Dalili ya mtu mwenye marohani...ustadh Ali Alhaidary

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 48

  • @mansoormannix1753
    @mansoormannix1753 2 роки тому +2

    Allah atuepushe na mtihani wa dunia na atuongoze kwa njia iliyonyooka na atuzidishie tawhid, aqidah so we may not go against Islam. Allah atume ilmu nzuri na ufahamu na atuhifadhi na fitnaa za shaitani.

  • @noorischmutisch5321
    @noorischmutisch5321 2 роки тому +1

    Assalaam aleikum warahmatullah wabarakatuh,Ustadh maneno yako nikama umezungumzia kunihusu mm,,niko hivo na nilikuwa nikitabiri kuhusu masomo yangu,mitihani ya shule,,na mambo mengine mengi..Shukran.

  • @husnamohammed8374
    @husnamohammed8374 2 роки тому +1

    Jazakallahu kheir mungu akuwezeshe uzidi kutupa elimu

    • @angunaff7294
      @angunaff7294 2 роки тому

      Jazakallahu kheri inshallah 🙏

  • @husnamohammed8374
    @husnamohammed8374 2 роки тому +1

    Ustadh unayosema ni kweli tupu wallah yni yote ulioyasema

  • @twahamwela2158
    @twahamwela2158 2 роки тому +2

    Mada yako mzuri Sana sheikh baraka llahu fiyka

  • @angle3600
    @angle3600 2 роки тому

    Asante sheik mimi naona nirohanii,mungu tuepushe na shari

  • @cayenestorm7942
    @cayenestorm7942 3 роки тому +5

    Niliambiwa kuwa kuna namna yaku karibisha ruhani, je ni kweli

  • @saumuathman901
    @saumuathman901 3 роки тому

    Shukran Jazzilah kwa elmu hii

  • @ashaajimtu2536
    @ashaajimtu2536 3 роки тому

    Aa shukran jazillah mie huota sana natokewa na wazee wenye asili ya kiarabu,kihindi ama kisomali wamevaa kanzu,na madevu,sana huwa tupo kwenye visomo ama juu ya mlima

  • @saidabdulkadirmjahid8255
    @saidabdulkadirmjahid8255 День тому

    Asalam aleikum, sheikh.
    Watokea sehemu gani ya Kenya? Naomba namba yako ya simu.
    Shukran.

  • @الزغويالزغوي-ض3ن

    NI DARASA MUHIMU SANA KWANGU MWENYEZI MUNGU AKULIPE KHERI NYINGI

  • @isiyakaramadhani4550
    @isiyakaramadhani4550 2 роки тому +2

    Kweli kabisaaa ata ujakosea lakini mbona wengine wanataka kutibu ni ruksa kwa Allah

  • @RsugrggeHdhdyyd
    @RsugrggeHdhdyyd 3 місяці тому

    Naomba

  • @zuhurajuma8853
    @zuhurajuma8853 2 роки тому +1

    Asalam aleykum shekh je wale wanaoagiza pete marashi kitambaa na anataka uswali

  • @MesalimRashid
    @MesalimRashid 5 місяців тому

    Sijaota ata siku mmoja

  • @zuwenanurdeen8902
    @zuwenanurdeen8902 2 роки тому +2

    Swadakta100parcent

  • @kadirijuma2618
    @kadirijuma2618 Рік тому

    Asalam aleykum,tuna shkuru kwa elimu hii,shekhe mm pia kuna dalili huwa zina nitokea baazi ya seven za mwili huwa zina cheza, nayo ni maruhani

  • @swaumumakunga2469
    @swaumumakunga2469 2 роки тому

    Masha Allah

  • @BiroMkasi
    @BiroMkasi 3 місяці тому

    Nin mana yaruhani

  • @faridaarafat1571
    @faridaarafat1571 2 роки тому

    Asalaam aleykum, sheikh nitajuaje kama nina rohani

  • @milley7185
    @milley7185 2 роки тому +1

    Je wale wanaomba vitu kama zawqdi sijui vitambaa au Pete ni wa aina gani

  • @atwiyamuhamed7733
    @atwiyamuhamed7733 2 роки тому

    Asalm alekum mm n kweli nmeota niko n mtume twaenda kuswali

    • @ramadhanimaneno
      @ramadhanimaneno Рік тому

      Mtume Muhammad (s w )alisema hakika atakae niota ndotoni basi ni kweri ameniona maana shetwani hawezi kumjia mtu kwa sura yangu

    • @dkakram2562
      @dkakram2562 Рік тому

      Alikwambia kua yeye ni mtume sw au ulihisi ww tu

    • @awaahassan936
      @awaahassan936 Рік тому

      Mimi nilimuona akapitishwa na hewani amekalia kiti kila ubavu wake kuna malaika

  • @gistemeke8979
    @gistemeke8979 2 роки тому

    Shukran sana maalim nahitaj namba yako nina mazungumzo mengi .

