BABA LEVO AFICHUA MAISHA YA ROMA AKIWA MAREKANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @SharifaMohammed-el3ug
    @SharifaMohammed-el3ug 21 день тому +2

    Wewe baba sio mchoyo kabisa. Mungu akutunze. Ulisema kwenda china si shida Leo marekani. Your exceptional

  • @BenMahende
    @BenMahende 20 днів тому +2

    baba levo niliwahi kumsikia MTU mmoja mkubwa alisema KUWA kati ya watu wenye akili kubwa SANA na wenye IQ ya kipekee wewe ni miongoni mwao. Leo nime prove, HONGERA SANA my brother, I appreciate your talent that you have! My God bless you...!

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 19 днів тому +1

    I can't imagine hii inafanyika huko TZ. Haya watoto wetu endeleeeni

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 20 днів тому +1

    Kwenye interviews kasema is true👌

  • @BenMahende
    @BenMahende 20 днів тому +3

    Ila matanzania buana!! Daah, we MTU yuko anaongea anachokiona na alichokutana nacho, badala ya kujifunza KUTOKA kwake na kufanya utafiti halafu tunamtukana??? DUUH! Mimi sitaki kuitwa mtanzia, ni basi tu.

    • @jackmabirangacharles9398
      @jackmabirangacharles9398 19 днів тому

      Huyo anaye tuka hata hiyo simu anayo tumia kanunuliwa
      Hata kina Hana Kazi kwakuwa ana Bando Basi hata Jambo lamaana kwake anatukana

  • @noellumbael8397
    @noellumbael8397 21 день тому +1

    Huyu jamaa anajua kuongea kwa mpangilio... Safi sana.

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 21 день тому

    Bongo maisha magumu sana ..mm mwenyew ikitokea ishu mambele hapa bongo nitakuja kufa maskini ...

  • @RichWise671
    @RichWise671 20 днів тому +1

    America so nchi ya 1
    Punguza ujinga

  • @MultiMbongo
    @MultiMbongo 22 дні тому +4

    Babu levo story za marekani sasa basi utaonekana kituko,dunia ya sasa ni kama kijiji watu hawajafika huko na wanajua kila kitu

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 22 дні тому +4

    Sioend mareka hiyo ya hovyo sanaa bora niende rusia

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 22 дні тому

      URUSI hakuna diversity iyo unayodhani KWA MWAKA WATU huomba green card ZAIDI ya mil 15 LKN nafani ni 55000 who're you?

    • @jasintherjovinary6213
      @jasintherjovinary6213 20 днів тому +1

      Uwe makini na Urusi ni kati ya nchi zisizopenda Waafrica. Make a research before u decide to fly.

    • @MtanganyikaTanganyika
      @MtanganyikaTanganyika 14 днів тому

      Bwege mmoja tu

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 22 дні тому

    Lakini uko vizuri
    Hiyo haiitwi Wok permit
    Hiyo inaitwa wek. Permit

  • @maverickcreativesolutions8285
    @maverickcreativesolutions8285 21 день тому +1

    Kuna kauli aliongea mwalimu nyerere. Ogopa ujiga, hasa ukifikia level ya upumbavu, huu unabeba na ushamba.. watu kma hawa ni watu wa ovyo kweye jamii

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 21 день тому +1

    Watu waache kutudanganya eti Ulaya hakuna maisha mm kuna washkaji wanatunza bustani tu kule wamejengea wazazi wao Wanamaisha mazuri mm naendesha Boda mpaka makalio yameota sugu sina hata chumba kimoja eti uje uniambie mbele hakuna maisha labda kwako ...pumbavu ..

