Historia ya Ibilisi Na Adam / Darasa La Tafsiri / Ramadhani ya 14 mwaka 2021 / Sheikh Walid Al had

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 18

  • @khadijaHatungimana
    @khadijaHatungimana 9 місяців тому +1

    MashaAllah, Allah azidi kukuhifadhi na akupe maisha mame apa duniani na kesho akhera Aamiin akuzidishiye ilmu Aamiin 🤲🏽🤲🏽🤲🏽

  • @rahimdikungule3737
    @rahimdikungule3737 3 роки тому +3

    Maashaallah sheikh wng

  • @somoelipunjaje1033
    @somoelipunjaje1033 3 роки тому +4

    Asante kwa Somo
    Allah akuifadhi

  • @bakarimwasheti3036
    @bakarimwasheti3036 Рік тому

    mashaallah sheikh waliid naomba kusoma kutoka kwako niko Kenya vipi nitakufikia

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому +5

    MASHAALLAH shekhe walid.najifunza kupitia ww naherewa pia. natamani niwe mwanafunzi wako siku moja Inshaallah. ALLAH akulipe malipo bora Dunian na Akhera🤲🤲Nakupenda kwa ajili ya Allah ❤

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 Рік тому

    Mashaallah napanda darasa ziko sheikh wangu Allah amuhifad inshaallah

  • @aminramadhan5189
    @aminramadhan5189 2 роки тому +1

    MashaAllah darsa nzuri sana

  • @idisaidi287
    @idisaidi287 3 роки тому +4

    Maashaallah

  • @abdallahyussuf8439
    @abdallahyussuf8439 3 роки тому +1

    Alhamulillah

  • @ramadhanbaraka6474
    @ramadhanbaraka6474 Рік тому

    MashaAllah

  • @salmamohamed1841
    @salmamohamed1841 2 роки тому +1

    Shukran saana sheik nimejifunza vituvingi ningeomba history Yako utujulishe elmu ya school ulisoma mpaka wapi Mimi napenda sana nanitamani watotowangu wawemasheke.nabado niwadogo wapo shule ya msingi naomba ushauriwako

  • @Crowned_Sp4rrow
    @Crowned_Sp4rrow 2 роки тому

    It is a nice hadith

  • @husseinnyagongo2861
    @husseinnyagongo2861 2 роки тому +3

    Asalam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh . Sheikh napenda kuuliza kitu.. iblis alifikaje peponi

    • @africanqueen2506
      @africanqueen2506 2 роки тому +1

      Kabla ya kuumbwa binaadam walikua wanaishi majini sasa wakazid kufanya ufisad ktk ardhi Allah akawa tuma malaika wakawapige vita ktk kukimbia majini wakamuangusha mtt wa kijini ambae ndo huyo ibilis.Kalelewa huko amekua huko na malaika

    • @SayyidAhmadBaalawy
      @SayyidAhmadBaalawy 6 місяців тому +1

      Ibilsi nijina alilopewa baada kufanya kosa moja lililo mkasirisha mola wake na ndio sababu iliomfukuza kwenye pepo. Alikua mmoja wa majini na kilicho mpandisha daraja kuwa huko juu kuishi na malaika ni kule kuwa mtwiifu kwa mola wake wakati huo alipokua akisujudu kupita kiasi mpaka akawa amebandikwa jina la kwanza aba sijida baba wa kusujudu (mwenye kunyenyekea) lakini alipo umbwa binadamu kulimpa kiburi na kujiona bora hata kuwaliko malaika pale mungu alipo waamrisha wote kwa pamoja wamsujudie mwanadamu malaika walimsujudia ila iblisi alikataa amri hiyo na kuanza mabishano yake na mola wake. Alipo ulizwa mbona hujamsujudia mwanadamu nilipo kuamrisha, akajibu kuwa mimi ni bora kuliko mwanadamu kwalipi? Mimi umeniumba na moto na huyu kwa udongo. Ndipo alipo fukuzwa kwenye pepo na kulaaniwa!

  • @rashidmohamed4051
    @rashidmohamed4051 6 місяців тому

    Sasa ibilis anakizazi je mke wake aliumbwa wakati gni