Kongamano La Wabeba Riziki Wa Familia | Pastor Tony Osborn | 6th July 2024
Вставка
- Опубліковано 5 лип 2024
- Connect with Pastor Tony Osborn Ministries:
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonyosborn
Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)
Nitaendelea kurudi kwenye ibada hii kwaajili ya mtoko wa familia yangu..na kila mtu aki like inikumbishe
I miss you, nilisahau kukutafuta
Aisee nitaurudia hii ibada mpka iwe inaimba kichwani 🙌🏾Mungu aendelee kukuweka PT ❤️🙏🏽
Asantee sana man of God umeniandalia mtoka wa mmeba maono katika familia zetu, family yangu, kazi yangu,ndoa yangu, destiny yangu,my children,na business zangu na Kila kitu changu kitokee kama ilivyotamkwa na maono katika Kila ngazi zote humu Duniani na mbinguni na itokee kama alivyo Nena Amen
PT🔥🙌🙏🙏 YOU NEVER DISAPPOINT US🙏
Hakika Nimepokea ushuhuda Wangu katika familia yangu Hakika Mungu ni mkuu Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu Amen
Hallelujah Hallelujah Nauandaa Mtoko wa Familia yangu ktk jina la Yesu Ameeen 🇦🇪 🙌 ♥️
Hakika huu mtoko umenitoshea ❤
Man of God🙌🙏
Nakupenda sanaa Pastor wangu Tony❤
Amen Amen Pastor.
Namba za sadaka ya hii madhabahu ya Familia jmn sijaona 😭
amen
Our Pastor 🙌🏽
What a revelation, thank you TP
Ameen🙏🏻🙏🏻
Mchungaji nakupenda wewe na mafundisho yako ila tunaomba uwe unatupa evidence yani unatuambia imeandikwa kwenye zabuli ngapingapi usiwe unatupa neno tu bila ushaidi sio kwa ubaya malanyingi ndivyo unaubili utoi vifungo wengine tunasikiliza nakusoma neno
atakua ameiona comment yako...ila unaweza pia ku note ilo neno alilotamka kama andiko ukaandika pemben..then ukagoogle ukitulia na ukalisoma kwa upana wake
Exactly @@AMM_12347
Ni jukumu la mkristo kutafuta humo ndani ya bibilia au andika google u search itakusaidia
@@AMM_12347kabisa hicho ndo huwa nafanya, nikimsikiliza PT huwa nakuwa na notebook, akitamka naandika hilo Neno badae nagoogle naweka raference