Salama Na Goodluck Ep 31 | WASTAHILI SIFA Part 2
Вставка
- Опубліковано 16 січ 2025
- #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
Sifa za Bwana inabidi zisemwe kwa zawadi hii alotupa sisi wanadamu, tunamshkuru sana kwa kipaji cha Goodluck Gosbert na tunamshkuru pia kwa kumfanya ni wa kwetu, kutoka nchini kwetu, kwamba ni mwenzetu. Kwa kweli binafsi nimependa sana na najivunia yeye.
Utamu wa sauti yake nadhani cha kwanza wengi tulikipenda sana, baada ya kumsikia tu, kama ilivyokua mara ya kwanza anataka kujifunza kupiga gitaa akaenda kanisani, na akaskika akiimba na wana kwaya wa kanisa hilo na wakampenda toka siku hiyo mpaka leo, ndo ilivyokua kwetu pia naamini. Kipaji chake cha pili ni utajiri wa mashairi, kipaji kikubwa cha kuandika na wakati naongea nae alitaja baadhi ya nyimbo kubwa alizowahi kuandika ambazo ni za ‘kidunia’ na pia kama zilimtia matatani kiasi maana imekua ikileta tafsiri nyengine kwa baadhi ya watu ambao wao wanamuona kwenye njia nyengine. Lakini hutunga nyimbo zake mwenyewe na pia anawaandikia wengine na katika hizo zinajumuisha kazi zake za nzuri tu alizowahi kufanya ambazo zilitufanya mimi na wewe tumkubali.
Kutoka kuwa mtoto pekee wa kiume nyumbani, na pia kukuzwa na Mama tu ambaye kwa mujibu wa Goodluck alikua muhangaikaji haswa, alifanya kila aliloweza kwa kujituma kuhakikisha watoto wake wanapata elimu ili ije kuwasaidia baadae lakini pia kukua kwenye maadili yaliyo bora kwa kumpenda na kumtanguliza Mungu. Mama yake hakuamini siku ya kwanza alipojua mtoto wake ni amejiunga na kwaya ya kanisani kwake. Na yaliyofuata baada ya hapo ni historia tu. Ungana nami kumskiliza Goodluck hapa na kama ilivyo kawaida, natumai utapata mawili matatu ya kukusogeza katika maisha yako. Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Mama ako ni best mama ever.Napambana pia kwa ajil ya wanangu 3,uwa naliaaaaaa yaan naelewa izo situations,ila namwamini Mungu nitavuka.Wamama tunapitia vitu vng sana kwa ajil ya watoto
Emen dear,Nina ushuhuda na nitaendelea kushuhudia wema wa Mungu kwenye maisha yangu na watoto wangu,nafanya kazi ya umatron kwenye shule fulani Arusha ninaishi na kulala kazini.watoto wangu wanaelewa na dada.Huwa namwambia Mungu Asante kwa ajili yao kila iitwapo leo.
Sana nakuelewa wengi tunapita lkn pale tunapoamua kukaaa kwa Mungu huwa hatuaachi jmn
@@blandinamnyinga8318 dah polen jamni 😭😭nimelengwa machozi
@@blandinamnyinga8318 dah polen jamni 😭😭nimelengwa machozi
yes mama tunajinyima ili watoto wakae maisha mazuri maisha yaende na Allah anatusaidia
Pongezi kwa wakina mama wote wapambanaji🤲
💪💪💪💪
"Nami nitakuonyesha mambo makubwa na magumu usiyoyajua" , maana yake kuna ninayoyajua, Nimeipenda iyo mtumishi Mungu akubariki.
"najivunia makosa yangu, hayo yamenifanya na kunitengeneza kuwa mimi". Thank you Goz B.
