EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
    Wakati Wastaafu mbalimbali Nchini hasa Baadhi ya Viongozi waliowahi kushika nyazfa tofauti tofauti Nchini Kuhamia Nchi za nje na kufungua biashara za Mahoteli na Miradi ya Mashirika Makubwa kwa upande wake, Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, imekuwa Tofauti.
    Global tv tumefunga Safari mpaka Mkoani Dodoma Kwenda kushuhudia kwa macho kujionea jinsi gani alivyoamua kuhamishia Maisha yake shambani na kuwekeza kwenye Kilimo na Ufugaji wa Kisasa ambao umegeuka Faida kubwa kwa jamii kuliko watu walivyotegemea.
    Tazama video hii kujionea mengi.
    Https://www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Globa
    Category
    News & Politics

КОМЕНТАРІ • 464

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 5 років тому +32

    Unalamba pamoja na asali yaan aaah! Bomba kabisa alie sikia kauli hii like hapa

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 3 роки тому +3

    Pongezi sana Mhe.Mizengo Pinda kwa shamba lako nzuri sana.Inapendeza.

  • @gadikipenda7409
    @gadikipenda7409 5 років тому +3

    Aliemtuma huyu muandishi kwa Mh Mtoto wa Mkulima big up, Mzee wa kusikiliza sana ila maneno machache yenye nyama. Big up Mzee wangu Mh. Mtoto wa Mkulima, ulifikiria vzurii kuwekeza M/Makuu ya Nchi hongera kwa wazo jema pia. Dodoma juuu

  • @johnngowi1487
    @johnngowi1487 4 роки тому +7

    Ni mfano wa kuigwa na watu wote hongera Sana Mzee pinda.

  • @hansmhalila9019
    @hansmhalila9019 4 роки тому +2

    Hongera Waziri Mkuu Mstaafu Pinda-Mtoto wa mkulima kwa kuonyesha mfano katika kilimo.Hususani Mkoa wa Dodoma.

  • @yusufhassan5
    @yusufhassan5 5 років тому +6

    UNALLAMBA ......UUUUU..... BOMBA KABISA ! I like that ! Very beautiful Farm.

  • @danielchilongani2385
    @danielchilongani2385 5 років тому +2

    Hongera sana PM mstafu kwa kilimo cha kisasa
    Tusaidie wakulima wadogo wadogo wa zabibu Dodoma kuimalisha kilimo haswa viwanda vya kununua zabibu za wakulima
    Tembelea vijiji vya ngahelezi handali chanhumba ndebwe mvumi uone wakulima walivyohamasika

  • @eligiusvitalis3504
    @eligiusvitalis3504 5 років тому +10

    Mweshimiwa yupo. Makini kujibu Maswali sana .

  • @mathiasmwale1554
    @mathiasmwale1554 3 роки тому +1

    Waziristan mkuu mstaafu hongera Sana kwakujituma ktk kilimo umetisha saaaana

  • @kamishina7853
    @kamishina7853 5 років тому +4

    Hii inaidhininisha kuwa mtoto wa mkulima hukujali ngazi ya uongozi uliyotoka ulitambua utu na kuishi na watu wa hali zote hongera sana Pinda

  • @jamessitati7396
    @jamessitati7396 5 років тому +28

    The story is good, the music is not necessary, kwanza miziki yenyewe ni kama ile ambayo huchezwa msibani.

    • @africanchocolate4216
      @africanchocolate4216 4 роки тому

      “🤣🤣🤣”

    • @kaulimbiu181
      @kaulimbiu181 3 роки тому

      Kweli mziki wa nini na zaidi ni mziki inaoibua hisia za huzuni na kugubikwa na simanzi

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 3 роки тому

      😂😂😂😂😂

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 місяці тому

      Usitukane wewe sikiliza elimu unayopewa,muziki haukuzuii kusikiliza

  • @cottonempire6804
    @cottonempire6804 5 років тому +5

    Good
    Mashalah mama uko vizuri mrembo na hongera kwa kazi nzuri

  • @ivansutta166
    @ivansutta166 4 роки тому +1

    muandishi ana weka miek kwake tuu.... na video editor ameweka ma sauuti ma melody tuuu.... hongera mzee Pinda that my passion

