Asalam Aleykum warahmatullahi wabarakatu sheikh..mimi nikikosewa kidogo napenda sana kuogea kwa sauti ya juu na kukasirika ovyo ovyo nifanyeje nisaidike sheikh wangu nisaidie
Kukaa chooni kwamda mrefu kukaa pekeangu ata wiki sitoki nasipendi kukaa nawatu kuota napendwa sana nazawadi napewa lakini nachelewa kuolewa nikiwa kwenye ndoa hasira kwasana
😢shekhe uliyoyasema ni kwel kabsa yote umesema ni mimi kabsa..naota ndoto kama serious ya maisha yangu kabsa..niliwahi kuota nakutaka na mwanaume,mara nimeolewa,nimezaa naye..hzo dalili zote ninazo hizoo
Asalaam Alaykum. Mimi naitwa Ibrahim Maiyo. Mimi nilikuwa Sawa haswaa nguvu zangu za kiume. Bunde ilipoa Bibi wa pili ghafla bin Huu nguvu zangu ikafifia Na hizia kutamani jinzia ya kike ikafifia. Je shida Ni nini
Naam Assalam aalaykum warahmatullahi wa barakatuh na furai sn kusikia iyi mada so nime kuwa nataka kujuwa kuusu wa chawi ivi ni ukwl wa chawi wana fufuwa watu walio kufa??
Sheikh mimi katika miyogoni umeyasema Kuna dalili bili dalili ya kwaza huwa Sina matamanuvu kila Mara hata nikifaya tedo ladowa sihizi chochote dalili lapili huwa sitogozi hata nikiwa namutu binakwesha bila sababu yoyote nifaye nini ili niepukane nahayo kwauwezo wake Allah insha Allah
Acha ubabaifu alokwambia ni waislam tu nani ? Wapo waisilamu waumini na hawafanyi maasi Wala hawamkaribii binadamu wanaishi maisha Yao . Wapo waisilamu wanafiki na makafiri kama wewe wanatesa watu wanawafanya watu kutenda maovu
Alokwambia majin ni waislamu ni nan mbona makanisani huwa mnawaombea watu na wanaanguka majin unataka kunambia na wenye wanamajin ya kiislam Mbona wanaoenda kwa mwamposa huko tunawaona watu kibao wanasumbuliwa na majin na wanaanguka kila akiomb acha zako ww pastor kupotosha watu majin ni viumbe miongon kwa viumbe walioumbwa na Allah Kama mim na ww na wao pia wanamaisha Yao,wanafunzi zao pia mpaka wakiristo wapo Ko na wao kuwafata hao wakristo wenzao kuoana nao kuna kosa gan maana sio kusema hilo tatizo la ndoto au jin Mahaba hamna mbali sana kwa sababu majin wapo na humdhuru yyte waliyemtan hiwez nambia wanawataman waislamu tuu maana sisi binadamu mungu katuumba kwa maumbile mazuri. Ndio maana majin wanatutaman kama nyie wakristo hawawataman bas mnashida😂katika maumbile yenu Uwe unafikiria kabla hujaongea
Hata mimi sheikh naishi mpakani oman na emirates Nina mwanamke tunapendana muarabu nahivi ni mjamzito ila kinacho nishangaza naambiwa nijini sasa misielewi Kweli jini anaweza kuonekana?
subhanallah !mtihani mkubwa huu.Tunaomba utujuzi shekhe msafi wa kutusomea..Tushaliwa sana na kupelekwa ktk shirki
Niko hapa nimezunguka mpaka nimechoka nalia tu sahivi kila siku 😭😭😭😭😭😭 jini mahaba weeeeeeee nimechoka kuliwa pesa tu
Allah akuponye uhty .....
@ruqayaissa990
I
Tupatie namba bas za huyo sheikh wa huko kigamboni....jaman tunateseka miaka na miaka tumechoka sana
Asalam Aleykum warahmatullahi wabarakatu sheikh..mimi nikikosewa kidogo napenda sana kuogea kwa sauti ya juu na kukasirika ovyo ovyo nifanyeje nisaidike sheikh wangu nisaidie
MASHA ALLAH KIPINDI KIZURI MNO SHUKRAN ALLAH AWAJALIE KHERI SHEIKH KIHEMBA NA SOTE
Mashaallah leo nimejifunz vitu muhimu Sana
Eee mtihan sana mimi mpaka nachanganyikiwa karibu zote na ndoa imevunjika allah atuhifadh
Mashallah...
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh ,aki sheikh iyo mada imenigusa Alama nyingi zimenilenga
Mungu ashkuriwe aliyetupatia mitiani hii ya Allh
Shukran sana shekh
Shukran shekh wetu jazaakallahu khayr
Subhanallllah
Mimi nakua na hasira sana pia vurugu na mke wangu malumbano yasio na faida
Shukran sn sheikh Kishk Tunaomba tujulishe NAMBA ya huyo sheikh wa kigamboni anaesoma Ruqia au tupe location.