Maneno mafupi mazito,nikweli kaka G kuna makosa yametukuta ili cc tuwe HV Leo,tumepitia hayo ili tufike pale mungu alitaka tuwe leo
hongera gozb.una hekima sana kaka pia mnyenyekevu..mungu azidi kukupea marifa tokea mbinguni
Dada salama ubarikiwe sana🙏🙏 kipindi cako kizuri najifunzaga kitu kupitia vipindi vyako naskitika kukijuwa nimekawa. wewe pia unaonekana mustarabu sana
Mungu akubariki kaka naomba unisaidie naomba unierekeze inasalia wapi nikutemberee siku moja mengine tutaongea tukionana naomba mrejesho mm pia namtumikia Mungu!
Utakapo ona msg yangu naomba maelekezo niweze kufika hapo kweli kakaangu, Mungu azidi kukuinua mara 1000 nakazi
Yako amen.
Tungeelewa wote kuwa Mungu mara nyingi anatupitisha mahali kwa utukufu wake na kwa ushuhuda wa badaye na kuwafunza wengn kwahy tupo hapa kwa neema ya Mungu
I can feel it when ur mama cried ulipokosa msaada😥😥
Kaka anamanen ya busara na hekima.. Mungu akupe afya njema na umri 🙏🏻🙏🏻🌹🤝
Asante Salama kwa kumleta
nimepata kumfahamu maana ata nilikuwa sijui ni mtu wa wawapi thanks
Salama naomba Mungu akuinue zaidi. Wewe unaweza. Tanzanian Oprah. Sky is the limit
Mungu Amuinue Zaidi Mamaa Kemmy Ubarikiwe Mamaa Kemmy
Gozbeth una nidhamu katika kujibu maswali vzr sana!!!
Mungu akueke kakangu nakupenda sana kaka kwamaongezi yako unajibu vizuri sanaa
Salama you are the best.Hongera sana.
Asante sana Goodluck umetupa ushuhuda.
Super interview
Nimependa sana, hii ni inajenga watt wa familia masikini
Nimefrahi kumleta Goodluck Salama nakupenda tunaomba pia kufaham story yako nta frahi pia coz nakukubali sana
Goodluck ni mtoto wa MUNGU na amebarikiwa sana
Salama my darling...you are the best interviewer. There is something about you that i love. Goodluck your very wise na unajibu maswali vizuri
Wamama woote duniani mungu amueke jamani kwamajukum yeenu ikiwemo mm
Usifocus kueleweka na wanadamu...Mungu kukujua wewe INATOSHA!
Barikiwa sana mtumishi, unahekima ya kizungumza.. Roho azidi kukuongoza..
Ila nilichogundua ni kuwa Muziki wa Gospel una vita sana.
Yaani Goodluck ameongea hadi nimetoa machozi,kwakweli Kwenye maisha tunapitia mengi,Eee Mungu wajalie kina Mama wote na kuwasamehe
Umeniliza sana goodluck,kweli Mungu ni Mungu.
Nimelia piah
Kama umemuonaa Salamaaaa kasukaaaa minyoooooosho ya kiunguja
Salama .mjue goodluck na chidi n watu wawili tz ambao wanamajibu ya kila kitu kwa wao n ma genius.
Duuuuuh apo kwenye mama gudluck kulia pameniliza pia
I LIKE THIS ONE, GLORY BE TO GOD
Goodluck Gozbert ni mmoja wa shabiki yako nakubali sana kazi zako!!! Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka tele, 🙏
Shout out kwa wamama wote wapambanaji aisee, Goodluck kumbe kaandika nyimbo nyingi hivyo aisee watu huwa tunasikiliza tu hata wasanii hawasemi kuwa wameandikiwa
Interview kaliii mnooo Yani salama hukosei interview zako zote Kali nashndwa had kuchagua ipi namba moja..
Mtafuteni father p aliandika nyimbo za zamani sana zilizofanya vizuri
Gozbert, salvation is personal relationship btn you and God. Christianity lies in the heart! Live your life trusting God...you will never be able to please people. Just make it right with your creator. Salama job well done as always.
