Siri ya Ushindi / Alama Za Kuwepo Mungu / Muumini Atoa Ushuda ? Sheikh Walid Alhad

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 96

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 Рік тому +2

    Mashallah kwa mawaidha mazuri

  • @abigaelnasir1698
    @abigaelnasir1698 3 роки тому +13

    Mashaallah Sheikh Allah Akupe afya njema uzidi kutuelimisha nakutufurahisha,Aswaliwi WALID. hapa,Tumswalie MTUMI SWALALLAHU ALAYHI WASALLAM

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +1

    Shukran sana Shekhe

  • @RukiaJahaJaha
    @RukiaJahaJaha Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu amlipe fadhila za ke

  • @LatifahSuleiman-r4l
    @LatifahSuleiman-r4l 11 місяців тому +1

    Mash Allah sheikh nakupenda kwa ajili ya allah

  • @Malkiawanyuki1
    @Malkiawanyuki1 8 місяців тому +2

    Alhamdulilah

  • @RAMLAFARHAN-p9e
    @RAMLAFARHAN-p9e 2 дні тому

    Allah akuongezee hekima, busara, elimu, fahamu ,kheri , baraka, subira, nuru, imani na amani

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 4 роки тому +7

    Allahumma swalli a'laa muhammad

  • @AishaismailHalima
    @AishaismailHalima Рік тому +1

    Shukran Allah akulipe kheiri

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 3 роки тому +6

    Maashallah, Allah turuzuku utamue war iiman

  • @MuhdharMuhammad-qv3zl
    @MuhdharMuhammad-qv3zl Рік тому +1

    Shukran sana sheikh Wetu Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera ALLAH Akuingize peponi kabla hujafa

  • @aviwimanguro4802
    @aviwimanguro4802 3 роки тому +16

    Wallah naapa nampenda huyu sheikh allah amuhifadhi tukutane jannah sote

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 роки тому +6

    Jazzakallah khairan Allah akulipe kheri hapa duniani na akhera inshaallah mm pia wanifundisha mengi nikiwa mbali nawe shukran 🤲🤲🤲

  • @ffed1876
    @ffed1876 Рік тому +2

    MaashaAllah Mola awazidishie kheri na ilmu muzidi kutuzindua ya kheri tuyafate na mabaya kuyaepuka Aamin.

  • @joharindaro3075
    @joharindaro3075 3 роки тому +4

    Asante shekh mwenyezi mungu akupe neema zaidi ya ukiyokuwa nao unanipa nguvu na ramadhani hii kwamawaidha yako

  • @maulidmlette1953
    @maulidmlette1953 3 роки тому +3

    Mashaallah Allah akulipe kheri Duniani na Akhera kutokamana na Ukumbusho. Sh. Walid

  • @nurudinehamimu5658
    @nurudinehamimu5658 4 роки тому +4

    Mashallah Ali Habibi shekhe wangu walid Alla akuripe kiralakheri akujaze ilim zaidi.

  • @columbusdoo593
    @columbusdoo593 4 роки тому +7

    MashaaAllah TabarakaAllah. Mwenyezi Mungu akupe umri, afya njema uzidi kunufaika wewe ili utunufaishe nasisi. Ameen Ameen Ameen

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 11 місяців тому +1

    Maa Shaa Allah Alhamdulillah Yaa Rabbi🙏🙏🙏🙏
    Hii ni zawadi kubwa

  • @abdullahsaleh9248
    @abdullahsaleh9248 2 роки тому +2

    shukran kwa. ukumbusho Shee lugha Kama nipo ngamian Tanga mashallah

  • @MuhdharMuhammad-qv3zl
    @MuhdharMuhammad-qv3zl Рік тому +1

    Shukran sana Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera

  • @nuruabdullah7814
    @nuruabdullah7814 3 роки тому +2

    Shukraan sheikh Allah akupe kila la kheri kwa darsa zako nimepata faida nyingi nilokuwa siyajui alhamdulillah napenda sana kuzisikiliza

