KUUAMSHA ULIMWENGU WAKO WA ROHO (Sehemu Ya Pili) Na Pastor Tony Kapola
Вставка
- Опубліковано 24 лип 2022
- Life Chapel International Church, Morogoro, Tanzania.
Preaching the Word of Life through Our Man Of God Pastor Tony Kapola.
Unaweza kunifutalia kwenye mitandao yangu mingine kwa kubonyeza links hapa chini:-
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonykapola
Subscribe My UA-cam: / @pastortonykapola
Kwa mawasiliano zaidi: +255 659 085 731 au +255 713 702 187
NAMBA YA SADAKA : +255 762 153 539 (NEEMA MASENGA)
Hii ndio huitwa Divine teachings with alot of Divine wisdom 😊
Roho yangu iamke kwa jina la Yesu, Amen
Pastor Tony ur a blessing to our generation
The teachings are super wonderful....may God help me to keep his word and walk in accordance 🙏🙏
Tuned from Kenya, essential wisdom from God always blessed by your sermons🙏 more grace.
Roho yangu amka,, kwa jina la yesu kristo,,
Kwa Jina la Yesu , kwa neno hili siwezi kuwa maskini
tunaelewa sana kwamaana sisi ni wa Rohoni kitupekee ambacho namuomba Mungu ni hata wale ambao sio wa Rohoni wapate neema ya kuyaelewa aya.... GOD please wape macho na masikio ya Rohoni wapate kuelewa ndipo watakapofanikiwa sana
Mtu wa Mungu umenifungua macho!
Daaah pastor Tony kapola mahubir Yako yamenijenga sana Toka nimeanza kukuftlia nimekua kiimani na nmejifunz vingi!!!! Mungu azidi kukutia nguvu
I love this man of God , kwakweli naona nikielewa kitu kuhusu dini. Nimekuwa naomba tu but naanza nakujuwa what I need to do becz nimepitia mengi sana magumu
Amen, amen
Amen from 🇰🇪🇰🇪but this is more than a scripture.....this are special teachings that no one knows
Yesu Ako hai
Macho yangu na yaone nisichokiona.
In Jesus name.
Walioko upande wetu ni wengi ❤❤❤❤
Amen
Amen.ulimwengu wangu wa roho umeamka sasa.barikiwa sana dady.from morogoro Ccwc (c.a.g)
Nimepata pa kutokea umaskini. Sitakuwa maskini tena.
Daaaah!! Wewe ni hatar sanaa Mungu akupe umri mrefu sanaa
I connect my self
Pastor Mungu wa mbinguni akutunze na kuelewa sana
The teachings are super powerful,tunatoa katika ulimwengu wa kiroho kwa maneno ili kuleta kile unachotaka Kwa ulimwengu wa nyama....in short confession is possession.iwapo unakiona rohoni unaweza kukileta duniani kwa kukiri🙏🙏
Brother Mimi ni Mseminary...ila Theology uliyonayo nizaid sio ya kawaida...najifunza vingi sana kwako hata wenzangu wamekubaliana na Mimi
It's called revelation
God bless you more. thanks man of God. Hallelujah Hallelujah
Pasta,Pasta una Neema
🤔Uyu mtu anafundsha kuutafta muujiza hatoi muujza and tujue t hakuna muujiza unakuja kimuujza put the strategies to find your miracle 🥰
Tunakuelewa lkn tumwite pastor tonny kapola sio Tu MTU ju tunalifahamu jina lake ama mtumishi WA mungu please
Mkono wa Mungu uwe nawe pastor tupate kula chakula cha roho daima
Nakataa kuaibikaa kwajina la yesuu.
Kama BWANA aishivyo sadaka zang zikawe ukumbusho mbele za MUNGU, nipate matokeo katk ulimweng wa mwil, pastor be blessed forever and ever
Mungu azidi kumlinda Tony kapola kiukwelii toka nianze kumfatilia star bonga nimekuwa kiroho
Pastor your blessings coz everyday I learning the new world of God in spirit of God
Amen mtumishi ubarikiwe kwa somo zuri
Roho. Yangu ipate uwamsho kwajina la yesu
Macho ya ndani yanafunguliwa Kwa maneno... Ishmael's mother had not seen the well until her inner eyes were opened.🙏
Amina baba
Amen, nimejifunza kitu
MUNGU akubaliki San Kila siku napanda utukufu adi utukufu 🙏🙏
Be blessed man of God nimejifunza mengi kupitia kwako
Amina 🙏🏿
Be blessed man of God pastor Tony 🙏 🥰I learned a lot 🙏 yaani hapo kwenye network hapo😆
Amn much love your words
I love this pastor
Asante sana Pastor🎉🎉
Amen revelation thank you pastor
Be blessing pastor
Mmhmmm...
Am blessed
Amen powerful
Amen Amen pastor mungu akubariki.
Amen pastor. 🙏
Jmn najilaum kuchelewa kupata aina hii mafundisho nisingehangaika lkn MUNGU Ni mwema asantee kwa neema hii midhari bado naishii nitang'ang'an na maarifa haya nisijeangamia
ameen
Amen!!!!
AMEN from zanzibar naangalia
Ulichonacho cha mwisho unakifanyia Nini?....what a revelation 🙏🙏🙏🙏🙏( zeraphath woman)
Hooo pastor
Papaaa
Naaaam ya ukweli hiyo AMENI kubwa
Be blessed
Blessed
🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Akili nyingi zilizozidi na kuzidi
hii ni level nyingine ya mafunuo
I am blessed, God increase you by revelation We receive.
Dady kapola
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
🙏🙏🙏
Jamani huyu kaka yuko sahihi mimi kuna siku uncle Wang aliniadhibu kisa wamekuja tenesco nikawapa stuli wakakata umeme mimi sikuelewa aisee alinipa vibaya mno usiku nikaota marehem mama ananikimbiza anichape watu wanasema muache mtoto,😢kesho mjomba akaniomba msamah yani njozi nyingi zimekuwa zikitokea ngoja niombe sana
Nimeomba kwelikweli
Pastor ata me kuna ndoto naota Mara nyingi tena namuota mtu uyouyo kiukwelii nataka mungu anifunulie iyo ndoto
Shalom,Hongera kwa masomo ya kweli maana Neno la Mungu ndiyo kweli,( Ninaombi,ingawa ni gumu kwako,ilalitasaidia wengi,Naomba ukihubiri kiswahili usichanganye na kingereza Masomo yako yanatusaidia wengi, upange kama utahubiri kingereza liwe somo la kingereza mpaka mwisho,niombi sio lazima Mtumishi wa Mungu ) Mungu akutunze katika zama hizi za mwisho Endelea kufundisha hii kweli
Nnavyoona hutumia kiingereza kama lugha ya msisitizo au mkazo na mara nyingi anachokizungumza kwa kiingereza anakitafsiri kwa Kiswahili papo hapo.
Binafsi nimependa hata hiyo code mixing👍
Aya wale wapenda miujza ya chapchap ya burebure wanakmbilia kwenye baraka za kpepoo hupokei muujza bure as pastor says fatlia wenye miujza nn walifanya ad muujza ukaja
Amen
P
Amen
Be blessed
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen mr
amen amen amen