SPIKA Amjibu LISSU - "UMEYATAKA Mwenyewe, KIBURI Tu, Hata MBOWE Ameshindwa KUSEMA, Sijakuonea"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • SPIKA Amjibu LISSU - "UMEYATAKA Mwenyewe, KIBURI Tu, Hata MBOWE Ameshindwa KUSEMA, Sijakuonea"
    Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema Mbunge Miraji Mtaturu, ni Mbunge halali wa Singida Mashariki, kwa mujibu wa sheria baada ya Mbunge wa awali Tundu Lissu, kuvuliwa Ubunge kutokana na kukiuka taratibu za kisheria.
    Spika amewataka wabunge kuwa na nidhamu na kufuata taratibu za Bunge ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa na kuomba udhuru inapotokea wanaumwa au laa...
    www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos Here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos Here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.TZ Facebook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

КОМЕНТАРІ • 281

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 років тому +6

    Mh. Ndugai Mungu akuzidishie hekima, Mungu akuondolee kila aina ya husda, Malaika wa Mungu wakulinde,Mungu Ibariki Tanzania yetu, Aamina.

  • @kelvinkawea6016
    @kelvinkawea6016 5 років тому +8

    Ndugai upo vzr snaaaaaaa big up mgogo

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 5 років тому +12

    Hapo sawa nje tundu nyac... Walizoea kushinda enziii za jk

  • @PaulMadatta
    @PaulMadatta 5 років тому +17

    Kila jambo lina mwisho wake. Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Ni wakati wa kujigamba kwa sasa. Mnaona rahaaaaaa.

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 років тому +1

    Sio kwamba Namtetea Mh. Mbowe, ila ni mtu anaeheshimu Mamlaka, Wafuasi wake hamlioni hiloo!, Mungu Ibariki Tanzania yetu, Aamina.

  • @kelvinkawea6016
    @kelvinkawea6016 5 років тому +2

    Ndugai waambie Hao hawajui soma nyakati nakukubali sanaaaaaaa spika.

  • @africatanzaniatours
    @africatanzaniatours 5 років тому +41

    Wanasheria wengi wanajifanya wajuaji na ndio wavunjaji sheria wakubwa

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 5 років тому +1

    Safi safi .

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 років тому +26

    Lakujitakia halina Majuto afanya'ubabe kisa ni mwanasheria

  • @vivianusrwezaura3555
    @vivianusrwezaura3555 5 років тому +1

    Inafikirisha sana. Mungu ibariki Tanzania.

  • @davidmrema3179
    @davidmrema3179 5 років тому +1

    Ila kwa kwel pengne Lisu ana makosa ila kwa yaliyomkuta lisu haikupaswa spika kulisimplify hivo hilo jambo Bt all the best kumbkumb zitakuja kusema kwa sasa n kama hamna madhara

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 5 років тому +7

    Mbaya zaidi ni mwanasheria sasa hizo sheria zake kwa ajili yakutukana serikali na kutetea mabeberu!hahahaha

  • @mathiasmgimba4698
    @mathiasmgimba4698 5 років тому +3

    Kuna maisha mengine zaidi ya ubunge . ajaribu masuala mengine ubunge pasuakichwa

  • @msovietimjamaa3017
    @msovietimjamaa3017 5 років тому +1

    Ipo siku tu...

  • @eliasjilanga2320
    @eliasjilanga2320 5 років тому +9

    Lissu mtegemee mungu dunia sio mwanadam

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 5 років тому +1

    Nakumbuka Enzi zile ndugai akiwa Chini ya Makinda alivyokuwa anaongoza na Sasa kwa kweli..Waswahili wanasema kichaa Kapewa Rungu Kasheshe kwa Wapambe..Amekuwa bonge la Mnafiki .Yaani hanuofopi hata Mungu. ila Wazungu wanasema Mwisho utatanabahisha tu..

  • @masoudsalum286
    @masoudsalum286 5 років тому +6

    Ndo akome na jimbo limeenda hilo hongera Ndugai na pole sana lisu umeyataka mwenyewe pumbavu

  • @hangimasunga5959
    @hangimasunga5959 5 років тому +1

    Duh

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 5 років тому

    Mungu anajua kabla hatujajua, tumtegemee Mungu.