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 Рік тому +2

    Mashallah Shekh wetu

  • @zulekhamnene9462
    @zulekhamnene9462 2 роки тому +2

    Mashaalah napenda mawaidha yko sheikh mungu akustiri

  • @rahemaissa9867
    @rahemaissa9867 3 роки тому +5

    Mashallah shukran kwa ukumbusho

  • @mohdzubeir6227
    @mohdzubeir6227 4 роки тому +11

    Wewe ndo mrithi khasa wa sheikh Muhammad ayyub mashaallah

    • @habibakhalfan1065
      @habibakhalfan1065 3 роки тому +2

      Shekh_Muhamad_Ayub_anawarithi_wengi_baba_yangu_Shekh_Simba_Arusha_mashaallah_anampenda_shekh_wake

    • @sadunkabuma3221
      @sadunkabuma3221 Рік тому

      ITHINK

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 4 роки тому +6

    Mashallah

  • @hyasintajoseph2589
    @hyasintajoseph2589 3 роки тому +3

    Allah akutunze shekh naingalia hii clip kwa mara ya tatu sasa na siichoki darsa zako

  • @IbrahimKaranja-qu9yn
    @IbrahimKaranja-qu9yn Рік тому +1

    Allah akubarik sheikh walid

  • @sarahmbaruku3115
    @sarahmbaruku3115 2 роки тому +2

    Asante kwa ukumbusho
    Allah akujaalie kheri Inshallah

  • @RajabuNyampazi
    @RajabuNyampazi Рік тому +1

    Allah akupe kheri wewe na kizazi chako shekhe

  • @aishaabdullah233
    @aishaabdullah233 4 роки тому +4

    Subhanallah wallah sheikh hapo umesema ukweli wengi wetu tumekua maelfishness na km ww umekua nzuri bas shaytan anatupoteza kwa kusema mbona yy hakupi unampa yy tu subhanallah , Allah tuongeze waja wako na utujaze Iman ndani ya nafsi zetu amiin

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 роки тому +4

    Masha ALLAH Tabarakallah

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 роки тому +4

    Mashallah Allah akuongoze na akuepushe na Shari za walimwengu

  • @tzonespices9734
    @tzonespices9734 Рік тому

    Mungu azidi kukupa afya njema kuuelimisha umma kumjua mwenyez mungu. Amina.

  • @hatiburashid9310
    @hatiburashid9310 3 дні тому

    Allah amjalie shekh huyu

  • @salmamaliki-4845
    @salmamaliki-4845 Рік тому +2

    Sheikh allaah akulipe tunafaidika

  • @fatumahamis9206
    @fatumahamis9206 4 роки тому +3

    Sheikh Walid
    lahu kheir

  • @aciamwinyi3991
    @aciamwinyi3991 Рік тому +1

    Mashaallah Mwenyezi Mungu akujalie mema Inshaallah.

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 роки тому +5

    waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah❤💕💕💕

  • @ibrahimsleiman4455
    @ibrahimsleiman4455 4 роки тому +4

    Shukran Kwa Ukumbusho

  • @ZainabIssa-u3i
    @ZainabIssa-u3i Рік тому +1

    Ajabu ajabu ya mola wetu hana baba hana mama hakuzaa ,hakuzaa wala hakuzaliwa ndio yeye peke ake
    Hana mfano wa kitu wala kufana na mtu ameumbaa mbigu saba mola na ardhi akaitanda ameotesha na mitii akaumba uhai na umauti ndio yeye peke ake . Subhanallah wallah

  • @maulidihasani3466
    @maulidihasani3466 Рік тому +2

    Mungu akuhifadhi

  • @vich2mussa997
    @vich2mussa997 3 роки тому +2

    Mungu amlinde shekh laki hawa wanao comet upuuzi unajuwa maana eebwanaAeee

  • @athumansaid796
    @athumansaid796 Рік тому

    Mashallhaaa sheghe wangu nakupenda saana nipo mkoani ila nakuja dar kwaajili ya kuja kusali msikitin kwako ishaallhaaa

  • @FatmaSaidi-ix5fx
    @FatmaSaidi-ix5fx 4 місяці тому

    Asalamu alaykum shekhe kwakweli nina shukuru sana kutokana nahizi sura zinanipa amani Allah akuzidishie mema mazuri