  • @salimali9957
    @salimali9957 2 роки тому

    Maalim,kuna point umekosea hao ni viumbe usiseme ni watu

  • @alialhaidary3123
    @alialhaidary3123  2 роки тому +1

    Assalam aleikum.... Afwan ilikuwa sijaziona communits zenu na maswali yenu.... Lakini sasa nimeziona nitajaribu kuzijibu...kulingana na community standards

    • @aminaibrahim7175
      @aminaibrahim7175 2 роки тому

      @Ali Alhaidary Assalam Aleikum Shekh, Samahani naomba kuuliza, Utifauti kati ya Ruhani na Jinn, Je Ruhani anaweza kupandisha?Na Wakiongea kuhusu kuhimiza kufanya mema Na Kumcha Allah je ni Ruhani na Sio jinn?Na Je Katika swala unaweza kuswali Na Ruhani?Kam ni mwema nao wanaswali na we we si wanakua ndnai yako?Smaahani sna naomba Kunielewesha Shekh...

    • @RayyanZahour
      @RayyanZahour Рік тому

      Sheikh naomba unijibu pia nami pale ndoto izo zinapotoeka ikawa mtu haoti tena inakua ishara gani

    • @ShinunaMohammed
      @ShinunaMohammed 11 місяців тому

      Shekh sisi wengne hatuoni tena ayo n mwanz tulikuwa tunaona

  • @kadirijuma2618
    @kadirijuma2618 Рік тому

    Na pia huwa sipendi makundi na pia sinaga kijiwe chochote, pia huwa yapanda pindi kunapo kuwa na mtu mbya, nahuwa napenda sana zikri ila
    na udi nikifika kuna uzwa dawa za asili nina tamani nilale humohumo,ila inapo simwa kuruani machozi unitoka sana tatizo nini hapo ni wa zurri aw ni wabaya?

  • @mariammhango6135
    @mariammhango6135 2 роки тому +1

    Me wanasem nin ruhan lakn ruhan hawa wakion sehm kam kun mamb y shirik wanapanda nakusem hii sehm hawtak nikae n wananiimiz swal n kutoa sadak san n ikisom quruan wanafurah san sem najiulz unasem maruhan huw hawapand ovyo il mbn haw wanapand nakuwasisitz wat wanaonizunguk waswal??je majin am ??

  • @RayyanZahour
    @RayyanZahour Рік тому

    Sheikh sasa nilitaka nikuulize inaonesha Ishara ipi izo ndoto pale mtu aliezoea kuota halafu zikaja kukata kabisa.

  • @khadiaally9192
    @khadiaally9192 2 роки тому

    Je lohani hupada kichwani ua hawapadi

  • @kifubayusuph8741
    @kifubayusuph8741 Рік тому

    mn kwaka 2010 nirikuwa kira jambo baya rinarotaka kutokea naota usiku nanikifanya biasha ra naambia chakufanya usiku tea kwa kutaja jina sasa siswari na na mambo yameaharibika naishi na jini mahaba mana nimekuwa mzinifu mp3nda mahasi hatari mpaka naria je uyu arie kuwa ananiambia kira jambo usiku ninani na amekwenda wapi

  • @salimkarama9354
    @salimkarama9354 2 роки тому +2

    Hahahaha rohani ukwaju 🤣🤣🤣🤣 ati wapandwa na marohani kisha wazugumza nae Majini kweli wako but hayo ya marohani upuuzi mtu ushirikina tuu 😡

    • @JannatTahmid
      @JannatTahmid Рік тому +1

      Si upuuzi inaweza kuwa haujalifikia katika kutafuta elimu na si ushirikina uo

  • @ahmedibrahim2127
    @ahmedibrahim2127 2 роки тому

    Mafuta ya
    Yasmin je

  • @cayenestorm7942
    @cayenestorm7942 3 роки тому +2

    Na mkristo akiwa na ruhani atafanya nini

    • @alialhaidary3123
      @alialhaidary3123  2 роки тому +2

      Nivigumu sana mkristo kuwa na rohani...maana marohani wanafuata maadili kuhusu mavazi,ibada na mapenzi ya Mungu pamoja na roho safi....
      Ikiwa mkristo atakuwa na rohani basi kwenye moyo wake kuna chembe ya imani ndio wale marohani wakamfata...mtu huyo kama kwamba kuna vitu katika dini yake haviamini na anakaa kama kwamba anaona kuna vitu vyengine ni vya uzushi ....na kupitia hivyo inaeza mpelekea kuslimu kwa moyo wake mwema... Uliowafanya hadi marohani kumpenda

    • @binthatv2794
      @binthatv2794 2 роки тому +3

      Mimi nilizaliwa mukristo Ila nimekuwa na marohani mwonzo nikiwa mudogo Léo nimesilim nikiwa namyaka 7leo nimekuwa n'a myaka 30niko Mwenye dini sana na kuwasiliminsha wengine Léo hi n'a elimu kubwa nilisomeshwa nikilala coran nimefundishwa dini Na coran na marohani hadi Léo napewa Elim Alihamdulillah

    • @sulekhaosman8357
      @sulekhaosman8357 Рік тому

      @@alialhaidary3123 Asalamu Aleykum warahmatullahi wabakatuh kweli elimu Ni bahari shukran sana ALLAH Akulipe Kila La kheri