Allah aniponye nahitaji kuolewa na kutulia kwenye ndoa yangu
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Mungu akulinde shehe
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Like
Dah maisha haya mungu atulinde
ALLAAH akujaalieni kheri
Shukran
Alhamdulillah izo sifa zote sina🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Mashaallah. Pia mm mara nyingi naota nipo bahari nashika samaki au naokoa watu watu au nipo kama vile napaa juu ya bahar je maana yake nn
Interesting topic
Kukaa chooni kwamda mrefu kukaa pekeangu ata wiki sitoki nasipendi kukaa nawatu kuota napendwa sana nazawadi napewa lakini nachelewa kuolewa nikiwa kwenye ndoa hasira kwasana
Subhanallah
Shekhb mi sipendi kukaa na watu na pia sipendi sehemu yenye maasi napenda kukaa ndani na kujishughulish na mambo yangu
Naona tunafanana sana
Shukuran Kwa kutujuza❤❤❤
Kwanini sheikh anaemia kueka sharubu
😢shekhe uliyoyasema ni kwel kabsa yote umesema ni mimi kabsa..naota ndoto kama serious ya maisha yangu kabsa..niliwahi kuota nakutaka na mwanaume,mara nimeolewa,nimezaa naye..hzo dalili zote ninazo hizoo
Assallamwallayk
SHEKHE NA MM NA MATATIZO NAOMBA NAMBA YA HUYO SHEKHE KIGAMBON
Asalaam Alaykum. Mimi naitwa Ibrahim Maiyo. Mimi nilikuwa Sawa haswaa nguvu zangu za kiume. Bunde ilipoa Bibi wa pili ghafla bin Huu nguvu zangu ikafifia Na hizia kutamani jinzia ya kike ikafifia. Je shida Ni nini
Asalam alaykum wazima
Kila la kheri shehe
❤❤
Asalamu aleikum sheikh naomba utuelekeze huyo sheikh huko kigamboni 😥
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Mm naomba no ya sheikh wapendwa plz😢
za nini?
@@MussaMohammad-ku5bt nnashida nayo
Jee talaka kwa njia ya meseji inasihi lkn pia mke haijamfika
Naam Assalam aalaykum warahmatullahi wa barakatuh na furai sn kusikia iyi mada so nime kuwa nataka kujuwa kuusu wa chawi ivi ni ukwl wa chawi wana fufuwa watu walio kufa??
Nii ya saba mm nipo nayo yaraby mungu atuepushie
Hii alama ya 7 mbona mm nnayo dahhhh nimeogopa 😢
Ni vip unajua Kama umefanha tendo lá ndoa na jini
Shehe.... Leo umenitoa tongotongo, elimu kubwa nimeipata Leo
2:59 3:03
Sheikh mimi katika miyogoni umeyasema Kuna dalili bili dalili ya kwaza huwa Sina matamanuvu kila Mara hata nikifaya tedo ladowa sihizi chochote dalili lapili huwa sitogozi hata nikiwa namutu binakwesha bila sababu yoyote nifaye nini ili niepukane nahayo kwauwezo wake Allah insha Allah
nitafute
Sheikh,mm mke wngu yuko na Dalili hizo naomba msaada ni fanye nini
majini NI waislamu ,je waislamu kuwatembelea waislamu wenzao hata kuoana kuna ubaya gani ?
Acha ubabaifu alokwambia ni waislam tu nani ? Wapo waisilamu waumini na hawafanyi maasi Wala hawamkaribii binadamu wanaishi maisha Yao . Wapo waisilamu wanafiki na makafiri kama wewe wanatesa watu wanawafanya watu kutenda maovu
Alokwambia majin ni waislamu ni nan mbona makanisani huwa mnawaombea watu na wanaanguka majin unataka kunambia na wenye wanamajin ya kiislam
Mbona wanaoenda kwa mwamposa huko tunawaona watu kibao wanasumbuliwa na majin na wanaanguka kila akiomb acha zako ww pastor kupotosha watu majin ni viumbe miongon kwa viumbe walioumbwa na Allah Kama mim na ww na wao pia wanamaisha Yao,wanafunzi zao pia mpaka wakiristo wapo Ko na wao kuwafata hao wakristo wenzao kuoana nao kuna kosa gan maana sio kusema hilo tatizo la ndoto au jin Mahaba hamna mbali sana kwa sababu majin wapo na humdhuru yyte waliyemtan hiwez nambia wanawataman waislamu tuu maana sisi binadamu mungu katuumba kwa maumbile mazuri. Ndio maana majin wanatutaman kama nyie wakristo hawawataman bas mnashida😂katika maumbile yenu
Uwe unafikiria kabla hujaongea
Kweli kabisa, majini waislamu, mashetani wakristo hata hakuna ubaya kuimba nao makanisani na kucheza nao.
hivi kwa nini huwa usiku naota nasoma Quran tukufu?wakati chuo nilikimbia yaani sijui kitu mana hata juzuu ya kwanza sikumaliza
Kwa sababu Yesu ana mpango na wewe
mashaaallah Allha ana mpango mzuri nawe❤❤❤❤❤🎉
@@joycegeorge-mf5knmpuuzi wewe
@@joycegeorge-mf5knungekuwa wampenda huyo mtu wako ungekuwa unapuyanga kwenye chanel za kiislamu?
@joycegeorge-mf5kn
Me jina mahaba wangu nyoka yani nateseka sijuewi nifanye nn
Hata mimi sheikh naishi mpakani oman na emirates
Nina mwanamke tunapendana muarabu nahivi ni mjamzito ila kinacho nishangaza naambiwa nijini sasa misielewi
Kweli jini anaweza kuonekana?
Mashaallah
Nii ya saba mm nipo nayo yaraby mungu atuepushie