Hussein jumbe- Nipe kitambaa (kilio cha swahiba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 95

  • @muhammadnyaume8415
    @muhammadnyaume8415 11 днів тому

    Pole 😢 Hussein jumbe. Hukupata nafasi ya kumlea mamako mzazi. Pole Sana ndugu yangu na mungu akujaalie pepo na akusamehe madhambi Yako.

  • @salomefelix2052
    @salomefelix2052 3 місяці тому +4

    Jumbe kaka yangu. 2024. Nakuita kaka uko wapiiiiiii!!!!!

  • @salomefelix2052
    @salomefelix2052 Рік тому +5

    Jumbe kama jumbe. Hussein . mwamba WA MUZIKI WA DANSI. Mfia dansi la Tanzania Yetu.apewe tuzo jamani BASATA CHONDE CHONDE...HATA FAMILIA YAKE ITAFARIJIKA KWA NIABA YAKE. JAPOKUWA AMEITWA TAYARI NA MUNGU.

  • @kanyaruchollah
    @kanyaruchollah Рік тому +8

    Pumzika kwa Amani Mzee wetu Jumbe...Jabali la Rhumba Music 🙏

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 Рік тому +4

    Daaah nakumbuka tulikua tunaoshi pamoja temeke mtaa wa TP jamaa alikua mstaarabu sana daaah

  • @leonihugolinmark1181
    @leonihugolinmark1181 Рік тому +5

    R.I.P nguli wa muziki wa rhumba muda mwingi nimekuwa nikiskiliza nyimbo zako wakati nikiwa na mawazo sana na zilinifariji sana

  • @NeemaElibariki-iw6qi
    @NeemaElibariki-iw6qi Рік тому +4

    Nmelia karibu lisaaa limoja nilikuw a cjawah uskia huuu wimbo R.l.p mamayangu 2020

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 3 роки тому +10

    So sad 😢! Kifo kimemchukua Tena rais wetu Jembe,mwamba JPM maskini!Asante Hussein Jumbe kwa burudani yenye huzuni. Napenda sana nyimbo zako

  • @salomefelix2052
    @salomefelix2052 3 місяці тому +1

    Mapenzi ya Mungu yatimizwe.....haumbi tena JUMBE Umelala moja kwa moja ,,,tuendako hatupajui.

  • @sylviaoum2943
    @sylviaoum2943 Рік тому +4

    Nimeutafuta huu wimbo leo hii kuelekea siku ya mama duniani kesho .. huwa naona maneno yako kuhusu mama ni kama umeniimbia mimi..Mama yangu amenitoka mapema sana sana muda ambao nilikuwa namuwazia mema na kumtunza zaidi lkn Mungu ndiye alimpenda zaidi na kumchukua. Ulale salama mama yangu bado nakulilia na nakushuru sana sana. Rest in Peace Jumbe🙏

  • @bulunjamalimikulwa4876
    @bulunjamalimikulwa4876 Рік тому +1

    😭😭, dah! Hata ww leo haupo juu ya huu mgongo wa ardhi. Allahuma ghafirlahu yaa rabbil-alamiin, machoz yamenitiririka hata mm kwakua sikujui niendako na mm nasikia hivohivo kua panagiza matendo yako mema ndo mwanga wako.

  • @user-ry2vl3yg2y
    @user-ry2vl3yg2y 7 місяців тому +1

    Kama ulikua unajua. Nahuu wimbo utadumu sana ujumbe mzuri sana. Mungu ailaze roho Yako peponi

  • @yusuphnyarugezi4750
    @yusuphnyarugezi4750 Рік тому +2

    Pumzika Jumbe!!!,No way.

  • @muhammadnyaume8415
    @muhammadnyaume8415 11 місяців тому +1

    Rest in peace legend Hussein. Heads up from Nairobi Kenya umoja peackock.

  • @Chida
    @Chida Рік тому +4

    Punzika kwa amani mzee wetu Jumbe

  • @OliverNyoni-lj9un
    @OliverNyoni-lj9un Рік тому +2

    Mungu ailaze roho ya marehemu hussein jumbe

  • @kingwasalasala2505
    @kingwasalasala2505 Рік тому +2

    Mwamba mwingne wa dansi amelala..dah jumbe r.i.p bingwa

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 років тому +3

    Pole baba kwel una simanzi ila kazi ya Mungu haina mokosa wimbo mzr hakika mdondo mlikua hamna mpinzan

  • @mwalimudotto844
    @mwalimudotto844 2 роки тому +2

    Hongera hussein jumbe kuwakumbuka wanamuziki wenzio walio.twawafu

  • @justinsamwel4946
    @justinsamwel4946 Рік тому +3

    Dah! Kweli Kifo ni chetu Yani uliipa kifo leo unakufa wewe dah😭😭

  • @rashidichambo5507
    @rashidichambo5507 Рік тому +2

    Ulilia maswahiba zako leo umewafwata R I P hakika ulikijua kifo chako

  • @ObaMizo-oc1wq
    @ObaMizo-oc1wq 27 днів тому

    Huu wimbo una majonz sana

  • @juliustweneshe5150
    @juliustweneshe5150 5 місяців тому

    Ni mfano mzuri wa wanamuziki waliokuwa wanatumia kipaji, utaalamu na umakini katika tungo zao. Mungu Aluweke mahala Pema Peponi. Amina

