Gg huwa ninapenda Sana jinsi unavyojuwa kujielezea, na kujibu maswali unayo ulizwa Pia huwa ninafwatilia Sanaa nyimbo zako unazoimba Ila, mtu asipokuwa rohoni hawezi kuzitafsiri matokeo yake atakushtumu maana nyimbo zako Ni chakula kigumu Kamamtu hajakuwa kiroho hawezi kuzielewa Wala kuzitafsiri, ok ninakupongeza Sana kijana, samama katika neno la MUNGU, hata hao ambao bado hajakuelewa okosiku tu, watakuelewa💪💪💪
Vionjo vya bongo fleva kwenye gospel sio vizur hakuna ukristo wa zaman na ukristo mpya tuzidi kuwa na maadili na dini zetu kiujumla mwishowe utaamia bongo fleva kaka🙏🙏🙏
Gg huwa ninapenda Sana jinsi unavyojuwa kujielezea, na kujibu maswali unayo ulizwa
Pia huwa ninafwatilia Sanaa nyimbo zako unazoimba
Ila, mtu asipokuwa rohoni hawezi kuzitafsiri matokeo yake atakushtumu maana nyimbo zako Ni chakula kigumu Kamamtu hajakuwa kiroho hawezi kuzielewa Wala kuzitafsiri, ok ninakupongeza Sana kijana, samama katika neno la MUNGU, hata hao ambao bado hajakuelewa okosiku tu, watakuelewa💪💪💪
Uko sawa mtumishi wa MUNGU
Mungu akutie nguvu zaid natamani sana kufikia hatua uliopo mtumishi wa mungu ❤
Umefika
Nampenda yeye na nyimbo zake
Kila siku tunasema We Jamaa unaakili sana
Kaka unapambana sana kuhalarisha bangi😂😂
Ubarikiwe Mtumishi wa mungu
Mungu azidi kukuinua Bro
Nakuelewa sanaa my city-mate
Vionjo vya bongo fleva kwenye gospel sio vizur hakuna ukristo wa zaman na ukristo mpya tuzidi kuwa na maadili na dini zetu kiujumla mwishowe utaamia bongo fleva kaka🙏🙏🙏
Ameishakwambia hakulazimishi kua kama wewe😂😂😂ishi maisha yako bhana
Mziki Ni ule ule utofauti Ni maneno Ila frame ya mziki vinanda Ni vile vile vinavyo fanya bongo flavor na gospel.
Amen sana brother 🙏🙏✍️
Nimekuelewa Sana uzidi kubarikiwa Mtumishi
People so petty...I love everything about the video...dance moves, beats, dressing very stylish😛🤩
That is pure Wisdom 💯 right there.
I really loved the song
Genius goodluck
Uzid kubarikiwa
Me nimekuelewa somehow
thanks
Nic moment
😂😂😂 Sasa wewe mavazi yako tu sawa