  • @henrypambisa5483
    @henrypambisa5483 22 дні тому +7

    Mimi naona ujinga bado ni ugonjwa kwa taifa hili yaani leo mtu anaongea ujinga na upumbavu halafu media Zina mpost 😂😂😂 karibu Russia 🇷🇺Utotoe na ujinga huu

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 22 дні тому +2

      Marekani ni taifa kubwa hilo halikwepeki.. na haina mwenyewe, matajiri wakubwa karibu wote duniani wanakimbilia kuishi pale

    • @section8ight174
      @section8ight174 22 дні тому +2

      @@GeorgeElias-p5o Wacha uongo wewe 😂 hamna TAJIRI anaekimbilia kuishi Marekani labda waliozaliwa palepale na hao kila kukicha wanataka kuhama kwasababu ya KODI kubwa sanaaa!! Matajiri wapo kule Monaco, Dubai, Singapore, London, Hongkong NK Sio tu Marekani. Tembea ujionee

    • @alphablondponera2367
      @alphablondponera2367 22 дні тому

      Na wew umefuatilia na kukoment ujinga na umewaingizia pesa

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 22 дні тому

      ​@@section8ight174London sio nchi ndugu. Pia wapo watu wengi wa London wamehamia Marekani. Acha kuongea kijumlajumla. Dunia ni tata kuliko unavyodhani

    • @section8ight174
      @section8ight174 22 дні тому +1

      @@Brunn-mh2bq Dubai Sio nchi vilevile najua nachokiandika! Mabilionea wengi kwanza hawapendi kuishi maisha ya mipaka ndo maana wengi wanaishi kwenye maboti ya kifahari (Yachts) na kwenye visiwa vya kibinafsi (private islands) money = freedom!!

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r 20 днів тому

    Kubwa jinga shamba la marekani mwijaku kaenda huko kisha kakusha kimya na wauni kibao wapo huko kila siku wanaenda na wapo kimya

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 21 день тому

    Uyu. Mpuzi ndo ametoka ivyo japo tunamuona msengeleeemaaa

  • @section8ight174
    @section8ight174 22 дні тому +7

    UPUUZI MTUPU!! MAREKANI SIO MBINGUNI BWANA WEE. TENGENEZENI MAREKANI HAPA HAPA BONGONYOSOO, HIZI AKILI ZA KIUTUMWA FLANI BADO HAJAKOMAA AU HANA EXPOSURE!!!

  • @baligusweeDaniel-rl1cl
    @baligusweeDaniel-rl1cl 22 дні тому

    Exactly bro fact kabisa

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 19 днів тому

    THE super power

  • @peacejunne5037
    @peacejunne5037 21 день тому

    duuh jamani uchawa sio kitu kizuri ila uchawa pia bila elimu hakika ni msiba mkubwa sana kiukweli jamaa uchawa unamuhalibu kweli

  • @SaidHamadiAbdulla
    @SaidHamadiAbdulla 20 днів тому

    Acha usenge wee babalevo ,ushamba umekuzidi,watanzania😂,zungumza mambo muhimu na SI mambo ya nchi ujinga tu

  • @JacksonBayyo-uo3eg
    @JacksonBayyo-uo3eg 22 дні тому +2

    Huyo hajui chochote asikudanganye

  • @LeonardAochi-s6x
    @LeonardAochi-s6x 19 днів тому

    Tumekuona Marekani lakini mambo yamerekani unadanganya

  • @kshayofurniture2941
    @kshayofurniture2941 21 день тому

    Nimesikia tu alkachako lakini cjaelewa what's all about katumia muda wote kuelezea mambo mengine kuliko bidhaa alafu anataka tuzo ya influencer Bora? how? What did influence now?

  • @mtulivuboy
    @mtulivuboy 22 дні тому

    kuna kazi ya kuuza baby oil pia ikakufanya ukaishi kule muulizeni huyo huku kama yalitumika kwa njia gani atawambia ndio muuze vizuri sijataja mtu mjue hapo hahahahahahaha

  • @herbethlukogela7657
    @herbethlukogela7657 21 день тому +1

    Unaitwa kama influencer wa kampuni nyingine.... wewe unataja kampuni nyingine

  • @NassorHassan-o8c
    @NassorHassan-o8c 21 день тому

    Na kwanin wazamie Nchi za Afrika watu wachache ndo wananufaika Nch za mazombi hizi😊

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 22 дні тому

    Huyu Hana akili....