  • @kamekafuraha1465
    @kamekafuraha1465 4 роки тому +2

    Duh huyu mzee hakika ni mfano wa kuigwa
    Anastahili kuwa kiongozi wa mfano
    Hongera sana
    Mtoto wa mkulima ulielazimishwa kuwa waziri mkuu
    Na ukalazimishwa kuvaa mpaka suti

  • @emmynico
    @emmynico 4 роки тому +2

    Safi sana Mzee Pinda.. ni kitu cha kujifunza kwa sisi vijana

  • @marijanimrope6503
    @marijanimrope6503 3 роки тому +2

    Da jamani aya ni maojiano au kuna film ndani yake yaani huo mziki unaosikika back playe unapoteza umakini wa kusikia vizuri hayo maojiona next time mshughulikie mambo kama ayo sauti iko too much sana asanteni

  • @matalo0551
    @matalo0551 4 роки тому +2

    Nakukubali sana mheshimiwa Waziri mkuu Mustafa, Mizengo kayanza

  • @ngaboibrahimu7647
    @ngaboibrahimu7647 4 роки тому

    Hongera Sana Mzee Pinda. Hii inahamasisha ushiriki WA watu wengi has vijana kwenye kilimo kwa kiasi kikubwa.

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 5 років тому +20

    Kuna watu wana comment "mfano wa kuigwa" iga ufe investment ya mabilioni iyoo, ilo shamba ni hela tuu

    • @500gts9
      @500gts9 4 роки тому +3

      Unaanza kidogo kidogo kaka, matonge madogo...usivamie

    • @mahamoudabas8555
      @mahamoudabas8555 4 роки тому +2

      Hayo mashamba ni ya mali ya wananchi wa Tanzania, na pesa zilizotumika hapo ni pesa zetu wananch za kodi

    • @albanbros6705
      @albanbros6705 4 роки тому +6

      @@mahamoudabas8555 Hiyo pesa ni juhudi zake binafsi ambapo wakati anazitafuta wewe na Mimi hatukuwepo.Hilo ni jasho lake lililotoka kwa muda mwingi.

    • @claytonkellymwaisango5283
      @claytonkellymwaisango5283 4 роки тому +6

      Ogopa kuiga baadae wenzako walioanza kidogo kidogo kwakuiga wakifanikisha kukuza brand zao wewe ubaki kuamini ktk freemason nakumtuza shetani

    • @lucasbartazari7797
      @lucasbartazari7797 4 роки тому

      Kwao ni Sumbawanga/Katavi, amewasaidia wakulima wangapi? Yeye anauza mazao kwa jina la nafasi yake, halafu anajidai kudanganya watu hadhalani. Maembe, zabibu, asali nk. siyo mazao mageni nchini, Leo hii yeye tu ndo agundue soko bora kuliko wananchi wa mikoa yote? Anawazidi hata waliomfundisha! Wapi bhana!

  • @jamessanga3138
    @jamessanga3138 3 роки тому

    Hongera sana muheshimiwa waziri mstaafu,unanivtia sana kwa habari za kilimo.Ningepata fursa ya kukutana na wewe.OMBI LANGU LINGEKUA NI MOJA TU (NATAMANI KUFANYA KAMA WEWE, UNIPE FURSA TU.

  • @jafabanda6382
    @jafabanda6382 4 роки тому +1

    Mzee pinda safi sana kweli ww mfano wa ukweli mungu akubariki sana.

  • @erickmachua8829
    @erickmachua8829 5 років тому +11

    Kipindi kizuri sana Ila hiyo Soundtrack imekuwa too Loud.. na hii imekuwa tatizo kubwa sana kwa Tanzania iwe ni interview au Movie,Mnapenda sana Loud Back ground Music..After All sijaona umuhimu wa kuwa na Hiyo Background Music.

    • @fadhiliakida8609
      @fadhiliakida8609 5 років тому

      Brother umeongea ki technically hili ni tatizo kweli kwa clip nyingi sana

    • @malcomg1004
      @malcomg1004 5 років тому

      Tatzo vyuo vya kusomea taaluma hii ni vya uchochoron na serikali inadai imevisajili.huwez kufanya upuuzi kma huu katka karne hii halafu unaweka youtube ambako kuna wabobezi zaid wa hizi mambo.ujinga sana

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 місяці тому

      Wengi tunapenda hii miziki yaani nyie mmezoea lingala

  • @charlesambrose1708
    @charlesambrose1708 5 років тому +5

    Big Up Former PM Pinda

  • @fadhiliidafa5044
    @fadhiliidafa5044 5 років тому +26

    Aliyeedit hii show kashindwa kubalans kati yasauti yamuziki na mahojiano...

