FAIDA ZA MAJANI YA MKUNAZI | ASALI NA HABBATSAUDA | SHEIKH SHARIFU MAJINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @imaninasoro7527
    @imaninasoro7527 4 роки тому +5

    maaashaallah. somo zuri sana.je naweza kutumia mkunazi kwa maralia sugu .

  • @yeahsalummasewela580
    @yeahsalummasewela580 3 роки тому +4

    Allah akuzidishie elimu na umri mrefu.

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 4 роки тому +6

    Masha Allah, Sheikh mungu akuzidishie ilmu yenye manufaaa

  • @samirasaid9176
    @samirasaid9176 Рік тому +1

    Allahumma Ameen,,,,,,Mungu akupe uhai mrefu na afya tele

  • @nakshaofficial2817
    @nakshaofficial2817 Рік тому +1

    E mungu akujalie maisha marefu vidonda vinanitesa sna mpka nashindwa kutembea vinashuka Hadi sehemu ya haja ndogo nakwenda tumia sasa

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 5 місяців тому

    ❤Alhamdulillaah uyasemayoo yotee mashaAllaah sahib barrakkaah Allaahu fiek sheikh sheriff majini

  • @jackjoshua3723
    @jackjoshua3723 2 роки тому +1

    Namshukuru mungu kwaajili yako mungu akubariki sana n🙏🙏

  • @alllyrics4835
    @alllyrics4835 3 роки тому +2

    Shukrani sheikh , Allah akuzidishiye ilmu akupe afya nzuri 🤲🤲

  • @habibtysalim2304
    @habibtysalim2304 4 роки тому +2

    Mashaallah allah akubarik

  • @asmamohamed1422
    @asmamohamed1422 4 роки тому +2

    Jazaka llahu khaira

  • @ahmedmubareq3228
    @ahmedmubareq3228 4 роки тому +5

    MashaAllah nauliza sheikh naweza kutumia mkunazi uliokaushwa na kusagwa au mpaka uwe mpya

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 4 роки тому +2

    Allah Akubariki shekhe

  • @salamamohamed9519
    @salamamohamed9519 8 місяців тому

    Alhamdulillah
    Jazakallahu khauran ALLAH akujalie umli mlefu na afya na hiki unachokitoa iwe ndo sababu ya kukuweka peponi unasaidia wengi sn ALLAH atakulipa

  • @zenahussein9603
    @zenahussein9603 3 роки тому +2

    Mashaallah

  • @MsanzuSaid-do9lv
    @MsanzuSaid-do9lv Рік тому

    Shukran maalim

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 3 роки тому +2

    Alhamdulillah

  • @afric01
    @afric01 2 роки тому +1

    Aslm alkm ww.... jazakallah kheir 🙏

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Рік тому

    Barakalahu fiku ya shekh

  • @rashidmpumu7006
    @rashidmpumu7006 2 роки тому

    Asante sana shekhe Allah akujaalie kheri zake

  • @allironjo2698
    @allironjo2698 5 місяців тому

    Ni maoni yangu tu mashekhe wetu nyinyi mnakosea kwanza hiyo salam tu 5 nabadala ya kwenda kwenye kusudio kwanza maelezo mengi sana na kingine kikubwa zaidi mnajisahau kwenye tiba zenu mnazofundisha kuwa mnao wafundisha hawakuso mbatwambia tusomee surat bakra 100 surat jinni 77 ayatulkurusiyu 1000 umswalie mtume mara 3000 sasa wengi hatujaso hatuzijui hizo na muende kwenye pwenty musitoe mawaidha

  • @abasimavano5311
    @abasimavano5311 Рік тому +1

    Asalamu.aleykumu.nimekufatiliya.gisiunatufahamisha.sijuwitakupata.aje

  • @ayushiabubakar1930
    @ayushiabubakar1930 4 роки тому +2

    MashaAlla mungu akupe umri mrefu

  • @nasraabdi1529
    @nasraabdi1529 3 роки тому +1

    Jazakalahu kheri 🙏

  • @MaynatKhalef
    @MaynatKhalef 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 5 місяців тому

