UA-cam channel: Maggy diary Instagram: Maggy.diary Utapata kujifunza namna ya kuomba chuo Poland, scholarship, namna ya kupata kazi Poland, mahusiano na enjoy lifestyle yake.
Maggie una bahati mshukuru Mungu. Wazungu wanaume wako very shy kum approach mwanamke. Kwanza wanaogopa kutokubaliwa. Huyo ni Mpolo wa aina yake mshukuru Mungu.
Gratulacje Maggy kwa hatua. Nakupongeza.Mimi pia ni matunda ya Warsaw Universty. Nilipomaliza nilifundisha hapo hapo Warsawa University. Kuna Watanzania wengi tu bado wapo hapo ukiwa na tatizo lolote tutafutane. Kwa kupitia Shena nitampa number yangu.Pia waambie ambao hawana kazi wa apply Amazon. Poland kuna Amazon nyingi zimefunguliwa na Wanafunzi wanaruhusiwa kufanya kazi. Process za Amazon ninaweza kuwasaidia pia.
Hongera sana mdada mzuri kwa kuweza kusaka info mwenyewe. Ila agents ni lazima waweke cha juu, ndio SERVICE FEE nao wanasaka ugali wao. Watu wengi sana sana hawajui kutafuta info, Labda kusaidia wengine unaweza pia tengeneza videos kuonyesha watu namna ya kusaka basic information mitandaoni.
Elimu ni bure kwa shule za msingi, secondary kuna kiwango kidogo mnalipia na vyuo mnalipia sio bure. Na hiyo bure sio kwamba hakuna gharama zozote, kuna gharama kidogo mnalipia kama chakula nakadhalika.
Dada Shena, ninakukubali kazi yako kwa jamii. Hapa sipendi niongee mengi, ni mzee miaka yakutosha, nina maoni yangu natamani ningekupata kwa WhatsApp. Je, wapatikana vipi. Yahusu zaidi maelezo ya dada huyu aliyepo Poland.
@@ngwakamongateko8696 utasoma kwa siku moja uelewe siyo jibu hilo yeye nimtanzania aongee kiswahili lugha yetu mama kwenda ulaya siyo kujisahaulisha lugha yako
@@neemaseiler1122 ulaya nimbinguni kwanini hamtaki kuambiwa ongea kiswahili ndiyo wewe si nimtanzania ongea watu wakuelewe siyo kutishia watu eti ulaya huwezi fika wewe ndiyo mwamuzi wamaisha yake au ulaya wako wasomi tu???
UA-cam channel: Maggy diary
Instagram: Maggy.diary
Utapata kujifunza namna ya kuomba chuo Poland, scholarship, namna ya kupata kazi Poland, mahusiano na enjoy lifestyle yake.
Mbona siipati UA-cam channel ya Maggy diary? Please help
Hata mimi @@homeandaway2811
Maggie una bahati mshukuru Mungu. Wazungu wanaume wako very shy kum approach mwanamke. Kwanza wanaogopa kutokubaliwa. Huyo ni Mpolo wa aina yake mshukuru Mungu.
Sheena kupata UA-cam ya huyu dada ni ngumu pls
❤❤❤
Gratulacje Maggy kwa hatua. Nakupongeza.Mimi pia ni matunda ya Warsaw Universty. Nilipomaliza nilifundisha hapo hapo Warsawa University. Kuna Watanzania wengi tu bado wapo hapo ukiwa na tatizo lolote tutafutane. Kwa kupitia Shena nitampa number yangu.Pia waambie ambao hawana kazi wa apply Amazon. Poland kuna Amazon nyingi zimefunguliwa na Wanafunzi wanaruhusiwa kufanya kazi. Process za Amazon ninaweza kuwasaidia pia.
Karibu sana kwa kipindi tupate kujifunza mengi +4367764790884
Naweza kukupataje Annamaria.?
