S O L - 5 season II KUSIMAMISHWA KWA UPENDO, SIMULIZI ZA MAPENZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o 3 місяці тому +2

    Maskini Heriii..acha tuonebitakuaje..thanks director ❤

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters 3 місяці тому +2

    Hawa majàmbzi wawili wakifunga ndoa jamiiii imeharibika 😂😂😂😂Jacklin😂😂

  • @RahelKalume-j3l
    @RahelKalume-j3l 3 місяці тому +3

    Nimekaa pale nangoja sehemu ijayo Kheri akianza kulia nimsaidie

  • @asteriakimario9713
    @asteriakimario9713 3 місяці тому +2

    Herrri wetu mungu atakupigania pambana na masomo usije kutoka kwenye mstari elimu kwanza mapenzi yasikutoe hapo ulipo yatakuja tuu baba

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 3 місяці тому +4

    Wakwanza jamani naombeni likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @realdone
      @realdone 3 місяці тому

      Zena mambo uko Milan au...

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 3 місяці тому

      @@realdone ndio we uko wapi?

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 3 місяці тому +4

    Mmmmhhhh ilaa yote yatapita 2

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 3 місяці тому +2

    Hakika simlizi hii ni hatari kweli kweli ngoja tufurahi

  • @MYME-u5d
    @MYME-u5d 3 місяці тому +3

    Daah herry mtalaam wetu hana bahat candy ndan ya siku tatu kamnyima jumba😅na lugiko nae anamsaliti kwa sabb ya pesa haya ngoja tuone itakuwaje

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 3 місяці тому +2

    Lugiqo ameniqumbusha qauli ya matayo anasemaga unatoa wp jeuri ya qusema quwa furani hawezi qufanya hivi😮

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 місяці тому +4

    EID MUBARAK UAE 🇦🇪❤❤

  • @زينزوادي
    @زينزوادي 3 місяці тому +2

    Jamani kunawatu naviwatu kweli 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

    • @asteriakimario9713
      @asteriakimario9713 3 місяці тому

      Jamanie Hawa wabaya wapo kila Kona upitapo Kuna mashambulizi nyuma yako d zauza amukahao woooteni wabaya kwako Kaka nawe Kandi toka usingizini acha yoote yapite ili ujue wakwako anamsimamo na wewe Dada usikubali kuvu ja mahusiano kwa kusikiliza tuu

  • @emmanuelmwatujobe8450
    @emmanuelmwatujobe8450 3 місяці тому +3

    Kama kawa kama dawa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +1

    Pesa mlimpa msimamizi wampira mwisho mwamba alicheza mpiraasasa hiii yapili toeni pesayenuu sijui kama mtafauluu huyu geiko nimekuta nimemchukia gaflaaa mnafikii kweli...hiyoo peas simungepeleka kwanayatima

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 3 місяці тому

    Lugiko Lugiko Lugiko nakwita3 Allah Anakuona masikini Heri usirorijuwa sawa usiku wajiza mapenzi yako yananyemerewa wakiña lugiko muace😭😭😭

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +1

    Kendy umesahau heri alikuambia usiamini maneno upandee mmoja kendy naona moyo wako ukodhaifuuu ba heri utamkosa usipo kuwa makini

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +1

    Pesa ndokilakitu lkn pesa hiyoo haiwexi kuridisha uhai wamtuu.huyu rafiki wa heri akubali AMA asikibali sawa lkn akumbuke upendo wakweli unadumu fanyeni uharibifuu wenu lkn najua huyo heri na kandy damu damu

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 3 місяці тому +2

    🥺🥺🥺🥺🥺

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 3 місяці тому

    Mh!! Hv mtu kama Baissa kwnn anangangania mapenzi

  • @رضيهتنزانيا
    @رضيهتنزانيا 3 місяці тому +2

    Wanne❤