    Aaaameeeen

  • @patrickchance5807
    @patrickchance5807 Рік тому

    😇😇😇😇Love 🤔🤔

  • @buyingocatherine2792
    @buyingocatherine2792 3 роки тому +1

    Allihamdulilahi

  • @tinahoracio4449
    @tinahoracio4449 4 роки тому +1

    Masha Allah

  • @jumaahmad4117
    @jumaahmad4117 4 роки тому +1

    W/ssalaam warhmatullah

  • @farhatseif3041
    @farhatseif3041 4 роки тому +6

    Asalam alaykum
    Sheikh utatumia vipi majani ya mkunazi kubatilisha sihri ama hasad tu ambayo umetumiwa miwili?

    • @hafsahajiabeid5768
      @hafsahajiabeid5768 2 роки тому

      chukuwa majari 21 yasio tundu yaponde tia kwenye ndoo ya maji somea ayat kursi falaqi nnasi sutat kaafirun ×7 au 11 au 21 kwa ufupi wtri kila zikiwa nyingi vizuri fanya.ndi maji yako ya kunya na kujimwagia lakini jimwahie sehemu tohara utakojowa sana usiogope

  • @farhatseif3041
    @farhatseif3041 4 роки тому +3

    Hapa umetupa maeneo maalum labda vidonda vya tumbo au ngozi ila mimi naomba kujua kubatilisha uchawi mwili mzima kwa majani ya mkunazi

    • @al-islammuongozo5635
      @al-islammuongozo5635 2 роки тому +3

      Tafuta majani ya mkunaz 7 ukipata mabichi ni bora zaidi kisha yaponde kwa jiwe( chukua mawe mawili jani liwe kati ndo uliponde ni bora sana hii) kisha tia kwnye maji tikisa vizuri yatakua na povu tayari kwa kutumia bila kusahau na visomo vya kubatilisha uchaw ndan yake ni muhimu ili kuwa na nguvu zaidi ukikosa mabichi na ukapata ya unga bac chemsha na unywe Biidhnillah Utapona

  • @hafsahajiabeid5768
    @hafsahajiabeid5768 2 роки тому

    ALHAMDULILLAH

  • @saqrymo379
    @saqrymo379 2 роки тому

    Shukran Sheikh. Jazakallahu kheir. Nakuuliza kwa nini ukajita sheikhe majini? Shukran.

  • @marymwikali325
    @marymwikali325 Рік тому

    Nataka sawa ya timbo na kuala

  • @mkalacaroline4089
    @mkalacaroline4089 3 роки тому

    Hongera.nashukuru.mimi.simuislamu.je.sijui.kusoma.sjui.rukia

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 11 місяців тому

    Na kama haujui kusoma ruqya utafanyaje?

  • @peterurasa2492
    @peterurasa2492 4 роки тому +3

    Je kama ni majani yaliyosagwa inakuwaje??

  • @doreenrobet2391
    @doreenrobet2391 3 роки тому +1

    Kwann upokei cm za wateja

  • @javajava3461
    @javajava3461 3 роки тому

    Asante sanaa kaka

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 роки тому +5

    ASANTE hapa ninapo ishi kuna mìti miwil ya mkunazi vile ndio kuto kua na elimu jins ya kutumia ASANTE sana

  • @sudimwatela1116
    @sudimwatela1116 4 роки тому +1

    Hii ni matatizo yapo mengi sana kwa kweli.

  • @zahoroahmadi1102
    @zahoroahmadi1102 3 роки тому

    Al

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 3 роки тому +1

    Kenya tangu zama hizo mpka waleo maiti lazma tuoshe na majani ya mkunazi

  • @pekeetv
    @pekeetv 3 роки тому

    FAIDA nyengine za MTI MKUNAZI HIZI HAPA.
    ua-cam.com/video/YcBYzPwQVZI/v-deo.html

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +1

    Alhamdulillah