Mbunge wa Kahama Mjini "Kishimba" Alilia Zao la Bangi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @babayakeanna8595
    @babayakeanna8595 3 роки тому

    Tupate wacha Mungu ili kwa upande huu wa tiba basi soko lake liinufaishe nchi yetu
    Asante Waziri Angela Kairuki wekeni sawa kanuni ili tuliwahi hili soko la BANGIDAWA kabla wenzetu wajanja hawajatupita.
    Mungu ibariki mikoa inayolima Bangi
    Mungu ibariki Tanzania

  • @Akilihq
    @Akilihq 3 роки тому +2

    GENIUS PROFESSOR KISHIMBA

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 роки тому

    KUHUSU BANGI ALISEMA CHA ZACHAYO WANGWE 2005 MKAMUONA HANA AKILI LEO CCM WENYEWE MNALILIA KULIMA BANGI

  • @salmamulira2838
    @salmamulira2838 3 роки тому

    Mheshimiwa Kishimba Nakuvulia Kofia 👍👍👍

  • @maikonuronu738
    @maikonuronu738 4 роки тому +2

    WEWE NDIO UNAOJUA KUONGEA VYA MAAN LIKE UKOSI

  • @samanyaswai6272
    @samanyaswai6272 4 роки тому +1

    Hapo
    Wanapo taka kutufikisha wabunge wa ccm

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому +1

    Huku ni kulewa neema za Mungu Mola Muumba! BinAdam asipochonga Ulimi wake na asipotumia vema neema za akil zake huamua kusema chochote na kufanya lolote alitakalo.
    Hivi ni Mungu gani anaeridhia/anaehalalisha matumizi ya bhangi (bhangi ni miongoni mwa vitu vilivyoharamishwa kutokana na madhara yake).
    Tusiangalie faidah tu tuangalie madhara na hasara zake.
    Wabunge (wawakilishi) wetu huwa mnaapa kwa kumtaja Mungu, hivi ni Mungu gani mnaemuapua kwa kumtaja na kushika vitabu vya Mungu.
    Hivi ukishakuwa mtumishi Serikalini (mtumishi wa serikali) ruhsa kuvunja sheria za Mungu?!
    Kuamini Serikali haina dini ni kujidanganya maana serikali ni watu sasa kwanini zitungwe sheria za kuharalisha haram na kutowa leseni za kuhalalisha haram kwa kisingizio cha kupata kodi !

  • @bigsmoke_org38
    @bigsmoke_org38 4 роки тому

    Naipenda Tanzania na sihami maana serikali ya awamu ya 5 inanikosha

  • @maryrichard9211
    @maryrichard9211 4 роки тому +2

    Ccm wamesahau majukumu ya wanainchi wanalilia bangi makumbwa jinga hayo hamuongopi hata Mungu;!

    • @stalinsikoboi9515
      @stalinsikoboi9515 4 роки тому

      bangi aliyeiumba nani? Si maulana.

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 4 роки тому

      @@stalinsikoboi9515
      😂😂😂😂hakika

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 3 роки тому

      Ww unafikiri anachoongea hapo ni upumbavu lkn ndio vitu vya muhimu sana........ Ni sawa na mtu akuambie usinywe maziwa kutoka kwa ng'ombe bali tutumie sasa maandazi anayotengeneza yeye kwa kutumia maziwa ya huyo huyo ng'ombe 😂😂😂😂. Mzungu anaakili sana aiseh, mimi nakula ganja ikibidi hata leo waruhusu tu nitumie na kwenye chai kama tunavyotumia mchaichai 😜😜😜😜. Snakes loves it, goats loves it, even birds celebrates for it

  • @jamespeter2639
    @jamespeter2639 4 роки тому +1

    Hao ndo wabunge wa ccm

  • @robbyjons374
    @robbyjons374 4 роки тому +2

    hapo haija ruhusiwaa dio ivyo

  • @stiveehmayero8163
    @stiveehmayero8163 3 роки тому

    Uwa anamawazo yak binafs

  • @joshuaerinesty7381
    @joshuaerinesty7381 4 роки тому

    Bangi usiruhusiwe kabisa

  • @yusufubashiriyusufubashiri2849
    @yusufubashiriyusufubashiri2849 3 роки тому

    Hi

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 роки тому

    👏🇹🇿

  • @disimasnkanga3220
    @disimasnkanga3220 2 роки тому

    Du

  • @stiveehmayero8163
    @stiveehmayero8163 3 роки тому

    Uwa anamawazo yak binafs

  • @stiveehmayero8163
    @stiveehmayero8163 3 роки тому

    Uwa anamawazo yak binafs