    Watu wenye roho mbaya wanachukia

  • @user-uk6vv8ug1g
    @user-uk6vv8ug1g 3 місяці тому

    Hongera sana

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 3 місяці тому +5

    Rais 2030

  • @filbertmwakatapa7245
    @filbertmwakatapa7245 3 місяці тому

    Makonda tunakuombea sana ulinzi wa Mungu uwe nawe Mungu apigane nao wale wote wanaopigana nawe by Mbeya boy

  • @joctanmtambi895
    @joctanmtambi895 3 місяці тому

    Makonda high up ♥️

  • @YonaLaizer-nt4pc
    @YonaLaizer-nt4pc 3 місяці тому

    Kweli unafaa mpaka nje ya nchi Yako je unajua unadeni la wanaokuchukia jua ni ujumbe umeletewa kama wewe unajijua kua mwaminifu mpaka kufa teteawanjonge TANZANIA nzima MUNGU AKULINDE maadui ni wengi katika kazi Yako familia maisha Yako

  • @user-uw7zb2wx3e
    @user-uw7zb2wx3e 3 місяці тому

    Aya wa tz njooni museme eyi burundi hatujui kiswahili. 😂

  • @bonifacepatrick6679
    @bonifacepatrick6679 3 місяці тому

    Nice

  • @user-gx4vx5ru2u
    @user-gx4vx5ru2u 3 місяці тому

    Makonda hakika umebarikiwa Sana pokea maua yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @CatherineMbatta
    @CatherineMbatta 3 місяці тому +1

    Burundi wamekubali ila kuna mtu mmoja haoni haya mkuu anafanya wataelewa tu

  • @IgiranezaLinda
    @IgiranezaLinda 3 місяці тому +1

    Burundi hejuru 🇧🇮🇧🇮

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 3 місяці тому

    Viongozi wote wangekuwa kama makonda,nchi hii tungekuwa mbali sana kimaendeleo, RIP JPM

  • @HeriEliya
    @HeriEliya 3 місяці тому +1

    Swahili media inawivu kwanini hawakuripiti makabidhiano yalivyofanyika

  • @user-so7iy3uj4y
    @user-so7iy3uj4y 13 днів тому

    Kuwa makini makonda MUNGU akutie nguvu

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 місяці тому

    Allah awatie nguvu tudumishe amani kuabudu kila ana haki ya kuabudu anachokitaka

  • @PiusNjelekela
    @PiusNjelekela 3 місяці тому

    ukisifia boga Sifia na majani yake samia umlinde kijana wako arusha itaongoza kukupa kura Amin nakwambia mother nikuombe msisitizo kwa wengine waige haki itawale nchi hupendi dhuruma mother bgup

  • @khadijakimana8809
    @khadijakimana8809 3 місяці тому

    Makonde, he is a very, very good leader, mfano wakuingwa..from 🇨🇦 🍁

  • @eliudndadeba6193
    @eliudndadeba6193 3 місяці тому

    Hakika nabii hakubaliki kwao. tujifunze kupenda mema.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 місяці тому +2

    Tuoneshe mahojiano yao

  • @sophiamushi54
    @sophiamushi54 3 місяці тому +1

    Me natamani angekuwa kaka yangu maana anatenda haki sana na ana utu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh День тому

      kbs nakuunga mkono kuwa na mtu kama Mh.makonda ndani ya familiya ni raha tupu!

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 3 місяці тому

    Dunia nzima lazima imupende makonda anafa anae Pinga nae atuonyeshe

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 3 місяці тому +1

    Viongozi wengine waige wananchi tunahitaji mtu anayeweza kusaidia watu

  • @TumainiThomas-sg3rd
    @TumainiThomas-sg3rd 3 місяці тому

    Ukitenda vema unapata kibali mh MUNGU AWE NA WEWE POPOTE .MUNGU UWABARIKI NA KUWALINDA WATUMISHI WAKO WOTE POPOTE.

  • @ClementinaPaul-sq9ep
    @ClementinaPaul-sq9ep 3 місяці тому

    Hata mimi nakuunga mko mch

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 3 місяці тому

    Mungu wa mbinguni akikuinua hata wanadamu wafanye nini watashindwa

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 3 місяці тому +1

    Huyuu ndio raisi aje baada ya mama tunataka wachapa kazi

  • @samwel9102
    @samwel9102 3 місяці тому +1

    Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni

  • @LeahCosmasNzoka-po3dr
    @LeahCosmasNzoka-po3dr 3 місяці тому +3

    Lisije kuwa bomu mwee😂

    • @TumainiAkyoo
      @TumainiAkyoo 3 місяці тому

      Mimi pia nina maswali moyoni,
      Umakini uwepo

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 місяці тому +1

      Lazima imekaguliwa na usalama

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 3 місяці тому

    Anajitahidi kiswahiri sana

  • @user-tz8hj1sd5o
    @user-tz8hj1sd5o 3 місяці тому +1

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 3 місяці тому

    Mhe: Makonda unachosema siku zote kuwa ukitenda mema utasifika kwa wema na ukitenda mabaya utasemwa kwa hayohayo. Kauli yako imejidhihirisha kutoka kwa raia wa taifa jingine...HAKIKA UMEBARIKIWA

