Nimelia hadhi kupasuka😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Eee Mwenyezi Mungu usameh wazazi wetu👏Pia sisi wasichana utusamehe pia tunapitia kwenye mengi mno😢😢😢😢
Dada na kaka njo inaisha ivo tutegemee kingin kitu kipyaaa kutoka kp na zebuu nawakubali sana mno nawafuatilia tamthilia zenu uwa zinamafunzo tere from Quatar@Burundi
Kwakwel hapa palikua mwisho ila nimejufunza mengi sana na pia nivitu ambavo vishawai kunitokezea ila mm sikuchukua wowote bali na kuumia moyo😢more love guys @saudia,,, kenya ❤❤❤
Daaah imeisha mapema san ila funzo tumelipata na na hisi move zote mwataka kuzimaliza maan hata wamangushi naon kam yaisha ila hongereni kwa burudani twa enjoy san✔️✔️✔️
Hongereni vijana mnafanya kazi nzuri, Ila naona kwenye barua ya Zebuu, Kuna mambo ambayo mnaweza kusahihisha pengine hata kwenye kazi nyingine hali hii isiwe inajirudia, Barua ni kama vile ameiandika akiwa ameshafariki, na pia haioneshi kama ameiandika kabla ya kwenda hospita kutoa mbimba ingawa inaonesha imekutwa chumbani kwake, haioneshi kama ameiandika akiwa hospital pengine baada ya kuona hamna uwezekano wa kupona, n.k, nafikiri mmenielewa kile najaribu kusema. Yote kwa yote, kazi nzenu ni nzuri
Franchement ce film est une leçon, merci à toute l'équipe et spécialement à vous KP, ZEBUU et le papa à ZEBUU... Vous êtes extraordinaire. Coup de chapeau à vous!!! Nawapenda sana jamani... 🎉
Nimeipenda kipindi tangu mwanzo hadi mwisho na kiukweli nimejifunza mambo ambayo kama kifamilia inapaswa kujifunza ni vyema familia kujuana kila mmoja nawapenda nyote 4rm🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Zebuu na kp mlitakiwa isiishie hapa coz history ni nzuri sana na kubuni kupata story kama hii ni kazi sana so mapema sana mngezidi kutengeneza jina zaidi kupitia movie hii
Hongeleni sana Mimi nawafatilia toka mwezi wa tatu bint nyoka wamangushi mzee wa Giza benzemaa mmetisha na nimewapenda sana ongezeni bidii.
Inauma sana😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Ila nimejifunza kitu pia naomba hata za kuhebu basi from Kenya nawapenda
Wanaopenda jinsi kp acacheza bs like hata 10
Ujfififfiirkgujcgkgrigkxf😅😮🎉🎉😂❤❤❤ 12:04 ffif 12:07 12:08 e
Jgkxufkgiruwwjgrkfrkrtkgifjeugjrufqdjxfbfjjkhjhr😢❤
Aki na mm Leo mnipe maua yangu tu 🎉🎉🎉wale mnatamn movie itokee kila sku piteni apa❤
Nimelia hadhi kupasuka😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Eee Mwenyezi Mungu usameh wazazi wetu👏Pia sisi wasichana utusamehe pia tunapitia kwenye mengi mno😢😢😢😢
Nimewaelewa mpaka nmewaelewa tena, aisee nyie ni🔥🔥🔥🔥
Napenda sana KP n zebuu Mzee likoma n Sheila ❤❤❤❤❤❤❤❤ much love guys ila zebuu hameshidwa kufumilia❤❤❤❤
Imeanza vizuri na imeisha katika fundisho kubwa mungu awabarik san
Dada na kaka njo inaisha ivo tutegemee kingin kitu kipyaaa kutoka kp na zebuu nawakubali sana mno nawafuatilia tamthilia zenu uwa zinamafunzo tere from Quatar@Burundi
Kwakwel hapa palikua mwisho ila nimejufunza mengi sana na pia nivitu ambavo vishawai kunitokezea ila mm sikuchukua wowote bali na kuumia moyo😢more love guys @saudia,,, kenya ❤❤❤
Jebe langu mzee likoma sijachelewa sna nipeni hata like 10 tu 😂😂😂
Wenye walifatilia tango mwanzo muko wap😂❤❤❤
Daaah imeisha mapema san ila funzo tumelipata na na hisi move zote mwataka kuzimaliza maan hata wamangushi naon kam yaisha ila hongereni kwa burudani twa enjoy san✔️✔️✔️
Shukran tunaleta mpya
Nzur sna n iko n mafunzo hongereni ila imeisha mapema
@@kpwaaquino saw boss twaisubir kwa hamu hamna kazi mbovu
Pole zebuu uliachwa peke Yako aukua na mtu wakukupa moyo❤❤❤ you
wee hii final ni kali sana watching from kenya💯💯💯👍👍👍
Inauma sana hki, lkn n funzo pia kwa watu wengine