Najivunia makosa yangu hayo yamenifanya kuwa mimi'''💪
Namkubal xana goodluck nyimbo zake nazielewa xana mung amubarik xana
Nimeipenda mno yaan nmejifunza kitu
Wow kavulana kamenifundisha jambo... Nimebarikiwa gafla
god bless you gozb...humbleness observed in you
Nimependa sana
Goodluck iz the Best
I was waiting for this to so Long .. ..napenda Sana nyimbo zake kaka gozbert,,maisha yake leo yamenipa nguvu Sana yakaendelea kusonga mbele zaidi ..... Mama goodluck ni super stronger woman
Hongera zake mama mpambanaji
Kma unaangalia hii interview leo like hpa 😊🌶🍷
Ukiachilia Sauti yake ya kuimba, goodluck anasauti nzuri zaidi ya kuongea.. Alafu mtu uchoki kumsikiliza yaan.. Ana sauti Fulani hivyiiiii...... If you know you know..
😝😝
Mtamu balaa
SALAMA UTULETEE NA JB ,SHEIKH KIPOZEO
Kipindi changu pendwa ni SALAMA NA.♥️♥️ Wewe je?
I appreciate what you say Youngblood generation DO your best always and God will do the rest
Best of the best interview Salama na Gozbert
Nimeipenda sana hiyo interview yn goz b unahekima sana na dada angu salama hongera sana kwa interview nzuri.
This guy is very smart, I like the way anavyojibu maswali yake
Nibadilishe wimbo mzuri sana maana hata kucheza mfalme Daudi alicheza hadi nguo kutaka kumvuka. Watu tu wa sasa wanapenda tu ku judge maana hata Angela Bernard aliwahi kusemwa kisa tu alijiremba kny video. Mtu akiwa ameokoka haimfanyi asidance ndio maana hata guitar na vinanda vyote tunavitumia kumsifu Mungu...
Ave watched this interview 3 times..wow
Safi sana kaka naipenda sana huduma yako
Waooo g b mungu azd kukuinua
R.i.p mamaa dah heshima kwa wanawake wote,Mungu atusahidie
Huchoki kumsikiliza yani....
Thank you so much good luck , alike your story about your life , God bless you dear
Best mom
Nimekupenda bure God z
Very special boy
Nimependa sana anavojua kujibu maswali
Daah....aiseh huyu jamaa nimeangalia Hadi mwisho
Jaman salama ni mcute jamen nampenda huyu dada
God bless you.
Daaaah your story is so touching
Goodluck saaafisna story imevutia sana
Hakuna party 3 salama
Hiki kipindi nakipenda sana jaman
Inteview inayo jibiwa kwa akil sana hii
Hakika Viva GG Viva GG Viva GG Viva GG
Wa kwanza Mimi apa nipe like zangu
Jamn Mama ake Godluck Ni kama Mama ang Yaan anapenda kulia sana jamn😢😊
This show is very inspiring🙏🏽🙏🏽
best interview ever anaongea vizur sana
#Awesome, there’s just something about this interview 👌🏾👌🏾👌🏾
Hata makosa yangu najivunia, that is nice🔥
Can we see Wema Sepetu in this show please
Nice one kilasiku sister keep doing good job
Dada salama ure best
Maisha uliyopitia kama yangu hadi umeniliza Goodluck
Mengine yatasemwa tukifa
Great interview
Yah stn ...best show in tz now... congrat to u Salama ...
Aseee Salama huwezi weka part 3 kwa hiki kipindi maana hatariiiii Sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kabisa🙏🙏🙏🙏
Hii nzuri sana
Kind hearted
Salama bhana ety ukisifu mashairi yanashuka
Mi nilikua bado naendelea kumsikiliza ,kumbe kamaliza kaman
Natamani Dudu Baya awe interviewed
😣😣😣😣😣
🤣😂😂😂😂😂😂
GOODLAK HAJAPEWA JUIC YA NYEGEZI🙈🙈🙈
😁😁😁
😃😃😃
Amen 🙏
Hapo dakika 15:58 Salama imenigusa aisee..
Salama una mauno gani weye 🤣
HIS EYES MHH MHH GOD CREATION
@Calvin Mushi unacheka nin sasa?
@Calvin Mushi acha unoko
❤🥰
Story yako imenyooka saana kiufup ninekuelewa saana mzee baba
😍😍