DDC Mlimani Park - Edita

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Zilipendwa from Mlimani Park Orchestra Wana Sikinde Ngoma Ya Ukaye with this song Edita sang by Hassan Rehani Bitchuka

КОМЕНТАРІ • 114

  • @mawazochanya2081
    @mawazochanya2081 5 років тому +10

    Mtunzi ni Bitchuka. Aliimba na Kinyasi. Solo ni Mkanyia. 2Solo ni Mharami Saidi na Rythm ni Gama. Bass alipiga Mzeru. Hawakutumia Trumpets humu walitumia Sax tatu tu. Walipuliza Juma Town, King Enork na Joseph Bernad. Drum ni Jeff na Tumba Jamwaka. Wimbo ulirekodiwa RTD 1982.Kwa mujibu wa Adam Zuberi wa Uhai Fm

  • @kennethonyango8906
    @kennethonyango8906 11 років тому +13

    Inanikumbusha utoto wangu tukikuwa Mombasa mtaa mmoja unaitwa Tononoka. Baba akiwa fundi wa randa jioni na marafiki zake. chozi limenidondoka aisee.

  • @frankmakwahiya5202
    @frankmakwahiya5202 Рік тому +2

    hatari na nusu, miaka hiyo shule ya msingi karume, magomeni mikumi, enzi za mwalimu mkuu MACHANO.

  • @MrButamu
    @MrButamu 5 років тому +8

    Nikisikiliza ngoma zinazochezwa siku hizi hata sijui niseme nini! Good ol' days.

  • @denisyohana3574
    @denisyohana3574 Рік тому +1

    Nan anasikiliza good music 2023

  • @davidzacharia2373
    @davidzacharia2373 5 років тому +7

    Bitchuka hatari sana aisee nimekulia toka mdogo nyumba ya tatu toka kwake anapoishi sinza E....hadi Leo najivunia sana kama shabiki yake,mwanae,jirani. ...nilivyokua mdogo sikujua tofauti yake nilikua nashangaa wakubwa wakimsimulia tuu...ila baada ya kuwa na akili na kutafakari nyimbo na sauti yake hadi leo sichoki kuzisikiliza.......nipo Holland sasa mbali na nyumbani ila nikisikiliza nyimbo zake najiona nipo Tanzania ya miaka ya 90's...nakumbuka kila kitu cha mtaani...I miss those moments

  • @mapimwankemwa6778
    @mapimwankemwa6778 9 років тому +19

    Edr 1882, Bichuka alianzia muziki Arusha, kabla Gurumo hajamchukua na kumleta Msondo, ambako aliimba sana, baadae Akaja kwenda Sikinde na kina Mwanyiro, Omar Dulla na Juma town. wakati huo Gurumo kashatangulia Sikinde kumfuata Baltazary, aliyekuwa Jamhuri JAzz tanga nadhani kisha Kilosa Jazz kisha Msondo kisha akaenda Dar international kisha kwenda anzisha Sikinde..Bichuka kweli baadae akatoka Sikinde akaenda OSS ya Ndekule na kina Gurumo, Makunguru, Ngosha na Benno villa ambaye baadae alirudishwa haraka Sikinde, kisha Bichuka akarudi tena Sikinde, kisha Msondo na sasa katuliza Sikinde home

    • @swalehkoja7868
      @swalehkoja7868 8 років тому

      1882?

    • @mapimwankemwa6778
      @mapimwankemwa6778 8 років тому +2

      Huyo Ed 1882 ndio anavyojiita, nilikuwa namjibu Ed 1882

    • @swalehkoja7868
      @swalehkoja7868 8 років тому +2

      ok nimekuelewa kaka.

    • @patricksagai873
      @patricksagai873 7 років тому +3

      nimependa unavyojua history ya hasan bichuka mkuu.Hizi zilikuwa hazina za tzd mkuu

    • @kijokombao5345
      @kijokombao5345 5 років тому +1

      Vipi kuhusu shaaban Dede yeye alianzaia sikinde au alikua msondo?

