Je Kuna Changamoto Kunywa Pombe | Maombi Ya Kuombea Taifa | Pastor Tony Osborn
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Je unatambua madhara ya kuendekeza pombe ukiwa ndani ya kristo? sikiliza upate ufunuo upate kujikomboa na madhara yake.
Link to playlist from this series:
• MAOMBI YA KUOMBEA TAIFA
Connect with Pastor Tony Kapola Ministries:
Facebook:
/ pastortonykapola
Instagram:
/ pastortonyosborn
Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA)
Poster pray for me To God to solve my all problem Amen Amen Amen by name Joel oile Omachar.Amen.
❤❤❤ amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Pastor l love they way u teach us the word of God❤❤❤
God is gud at all❤❤❤
Namuomba mungu nisije kunywa pombe🙏
Iyo ni kweli kabisa unasema Mtumishi wa Mungu pastor TK,,, Ubarikiwe sana 🕊️📖❤️🕊️📖❤️
Mm Katika maisha yangu imejaa hela nyingi mnoo
Pombe, Pombe, Pombe, usi, usi, usi, 🍻🍻
thanks pastor to day am turn around my way thank you
Vipi divai tunakunywa kila jumapili maan divai ni pombe pia Ina alcoholic ndani yake ambapo hata yesu aliibariki
Amka@@ThomasDede-er5hq
Amen ❤❤❤❤❤❤
Hongera kwa kazi ya BWANA mtumishi! Natamani ungefafanua hiyo chapter yote ya 6, manake kuna mambo mengi mazito zaidi ya hicho kilevi, unaweza yes usinywe, je imetokea jambo kama maelekezo yanavyosema je kwa karne hii tunaweza timiza hayo yote?? Neema yake tu ndiyo ituponyayo
Ume achiya kitu mwenzangu
Asante pastor Tony 😔🍂,Mungu awe nawe Daima
Word of God ni pumzi …
Holy Spirit Amen 🙏🏼
Amen
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ameen 🎉🎉🎉
Amin Amin Amin 🙏🙏🙏
Vipi kuhusu nguruwe sawa pombe tumeelewa vipi kuhusu nguruwe
Soma matendo 10
nguruwe ni mtu ashikae neno la mungu na kuliacha,
Nguruwe ni najisi Kwa huyo aihonae ni najisi soma Mariko 7
Kwa maoni yangu mwenyewe ukikaa na uhusiano mwema na Mungu huhitaji kuuliza mwenzako ni lipi njema au nilipi lisilo la haki mannake Roho Mtakatifu atakwelekeza wewe.
❤
hesabu 22:1
We waiting the words of God❤blessing Pastor
❤❤❤❤
🙏🙏
❤❤❤ past
na bangi vip
Kuwa na pesa au kutokuwa nazo haitegemei hali ya kiroho wala haitegemei kama unakunywa au hunywi na ukiangalia watu wenye pesa siyo watu walio mcha Mungu kivile ni bahati huwapata wote mhubiri 9:11
🎉
Nafikiri hujaelewa vizur. Unahitaji kufafanuliwa tena
Fafanua kwan maisha mazuri inawataka tu waliokoka ndyo wawe watakatifu ndyo wapate maisha ni mfumo ambao tayari upo inategemea tu bidii juhudi akili kwenda mbingun ndyo kunategemea mahusiano yako na Mungu la utafutaji wampagan na mkrsto na muislamu ni moja ata anayeabudu ushetan bila haya kukaa kwenye mfumo hawez toboa
😀😀😀😀😀😀
jaman naomba kujua ibada inafanyikia sehemi gan na ratba zpoje? anejua tafadhali
Kila siku ya Alhamis na Jumapili.
Muda ni kuanzia saa nane mchana, lakini unaweza fika mapema zaidi.
Mahali ni Dar es salaam, pale Makumbusho millennium tower
@@fredyafrica je kuna kiingilio au?
@@zenorinachamy7827HAPANA
@@zenorinachamy7827hakuna
Ila amesema na maji tujitenge nayo,,,sasa umekazia pombe tu??naomba unieleweshe visuri,,,
Maji yo yote ya mzabibu(hesabu 6:3)
Mfungo katangaza wa siku ngapi?
Siku 30
30 days, kuanzia jana
Anha
Wewe kijana umepakawa na pepo kama hauna neno la kweli afadhali uyamanze,maana unawapotosha watu Isaya 5:11,waefeso 5:18
Iyo ni kweli kabisa unasema Mtumishi wa Mungu pastor TK,,, Ubarikiwe sana 🕊️📖❤️🕊️📖❤️
hesabu 24;17
Amen
❤
Amen
Amen