MAPENZI YA WAGOMBANISHA SIKU YA BITHDAY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 351

  • @valentinembeje
    @valentinembeje 6 місяців тому +18

    😂😂😂 daah et we ndo uliyenisababishia anakosa gani MR UKY,.. WADADA WENGINE JAU SEMA NN MWENYE MPENZI KAFANYA UNYAMA SANA I DO APPRECIATE IT. 🤩

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 6 місяців тому +31

    Siku yako moja utapigika na hii kazi itakuwa mwisho wake.😅😅

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 6 місяців тому +9

    Huu mchezo kaucheza imma kumkomesha uyo shogaake mtu na alijua kabisa yupo na mwanamke wake coz isingekuwa mchezo basi Mr uky asingekataa kumpa cm huyo dada, mkome mashoga mboga kidogo TU ww ushabeba bwana wa mwenzio😂😂😂 Asante imma umejua kunikomeshea mtu

    • @yasintatemba8424
      @yasintatemba8424 6 місяців тому +1

      😂😂😂

    • @josephshayo5493
      @josephshayo5493 6 місяців тому +1

      Kama ni hivyo sawa. Lkn kama sio hivyo angepewa tyu simu yake maana n zawad yake.

    • @salmajuma4300
      @salmajuma4300 6 місяців тому

      Imma katakana kumuonyesha Huna rafiki. Ndio anasababisha tugombane

  • @Denatha_50
    @Denatha_50 6 місяців тому +14

    Woyooo 😂😂😂 huyu kaka emma ana akili sana😂😂 ila mimi siwezi ruhusu rafiki angu awe na mazoea na libwana langu😂😂😂

    • @فاطمهال-ص7ت
      @فاطمهال-ص7ت 6 місяців тому +1

      😂😂😂libwana lako jemeni 😊

    • @Denatha_50
      @Denatha_50 6 місяців тому

      @@فاطمهال-ص7ت eeh ndugu yangu libwana langu 😂😂

    • @Baitha-i3c
      @Baitha-i3c 5 місяців тому

      Wanajitakia wenyewee😂😂😂

  • @jamesngalahinzano3464
    @jamesngalahinzano3464 5 місяців тому +1

    Amefanya vizuri Sana huyu dada, Bado akamvuruge huyo boy.

  • @alonchobasamiye6844
    @alonchobasamiye6844 6 місяців тому +50

    tabu zangu zikiisha nitamuuona Bwana akinikalibisha kule karibu upumzikeee🙏

  • @lucympute1283
    @lucympute1283 6 місяців тому +2

    😂😂 nimecheka sana 😂, et ata sioni umuhimu wa kumpigia😅😅

  • @AxmaaSon
    @AxmaaSon 2 місяці тому

    Nyinyi wt malaya tuuuh koh kawaida kushare mabwana c munatafuta ridki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kula chuma ichooo malaya nyinyiii

  • @ayubusiwakwi1713
    @ayubusiwakwi1713 6 місяців тому +1

    Safi braza Uky ukimkimbia vzr sanaa 😁😁😁😁😁

  • @CareenKaleen
    @CareenKaleen 6 місяців тому +2

    Usimpe yani tamaaa mbaya sanaaa

  • @BasuleBasule
    @BasuleBasule 6 місяців тому +4

    😂😂😂😂😂 Mr Ebu Tujibu Tuvimbe bhana Kaka

  • @annamosses14
    @annamosses14 6 місяців тому +20

    Niliwaambia mashoga zetu ndo tunaotembea nao kwenye vyupi mkakataa 😂😂😂😂

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 6 місяців тому +16

    Uky tuletee part 2 ya Buthaina na Sara pls. Ilikuaje baada ya kwenda nyumbani kwa shemeji.

    • @RachelEmid-jq6eo
      @RachelEmid-jq6eo 6 місяців тому +1

      Kabisa halafu ajtahidi kuwek part one na two maan hamalizii story

  • @azizrashid6173
    @azizrashid6173 6 місяців тому +2

    Mr uky😁😁😁 napenda mambo yako

  • @Eddyx21
    @Eddyx21 6 місяців тому +2

    Sawasawa nzuri iyoooo

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 6 місяців тому +2

    Mr Uky umezingua kutompa simu dada wa watu ulisema akisema ahsante mnakabidhi kilichotokea wewe uhusiki fanya ulichotumwa mzee

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 6 місяців тому +5

    😂😂mbona namba ya Imma nikama haijaseviwa af sijaelewa hapo huyo dada alivompokonya simu mbona imma hakuendelea kuongea wakati hajui kinachoendelea😂😂, naona like mchezo umepangwa huu,ukute pia ni matangazo ya centre ambapo simu zinauzwa maana namuona Mr kavaa tshirt, kofia ya ilo duka.