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 роки тому +4

    Waking up to this all the way from England I miss Tanzania 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧💯💯❤️

  • @mbarukumkali2691
    @mbarukumkali2691 9 років тому +5

    Hizio ndio nyimbo bhana zina maadili na zina ujumbe wenye kueleweka

  • @masikasimiyu
    @masikasimiyu 3 роки тому +5

    What a gifted man !!!!!.......guitarist and leader...... Hassan Bichuka

  • @user-od6wn9qt7d
    @user-od6wn9qt7d 4 місяці тому

    Mimi ni timu Sikinde ngoma ya ukaye ( Nyumbani)

  • @user-rj8hy4hb7m
    @user-rj8hy4hb7m 7 років тому +3

    Inanikumbusha kwenye utoto wangu 1982 nikiwa kijiji cha mkinga mkoa wa tanga! hivyo ndivyo vitu

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 роки тому +5

    Good memories in the past, was a great time ooh the good times will never come back again.😭

  • @liundikhalifa7715
    @liundikhalifa7715 7 років тому +5

    Hakika nyimbo hizi zinanikumbusha DDC Keko tunasakata Nginde na akina MZEE Agadi MWL Uzengo

  • @m.mwakivuma8306
    @m.mwakivuma8306 6 років тому +2

    Inanikumbusha ujana wangu pale DDC Kariakoo jijini Dar es Salaam midomo ya bata na rhythm guitar ni balaa mwili unasisimka

  • @matronafrank9838
    @matronafrank9838 2 роки тому +1

    Yes mambo ni haya

  • @samsonjoram6332
    @samsonjoram6332 7 місяців тому

    My all time favorite since the days of my schooling

  • @mwana4599
    @mwana4599 Рік тому +2

    Woow. So nice.

  • @MrSinafungu
    @MrSinafungu 14 років тому +4

    hazitorudi tena enzi kama hiziii , maisha yalikuwa mswano .

  • @user-od6wn9qt7d
    @user-od6wn9qt7d 4 місяці тому

    Sauti ya Maalimu Kinyasi acha tu bwana pia hiyo solo ya Nkanyia

  • @philonchimbi07
    @philonchimbi07 11 років тому +2

    Naamini ddc bado nibendi bora tz recodi hii utamu wake hautakuja isha bigup ddc

  • @edgarliheluka5097
    @edgarliheluka5097 10 років тому +3

    Huu ni umtambulisho muhimu sana unaoonesha ubunifu, ufundi na vipaji vya kazi za sanaa za Kitanzania/Kiafrika kwa nyakati zake. Kwa wote wenye mapenzi mema, washabiki, wapenzi na wote tuwe tayari kuzihifandhi kazi hizi kwa ubora wa hali ya juu kwa watakaofuata baada ya vizazi vya sasa.
    Nawapongeza wote waliotumia muda wao wa thamani kwa namna yeyote katika kufanikisha kazi hizi na hata sasa tunazifurahia. Nawatakia kheri mashabiki na wapenzi wote wa aina hii ya muziki wa Kitanzania/Kiafrika. Binafsi mimi ni miongoni mwa mamilioni ya wanaukubali na kuuelewa muziki huu. Miziki hii ilinilea wakati wa makuzi yangu.

    • @ceragemhealthcare5793
      @ceragemhealthcare5793 9 років тому +1

      Edgar Liheluka Nkubaliana nawe ndugu nikiwa hapa Kenya, Hassani Bitchuka ni msanii wa kuheshimika. Asanteni kwa kuhifadhi utamaduni wenu

    • @alexlushinge6693
      @alexlushinge6693 8 років тому

      download kwenye yangu

    • @shabanimketo2707
      @shabanimketo2707 7 років тому

      Alex Lushinge

  • @pishochieng
    @pishochieng 11 років тому +5

    My friend even me am lookin for that Christina Moshi. ilikua wimbo tamu sana. Lakini hata hii inayocheza hapa ni tamu sana na pia inanikumbusha utoto wangu mjini Nairobi.