  • @edwardsilingo4963
    @edwardsilingo4963 5 років тому +1

    Mbona mmefupisha jamani mngefa hata saa limoja nimeipenda 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @blasiusabel2576
    @blasiusabel2576 5 років тому +15

    Wonderful Content!!, music is distracting though!!

  • @yusuphphilbert4165
    @yusuphphilbert4165 4 роки тому +2

    Nimekuelewa waziri mkuu mstafu we ni mwl mzuri endelea kufundisha watanzania kwa vitendo MUNGU AKUBARIKI

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 5 років тому +15

    Nafikiri kama mngetumia zile wireless Mic ndogo za Kuweka kwa shati tu ingekuwa Poa Zaidi..Nawaza tu

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 років тому +10

    U mfano wa kuigwa mkuu👏🏻👏🏻👏🏻

  • @soccertv293
    @soccertv293 5 років тому +10

    Hii system ya kuweka musik kwenye maongez siipend maudhui hayasikik

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 4 місяці тому

    Mh. Pinda hongera sana kwa mchango wako mkubwa kwenye kilimo cha kisasa na uwezo wako wa kuwafundisha watanzania wengine. Nyuki ni muhimu sana, huku California wakulima wanalalamika sana kuwa pollinator bees wamepungua sana kiasi mimea mingi ya matunda sasa inashindwa kutoa matunda.

  • @mjukuuwakaswaga1808
    @mjukuuwakaswaga1808 4 роки тому +2

    Huu mradi ni wa mamilioni
    But hongera sana mheshimiwa.

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 років тому +7

    Next time hii funneral/sadness background sound msiweke kwa sauti ya juu na isitoshe mjue sounds za kuweka si hii ya funneral/sadness, kila sound ina mahali pake wazee.

    • @lembrismongi103
      @lembrismongi103 4 роки тому

      Sawa kabisa mr hili nami nililiona sio poa kbsa

  • @andreadaniel214
    @andreadaniel214 4 роки тому +1

    Very good work..for our African leaders...

  • @benjaminilunga8826
    @benjaminilunga8826 4 роки тому +1

    Mungu mwema ambariki mzee wetu Pinda

  • @kulwasengaauasengapaul9676
    @kulwasengaauasengapaul9676 5 років тому +2

    Aisee hongera mzee

  • @stevenmasato5787
    @stevenmasato5787 4 роки тому +1

    Apigwe tu kama akikaidi apigwe tu, 😂😂😂😂 i remember dis moment. keep it up mstaafu wangu

  • @africanchocolate4216
    @africanchocolate4216 4 роки тому +2

    “🤩 Ndiyo inavyo takiwa namna hii”
    “MWENYEZI MUNGU ibaraki Tanzania 🇹🇿 🙏🏾”
    “😍 🇹🇿🦚🌴🏝🌳❤️🌹🥀🙏🏾”

  • @umfarid247
    @umfarid247 3 роки тому

    Nimependa sanaa mashamba mifugo na vyote vilivyomo ndani asante mweshimiwa

  • @abdulmahamud9269
    @abdulmahamud9269 5 років тому +7

    Vzr sana kiongozi, ila kwa ushauri wangu waite vijana wadogo waeze kujifunza jambo, u have good idea

    • @hawa4968
      @hawa4968 5 років тому

      Nice

    • @abdulmahamud9269
      @abdulmahamud9269 5 років тому

      @@hawa4968 waaleykum salam warahma tullah wabarakatu

    • @hawa4968
      @hawa4968 5 років тому

      Shukran

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 5 років тому

      Hawa.waalykumussalaamu.vp Hali ndugu yangu?