  • @user-ec3rg3sk8x
    @user-ec3rg3sk8x Рік тому +2

    Pumzika kwa amani mzee jumbe

  • @user-mx6hk8ez1m
    @user-mx6hk8ez1m Рік тому +1

    ❤ napenda sauti

  • @sizyajuma1801
    @sizyajuma1801 Рік тому +2

    pumzika kwaamani, baba, yangu, mzazi 😭😭😭😭😭

  • @ridhiwanmwakasie7009
    @ridhiwanmwakasie7009 Рік тому +1

    Hatimae kifo kimekuchukua Allah akupe mwisho mwema

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 6 років тому +4

    Ubarikiwe Mzee Jumbe,ujumbe ni mujarabu hauwezi kufutika....Kunta...Kinte.

    • @alfredmambo5240
      @alfredmambo5240 4 роки тому +2

      Mzee wa KIVINDO...kazi nzuri sana.

    • @mohamedkarish2646
      @mohamedkarish2646 3 роки тому +1

      Wooote wenye vipaji wametangulia, umebaki wewe na mzee bitchuka ooh!! Vipaji vingi vimetàngulia

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому +1

      Hiyo kunta kinte Sina mbavu uwiiiiiii😂😂😂😂😂

  • @jacksondismas4109
    @jacksondismas4109 Рік тому +1

    Dha hii nyimbo inanikumbusha kifo cha pacha wangu ..R.I.P PACHA WANGU ERICK ...NA R.I.P JUMBE

    • @user-kh7mx7up4w
      @user-kh7mx7up4w 8 місяців тому

      Pole sana kazi ya Mungu haina makosa Mungu awasamehe ndugu zetu vipenzi vyetu walitangulia mbele ya haki

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 2 місяці тому

    Jumbe uko wapi

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 4 роки тому +2

    Sichoki kuusikiliza huu ujumbe masikio mwangu maana kifo ni jambo letu sote halina ubaguzi hata kidogo....Kunta...Kinte.

  • @user-dv7nn6qn8n
    @user-dv7nn6qn8n Рік тому +1

    Mwendo umeumaliza kapumzike kwa amani

  • @walternnko2811
    @walternnko2811 5 років тому +3

    Bonge ya rhumba, Jumbe nakukubali sana

  • @arambawaziri1252
    @arambawaziri1252 Рік тому +1

    Upo wapi? MAMA na BABA yangu 😭😭😭 kifo cha sasa kama Upepo😭😭😭 R I.P Jumbe

    • @user-kh7mx7up4w
      @user-kh7mx7up4w 8 місяців тому

      Pole sana ndugu kazi ya Mungu haina makosa Mungu awasamehe ndugu zetu vipenzi vyetu walitangulia mbele ya haki

  • @idrisalubwaza3028
    @idrisalubwaza3028 Рік тому +1

    HUSENI MM NAOMBA RIDI HIYO UIRUDIE USHIRIKISHE WENZIO NANGIAA RIKO SIOO

  • @user-to4yx2lw7x
    @user-to4yx2lw7x 3 місяці тому

    Hussein jumbe mungu akusamehe dhambi zako bado tunakukumbuka sana👏

  • @selemanbuluba6146
    @selemanbuluba6146 Рік тому +1

    Old is gord

  • @shabanmohammed3439
    @shabanmohammed3439 Рік тому +1

    Pumzika kwa aman jumbe tutakukumbuka Daima

  • @user-wx2ul5yc3u
    @user-wx2ul5yc3u Рік тому +4

    rest in piece legend

  • @user-sp7ri3yf3t
    @user-sp7ri3yf3t 5 місяців тому

    Daa jamani R, I, P

  • @HasnaMpakanjia
    @HasnaMpakanjia Рік тому +1

    Sisi ni wa Allah na kwake tutarejea.....

  • @rahmapelembela-oq4yd
    @rahmapelembela-oq4yd 4 місяці тому

    Mungu akuondolee adhabu ya kaburi nimekukumbuka sana shemeji❤

  • @mudikiongozi9505
    @mudikiongozi9505 2 роки тому +1

    Dah ama kweli kifo hakina huruma tuwaombee ndug zetu walitangulia

  • @user-yz8ux4qu8h
    @user-yz8ux4qu8h 9 місяців тому

    Mara ya kwnz nauckia uu mwimbo ulikua mwez km wa6hv yn ilikua mda wt nauckilza kumbe naenda kupata majib kwnn niliupenda nenda Mama watoto wang😂😂😂 cku mj tutakutana tn Aziza upo wap mama angu b Abiba upo wap nalia mm nalia ❤❤❤❤