  • @mohamedmillanzi9070
    @mohamedmillanzi9070 5 років тому +6

    Ndio maana maombi mengi Mungu wa mbinguni hayakubali.

  • @mercyhaule5435
    @mercyhaule5435 5 років тому +8

    Well done Mr spika

  • @mpoyokapictures1405
    @mpoyokapictures1405 5 років тому +2

    Mamlaka na sheria vinashindana. Malaka hupita ila sheria na haki uwa vinabaki. Endelea kuchochea moto baba mamlaka inakuruhusu ila mungu yupo pamoja na mwenyehaki.
    Maumivu ya lisu ni yataifa zima endeleeni kuza zani mna dili na lisu ila msisahau lahaula inakuja mwisho wa safari.
    Endelea kucheka tu ila usisahau kunakinyume chake

  • @geradinechaula2438
    @geradinechaula2438 5 років тому

    Mungu wangu tukumbushe kwamba tupo sababu ya misamaha yako,

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 5 років тому +10

    2ndulisu simpendi hata kidogo

  • @barikilaizer9612
    @barikilaizer9612 5 років тому +1

    Mheshimiwa spika uko sawa kabisa uwezi Fanya kiburi hakafu Sheria ikichukuliwa?

  • @MajiTakaMaji
    @MajiTakaMaji 5 років тому +1

    Safii

  • @vonexmobile9116
    @vonexmobile9116 5 років тому +1

    Kumbe mgonjwa hakujaza fomu ya Mali na madeni kwa sababu alikuwa hataki Spika ajue kuwa hana kitu hahahaha, kama kulia lia inaleta faida agepona yule jamaa wa arumeru mashariki. Hongera mh miraji mbunge wa singida mashariki

  • @khamismkude7597
    @khamismkude7597 5 років тому +1

    Yaani jamaa uwaga anajikuta ye ndo mwanasheria aliyeiva Tanzania nzima wakat kuna majembe wa sheria wamekaa tu kmy wanaenda hadi south Africa kutetea ndege yetu mpaka imerud lkn litundulisu kazi yake ni kuhakikisha Mali zetu zinashikiliwa na mabeberu lkn kwa nguvu za mwenyez Mungu Mali zote zimerudi salama na tunaendelea kupambana na tutafika tu

  • @Lemalali85
    @Lemalali85 5 років тому +3

    Mbunge na Mahakama zote remote ziko sehemu moja tuyajua matokeo haya.

  • @sareal4real760
    @sareal4real760 5 років тому

    Mungu ni mwema kwa kila jambo

  • @marcusraina3682
    @marcusraina3682 5 років тому +4

    Hakika mh. Ndugai Mwenyezi Mungu anakuona uo unafki unaoufanya ipo siku utajuta sana amini amini nakwambia utajuta sana lkn utakuwa ishachelewa

    • @kindolek9257
      @kindolek9257 5 років тому

      Kiswahili kigum aise HV maelezo yote hayo hjaelewa tu au ndo mahaba

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 5 років тому

      Mungu ndiyo anamuona ,ila Tundu lissu hakufuata Sheria alipopata Nafuu

  • @josephkiliko7114
    @josephkiliko7114 5 років тому +6

    Utakuwa sawa maana kila mahali kunataratibu na Sheria zinazoongoza mhimili au taasisi,hata ivyo kwa Sheria za nchi hii ukiwa mtumishi wa uma ukiuguwa na kulala kitandani kwa miezi mitatu unaweza kustaafishwa kwa manufaa ya umma,Mh tundu Lissu sithani kwa hili kama ameonewa chichote,isipokuwa tu sisi watu wengi ni wepesi kulalamika bila kufahamu.

