MASHALLAH SHARKH I LOVE UR JOB I AM LIVING IN LONDON 🇬🇧 BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA. I AM PROUD OF YOU AND UR FAMILY MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY WITH UR LOVELY FAMILY AND GO FOR HAJJ SAUDI ARABIA 🇸🇦 INSHALLAH WITH UR MY SMALL DUA FROM BOTTOM OF MY HEART UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
JUMA MUBARAK TO U AND EVERYONE AROUND THE WORLD 🌎 AMEEN AMEEN AMEEN. REMEMBER ME IN UR DUA MY LOVELY SHARKH FROM TZ.UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nashukuru nimefanya hivo ulivo sema na nimehisi tofauti, kifua kimekua tofaut, na niko saudia na n mkenya nimepata haya mawaidha leo tarehe 27 mwez wa tano

Shukran sheikh Mola akujaze kheri nyingi na barka uzidi kutuelimisha Aamin.
sheikh asant allah akubariki kweli mimi ni meziba jicho la kushoto na halafu la kushoto na kweli nime tapika
Halaf la kulia nime tapika
As-salaamu 'Alayikumu War-Rahmatu-Llaahi Wa Barakaatuh.
Karibuni huku kwetu Magharibi ya nchi Kenya matatizo mengi. In Shaa-Allaah
JUMA MUBARAK TO U AND EVERYONE AROUND THE WORLD 🌎 AMEEN AMEEN AMEEN. REMEMBER ME IN UR DUA MY LOVELY SHARKH FROM TZ.UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nashukuru nimefanya hivo ulivo sema na nimehisi tofauti, kifua kimekua tofaut, na niko saudia na n mkenya nimepata haya mawaidha leo tarehe 27 mwez wa tano
Allah akuzidishie elimu ya kutusaidia
Subhanallah Allahu Akbar lailahailalah.
Ameen,pia mimi naitachi hayo maombi japokuwa Mimi mkristo
جزاك الله خيرا يا شيخ
Shee mi mkono wangu mmoja ume kufa nganzi na nime ogopa sana ulisema funga jicho
Mansha Allah
Subhanallah,,Alhamdulilah,,,AHSANTE SAAN
Asalamu alaikum warhmt wallah wabarkt shehe Mimi nlipo jiziba jicho nlitokwa na machozi lakn na mdogo wangu nyye kapata gazi ssa dwa tutazipataje
Nashukuru kwa awadaka hiyo
Allah atuepushe
ManshaAllah Jazzakhallahu Kheiri👏🏻,Ushahidi Mimi wakwanza Alkhamndulillah Dua Zako an dawa zimenisaidiya kiasi kikubwa,Allah akulipe InshaAllah.
Huwa anakusomea naanatoa dawa?
Amin
@@jumapiliissa4835 Dawa Zake Siyo zakishirikina,niza kisuna,Alkhamndulillah MarshaAllah🙏
@@alimatambwe3402 ok ntamcheki huenda nikapona
Assalamualaikum nsaidie na number yake please
Asalam aleykum sheih oman michael namomba mola akupe maisa marefu ya furaha na amani uendelee kuupata umma elim yenye manufaa
Jamani jicho la kushoto ndio shida,jicho la kulia halijatetereka hata kupepesa
Shukran
Kwa hakika ni kweli shekh: HILO SOMO NIMELIPATA KWENYE KITABU CHA
المنهج القرآني
Mm sija sikia kitu chochte
Shekhe mkitoa somo malizieni sirio namba mfano mbaazi malizia tifanyeje mojakwamoja
😭😭😭😭😭😭
Sasa mm nimefanya hivy kwa kukusikiliza ww tuu jicho la kulia machozi mengi ila la kushoto kidog
Mm jicho la kushoto siwez kufumba
Mm yamewasha alafu nimeisi machozi Kwa mbali sherkh naitaji kisomo walai Mitian n mingi
Nimekusikiliza Jana, nikafumba macho ila nikakuota usiku unaongeza nani..sikuelewa
😢
Aaahh
Shekhe mi jinalangu saleh abdul, ninajini Mahaba unaweza kunisomea ruqia online atoke au kunataratibu zake?
@@salehabdul6756 brother ukiwa umeshika swala zako tano..na. unafanya istighfar hakuna litakalo kudhuru
Sheik please why don't you open a branch in Uganda. 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Shemie kunamuda namka nakua nahasila sana
Ata kama ukiwa mbali?
Nasumbuliwa nakichwa kina kua kinabana kulia nakushoto
Mi sijahisi chochote zaidi ya hasira na wewe
Nimelia nilivyo ziba jicho la kushoto
Unalo
Subhana Allah
Nafanya lkn siku hisi chochote.
Mimi nimelia nilipo ziba jicho la upande wa kulia?
Na mm niko na histori upande huo wasihiri
HahahahhahaNa stry za kutengeza pesa
kama hauna tatizo huwez hisi chochote. mshukuru mungu sana
yani niizibe jicho kukuangalia wewe duh 😂😂