    • @oliverleonard-ge2cr
      @oliverleonard-ge2cr 5 місяців тому

      Imma alikua anajua anagonganisha so hapo atakua alizijua saut za babe wake ndo maana akamute

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 6 місяців тому

    Alhamdulillah🤲 Sina shoga

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 6 місяців тому +6

    Kumbe mmeshaachana,,muache mwenzio afaidi na yy, kwanza wiki ni nyingi sanaa ni kama mwaka kwa haya mahusiano ya siku hizi,,na si ajabu aliyeyapanga haya ni mwanaume.,,pole mahi wangu,, mali yako ishachukuliwa😅😅😅😅

    • @RahelMdou
      @RahelMdou 6 місяців тому

      Exactly 💯

  • @prosperiamdetele1421
    @prosperiamdetele1421 6 місяців тому +2

    Hahaaaaa😂😂😂 uwii mm nakufa nachel cina mbavu

  • @ArafaAlly-nj8gs
    @ArafaAlly-nj8gs 6 місяців тому

    Kwanza kabisa kabisa sikuyakiyama kaburilako litawakamoto kwaajili yauchonganishi hukosikuweka mambo sawa balinihatari kubwa

  • @BasuleBasule
    @BasuleBasule 6 місяців тому +13

    Wale Walioenda Kufumania kaka Mbona Utumalizii

  • @lovenessfracis
    @lovenessfracis 6 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Yaaan nimejikuta nacheka sijui nacheka nnn mm😂😂😂😂

  • @linahmlay8512
    @linahmlay8512 6 місяців тому

    😊😊😊😊😊 iv wangu nitamdaka lini mashost mbwa kabisa

  • @ZeyanaKhamismashaka
    @ZeyanaKhamismashaka 6 місяців тому +4

    Ushoga mavi uwoo looo haoni ata Haya ila ilikuwa ashajuwa uyoo umeona apo ampgye cm kakataaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AliAli-iy4ul
    @AliAli-iy4ul 4 місяці тому

    Usiogope mr Uk hicho ni kipajiii broo

  • @islamyasin7203
    @islamyasin7203 6 місяців тому

    Umekosea broo mwenye zawadi umemkuta ilitakiwa umpatie tu.

  • @Asia-c1m
    @Asia-c1m 6 місяців тому +2

    Mmmmh pole sana maana unakutana na misukosuko 😂😂😂😂

  • @EstellaMagara-zk2qx
    @EstellaMagara-zk2qx 6 місяців тому +3

    WA kwanza leo 😂😂😂

  • @odejose556
    @odejose556 4 місяці тому

    Moniii na pro ..haachi kitu

  • @Denismayeye18
    @Denismayeye18 6 місяців тому +2

    Mr. Uky pole ya leo kali

  • @judithrichard5546
    @judithrichard5546 6 місяців тому +6

    Jamani mashogaaaaaa mnikomeeeeeeee

  • @anethvicent5870
    @anethvicent5870 6 місяців тому +3

    Leo nmekuwa wa kwanza jamn😂

  • @franciscamakoye9891
    @franciscamakoye9891 4 місяці тому

    Hotel nzuri, Mr Uky niambie hapo ni wapi please

  • @youngchyna744
    @youngchyna744 6 місяців тому +3

    Nimecheka sanaa

  • @annamoshi5766
    @annamoshi5766 6 місяців тому +2

    Jamani kina ima heeeeee mbingu wataisikia tu aki vile 😂😂😂😂😂😂 😂😂😂

    • @Mhappy5
      @Mhappy5 6 місяців тому

      Hata ardhi yenyewe ngumu😅😅😅

  • @AishaAisha-yz3ns
    @AishaAisha-yz3ns 6 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂hii Kali kuliko

  • @BookerWfing
    @BookerWfing 6 місяців тому +1

    Mr uky shemeji kajichanganyaa part two mbona uletiiiiii jmniii😢😢

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 6 місяців тому +2

    Sasa alivyomuacha wiki nzima alitegemea jamaa abaki single 😂😂😂 jamani kama unampenda mtu usijinunishe muda mrefu ona sasa😂😁

  • @kanezajoella6663
    @kanezajoella6663 6 місяців тому +6

    Jamani mwanaume kama anakupenda na anakuheshimu hawezi tembea na rafiki yako ila kama mwanaume amesha kuchoka basi atafanya hayo na kwa nini ampe zawadi manaake anampenda huyu dada ange tulia tu

  • @BabaFarzan-ml4er
    @BabaFarzan-ml4er 5 місяців тому

    Sabra na Emma wapi na wapi
    Emma na Monica ndio inaenda
    😅😅
    Wanaume hatupendi ujinga
    Usitujaribu