    • @madamcolethaa641
      @madamcolethaa641 5 років тому +1

      Umeongea point sana tatizo watu wanafata ushabiki

    • @gilbertmaganga9998
      @gilbertmaganga9998 5 років тому +1

      Joseph Kiliko maneno mengi hayana mashiko

    • @hassanmadodi5396
      @hassanmadodi5396 5 років тому

      Joseph Kiliko

    • @daviddeodatus9006
      @daviddeodatus9006 5 років тому

      miezi sita c mitatu

    • @edwardkasubi1332
      @edwardkasubi1332 5 років тому

      Angepigwa babako risasi halafu akaondoshwa kazini namna hiyo sidhani Kama ungepanua hilo domo lako badala yake ungekuwa unajililia tu pia endelea kuchekelea Dhulma ila tambua hapa Duniani tunapita , sote tutakufa

  • @yohangidion3916
    @yohangidion3916 5 років тому +15

    Kwasasa ss 2naangalia kazi2 na maendeleo ya taifa le2.

    • @sniperbogo6210
      @sniperbogo6210 5 років тому

      Maguful mwenyew amefanya kaz kubwa kwa msukumo wa uwingi wawapinzan 2015 asongefanya mambo mazur maana yake 2020asingesogeza pua yake tena

  • @geoffreymtenzi395
    @geoffreymtenzi395 5 років тому +2

    Haya mambo haya unaweza ona kama hayakuhusu lkn....

  • @michaelmalusa4896
    @michaelmalusa4896 5 років тому +2

    Huyo mtaturu wananchi wa Singida mashariki walimpigia kura? Au ndo chama kushika hatamu 🙌🏽🙌🏽

  • @justinbieber8668
    @justinbieber8668 5 років тому +1

    Ipo siku

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 5 років тому +13

    kajitakia mwenyewe akawambie mabwana zake kuwa ubunge ulishaota mbawaa

    • @ridhiwaniomari7425
      @ridhiwaniomari7425 5 років тому +1

      Mi namshauri akagombee huko huko maana si anafanya kampeni huko

    • @edwardkasubi1332
      @edwardkasubi1332 5 років тому

      Mabwana zake au Mabwana zetu maana mpaka leo Bajeti yetu tunawategemea wao .

    • @mohammedmdangwe2056
      @mohammedmdangwe2056 5 років тому

      @@edwardkasubi1332 tulikuwa tunategemea saiz ni asilimia 8 tu na mwakani atuitaji hata mia yao unachezea magu wewe

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 5 років тому

      @@mohammedmdangwe2056 Jidanganyeni Ili ujue kama tunawategemea wao au laa uliza JK aliacha Debi la Taifa sh ngapi na sasa liko ngapi..ndio utapata jibu..mlishaambiwa Wa Tz sio wajinga Kinyume chake.... ..

    • @mohammedmdangwe2056
      @mohammedmdangwe2056 5 років тому

      @@africanhappyadventure6951 ukiwa unakopa una uwezo wa kulipa kama una uwezo wa kulipa benk gani au nchi gani itakukopesha

  • @lucasmourice8347
    @lucasmourice8347 5 років тому +2

    Akazunguke tena dunian atangaze spika kamvua ubunge

  • @barakarobert9516
    @barakarobert9516 5 років тому +1

    Mungu akubariki mh: ndugai uishi maisha malefu we ni kiongoz bora mweny msimamo

  • @deogratiusmkoba5511
    @deogratiusmkoba5511 5 років тому

    Hata! Hata! Nae hajui?!

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 5 років тому +1

    Hakuna aliye juu ya sheria hata kama wewe ni mwanasheria ! Ukichemka na kuleta kiburi sheria inafuata mkondo wake !

  • @saimonseleka8478
    @saimonseleka8478 5 років тому

    Duh!!

  • @amosjjohanes6154
    @amosjjohanes6154 5 років тому +1

    Duh hv haya mamb watu wanapiga makofi kabisaa wakidhani alieminywa sio mtz au,lisu umeisha tuonyesha njia waache hao majaji waendlee kutoa maamz kadiri walivyoagzwa bila hata kufikiri km wangekuwa wao

  • @makwayasilas1585
    @makwayasilas1585 5 років тому +2

    Roho mbaya tu ipo ck

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 5 років тому +1

    Tundu lisu ni mtu mzuri sana! Lakn jaman kiburi sio kitu kizuri tujenge nchi yetu

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 5 років тому

      Akajirekebishe Kunyenyekea kwa wanaokuzidi ni kuzuri tujifynze kwa wazungu aise mkubwa lazima aheshimiwe hata kama hakusoma saaana

  • @jonathanjj.pachajjpacha9127
    @jonathanjj.pachajjpacha9127 5 років тому

    Kwer hujui kuusuuilo jamn jaman ihii dunia jaman sote niwatanzania

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 5 років тому +10

    MAWAKIRI WA SOMI CHALIIII😄😅😆😂😂

    • @jamesmoses354
      @jamesmoses354 5 років тому

      we zefa mange wewe kavu kabisa,subiri zamu yako,akili ya njugu we!