KP ZANGU JAMAN😢 NATAMANI IENDELEE ISIWE MWISHO ASANTENI SANA VIPENZI VYANGU NAWAPENDA WOTE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Weeeee kp na zebuu wamefika mbinguni hebu tuambieni uzuri wa mbinguni jamani
Kiukwel kabc hii final imenhuzunsha sana,tumejifunza kitu,asanten sana
Yuhuuuuuuu ❤🎉🎉🎉 mm wa 6 leo nmewahi san 🥰🥰🥰😘😘 nawapend timu kp na zebuuu wapewe maua yao🥳🥳🥳🥳🥳
Ujumbe mzuri sana😊😊😊
Hongereni kwa elimu nzuri
Asante kwa fundisho hili hakika nimejifuza 😢😢😢kp zebu mungu awe pamoja na nyie nawapenda sana, Asanteni yote kwaujumla
Kazi nzuri zebuu
Ila napenda sheilaa queen maza😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Hongera sana.... nmejifunza kitu hapa....🎉🎉
As ante Sana kea mafuzo mazuli kipenzi akika mungu azidi kuwalinda daima ili tuzidi kuinjoy❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni vijana mnafanya kazi nzuri,
Ila naona kwenye barua ya Zebuu, Kuna mambo ambayo mnaweza kusahihisha pengine hata kwenye kazi nyingine hali hii isiwe inajirudia,
Barua ni kama vile ameiandika akiwa ameshafariki, na pia haioneshi kama ameiandika kabla ya kwenda hospita kutoa mbimba ingawa inaonesha imekutwa chumbani kwake, haioneshi kama ameiandika akiwa hospital pengine baada ya kuona hamna uwezekano wa kupona, n.k, nafikiri mmenielewa kile najaribu kusema.
Yote kwa yote, kazi nzenu ni nzuri
Atii kipindi kimeisha 😂😂😂😂😂😂😂na vile kilikuwa kinabamba sana much love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kp na zebuu i'm watching you guys Faith from Kenya 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Bambi thanks ba dear its a very great lesson to all parents and youths thanks a lot again
Thanks for watching
Wanaopenda zeb anavyolia like hata tano❤
Nawapenda sana kp na zebuu n'a wafwatilia sana Emmanuel kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Kweli kipendacho roho n dawa,ila imefunza kw waume n wdda pia,mungu abarki kz yenu❤❤❤❤
Franchement ce film est une leçon, merci à toute l'équipe et spécialement à vous KP, ZEBUU et le papa à ZEBUU... Vous êtes extraordinaire. Coup de chapeau à vous!!!
Nawapenda sana jamani... 🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mapenzi iendelee kule mbinguni
Duuuh hongeren sana watunzi story inafundisha sana aseee
Kp na zebuu wamekutana Akhera😂😂❤
Ila mliichelewesha sana ❤❤❤aki nawapenda sana
Zebuuu unakufa aje hii mapenzi hadi mbiguni wah
Mmekutana tena mbinguni Safi sana❤❤❤
Much love from Mombasa Kenya ❤❤❤
Wow really amazing ❤❤❤
Jaman mapema imesha Sana jaman. au siyo mashabiki
❤❤❤❤aki iendelee uko mbinguni waaah n tamu aki
Jaman kwann kp n'a zebuu wafe nawakat wanapendana
Ujumbe mzuri sana barikiwa sana
Nimelia yangu yote 😢😢 lakini nimefurahi kuwaona mkiwa heaven wote ❤❤ nawapenda sana ♥
uwaoooh 😢😢 but nice jmni dahh mungu kawapa kipaji na2apend sana
Nakubali sana kazi nzuri san nawakubali kutoka moyoni mwangu
Nimeipenda kipindi tangu mwanzo hadi mwisho na kiukweli nimejifunza mambo ambayo kama kifamilia inapaswa kujifunza ni vyema familia kujuana kila mmoja nawapenda nyote 4rm🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Duuu tamu japo inaumiza 😊😊😊
Zebuu kafanya vizuri,baba ana makosa makubwa sana kwa kutowatambulisha mapema.lea mimba yko Zebuu
Wa kwanzaaaaa
Miwapili
@@PASTEURGENEROSEKABAKA😂
Nawapenda chukuene mawua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila nyiye wa bongo nitakuja hasha kutazama mobie zenu ,Zebuu kafa ila musalaba wa kazu😂 ndo umewekwa😅
Nalo hili neno... Hawajui kuweka ukweli ndani ya kuigiza
Tumependa❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉rr🎉🎉
Ni kuz means kuzaliwa na si kazi good job kp na zebuu❤❤❤
Kp na weye zb munanifurahisha sana.