  • @lucaszacariaszacarias3894
    @lucaszacariaszacarias3894 6 місяців тому +1

    Mr uky😂😂😂😂😂 huta kuja kupigwa siku yake

  • @nelsonjohn-r8j
    @nelsonjohn-r8j 6 місяців тому +2

    😂😂😅hii mmetengeneza hakuna chakutudanganya hapo

  • @zinatyben
    @zinatyben 6 місяців тому +1

    We Mr uky njo tufanye challenge Ila cna mpenzii wala shogaa😂😂😂

  • @jeromiiydaniely3361
    @jeromiiydaniely3361 6 місяців тому

    Hahhahahaahahaha mchepuko Hana akili Mr siku utakuja kupigika 😅

  • @gamarahmed3258
    @gamarahmed3258 4 місяці тому

    Kwa kweli mashoga wa mjini ndo wako hivo hawajui kutafuta vaa kwao mpaka waibe VA wenzao

  • @SwaumuKatundu
    @SwaumuKatundu 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂 🙌🤣🏃🦅 tutaolewa kweli mmmhhh

  • @BrightnessGasper
    @BrightnessGasper 6 місяців тому +2

    Mr uky😂😂😂😂😂😂 pole baba

  • @AidaAbdul-pt5dn
    @AidaAbdul-pt5dn 6 місяців тому

    Mmmmhhh..... Sitaki ushoga mm kwenye maisha yangu

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 6 місяців тому +2

    Mm ni mngekupigaaaaa vby mno

    • @latifaally8289
      @latifaally8289 6 місяців тому

      Yaan ningemvunja shingo walah 😂

  • @RazakBakar-rq8bo
    @RazakBakar-rq8bo 6 місяців тому +1

    Sa na ww mr uky uo mkofi haujakuuma lkn😂😂😂😂 mN si kwa mkofi uo

  • @rodaananias6541
    @rodaananias6541 6 місяців тому +1

    Kwanza jina Emma,🤣🤣🤣,

  • @jairatu688
    @jairatu688 6 місяців тому +1

    😂😂😂😂pole sana Mr Uk

  • @anitabarnaba
    @anitabarnaba 5 місяців тому

    Bora uwe singe tuh😅😅😅😅

  • @roseshonyera9929
    @roseshonyera9929 3 місяці тому

    🔥 🔥

  • @BethaMartini
    @BethaMartini 6 місяців тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂 sinaga shogar na hatakaa atokee😜🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JemimaMdota
    @JemimaMdota 6 місяців тому

    🤓🤓🤓🤓 nimesema nipe hiyo cmu ,,,, yanin jaman ila hapo tu umenifurahisha kwakutokumpatia cmu

  • @judithrichard5546
    @judithrichard5546 6 місяців тому +2

    Na ulete part2 ole wako mr uky

  • @JaffarIliasy
    @JaffarIliasy 6 місяців тому +3

    Umalaya tuh kuoga mmmh😂😂😂😂

    • @jokhajj
      @jokhajj 6 місяців тому

      😂😂😂

  • @RehemaOmary-xp4fk
    @RehemaOmary-xp4fk 6 місяців тому +1

    😆😆😆😆😆nimecheka nusu mikojo inimwagike nimekimbia chooni kwann amdidimize kwenye keki😆😆😆

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke 6 місяців тому

    Apo kwenye kibao kwa Mr uky 😂😂😂😂😂😂

  • @AzahOmary-kd2db
    @AzahOmary-kd2db 6 місяців тому

    Mmmh yaan utakuja kuuwawa😂😂😂😂 Mr urky

  • @AzizaEliya
    @AzizaEliya 6 місяців тому

    Huu ni udharirishaji kwa kweli 😌

  • @jamesnkane3
    @jamesnkane3 6 місяців тому

    Uky banaa et nisamehe Mimi basi😂😂😂😂😂😂

  • @MarryEdward-c7x
    @MarryEdward-c7x 6 місяців тому

    Eti shwaaa kikakulambaa😂😂😂😊

  • @MeryMrosso
    @MeryMrosso 4 місяці тому

    😂anajua ni mume wa mtu na Bado anataka simu😂😂😂

  • @LindaKway-qv8wf
    @LindaKway-qv8wf 6 місяців тому

    Hii ni kweli,mashoga hapana,kuna dada aliachana na mpenzi wake baada ya wiki Rafiki yake kaolewa na mpenzi wake

