Kilimo cha papai Kajiado

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Licha ya eneo la Mashuruu kwenye kaunti ya Kajiado kufahamika sana kwa umaarufu wa kuzalisha mboga, Kilimo cha papai kimeanza kupata umaarufu mkubwa katika eneo hilo. Wakulima waliojitosa kwenye kilimo hiki wakisema walichukua hatua baada ya kiangazi cha muda mrefu. Wanasema kuwa, kilimo hiki cha mipapai kinatumia maji machache na kinaweza kustahimili ukame. Robert Masai ana taarifa hii kutoka kaunti ya Kajiado

КОМЕНТАРІ • 2