HIZI NDIO DALILI ZA MTU | MWENYE MAJINI | SHEIKH SHARIF MAJINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • HIZI NDIO DALILI ZA MTU | MWENYE MAJINI | SHEIKH SHARIF MAJINI
    #MasjidMtoroTv #Sharif_Majini

КОМЕНТАРІ • 59

  • @emillyremigius.4941
    @emillyremigius.4941 2 роки тому +7

    Jina la Yesu lashinda majina Yote. Bwana uokoe ulimwengu wote kwa dam yako takatifu.

    • @muhizijafari5799
      @muhizijafari5799 Рік тому +1

      Acha ushamba ww uliskia wapi watu waokoke kwajina layesu

    • @samwellukinda5864
      @samwellukinda5864 Рік тому +3

      We Kama unaona huko ukafirin umeokolewa. Ustake walio kwenye njia sahh kuwashawish.pambana nahiyo dam unayoiamn itakukomboa nasio M/Mungu

  • @saidumuru5232
    @saidumuru5232 Рік тому +1

    Ukweli shehe mungu akupe uwezo zaidi

  • @irenebenben5325
    @irenebenben5325 9 місяців тому

    Mashalah Daktar Njoo qatar 🇶🇦

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 2 роки тому +1

    Mimi nimesha kuliwa pesa zangu nyingi tu,eti wata zihondoa lakini una sikia kazi yako ningumu hongeza hela, kwahiyo na mwachia mwenyezi mungu tu ,kwa damu ya yesu nina himani ipo siku nita finguliwa,

    • @EstherJoram-gt4lt
      @EstherJoram-gt4lt Рік тому

      Ashasema mateperi.ko uwe makini.hat mim nataperiwa lkn nuksi.nd.zinaongezekaa

    • @ShaniaKing-o5d
      @ShaniaKing-o5d 4 місяці тому

      Nitafute inbox nikusaidie

    • @masindemusa3328
      @masindemusa3328 3 місяці тому

      Njoo nikuombee na utakuwa sawa

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 5 місяців тому

    Waaleykum salam warahmathullahi wabarakatuh

  • @khadijaathumanikhadijaathu9031

    Walaikum.salam warah maturah wabarakatu. Allhamdulillah Allah shehe

  • @mubarakfarmacho-my9fi
    @mubarakfarmacho-my9fi 3 місяці тому

    mashallah mm bac nasumbuliwa

  • @samsungnot5288
    @samsungnot5288 Рік тому +1

    we we ni mwaminifu mwenye zi mu ngu akulinde

  • @saidmohamed3009
    @saidmohamed3009 3 роки тому +1

    Ivi mimi huaga nikisoma Quran naenda mioyo sana, inkuaje hii ya sheikh

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 роки тому +2

    Mashallah

  • @mwanahawamohamed7265
    @mwanahawamohamed7265 4 роки тому +3

    Mashaallah

  • @MohamadShimin-i1b
    @MohamadShimin-i1b 21 день тому

    Sheikh naomba uniombe nikona kigugumizi niombe iishe😢

  • @FelixSalum
    @FelixSalum 7 місяців тому

    Asant sheikh

  • @haleemaramzan3875
    @haleemaramzan3875 3 роки тому +1

    Masha Allha

  • @christineendumwa2484
    @christineendumwa2484 19 днів тому

    Mimi pia nasumbuliea na haya majini mpaka inaharibu mipango yangu yote hata sina chochote ma nimechoka nao. Nifanyeje

  • @kusiwakiziyala9488
    @kusiwakiziyala9488 3 роки тому +1

    Walekum salam warahma tullah wabarakatu

  • @jasminali5921
    @jasminali5921 4 роки тому +1

    Naam shukran

  • @ZaharaJuma-sf5bt
    @ZaharaJuma-sf5bt Рік тому

    Assalam aleikum shekh Mimi nimuathiriwa,nitasaidikaje.niko Mombasa

  • @khadijaathumanikhadijaathu9031

    Subuhana.Allah

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому +2

    WA alaykum salam warahmaturah wabarakatuh ❤

  • @gylainefafa7651
    @gylainefafa7651 2 роки тому

    Asw Mimi nimukaaji wa Burundi nasumbuliwa na makini na mashetani naomba musaada wako