    • @hawa4968
      @hawa4968 5 років тому

      @@arqamibnarqam.7185 alhamdu Lilah waallakuli halli namshukur Allah kwa kuniamsha mwenye afya njema na kuiyona Leo tena alhamdu Lilah

  • @wrestlingupdates7256
    @wrestlingupdates7256 5 років тому +6

    Ondoeni uwo mziki bhana unazingua kinoma atusikii vizuri

  • @georgerichard6951
    @georgerichard6951 5 років тому +9

    Global mnapo kua mna fanya ivi punguzeni izo back voice tune

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 5 років тому +9

    Mziki unakera sanaaaahata sisikii vizuri kwani bila mziki ujumbe si unafika?tunakosa kusikia vitu vya muhim kuhusu kilimo.

  • @abditajir4048
    @abditajir4048 4 роки тому +3

    Kila mtu ana complain sounds..hebu jaribuni ku focus kwenye story bhnaa msituchoshe kwn lazima muangalie??? Kama mliwatuma vilee..! Kazi ya watanzania ni kutafuta mapungufu tu kila siku..story iko sawa ,sound iko sawa, niko busy naskiliza story wala sound siskii mpaka nilipo ona complain

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 3 роки тому

    Hongera sana Mheshimiwa Pinda kwa uwekezaji bora kabisa.

  • @pascalnganguli3029
    @pascalnganguli3029 4 роки тому +1

    "Kweli mtoto wa mkulima umetimiza na kuonyesha mfano kweli kweli," hongera sana kiongozi wetu.

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 роки тому +2

    Jamani pesa ndio kila kitu, bila pesa huwezi Fanya haya yote make hata km ni kuku peke yake kuwafuga ni gharama kubwa sn. Mzee alijipanga hyo.

  • @deepahans2390
    @deepahans2390 3 роки тому +1

    Leading by an example. A True Role Model. Impressed by the farm layout.

    • @joycekingu1530
      @joycekingu1530 3 роки тому

      The music is not necessary at all .
      Mheshimiwa hatumsikii kabisa

  • @ethelkatambala1659
    @ethelkatambala1659 5 років тому +6

    Siku nyingine msiweke mnaweka makelele wala hayatusaidii zaid tunapoteza kusikiliza ya msingi yanayoongelewa. Studio una matatizo gani.

  • @bishopfestobenjamin6118
    @bishopfestobenjamin6118 5 років тому +5

    sauti ya mziki ipo juu sana

  • @africanchocolate4216
    @africanchocolate4216 4 роки тому +2

    “Haya ndiyo mambo mnayo takiwa kutu onesha sisi Wa Tanzania 🇹🇿”
    “Siyo mna tuonesha watu wana ishi makaburini, Halafu mnaenda usiku wa manane ku chukua videoclip huku mki lishwa ugali na mboga isiyo na chumvi, Kisha mna oneshwa katoto ambako hakaja nyolewa nywele tangu kuzaliwa”
    “Ina kuwa kama ‘Sangoma au Voodoo vile! Yaani ni kama aina fulani hivi ya uchuro 😡”
    “MWENYEZI MUNGU ibaraki Tanzania 🇹🇿🦚🌴🏝🌳❤️🌹🥀”
    “Amen 🙏🏾”

  • @rahelmilami1271
    @rahelmilami1271 5 років тому +1

    hongera sanaa Mzee wetu 😘😘😘😘😘pinda

  • @dorcasassenga2005
    @dorcasassenga2005 5 років тому +5

    Kweli jamani hii sauti ya music inaboa sana. Cha msingi tupate hiyo habari na si muziki.

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 5 років тому

    Napenda sana...maendeleo ya Mzee Pinda...naiga sana kutoka kwake

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 років тому +2

    GREAT MZEE PINDA

  • @johnstonemwesiga236
    @johnstonemwesiga236 5 років тому +8

    MWANDISHI/MTANGAZAJI KILA MUDA WAOOOH LOH; ALAFU HIYO BACKGROUND MUSIC INALETA SHIDA

  • @edhe9772
    @edhe9772 4 роки тому +1

    Very well presented, may be the first one I have seen in a while 🙏🙏

  • @nelson01empire96
    @nelson01empire96 9 місяців тому

    This is superb,order in the farm is 💯 I like the farm

  • @victormavika9168
    @victormavika9168 6 місяців тому

    Quality content but the background music spoils the whole thing. With 5M subscribers one would think editors wanajua hili.