Naomba contact zako annamaria
Hongera sana mdada mzuri kwa kuweza kusaka info mwenyewe. Ila agents ni lazima waweke cha juu, ndio SERVICE FEE nao wanasaka ugali wao. Watu wengi sana sana hawajui kutafuta info, Labda kusaidia wengine unaweza pia tengeneza videos kuonyesha watu namna ya kusaka basic information mitandaoni.
Subscribe kwa UA-cam Channel yake utapata Info : Maggy diary
@@OfficialDatingAssistancenimeisaka channel siipati
Kabisa
Hongera dear Kwa kupata familia nzuri yenye kujali na kuonyesha upendo dhidi yako
Nimeipenda hii interview, naomba nimcheck maana naumiza kichwa sanaa
Hongera sana Maggy. Umeelimisha kisomi vizuri sana. Keep it up.
For sure I like the story
Eeeey mie huyo Poland 🇵🇱 ♥️ 🏃♀️🏃♀️
Very good question? Wengi tu wamekua wakisema hivyo ooh! Kuna agent anapeleka watu poland.
Safi sana dada Shena,interview nzuri
Anaongea kisomi sana hadi raha
Sana yani mnoo, ndio mana ya elimu hii inafungua upeo wa kufikiri. Huyu ndio wale beauty with brains ❤
Ukitaka chuo tafuta Mwenyewe jamani ,Mimi nimepata chuo Australia Kwa kutafuta alone bila hata agent,tuingie mtandaoni tufanye research
Hongera sana, Karibu sana kwa kipindi uwafungue wengine +4367764790884
Sorry, naomba unielekeze nimetafuta sana vyuo lakin nashindwa jinsi ya kuomb
Naomba msaada wa kunielekeza
Nahtaji kusoma australia naomba contact Zako dear
Nimeshaacha hizo story za michango baada ya kuichanga sana tu.
❤
❤❤❤
Hongera
Ndo maana bongo elimu ni ngumu walimu wengi ni wavivu na hawana roho nzuri mishahara midogo zero
Kweli unaongea vizuri
Maggy diary haipatikani.
Probably is Meggy.
Ugumu wa kupika afrika ni mazingira ya jiko, mwanaume uanze kukoreza jiko la mkaa ni ngumu
😂😂
Kwa hiyo inakuwa rahisi kwa mwanamke kukoleza mkaa? Wanunulieni gas basi kuwarahisishia.
Sio kwamba huwa hatupendi ,mazingira tu ulaya wanafua kwa mashine wanaosha vyombo na mashine bado huoni tofauti
Hasante shena kwakutuletea watu ambao sio wachoyo wa elimu nimempenda maggy ameongea kwa uwazi
Kikubwa Kila Jamii ziishi Kwenye tamaduni zake.
🔥🔥🔥
Asante Shena kwa interview nzuri
Mimi huwa najiuliza mbona maisha ya uko yapo juu na elimu ni bure apo inakuwaje?
Wanatozwa ushuru mkubwa mno, hivo hio ushuru inagharamikia masomo
Elimu ni bure kwa shule za msingi, secondary kuna kiwango kidogo mnalipia na vyuo mnalipia sio bure. Na hiyo bure sio kwamba hakuna gharama zozote, kuna gharama kidogo mnalipia kama chakula nakadhalika.
Dada Shena, ninakukubali kazi yako kwa jamii. Hapa sipendi niongee mengi, ni mzee miaka yakutosha, nina maoni yangu natamani ningekupata kwa WhatsApp. Je, wapatikana vipi. Yahusu zaidi maelezo ya dada huyu aliyepo Poland.
+4367764790884
Hiyo michango dadangu
Ni shida
Wahoooo
Ma agent ni wauni wengi
Kweli kabisa
Aunty naoomba namba yako jamani
Kua na fadhila na useme ukweli ulisaidiwa na mTanzania.
Mbona unaongea kingeleza sana sisi atukuelewi ongea kiswahili
Wewe ndo usome English
@@ngwakamongateko8696 utasoma kwa siku moja uelewe siyo jibu hilo yeye nimtanzania aongee kiswahili lugha yetu mama kwenda ulaya siyo kujisahaulisha lugha yako
Wewe ht ulaya hufiki😢

Me too yaani