  • @jafarihamis7728
    @jafarihamis7728 Рік тому +1

    Pumzika kwa amani hussein jumbe😢😢

  • @abouayman8713
    @abouayman8713 Рік тому +1

    Dunia njia tuuuu ap tusijisahau

  • @user-rh4ec2zu4l
    @user-rh4ec2zu4l Рік тому +1

    Rip jumbe

  • @jacksondismas4109
    @jacksondismas4109 Рік тому

    Mwamba alikuwa anajua hatari R.I.P

  • @user-mh5mx1kn8j
    @user-mh5mx1kn8j 9 місяців тому

    Mungu akuweke mahari pema Pepon mwamba

  • @kondonassoro26
    @kondonassoro26 2 роки тому +1

    Du Kweli duniani tunapita

  • @isayamgaya1934
    @isayamgaya1934 Рік тому

    Daaaah pumzika Kwa amani mwamba

  • @suleimanhaji7057
    @suleimanhaji7057 Рік тому +1

    Nimeiangalia nyimbo ya Ajali ukiwa na Msondo.Nimejua kwanini Msondo walikukodi

  • @captainmkumbara4645
    @captainmkumbara4645 Рік тому +1

    Kweli ardhi imekula watu😰😰😰

  • @jpbizoza
    @jpbizoza Рік тому +2

    RIP Jumbe

  • @hassanbaraza1165
    @hassanbaraza1165 Рік тому +1

    Inna lilahi wainna ilahi rajiun

  • @PShayo-or3ox
    @PShayo-or3ox Рік тому +1

    R.I.P Hussein Jumbe

  • @mackmgaya8808
    @mackmgaya8808 Рік тому +1

    Rest in peace mzee wetu😭😭

  • @MonahBae3-lw1xp
    @MonahBae3-lw1xp Рік тому

    Pumzika kwa amani jumbe

  • @judithmdami41
    @judithmdami41 Рік тому

    y
    ooo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому +1

    R.I.P 🙏

  • @timotheontibayaga-lq2xx
    @timotheontibayaga-lq2xx Рік тому +2

    Watanzania wanafiki wakubwa alipo kuwa hai mlikuwa hamusapot kaz zake kafa ndo mnajifanya mnafutilia

    • @reginadaud9909
      @reginadaud9909 Рік тому

      Ni kawaidaa hata adui yako akifa utajikuta unampenda ghafla kifo ni kifo

    • @judithmdami41
      @judithmdami41 Рік тому

      Duh Jamani H. Jumbe tutamkumbuka Daima..

  • @selemanshidda9688
    @selemanshidda9688 2 роки тому +1

    Watanzania tumerogwa! Htuna mziki wetu! Ni kuiga tu! Hili ni Rumba la Congo. Kilchobadirika hapo ni lugha tu,kuimba Kiswahili. Sisi Watanzania ni wehu kweli! Hakuna hata mwanamziki yeyote Wakitanzania anayefikiria kubuni mziki wetu! Hii ni laana!

  • @user-vd6wp4tj8k
    @user-vd6wp4tj8k Рік тому

    Huseni jumbe

  • @manjaruu1575
    @manjaruu1575 Рік тому

    Pumzika jumbee

  • @salvatorybangi2151
    @salvatorybangi2151 Рік тому +3

    Pumzika kwa amani Hussein Jumbe 😭😭😭

  • @user-to4yx2lw7x
    @user-to4yx2lw7x 3 місяці тому

    2024

  • @gervasmorand456
    @gervasmorand456 Рік тому +1

    Pumzika kamanda,hakika sauti yako tutaikumbuka sana, mbele yetu tuko nyuma yako tangulia kamanda.

  • @reginajacob7122
    @reginajacob7122 Рік тому

    Y
    Bhai
    H

  • @johnsonpatianus7583
    @johnsonpatianus7583 10 місяців тому

    😢

  • @twaharashidi1103
    @twaharashidi1103 3 місяці тому

    Rip

  • @davidlukumay2226
    @davidlukumay2226 Рік тому +1

    😢😢😢😢😢😢

  • @benbinburkard8294
    @benbinburkard8294 2 роки тому +1

    👋👋👋

  • @zainabramadhan6927
    @zainabramadhan6927 Рік тому +1

    😭😭😭

  • @selemanshidda9688
    @selemanshidda9688 2 роки тому

    Watanzania tumerogwa! Hatuna mziki wetu! Ni kuiga tu! Hili ni Rumba la Congo. Kilchobadirika hapo ni lugha tu,kuimba Kiswahili. Sisi Watanzania ni wehu kweli! Hakuna hata mwanamziki yeyote Wakitanzania anayefikiria kubuni mziki wetu! Hii ni laana!

  • @tinasundown4333
    @tinasundown4333 Рік тому

    Rip legend

  • @zuberimaruma.-ih6bf
    @zuberimaruma.-ih6bf Рік тому +1

    Rip

  • @zuberimaruma.-ih6bf
    @zuberimaruma.-ih6bf Рік тому

    Rip