  • @barakatisalum8296
    @barakatisalum8296 5 років тому +24

    mulishindwa kuijenga nchi tukanufaika wote mkajijenga mmoja mmoja ili munufaike na familia zenu ilikuw tuwashitaki na siyo kuwasifia

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 років тому +1

      Aiseee umeona ehe aafu watu wanampa hongera😁😁😁 hongera za kuiba????

    • @nicebatare2737
      @nicebatare2737 5 місяців тому

      😂😂😂😂😂afungwe uyo

  • @emmanuelaggrey8830
    @emmanuelaggrey8830 5 років тому +18

    mtangazi hajajiandaa vizuri kimaswali kumhoji Mkuu. ..

  • @EsterPaul-uc7ny
    @EsterPaul-uc7ny 2 місяці тому

    Duuuuh pongez mhe hakika wew mchapakaz sanaaa baba angu

  • @edwinrichard3924
    @edwinrichard3924 4 роки тому +2

    Yuko vzr mzee

  • @paulokilenga1116
    @paulokilenga1116 5 років тому +5

    Huyu sio mtangazaji kabsaaaa

  • @hizamwaimu7634
    @hizamwaimu7634 5 років тому +4

    Inapendeza Sana

  • @valentineevarist5628
    @valentineevarist5628 5 років тому +2

    mbona sauti iko chini sana sema nime penda mzee ame invest kilimo vizuri sana

  • @bwikizobilly5220
    @bwikizobilly5220 5 років тому +20

    wastaafu si muwe kama Pinda mzee wa watu katuria anafanya kazi zake vizuri wengine mnataka kuvuruga juhudi za JPM turieni. wewe Mzee Pinda ni Mfano wa kuigwa.

  • @karimmsosa4262
    @karimmsosa4262 4 роки тому

    Kama umeona mtangazaji amengatwa na nyuki mkononi like ila mtangazaji yako poa.

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 4 роки тому

    Daaa ekar ngpii hizo ebu muda mwingine elekezeni nguvu Angalau kidogo kuangalia yatima, hongera mzee.

  • @amtawakal
    @amtawakal 4 роки тому +2

    Hongera baba. Umeyaishi maneno yako. Natamani wengi tungekuwa na fikra na uwezo kama wako.

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 5 місяців тому

    Hongera sana mh pinda

  • @frankmgendi8751
    @frankmgendi8751 5 років тому +12

    Cathelin umekua.mweupe kama unakunywa maji ya ray kigosi😂😂

  • @mickeykibabu6999
    @mickeykibabu6999 5 років тому +19

    Shida mmeeka soundtrack kuubwa muheshimiwa maneno mengine hayasikiki vizuri

  • @laurentmpangala534
    @laurentmpangala534 5 років тому +6

    Mzee katisha sana

  • @abasabasimwache5844
    @abasabasimwache5844 4 роки тому

    Zabibu tunda zuri Sana mungu akubariki mkuu

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 5 років тому +4

    Namwelewa sana tena sana MAGUFULI pale anaposema watanzania na Tanzania tumepigwa kweli kweli

    • @iddymbuma5272
      @iddymbuma5272 5 років тому

      Kama kawa ndo wamepiga kinoma

    • @SAM_163
      @SAM_163 5 років тому +2

      Una Fikra fupi sana kijana😓 Fanya kazi acha lawama na kushutumu.😑😐😐😑😑

  • @meedaafarai9677
    @meedaafarai9677 5 років тому +2

    Nice👍

  • @mohammedali7296
    @mohammedali7296 5 років тому +9

    Please if you don't mind try to reduce the music sound a bit louder. Congrats mheshimiwa great job

  • @500gts9
    @500gts9 4 роки тому +2

    Tuko pamoja Kiongozi...motisha wa kutosha...
    🇹🇿

  • @nicebatare2737
    @nicebatare2737 5 місяців тому

    Waziri ni yeye mfugaji ni yeye mkulima ni yeye watu wa chini hata soko wanakosa jamani 😭😭😭