    • @jonesgeorge3152
      @jonesgeorge3152 5 років тому

      Ccm mmefanya yenu, mnatengua katiba itakuwa mahakama.

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 5 років тому +1

    Ukijua sheria naukaitumia vibaya ni dharau sasa ndio faida ya dharau unakutana na Utawala wa sheria yaani Spika usingemuwajibisha Huyu ungekua umekiuka Sheria na Katiba .

  • @emmanuelmollel4526
    @emmanuelmollel4526 5 років тому +4

    Kwa hiyo kupigwa risasi kajitakia sio Nyie mnao hukumu Duniani fahamuni kua Mungu muumba wa mingu na nchi yupo atawahukumu kwa hakii mnaona mko sawa lkn ipo siku yenu tu.

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 5 років тому +1

    Leo unajifanya mwema kumbe shetani mkubwa !! Hawakukwambia kwani wewe hujui alipo mpaka uambiwe, we chekelea tu unywe na bia kabisa ila mwenye haki hazurumiwi mlishindwa kumnyang'anya uhai ndo cha muhimu ila ubunge atapata tena !!.

  • @jobujohnson3052
    @jobujohnson3052 5 років тому +1

    Ukihexhimu mamulaka ukixhilikiana na mamulaka huwezi kupata matatizo kama haya! Wananzengwe mmemuelewa Wajina

  • @winnestonmwalukasa1873
    @winnestonmwalukasa1873 5 років тому +2

    Saafi sana tena saaana tu.

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 5 років тому +2

    Mungu anaona yote mnayofanya

    • @ejilykihwelo1701
      @ejilykihwelo1701 5 років тому

      Kila goti litapigwa waweza cheka sana duniani ukafanya unayotaka kesho utalia tu dhambi haijawahi .wacha mtu salama Mungu tusamehe

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 5 років тому +1

    Swala lipo wazi, mtoro wa kazi anyang'anywe kazi wapewe wenye uwezo wa kuchapa kazi, Tanzania isonge mbele!

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 5 років тому

      Hapo tu kwani bado kalazwa?mbona anaomba Ruhusa kwenda marekani?akirudi atagombea tena asijali atapita

  • @rajabomar6236
    @rajabomar6236 5 років тому +3

    Only time will tell

    • @rehemadaudi4390
      @rehemadaudi4390 5 років тому

      We baba Mungu atakuliapa nyingi sio tu tulia

  • @suhadsalim5528
    @suhadsalim5528 5 років тому +1

    Huyu spika fala sana

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 5 років тому +2

    Ukiheshimu mamlaka.
    Ukishirikiana na mamlaka .
    Ok
    Noted

  • @msigwampenda9473
    @msigwampenda9473 5 років тому +7

    Malipo ni hapa hapa duniani

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 5 років тому +4

    Maria Mtakatifu Mama wa Mungu utuombee

  • @chambautukulu6417
    @chambautukulu6417 5 років тому

    Mungu anamuona spika yeye alipompiga mtu mbona hakuchukuliwa hatua

  • @rabiministry2389
    @rabiministry2389 5 років тому +5

    Unaongea kwa madaha kana kwamba utaishi milele, utu ni akiba wabunge siku si nyingi tutajaona yajayo Mungu anaishi. Ndugai umefurahi sana na moyo wako umejaa kicheko kwa kuonea wengine

    • @geraldmwanakatwe6237
      @geraldmwanakatwe6237 5 років тому

      Ndungai namkubal sana ,kibusara tu unawezaje kuzunguka dunia nzima ushindwe kuja kuwaona wanajimbo?