❤❤❤❤🎉🎉Mbona kaisha sasa anyway nawapenda sana nyie wote❤❤❤
Well done, kwa kwel hii ni movie ya mwaka huu🎤🌹🥀
Zebuu na kp mlitakiwa isiishie hapa coz history ni nzuri sana na kubuni kupata story kama hii ni kazi sana so mapema sana mngezidi kutengeneza jina zaidi kupitia movie hii
😢😢dah! Jmn zebuu 😢 nawapongeza sn kazi nzur❤
Mbn imeish mapema sana jmn🎉
😢😢😢imenihuzunisha hatariiiiiii
Nimejikuta machozi yanabubujika 😢😢 dahhhh sawa bwana
Love it 😍
Jamani mbna imeisha mapema ivo..hongereni sana jamani nawapenda❤
KP SIJAPENDA KABISA 😭😭😭POLE ZEBUU WANGU
Imeniumiza sana ........😭😭😭😭😭.......ongereni sana lakini nimejikuta ninalia tu ❤❤❤❤❤❤
We baba mzee likoma. Usilolijua nisawa na usiku wa giza 😊😊 masikin we zebuu😢😢😢
Mbn xheila anapenda nguo nyeusi ivoo🙃🙂🙂
Ni mmangushi
Funzo kubwa san wallah ❤❤❤maajabu 😂😂😂😂😂😂
Kwani ulijua aje utafariki😮poleni sana
Na ulipo fika ukimtaka zebuu mzee alikataa
Hakika jamn nifunzo zuri sana
Nawapenda sana zebuu na kp mubarikiwe sana❤❤❤🎉
Daaaaah inaumaaa snaaaa 😂😂
Nimemuonea huruma sana zebuuu jaman
Machozi band😆😆😆😆
Yaan me nadhania ndo wa kanza kumbe mshafika jamani nipee likes basi ata kumi tu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🤔🤔haya asanten team Kp and Zebuu kwa movie yenye mafunzo
You doing ok today ❤️❤️❤️ is good for us too but
Jamani. Zebuu kafeya kwa dada na Kaká kwayo atutamwona tena
masikini zebuu RIP kwenye kaka na dada
Mwee kwahyo mtoto wa kp kabaki hana mama
Hakika ni hamna move mbaya ni safi san
Asanten sana kwa kazi nzuri hakika nimejifunza kitu😢
Big tena kpvs zbu
Yaan Kp na Zebuu mnajipendelea yaani mjiuwe kisha muende mbinguni kweli😂😂
Nawapenda xn kp na zebu naomba like zenyu jameni 🎉🎉
Good job from Kenya 🇰🇪🇰🇪😘
Mala paaaa mwenye kabuli lake anaamka😂😂
Have never cried like today 😭😭😭😭
Hap nimewaelew short and clear lkn how about mzee wa giza
Funzoo zurii sanaa❤❤
Nimejikuta natokwa na machozi😢😢😢😢
Kp hapa umecheza jameni mpaka niketokwa machozi pia🇰🇪🇰🇪
Kutoka Burundi nawapenda sana
Kazi Moja nzuri sana umetisha sana
Hiii nzuri nimeirewa
Jamani. Nawapenda kp na zubuu sofiaa
Bado hamjasema imeishaje
Jamani zebu uwez ukafa kabis bad 2nakupenda na kp maisha yaendeleeee
Kp😢pole
Very very interesting story for really nmejifunza ktu kupitia hii story yenu kp na zebuu be blessed 🙏🙏
Nimelia haki hii movie Zebuu umesikitisha sana
😢😢😢😢inauma jmn zebu pole😢