  • @joshuabanda8673
    @joshuabanda8673 4 роки тому

    hongera mkuu kwa uwekezaji

  • @yunusmchalu930
    @yunusmchalu930 5 років тому +18

    Pesa ndio kila kitu bila pesa tutaishia kusifia tu

  • @noelngowi2700
    @noelngowi2700 5 років тому

    Hongera mheshimiwa. Ni mfano bora

  • @simonequintine9355
    @simonequintine9355 5 років тому +1

    Nakukubali baba peter mizengo

  • @elinazadaniel3721
    @elinazadaniel3721 4 роки тому +1

    Mzee umeni inspare najipanga kuja dodoma kwenye zabibu

  • @user-ii3vj9tv7s
    @user-ii3vj9tv7s 4 місяці тому

    Safi sana PM

  • @charlesgasto4560
    @charlesgasto4560 5 років тому +6

    Kila mtu anaweza kufanya mambo makubwa ukiwa na mtaji sijui yule jamaa wa mtaji wa 200,000 wa Instagram anaweza kutusaidiaje

  • @angelomfilinge8662
    @angelomfilinge8662 5 місяців тому

    hongera sana umeonyesha wazi kuwa wewe mjasiriamali halisi

  • @joramjackson3952
    @joramjackson3952 4 роки тому

    Hogera wazr mstaafu Kwa kudhubutu kuwa mkulima ctad Kwan umekuwa mfano kwetu vjana wa taifa la tanzania

  • @josephlushinge8156
    @josephlushinge8156 Рік тому

    Hafai kabisa Mimi simpongexi Leo wanajifanya wakulima gelesha Mimi nikilima pamba wiki Moja kabira msimu kuamxa nakutngaziwa bei ya pamba imeshuka ni nizarau kubwa sana pinda anatufanyia Leo wamefunga mipaka wakulima walala hoi tuendelee kuumi pinda acha kutuzarau acha kabisa

  • @jumasaid8892
    @jumasaid8892 4 роки тому

    Hongera sana Mheshimiwa lakin ushauri kilimo na mashamba unakua mtumwa unakua na stress mara madawa ,mbegu,palizi,ujenz,hiyo ndo shida

  • @praygodmbisse-cc1tx
    @praygodmbisse-cc1tx Рік тому

    Hongera sana mizengo pinda

  • @sss3s867
    @sss3s867 5 років тому +6

    Mzee naona ktk suala Zach zabibu ameshikwa kichwa kujikuna. Lakini Amejibu vizuri mno.

  • @jessemathew4696
    @jessemathew4696 4 роки тому +1

    Mziki upo juu kiasi kwamba hatumsikii vizuri

  • @neemaasantebbcdickson5350
    @neemaasantebbcdickson5350 5 років тому +8

    Sasa ??ata hasikiki maneno mengine,,yalafuuu mbona mnaweka mziki unaaribuuuuu,sipendi ichi kitu

    • @credo7837
      @credo7837 5 років тому

      😂😂😂😂😂

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 років тому +5

    Ushamba Mzigo Yani Mziki Juu Sauti Ya Mlengwa Chini

    • @malcomg1004
      @malcomg1004 5 років тому

      Sio ushamba ni ufala sana

  • @williamamon8440
    @williamamon8440 Рік тому

    Mwandishi ukifanya interview mambo ya kusema naruhusiwa kuonja, doh, si sawa, mpaka nimejisikia aibu

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 5 років тому +5

    Cathelin dada umekua MWARABU

  • @marcodominico9503
    @marcodominico9503 5 років тому +9

    SASA TUSIKILIZE NINI ?
    MNAMUHOJI MTU KISHA MNAWEKA MIZIKI, MI NAONA MNAHITAJI KUJIREKEBISHA KWA HILO. HALAFU INGEFAA HUYO MZEE MUMUWEKEE KIPAZA SAUTI KWENYE KOTI LAKE AU MGEMPA "MIKE" NYINGINE ASHIKE MKONONI ILI ASIKIKE VIZURI,

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 5 років тому +3

    Kwake ni rahisi sana kwa vile uchumi wake si kama wastaafu wengine. Unapata mili moja hadi unastaafu au chini ya hapo utawezaje kununua shamba na kuhakikisha lina mazao? Ngumu sana sana. Lazima mtu upate mpenyo ndiyo utoboe. Waziri mkuu mstaafu lazima awe vizuri sana kama kichwa kiko vizuri!!!