    • @kindolek9257
      @kindolek9257 5 років тому

      @@geraldmwanakatwe6237 sio tu kuja kutoa taarfa kwa maandish na karatas ya doctor shida uko wap

  • @peterhelpeterluena9191
    @peterhelpeterluena9191 5 років тому

    Hongera Sana Kwa kusema ukweli

  • @georgebataze6625
    @georgebataze6625 5 років тому +2

    Kwa kweli mbwa mwenye mnofu mdomoni habweki

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 5 років тому +3

    Kama walishataka kukuua washindwe kukutoa ubunge?? Ukwel tutauongea popote pale tuko pamoja tundu

  • @tadeokayuni4123
    @tadeokayuni4123 5 років тому +1

    Hizi siasa ndiyo znatulaza na njaaa

  • @SaidSaid-cs7mm
    @SaidSaid-cs7mm 5 років тому +2

    Dhulma haidumu naikidumu huangamiza endeleeni tu mijizi mikubwa kazi yenu zulma tu

  • @steveherclles2295
    @steveherclles2295 5 років тому +2

    Inasiktixha xana kiongoz wabunge kusema Lissu alijtakia matatzo Daah naumia xana

  • @shendimwampamba6570
    @shendimwampamba6570 5 років тому

    Ndugai mnafiki kwani ww ulikuwa ujuwi kuwa hanaumwa kwa nini usiulize hali yake kwa mbowe au kwa ndigu zake mbuge wako hamepigwa risasi hakiwa mbugeni busijuwe hali yake wara usijuwe matibabu yake usiwe mnafike hata ww nibinadamu siyo mungu kuwa na utu

  • @robertterry8909
    @robertterry8909 5 років тому +6

    lisu ni kiazi alijua yeye ndio yeye

    • @juhudinzowa3938
      @juhudinzowa3938 5 років тому +2

      Nchi hii ilipofikia watanzania siyo wajinga endeleeni kufanya kwa namna yeyote majibu 2020

    • @sajraizadin8645
      @sajraizadin8645 5 років тому

      Mhhhh Allah atupe mwisho mwema sote ni wa Mungu na kwake tutarejea

    • @theresiammanga4206
      @theresiammanga4206 5 років тому +1

      Eeee Mungu nipe mwisho mwema duniani si nyumbani kwetu.

    • @bakarkhamis4866
      @bakarkhamis4866 5 років тому

      kwakuwa umepona mshukuru mungu, kila jambo liwe zuri au baya mshukuru mungu pia

    • @emanuelsamwel5499
      @emanuelsamwel5499 5 років тому

      Luis hana akili alafu Watanzania tuache ushabiki

  • @ngajangaja2875
    @ngajangaja2875 5 років тому +1

    Hivi wataka upewe taarifa na mgonjwa ww ndio unae takiwa kumjulia mgonjwa hali ama mgonjwa kukujulia ww hali wakati ameumizwa akiwa kazini kwako jamani iko siku mungu atajibu2

  • @faithklove9419
    @faithklove9419 5 років тому +4

    Hizo ndio sheria za kitanzania

    • @Sambrain03
      @Sambrain03 5 років тому

      Ndio

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 5 років тому

      Faith Kiio katumie hizi unazoziona zitakufaa

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 5 років тому +1

      Hata nje ni zaidi ya hapo,Ugua wakuone mtaani kesho uone kama utakuwa na Kazi,mnajishebedua tu huko africa huku ni moto chini,simu tu masaa ya kazi cheo kinaisha siku 1

  • @joeldhahabu2037
    @joeldhahabu2037 5 років тому +6

    Mkumbuke zipo sberia za Mbinguni na duniani

  • @kidubwashaone6092
    @kidubwashaone6092 5 років тому

    Wewe mbwaaa tuu matonya

  • @elimwazembe3631
    @elimwazembe3631 5 років тому +6

    APA Mimi ninavyojua siokukulipoti kama tundurisu anaumwa ila shida ilikua nikuwapunguza wapinzani bungeni make ugonjwa wa tundurisu nidunia nzima inajua sema tu hakuipigia serikali magoti

