Inauma HUSSEIN JUMBE Wimbo Aliojitabiria KIFO, Nitaogeshwa, Wengine Mtasema Nizikwe TEMEKE....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
    Mwanamuziki mkongwe na maarufu wa Dansi nchini, #HusseinJumbe, amefariki leo 10 Aprili, 2023 katika hospitali ya Amana jijini Dar es salaam.
    Marehemu #HusseinJumbe atakumbukwa kwa nyimbo zake zilizokonga nyoyo mashabiki kama vile #Nachechemea, #Nanikaionakesho, #Isaya, #Kiapo na #MapenziyaSiri.
    Wakati wa uhai wake mwanamuziki huyo nguli amewahi kutumikia bendi za Mara Jazz, Tabora Jazz, Juwata Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mlimani Park "Sikinde", Mikumi Sound na TOT Band.
    Msasa Media tunatoa pole kwa familia ndugu jamaa na wadau wote wa Muziki nchini Kwa kuondokewa na mpendwa wetu ambaye ana mchango mkubwa katika Maendeleo ya Muziki nchini #Tanzania.
    Innalilah wainailah rajhun
    #msibawahusseinjumbe #husseinjumbeafariki

КОМЕНТАРІ • 13