  • @Balingilaki
    @Balingilaki 5 років тому +1

    yaani nyimbo za SIKINDE huwezi choka kusikiliza

  • @marko12154
    @marko12154 12 років тому +4

    remembering them good old days!

    • @abelnyenze6548
      @abelnyenze6548 4 роки тому

      Huu wimbo unanikumbusha mbali kipindi hicho niko mozambioi

  • @teclagama452
    @teclagama452 5 років тому +2

    akina Edita wapo wengi Sana

  • @salumkyelula443
    @salumkyelula443 Рік тому

    Sikinde ngoma ya ukae 😢

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 9 місяців тому

    Super stereo Hassan Bichuka sauti tamu mnoo ugua pole mzee wangu nasikia vitu vya King enock

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 2 роки тому

    Tosheka na lako Mola kapangia wewe, Edita. Uwezi kumeza ulimwengi kwa kinywa Moja. Lazima kutafuna kwa mwiondoko! Dr. Ogeto International

  • @samwelmwanga254
    @samwelmwanga254 8 років тому +2

    Hizi nyimbo zinaniburudisha sana.Mwanga wa Maswa.

  • @mustaphabomba4031
    @mustaphabomba4031 5 років тому +2

    Hongera sana wanasikinde

  • @salumkyelula443
    @salumkyelula443 Рік тому

    Duu hapo music ilikuwa music 🎶 kweli kila kitu unasikia
    Mpangilio wa Saudi na vyombo hatari sana
    Wapi tunakwenda na music wa sasa

  • @shelmithmakau9610
    @shelmithmakau9610 12 років тому +1

    haya basi milio ya sikinde bila shaka...yatuliza si utani

  • @ibrahimkipanje5862
    @ibrahimkipanje5862 7 років тому +1

    when the music was real music...kila chombo kikipigwaa au kupulizwa kwa ustadi usio mithirika....tzdboy tuwekee ule wimbo wa baba janee baibai,sikumbuki bend gani imeimba...huwa nakumbuka mbali sana kupitia nyimbo hizi ..daah siku zinakwenda mbio sana..

  • @alisabatia7434
    @alisabatia7434 6 років тому +2

    Ukishika mawili yote huponyoka. Wamama mridhike mjenge maboma, wazee ni wakutangatanga. Good and moralising for those who care.

    • @alisabatia7434
      @alisabatia7434 6 років тому

      Mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhh, ,,,,,,,,,.......

  • @sabrinahkizzer5245
    @sabrinahkizzer5245 7 років тому +2

    zamani raha sana saut ya bichuka inanikosha

  • @naleelias4302
    @naleelias4302 11 років тому +2

    Ama kweli sikinde siyo mchezo,

  • @veronicakiswaga8304
    @veronicakiswaga8304 8 років тому +1

    Inanikumbusha enzi za uhai wa mamaangu mzazi

  • @johnsonwaithaka5591
    @johnsonwaithaka5591 Рік тому

    The best songs ever ,l like all zilizovuma s...... guitar s and......

  • @zadokpseret7639
    @zadokpseret7639 9 років тому +3

    wimbo ulio na fundisho tosha

  • @kennethbahebenginilla1657
    @kennethbahebenginilla1657 2 місяці тому

    Hukuridhika mpaka umemleta kwangu,wakati nilipokuwa kazini

  • @sabrinahkizzer5245
    @sabrinahkizzer5245 7 років тому +2

    zamani raha sana saut ya bichuka

  • @bensonnyakoiro1541
    @bensonnyakoiro1541 5 років тому +1

    Enzi zile KBC radio mziki wa adhuhuli ulikua unateza kuteza.

  • @augustinemhanga5530
    @augustinemhanga5530 6 років тому

    Am just crying, ni kipindi nilikuwa na matatizo makubwa ya kimaisha.... Dah Ilikuwa giza mbeleni

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 4 роки тому

    Jamani nimetafuta ile mama na mama nipeni democracia ya mapenizi nayomba

  • @shabanmzee5659
    @shabanmzee5659 8 років тому +2

    Increase mlimani park songs such as Esta, kitendawili, mkataa pema and alot more.