    • @davidulenje1264
      @davidulenje1264 5 років тому

      Eli Mwazembe dunia inavyojua ni tofaut na katiba inavyojua

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 5 років тому

      @@davidulenje1264 Mmmmh..!Katiba IPI hii ambayo wanajitengenezea mwenyewe na kufanya baadhi ya vifungu wakiongozwa na Baba yao..Weee hujui unachokiongea ingekuwa wewe ndio lisu ndio ungeelewa

    • @elimwazembe3631
      @elimwazembe3631 5 років тому +1

      @@davidulenje1264 mimwenyewe najua kisheria sipika yupo sahihi alakini kiubinadam sio hivyo make kilamtu anajua kilichomfukuzisha ubunge tundurisu niushindani wake na serikali pamoja na ndugai sio kwamba eti nikatiba imefwatwa .ila angeka kimiya bila kuikashifu serikali yote hayo yasingetokea

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 5 років тому

      Uongo mkubwa

  • @alfredbyangwamu9821
    @alfredbyangwamu9821 5 років тому +2

    Lakini Sipika kwa kauli hii umepanga matokeo ya.....

  • @dulaydulay4126
    @dulaydulay4126 5 років тому

    Ivi huyu ni nani vile?

  • @levocatusgatu4295
    @levocatusgatu4295 5 років тому +2

    aliyataka mwenyewe ya kugongwa 16 et eeeeh alijitakiaaaaa Daaaah

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 5 років тому

      Kichwa ngumu wewe huelewi anaongelea nini ?unadakia tu kuwa hata Risasi alijipiga mwenyewe,Huku ukiugua kila siku lazima simu ipigwe ofisini kama wewe ni mgonjwa,wasipopiga simu hata kama uliumia kazini ,Baada ya wiki 2 unafutwa kazi,Tanzania Raha unakaa mwezi na unarudi kazini,Mnadeka saana mlioko Tz

  • @happymcha7907
    @happymcha7907 5 років тому +1

    Mungu ni wa wote chini lahili jua malipo ni hapa hapa duniani

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 5 місяців тому

    Aya ulimvua Lissu wewe uko wapi sasa hivi??

  • @ignasyluena9197
    @ignasyluena9197 5 років тому +1

    Soma ayubu 14;1-2

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 5 років тому

      Imekhusu nini serikali haina dini

  • @mohamedsulemain9005
    @mohamedsulemain9005 5 років тому +1

    jipange baada ya ccm kupigwa chini

    • @mubarakahamis2259
      @mubarakahamis2259 5 років тому

      hahhahah labdaiyanzishwe ccm nyingine marekan hiyoinawezekan kupigwachini siohiiyaapa tanzania

  • @lilianerenest4784
    @lilianerenest4784 4 роки тому

    Kwan ww ndugai mbn km hujielew hiv ni nan asiejua taarifa za lissu mpk uambiwe jmn are u serious?

  • @francism6675
    @francism6675 5 років тому +1

    Ndugai dunia hii hatutoishi milele

  • @jonesgeorge3152
    @jonesgeorge3152 5 років тому +4

    Kwani yeye alivyo pigwa lisasi aliwasiliana nae kama mbunge wake.spika mnafiki Sana'a,kwendaa mpumbavu ww

  • @rawiboy3867
    @rawiboy3867 5 років тому

    wee jamaa ww

  • @stanslausangelus8714
    @stanslausangelus8714 5 років тому +6

    Lisu alisema Yeye hajashindwa hata siku na Mawakili ya Serikali kwa sababu ni vilaza!

    • @aridiyahya8049
      @aridiyahya8049 5 років тому

      Stanslaus Angelus hahaha sasa nani amepoteza.? Lissu kashindwa.

    • @stevemwakisimba5986
      @stevemwakisimba5986 5 років тому +2

      Tatizo lisu kawashika sana mambumbumbu kwamba yeye ni mwanasheria pale anapobishana na askari watu wakishangilia basi anaona ndio kafika!hahahaha cc yetu macho na Masikio mnaendelea kupoteza pesa tulisema wengine kua ubunge haupo hapo!sasa mnatakiwa mwende kwenye tume ya uchaguzi ambayo inaendeshwa na ccm tusubiri mwisho wake!