  • @HusseinJamal-v9v
    @HusseinJamal-v9v 22 дні тому +1

    Baba levo ni genious

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 22 дні тому +1

      Genius? Yani kwa vitu hivyo vyote we ujui? Itakuwa sio msafiri wewe yy mwenyewe ajui hapo Amna hata kinachoitaji kusoma kwenye karatasi,, sisi wasafiri tunakutajia vitu vingi ambavyo yy avijui na ajataja kutokea kichwani tu """ yy ndio hivyo kawa balozi wa Silent ocean wamemfanyia kila kitu ndio maana anasema eti uvae suti kwenda kuomba visa,,,, hata uvae pensi cha muhimu ni bank account na kama una mwaliko au kinachokupeleka tu

    • @section8ight174
      @section8ight174 22 дні тому

      @@damianmcba9525 Hapo sasa umenikosha wangu 🧠

  • @NassorHassan-o8c
    @NassorHassan-o8c 21 день тому

    Munataka watu wasiondo mupigane vibomu vya machozi Shwain

  • @Bmsecret
    @Bmsecret 22 дні тому +1

    Baba levo akili zake ndogo sana
    Usa/canada
    Hizi nchi zinaitaji watu
    Wanacho taka uwe ni muhamiaji halal
    Kuna ufafanuzi mwingi vigumu kueka hapa lkn babalevo anaongea pumba tupu

    • @saidimega9615
      @saidimega9615 22 дні тому +1

      Mbwiga uyu anaongea vitu asivo vijua vizuri

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 22 дні тому +1

      Mshamba sana huyu jomba kaka marekani wiki basi anajifanya kamaliza marekani yote 😂😂 acha awahadithie wajomba wenzie wandewa tunamuenjoy tu

  • @DesertTears
    @DesertTears 22 дні тому

    Aulizwe alikutana na machawa wangapi huko😂😂

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 22 дні тому +1

    😂haumfikii DOTO MAGARI kwenye u influencers

    • @section8ight174
      @section8ight174 22 дні тому

      @@angellomarcel5677 Yule Mzaramo, hawamuwezi kwa maneno kama cherehani aisee 😂

  • @NassorHassan-o8c
    @NassorHassan-o8c 21 день тому

    Wew mwenyewe omba omba

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 22 дні тому

    leo umekua afisa ubalozi duu hatar saan

  • @shabasticmwana7425
    @shabasticmwana7425 22 дні тому +1

    Number one

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 21 день тому

    Si ndio huko watu wanalala nje?😂😂afadhali huku kwetu

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 21 день тому

    Nautaka huu mkaa naupataje

  • @mrlongrichlongrichagent1929
    @mrlongrichlongrichagent1929 22 дні тому

    Naomba uwakala wa alikachako

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 22 дні тому

    Sawa wewe umeenda kuchunguza maisha ya wenzko Fanya maisha Yako achaneni na maisha ya watu 2:23

  • @abdulismail6072
    @abdulismail6072 22 дні тому +2

    Yan tasnia ya habar inamsiba mkubwa mpumbavu kama huyu mic zimejaa mezan

    • @GrantMwakalambile
      @GrantMwakalambile 22 дні тому

      Utakoma ulitaka zijae kwako

    • @nicksonnewton1540
      @nicksonnewton1540 22 дні тому

      Wewe mwenye akili ushawahi hojiwa ata shasta

    • @section8ight174
      @section8ight174 22 дні тому

      @@abdulismail6072 Hapo sasa 🤣 ni kama wanaithamini sana Marekani nchi ya ma Pdiddy machoko walivyojazana kule ni kiama aisee! Ebu fikiria mzungu flani akija bongo alafu arudi kwao kweli watamwekea mic kama hizi kumuhoji??? Yaani tuko nyuma sana kifikra, hatujitambui na hatuoni kama tuna hadhi kubwa. Very sad indeed!