  • @zombazezu
    @zombazezu 8 років тому +5

    Huu ni uhondo si mchezo
    ....Lakini leo nimeamini kipenzi Edita,,,,,,,,,

  • @mahmoud6617
    @mahmoud6617 6 років тому +1

    Inanikumbusha enzi vijana wa zamani

  • @naleelias4302
    @naleelias4302 11 років тому +1

    Hongera sana, nilikuwa natamani niwaone live lakini sikuweza, naomba kama kuna mtu aliye na wimbo fulani, nimemsahau mtunzi na bendi yake,lakini nakumbuka baadhi ya maneno katika wimbo huo kama ifuatavyo: Nilipofika osterbay yule kijana alinipatia rift!!! Kinachonishangaza siyo rift mama watoto ni tabasamu na vicheko vilivyokuwemo ndani gali.....

  • @alisabatia8612
    @alisabatia8612 2 роки тому

    Mufti. Nikitoka kazini sikukuti. Mmmmm

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 2 місяці тому

    Hapo solo ya Abel Baltazar ,rythim Gama na bass mwanyiro

  • @kennethkamau93
    @kennethkamau93 7 років тому +3

    the grand 80s

  • @faisalyasin6534
    @faisalyasin6534 8 років тому +2

    Inanikumbusha Secondary school..... Thika Kenya

  • @robin_MMM
    @robin_MMM 6 років тому +4

    wahenga naomba kufahamishwa ni nani aliyepiga solo guitar kwenye wimbo huu maana guitar limecharazwa kwa ustadi sana.

    • @rajabupongwa5150
      @rajabupongwa5150 5 років тому +3

      Mkanyia ndie aliyepiga solo.

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 5 років тому +3

      Solo ya Henry Mkanyia hiyo
      Rythm guitar ya Saidi muharami
      Bass guitar ya julias mzeru

    • @mawazochanya2081
      @mawazochanya2081 5 років тому +4

      Mtunzi ni Bitchuka. Aliimba na Kinyasi. Solo ni Mkanyia. 2Solo ni Mharami Saidi na Rythm ni Gama. Bass alipiga Mzeru. Hawakutumia Trumpets humu walitumia Sax tatu tu. Walipuliza Juma Town, King Enork na Joseph Bernad. Drum ni Jeff na Tumba Jamwaka. Wimbo ulirekodiwa RTD 1982
      According to Adam Zuberi gwiji wa Uhai Fm radio

    • @ayshaysh3326
      @ayshaysh3326 5 років тому

      @@mawazochanya2081 asante sana

  • @georgemchalumbi5008
    @georgemchalumbi5008 4 роки тому

    Kipindi hicho watu tulikua na amani kabisa magonjwa ya mlipuko ambayo leo yanaleta hofu hatukuyasikia mara ebora sijui mafua ya ndege nk

  • @jumamnyema6263
    @jumamnyema6263 Рік тому

    Zilipedwa

  • @mohamedrajabu9919
    @mohamedrajabu9919 12 років тому +1

    niliwashuhudia jamaa siku hiyo, hakika ilipendeza sana. Nawapenda OTTU na SIKINDE; lakini nawapenda zaidi SIKINDE ngoma kubwa!!

  • @flowila82
    @flowila82 9 років тому

    si mchezo kipenzi Edita hatulii kwa shangazi mitaa ya kariakoo, Sauti ya bitchuka, Hamisi juma na wana mlimani park

  • @sultaniabdallah5621
    @sultaniabdallah5621 6 років тому

    safi naomba tumwimbie mwalim wa cosmas chidumule (sikinde)

  • @sangomamourice3251
    @sangomamourice3251 5 років тому +1

    kifupi asante

  • @alutawa5599
    @alutawa5599 6 років тому +1

    aah kipenzi editha

  • @gabrielmzomkunda4881
    @gabrielmzomkunda4881 7 років тому

    Gurumo akumchukua bichuka ..ila mzee manela ndiyo aliyemleta bichuka tola kwao kigoma

  • @kennethbahebenginilla1657
    @kennethbahebenginilla1657 2 місяці тому

    Nitokapo kazini sikukuti,nikuilizapo ulikuwa wapi?unasema ulikuwa kwa Shangazi Kariakoo,kumbe una wako wa pembeni mpenzi Edita,imenikumbusha mitaa ya K'koo kitambo miaka ya 90's RTD unaisikia hii nyimbo ikipigwa.