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 2 місяці тому

    Rais Samia alinde kilichomo ndani ya Makonda Kama vile Makonda alivyomtabiria Rais Samia kuwa silu moja awe Makamu wa Rais ikaja ikatokea na Sasa Ni Rais wa Tanzania: Basi Rais Samia naye amtakie Mema Makonda asisikilize maneno ya Maadui zake:Watu waovu hawapendi watu wema wana nongwa wana husuda wana chuki
    Mungu amlinde Sana Mheshimiwa Makonda nani ajuaye hatima yake baada ya mwaka 2025 na 2030? Ni Mungu pekee ajuaye

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 місяці тому +1

    SASA WARUNDI WANAMKUBAR MAKONDA WHY SS TUSIMKUBALI

    • @user-uw7zb2wx3e
      @user-uw7zb2wx3e 3 місяці тому

      SI munajiendekeza maneno ya Mange kimambi 😂

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 3 місяці тому

    Makonda ni lahis

  • @AidaMosha-nl6ix
    @AidaMosha-nl6ix 3 місяці тому +1

    Mwamba

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 3 місяці тому +1

    Mh.angalia usiletewe virus vya asas sio kila kitu kizuri

    • @madengejr
      @madengejr 3 місяці тому

      Kwa makonda hakuna kibaya kinachoingia

  • @irangamatandura8537
    @irangamatandura8537 3 місяці тому

    Sina shaka na Makonda lkn wanachukia majizi kwa kaz anayofanya Makonda

  • @shabanikimpinga6769
    @shabanikimpinga6769 3 місяці тому

    Tukotunaona

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 3 місяці тому +1

    huna lolote, unataka umaarufu tu.

  • @user-op1rt3zs5s
    @user-op1rt3zs5s 3 місяці тому

    MAKONDA piga kazi 2030 ni wewe wanaopiga kelele wanaona donge.

  • @DiorMabaril-qy6yp
    @DiorMabaril-qy6yp 3 місяці тому

    Makonda jembe

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 3 місяці тому +1

    Imescaniwa hiyo?????????? Mh

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 місяці тому

    Huyo ni tapeli kanunuliwa na kundi la Makonda😂

    • @barakalukeha6184
      @barakalukeha6184 3 місяці тому +1

      Kama ukovizuri ki mawazo je makonda ana kundi lipi!!! La wezi na wavivu anaowapa elimu ya kuwajibika au kundi la wale wanao umia kwa kuwekwa wazi kwa zuluma zao je wewe uko kundi lipi??? Ungependa kuambiwa mapungufu yako?au unachukia kuambiwa mapungufu

    • @user-nx4pb3lk5v
      @user-nx4pb3lk5v 3 місяці тому +2

      Duhhh!!! Duniani Kuna watu wenye chuki , kundi Gani Tena? Kwa hiyo hujaona vile, vilio vyote vya wajane, wazee. Walemavu, kutetewa na Makonda.
      Kama wewe Bado una mawazo ya aina hiyo, basi wewe siyo binafamu.

    • @ezekielmatondane714
      @ezekielmatondane714 3 місяці тому +1

      Kuma ww mnunulie na ww baba yako

    • @barakalukeha6184
      @barakalukeha6184 3 місяці тому

      @@ezekielmatondane714 utakuwa haukosawa in your health ,basi asante ,,afya nikuwa mzima kimwili,,akili na kijamii kunamahala penye shida pole

    • @barakalukeha6184
      @barakalukeha6184 3 місяці тому

      @@user-nx4pb3lk5v ki ukweli makonda kama ana kundi basi anakundi zuri sana na taifa linapata rehema za Mungu kupitia kundi la wote wanao kubali uwajibikaji kama wa kundi la makonda Tanzania nao ni wachache.. lakini wengi wanafanya kazi ilimdradi wafike mwisho wa mwezi bila kuhisi maumivu ya wanyonge wa nao uhitaji msaada wa huduma zao

  • @deusmgema8612
    @deusmgema8612 3 місяці тому +1

    Heeeeee Makonda hadi Burundi, jamani acheni Makonda apasue anga