  • @FaridaKizenga
    @FaridaKizenga 6 місяців тому

    Aibu naona mimi😂😂😂😂 siku za mwiz ni 40 dada👌👌👌

  • @SINTACLEMENSBYABATO
    @SINTACLEMENSBYABATO 6 місяців тому +5

    😂😂😂😂😅 baada ya kupakwa keki uson mie hoi na amazing mek up

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 6 місяців тому +7

    Uyo bwana ndo kaucheza uwo mchezo saf sana kwa marafk wenye shobo

  • @KelvinKivamba-kl1ry
    @KelvinKivamba-kl1ry 6 місяців тому

    Qmmk 😂😂 mr uky npo na wew adi wakuuwe😂😂

  • @Maggiemussa
    @Maggiemussa 6 місяців тому

    Utakuja kupasuliwa na chupa we mr uky heee shauli yako 😀😀😀

  • @MariaHamis-cl3nu
    @MariaHamis-cl3nu 6 місяців тому +6

    Me sitaki kabs mashoga na wala simtambulishi mtu mpaka kwenye ndoa 😂😂

  • @restypeter1141
    @restypeter1141 6 місяців тому

    😅😅😅😅😅😅jini wewe utembeeage na bodigad utajachapwa IPO siku😅

  • @lovesallu5292
    @lovesallu5292 6 місяців тому

    😂😂😂eti uyu dada anazingua.

  • @aminamohamed9955
    @aminamohamed9955 6 місяців тому

    Mr uky hana kosa yy kaangizwa tu Pole mwaya na kaz

  • @swahibasaidi4669
    @swahibasaidi4669 6 місяців тому

    😅😅😅😅😅ndiomana sina shoga ,rafiki wala mfano wa rafiki nipo tyu km moja

  • @kobarijuma5127
    @kobarijuma5127 6 місяців тому

    Mr Uky unapitiaga magumu mno😂😂

  • @habibaraphael6583
    @habibaraphael6583 6 місяців тому

    Mwendelezo 😂😂

  • @DottoMaroa
    @DottoMaroa 5 місяців тому

    Kikulacho kinguoni mwako 😂😂

  • @nasrinassor9178
    @nasrinassor9178 6 місяців тому

    Me ndio maana nasemaga wadada wa bongo washamba saana hvi unapata wapi na nguvu yakugombania simu tena yaan umeyakanyaga na unadai as if huelew kilichotokea sema Mr.Uky unatakiwa siku kabla hujapigwa ww unatandike makofi hao madada washenzi washenzi

  • @AzizaFirozi
    @AzizaFirozi 6 місяців тому +1

    Mmmmh mashoga wa mjini aoooo😅😅😅

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 6 місяців тому

    Maskiniiiiiii kakosa vyooooote😮😮😮😮😮

  • @MariamMicko
    @MariamMicko 6 місяців тому +1

    Nyie😂😂

  • @VeronicaMasele-gb3ci
    @VeronicaMasele-gb3ci 6 місяців тому +1

    Haswaaa apigwe😂

  • @mariammakotah4888
    @mariammakotah4888 5 місяців тому

    Shoga wa ukweli ni Mama mzazi pekee

  • @fidonsostenes
    @fidonsostenes 6 місяців тому

    Ila mapenzi ya sikuizi ni mwendo wa kuumana aise 😂😂😂

  • @MegaNasri-bv7tc
    @MegaNasri-bv7tc 5 місяців тому

    Nimecheka baraha anavyo dai sm

  • @aminaabdalla-uo9zq
    @aminaabdalla-uo9zq 5 місяців тому

    😂😂😂😂kaz yen kugmbnish wat t😂😂

  • @momylaviel
    @momylaviel 6 місяців тому +1

    Hadi aibuuuu😂😂

  • @KhairatiSulemani
    @KhairatiSulemani 6 місяців тому

    😂😂😂kazalilika vibaya

  • @Zahara-l3l
    @Zahara-l3l 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂mwiziiiii wa wanaume wawatu

  • @SemeniJuma-x8i
    @SemeniJuma-x8i 6 місяців тому

    kimeumanaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 6 місяців тому

    Mr Uky umezingua, ungempa dada wa watu simu yake, mengine hayakuhusu

  • @RachelManyuka
    @RachelManyuka 6 місяців тому

    Huyo dada mkavu jamani 😂

  • @philipwandiba9079
    @philipwandiba9079 6 місяців тому

    Uyo dada kapendeza alivo pakwa keki😅😅😅😅

  • @madamuvictory7296
    @madamuvictory7296 6 місяців тому

    😂Ushoga kwa mpnzi wangu hapana

  • @AzahOmary-kd2db
    @AzahOmary-kd2db 6 місяців тому

    Kumbe hiki kimonoca kina tamaa😂😂😂

  • @stanslaustwanje7543
    @stanslaustwanje7543 6 місяців тому

    Sema keki imempendeza Hapo usoni kama make up 🤣😂😁...

  • @irenemaro5239
    @irenemaro5239 6 місяців тому +1

    Simu ni haki yake c mwanaume alimununulia yeye😅 ao mashoga watajuana bdae