  • @hadijabrown
    @hadijabrown 14 років тому

    mimi nilifikiri only brazil wanawake wanatombesha kiumbe hata bongo nako sio mchezo basi

  • @wazaziwanguniwakali
    @wazaziwanguniwakali 11 років тому

    Said ndani ya Drums jaamani hebu nambiwe wapi huyu jamaa aliko.

  • @papaogutu
    @papaogutu 10 місяців тому

    Bitchuka kustaafu,pigo kwa muziki wa densi

  • @Yasiii12345
    @Yasiii12345 12 років тому

    nizama zawazeee wameenda mble yamola na sisi tuko safarini ...

  • @twilamtumbi949
    @twilamtumbi949 9 років тому +1

    Mapinduzi 1882 mhhh

  • @user-op4wb3lf9f
    @user-op4wb3lf9f 6 років тому

    Inanikumbusha nikiwa shule ya msingi mkinga mkoa wa tanga

  • @ramadhanimbuguro228
    @ramadhanimbuguro228 Рік тому

    Àpp

  • @jmkwanzatv5363
    @jmkwanzatv5363 6 років тому +1

    Uyo aliyesema alitamani kuwaona live lakini hakuweza sijui alimaanisha band haipo tena au ?ok band hipo na wanamuziki wapo hata uyo bichuka yupo fuatilia tu kila j pili,ijumaa na j mosi utaambiwa wapo wapi

  • @gabrielmzomkunda4881
    @gabrielmzomkunda4881 7 років тому +1

    sorry i mean mabela

  • @danielwadegu6844
    @danielwadegu6844 10 років тому

    Bro, Christina Moshi sasa ipo! Nilikuwa 'Janduma' kwa account ya a awali!

  • @DaveFlynnComposer
    @DaveFlynnComposer 4 роки тому +1

    The guitar playing on this track is really beautiful. Can anyone tell me the names of the guitarists?

    • @khamissalum431
      @khamissalum431 4 роки тому +1

      Abel batazar na Suleiman mwanyiro

    • @khamissalum431
      @khamissalum431 4 роки тому

      Suleiman mwanyiro na Abel batazar

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 Рік тому +1

      Kwenye huu wimbo solo kapiga Henry Nkanyia, rrythim kOiga muharram saidi ,na bas kapiga julias mzeru hii ilikuwa 1982

    • @alfredmuna7390
      @alfredmuna7390 Рік тому

      Solo guitar limepigwa na Henry Mkanyia

  • @saidachekaaali1307
    @saidachekaaali1307 7 років тому

    Huyu mpigaji wa solo guitar kwa jina ni Michael "Spoiller"?Nae ni marehemu ama?
    Sababu huyu alioko sasa kwenye Sikinde kwa kweli upigaji wake hauna mvuto kama wa huyu hapa.Huyu SPOILLER jinsi anavyocharaza hizo nyuzi,inakufanya utake kuuskiza huo wimbo hadi mwisho na pia uupende huo wimbo.

    • @aloycetemba8652
      @aloycetemba8652 7 років тому

      SAID ACHEKAA ALI solo ni Henry Mkanyia

    • @hassanally2836
      @hassanally2836 6 років тому

      Aloyce Temba siyo Batheromeo Timothy Mulenga?

    • @mathewmunthali3684
      @mathewmunthali3684 3 роки тому

      Joseph Mulenga ndiye "King Spoiler', huyo Michael Enock ni 'King' au 'Teacher'

  • @sabrinahkizzer5245
    @sabrinahkizzer5245 7 років тому

    zamani raha sana saut ya bichuka inanikosha