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 років тому +2

    Kweli nyie waonevu sana

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 5 років тому

    Ikiwezekana Mzuieni asiludi Tz

  • @amankachira
    @amankachira 5 років тому +4

    Hakuna mtu mwenye roho mbaya kama huyu jamaa

    • @zedonomkichwe8930
      @zedonomkichwe8930 5 років тому

      Nadhani huyo mjomba wako huko ubelgiji ndo mwenye dharau hawezi kwenda nchi za ulaya na amerika kula bata ashindwe kuripotisha kilichomumpelea huko ubelgiji yani unataka aendelee kula bata kwa kurumia kodi zetu halafu aangaliwe tu mamaaee kuna watu wanacomet vitu halafu napata hasira sana isingekua kuna hizi sheria za kimtandao ningekupa tusi la mwendo kasi maanina zako naona apika anafanya kazi yako kwa mujibu wa sheria na haonei mtu ss nyinyi vinuka mkojo wengine sijui mnatokea wapi inawezeka ww huna uchungu na kodi unayokatwa halafu ieende kizembezembe au ww mtu chumba kirefu bado shit!

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 5 років тому

    Safi sana

    • @reubenisack7820
      @reubenisack7820 5 років тому

      Safi kwasababu siyo mwanafamilia wa Lisu asante kwa kufurahia mabaya kwa wenzako

  • @salumuhamissi3492
    @salumuhamissi3492 5 років тому +1

    Kesi ya nyani kapelekewa ngedere

  • @harounali9057
    @harounali9057 5 років тому

    Haya matokeo kama nili yaotea yatakuwa hivi.

  • @kharounngavason7930
    @kharounngavason7930 5 років тому +2

    Anacheka Kama mtu lkn

  • @silvangabriel3592
    @silvangabriel3592 5 років тому +1

    Bunge la k k cna ndugai ipo cku wewe utakua udongo mbele

  • @jumakibari5496
    @jumakibari5496 5 років тому +2

    Natamani mwisho wa dunia uishie tukashuhudiane zambi zetu.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 років тому

      Kwani zambi zako huzifahamu mpaka utamani kiama????

  • @sadockjohn3926
    @sadockjohn3926 5 років тому +4

    Ndugai unaona raha sana lakini iko siku utalipa

  • @alialibablly7010
    @alialibablly7010 5 років тому +1

    Ana kiburi huyu spika Yani huoni husikie hujue basi Mungu atakuangamiza kwa moja hili kipofu ama kiziwi si huoni husikie kuhusu mwenzio

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 5 років тому +1

    Wewe mzee wewe mungu akuguse tu aseme nawe yaani sijui ila mungu atasema nawe tu acha unafiki mzee

  • @mrsramadhani2400
    @mrsramadhani2400 5 років тому +2

    Mnaokomente.pumba.wote
    Mnaliwa
    Lisu.mgonjwa
    Waliotakakumuua
    Ndio.hao.wamemvua.ubunge
    Pumbavuzenu
    Hatamugabe
    Alikua.dikteta
    Lakini.limekufa

  • @edinamwanilwa8094
    @edinamwanilwa8094 5 років тому +2

    Watanzania watu wa ajabu sana mnashabikia mtu kupigwa RISASI nilitegemea mngekemea hakuna mjanja hapa Huyo ndugai mwenyewe sio chuma ni mtu tu sema cheo ni spika

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 5 років тому

      Hakuna aliyeshabikia kupigwa Risasa,na wewe usiwe mchochezi kama Lissu mkosa kuelewa Bab mzima kama Bibi kizee,Wao wanaangalia je akiwa mgonjwa kafuata taratibu baada ya kujitambua akatuma taarifa bungeni kama ni mbunge anatibiwa?mbona aliweza kuupepeta mdomo wa kuonewa na vitisho vingj?alikuwa akimaanisha nini?hakuona kama ofisi si ya baba yake?Aje huku aumie aende nje kesho wamuone kwenye Luninga kama atarudi kuona hicho kiti hata wananchi wataandamana kuwa hafai,Tanzania bado kuna kubembelezana Huku nje ni sheria mkononi hakuna cha Mpinzani wala democrasy ,ukikiuka kidogo kimeota aingie mwingine,ugonjwa alipata ila isiwe kinyanyasio afuats Sheria