    • @Lilmbunah
      @Lilmbunah 22 дні тому

      Hata wew unaweza jaza zaid ya hizo 🎤 endapo utawaandalia bahasha hao wanataka bahasha tu

    • @MasangulaGoa
      @MasangulaGoa 21 день тому

      Hivi huyu jamaa mshamba sana asituletee ushamba watu wameanza kasafiri kabla hajazaliwa au kuja mjini hapa wabongo hawajui huyu jamaa alifikiri tupo nnchi gani marekani hotel ndio kaishia hapo tushatembea sana jifundishe mwenyewe 😢😢😢

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 22 дні тому

    Hii michawa bana

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 22 дні тому

    Bora niende china hakuna maswsli ya kisenge

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 22 дні тому

      Ukiwa china wewe ni mgeni hutokuja kusema wewe ni mchina HATA ngozi YAKO inakukataa LKN marekani ukisema wewe ni marekani uwe black, muarabu au mchina ni sawa

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 22 дні тому

    Number one ni urusi

    • @section8ight174
      @section8ight174 22 дні тому

      @@ZainabuBakari-yb4vj *Tanzania!!! 🇹🇿

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 22 дні тому

      Urusi NAMBA one KWA KIPI? Marekani wana GDP dollar trillion 26. Urusi ni dollar trillion 1.8 URUSI na marekani wapi na wapi?

    • @section8ight174
      @section8ight174 22 дні тому

      @ dolla billioni 26 za kukopa na kuprinti kama makaratasi wapi na wapi? Russia wako na kila madini na mafuta, gesi nk! Russia ina madini yanaitwa CALIFORNIUM, sasa nenda katizame gramu Moja ya hilo dini linavyouzwa utazimia kijana!!!

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 21 день тому

      @@section8ight174 JE unajua kua robo ya uchumi WA Dunia ni marekani?
      Je unajua uchumi WA URUSI unatakiwa kuuzidishha mara 15 kuufikia WA marekani?
      Je unajua kua soko la kibiashara lenye thamani ZAIDI ni la marekani?
      Je unajua Jimbo la California linauchumi mkubwa mara mbili ZAIDI ya uchumi WA URUSI?
      Je unajua California ingekua NCHI ingekua ya Tano KWA uchumi mkubwa DUNIANI?
      Je unajua maelfu ya watu wanatoka sehemu mbalimbali KWENDA kusini WA bara la America ili. Iwe rahisi WAO kuingia marekani KWA njia za panya KWENDA kutafutia maisha?
      Je unajua mwezi huu WA kumi WATU ZAIDI ya mil 15 wamecheza green card lottery kuwania viza 55000 za KWENDA kuishi marekani?

  • @georgeichinge8599
    @georgeichinge8599 22 дні тому

    machine gani yakuonyeaha uongo. fala

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 22 дні тому

    We’re tired hear about this sisi tu naishii hapa we know everything

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 22 дні тому

    Kujua vitu ukubwani ni tabu sana, miaka yote watu wanaenda marekani na kurudi na kitu cha kawaida kabisa, wewe ni mshamba sana

  • @JPSERIESArusha
    @JPSERIESArusha 22 дні тому

    kumb unawezaga kuongea dk moja bila kueka comedy,,,

  • @hassanihamidu8546
    @hassanihamidu8546 22 дні тому +1

    Acha kusifia usenge wewe!!! Hakuna dunia ya kwanza wala ya mwisho, huo ni utumwa na wewe ni mtumwa pumbavu

    • @aggreynsemwa1380
      @aggreynsemwa1380 22 дні тому

      Ukitaka kuja Dunia ya kwanza ipo jiulize kwanini manunuzi ya nje unaotumia dola ya marekani iwe china au nchi nyingine.

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 21 день тому

    Mbona anaongea fact kibao tu,mitusi ya nini!,huo ni wivu wakijinga,mnaona jamaa hana shule ila akiri mingi,wee ng'ang'ania hivyo vyeti halafu uone mwisho wake😂😂

    • @BenMahende
      @BenMahende 20 днів тому

      @@sallyeliya5213 uko vizur ndugu yangu. Uwezo WA kubuni na kufikiri bongo(ujinga) ndio utaendelea kututesa, sasa baba Levo wanamtukania Nini?

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 22 дні тому

    Jinga

  • @raymondmwambete2330
    @raymondmwambete2330 21 день тому

    Jamaa angesoma ni zaidi ya kawaida

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 22 дні тому

    Natamani kwenda urusi