  • @FauziaHaji-nw5zd
    @FauziaHaji-nw5zd 4 місяці тому +1

    Km moja dalili unazo lakn huja wahi kupandisha je Una jini

  • @winnierichardmwalyego8942
    @winnierichardmwalyego8942 Рік тому

    Yesu ndio yote ktk yote anaweza mambo yote

  • @nadegeuw.5703
    @nadegeuw.5703 4 роки тому

    Shukran

  • @cideboy100
    @cideboy100 4 роки тому +4

    Assallamu-Alleikum Sharif kuna mtu hapo anawaharibia jina...anachukuwa pesa kutoka kwa watu halafu dawa hatumi mimi Niko wingereza huyu mtu amechukuwa pesa zangu na dawa hajanitumia na sasa hataki kurudisha pesa zangu huyu mtu ni muongo sana anaitwa Rehani Zubair Faiz

  • @mustafakasim686
    @mustafakasim686 3 роки тому +1

    Asalam alaykum ivi uganga wamajini Allah karuhusu??

  • @fatmahassan4760
    @fatmahassan4760 Рік тому

    Asalam alaykum sheikh kwema samahan naomba kuuliza jin sharif anaweza kurith yan kutoka kwa mama kuja kwa mtot na je akipanda anaweza dai kusomo

  • @asas4097
    @asas4097 4 роки тому +2

    Naam

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 3 роки тому +1

    Mutaangaika sana kiboko ya majini ni jina la YESU

  • @FauziaHaji-nw5zd
    @FauziaHaji-nw5zd 4 місяці тому

    Km huja wahi kupandisha lakn moja ya dalili unayo je unajini

  • @salumjumaluzigasalumjumalu8082
    @salumjumaluzigasalumjumalu8082 3 роки тому

    Sheisha majin

  • @shabandon2212
    @shabandon2212 Рік тому

    💞💞💞💪

  • @saidumuru5232
    @saidumuru5232 Рік тому

    Ukweli

  • @JosMatty-bq9ii
    @JosMatty-bq9ii 8 місяців тому

    we mwenyewe tapaeli

  • @NajimaNichole-oz3zv
    @NajimaNichole-oz3zv 10 місяців тому

    Je Kama dua ikisomwa nasikia Raha baada ya hizo dalili kutokea Malian a kusikia Raha ya kisomo

  • @dhaniramungah1056
    @dhaniramungah1056 2 роки тому

    Ukiota umejifungua jje nidalili gano

  • @MusaMatata-i2q
    @MusaMatata-i2q 3 місяці тому

    Habari gani ,shekhe je wewe eliminate ya majini na dawa zake ulizipata wapi ,n pia nani kakupa eliminate hii kwani inamtiiani mkubwa sana n je wewe ushawahi kupata kupandisha ili kupata eliminate hii ,shekhe hebu tufahamishe

  • @eliaskassim5684
    @eliaskassim5684 2 роки тому

    Mimi nimeota nachimba vyambo { chambo }nin maana yake ??

  • @SwaumSphn
    @SwaumSphn 7 місяців тому

    Sheikh mimi natoa doto nipo shule maana yake nini

  • @irenemoraa8818
    @irenemoraa8818 2 роки тому

    Nilisikia huyu mtu ni tapeli .jamani nani mwengine ametapeliwa

  • @amoole7saaas960
    @amoole7saaas960 2 роки тому

    Sasa shekhe gani huyu anashadidikia mziki siju mashekh wetu wanatufundisha nn

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 3 роки тому

    Kwa mtu ambae hajawahi pandisha umri wake wote inakuwaje

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому

    Matapeli watimue majini tuu

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo7163 4 роки тому +2

    Wewe siyo shehe wewe ni muongo unasama vizuri lakini unapindisha unachanganya majini hawapandi kichwani hao ni mashetani majini ni wasafi hawapandi kichwani duuu

    • @saidamran4271
      @saidamran4271 3 роки тому +1

      Ww usiseme ni muongo. unakosea. Huyo n binaadamu c mkalifu

  • @halimabache8606
    @halimabache8606 3 роки тому

    Masha Allah