  • @sifawandi
    @sifawandi 3 роки тому +2

    Al hamd llah

  • @asiasa4259
    @asiasa4259 3 роки тому +3

    Sheikh walidi umenikosha sana kusikia wasandawe

    • @itsTubwa
      @itsTubwa Рік тому

      Mashallah.Thanks Sheikh

  • @millenniumoiltanzanialimit1265

    Alhamdulillah

  • @salhalutalo
    @salhalutalo Рік тому +1

    Ukimjua mungu hakwachi .kweli kabosa usemayo shkhe

  • @victorcheruiyotkirui-ny8lc
    @victorcheruiyotkirui-ny8lc Рік тому +1

    Mashallah Sheikh jana nimekua hapa madina nimeswali hapo gaba

  • @anisacabdi6579
    @anisacabdi6579 4 роки тому +3

    MASHAALAH

  • @abdallahncabukoroka3202
    @abdallahncabukoroka3202 Рік тому

    Daar nampenda huyu sheikh kwajiri ya Allah

  • @calicabqaricalicabqari6598
    @calicabqaricalicabqari6598 4 роки тому +10

    جزآك ألله خير شيخ وليد الهادي

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 3 роки тому +5

    جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ الحبيب وليد

  • @zubeda-le4xr
    @zubeda-le4xr 3 роки тому +1

    Mashall mashall mashall mashall

  • @mrishoharuna1311
    @mrishoharuna1311 4 роки тому +4

    Naomba yeyote anifahamishe mda gani jumanne sheikh huwa anaanza darsa

  • @FatmaSaidi-ix5fx
    @FatmaSaidi-ix5fx 4 місяці тому

    Hillo unalosema hapo hakuna anae wezakumsaidia mwenzie mwenyezi mungu atufanyie wepesi tuweze kushikamana

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 роки тому +6

    Ustadh Walid naomba uniombee dua tumbo langu lanisumbua lajaa gesi ladunga mimba sipati haja kubwa plz nasaidie kwa dua

    • @hassanfarouq922
      @hassanfarouq922 3 роки тому +1

      Kuna mtu instgram anaitwa @hashlongalonga nenda mfate

    • @buizo40
      @buizo40 3 роки тому +2

      waidha sa alaka ibadi anni fa inni qarib ujibu da-wata ddai idha daani

  • @hassanseleman1806
    @hassanseleman1806 3 роки тому +2

    SAwa

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 2 місяці тому

    Ahahaha.ngoja niache tabia ya kulalamika😮😮

  • @omyguy3066
    @omyguy3066 4 роки тому +12

    Shekhe mkubwa kama walid na darsa zake zilivyo moto, kisha ummati uliokaa kumskiza haufiki hata watu arobaini? Watanzania muna mchezo sana. Yaa rabbi mjaalie shekhe huyu sheikh walid ahamie mombasa kenya.

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 4 роки тому +2

      Hujaaaa ila kwa kipindi hiki

    • @bundalahamza8902
      @bundalahamza8902 3 роки тому +1

      ALLAH ambariki

    • @abubakarmustwafa8662
      @abubakarmustwafa8662 2 роки тому +3

      Hata Mtume Muhammad Swallalahu Aleyh Wasalam,sio wote walimtambua na kumfuata,Mungu atuhifadhi na kutujaalia Tawfiq ya kheri hizi

    • @Rama_Mwaguya-254.
      @Rama_Mwaguya-254. 2 роки тому +1

      Amin, tumlete kwa ndege nitampokea airport hapa Changamwe nikimsubiri kwa gari.

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 Рік тому +1

    Shehe jiangalie usije ukaitwa barzanji kwa unavyoikosoa iyo lugha ya hakuzaa wala hauzaliwa wateambia kitabu kikubwa kimeshindwa kusema hakuzawa jiangalie waliotafsri ni wabobezi wa lugha pia kama barzanji 😮😮😮munaqasha

  • @MesalimRashid
    @MesalimRashid Рік тому

    Mm naipenda walfajir sana nayo faida yake nn???????

  • @marashimujtaba1
    @marashimujtaba1 3 роки тому +3

    Kwanini huyu Sheikh hamtaji nani Imamu aliyokuwa anasalisha hio msikiti wa Quba na kusoma hio sura ya Qoul huwa Allah . Alikuwa Imam Ali (a.s) Ibn Abi Talib . Na sababu aliyekuwa aksoma Sura hio Bwana Mtume alipopepewa malalamiko akasema kuwa ingekuwa kuna sura bora zaidi ya hio basi angeisoma. Hizo zote mbinu zinazofanyia inatokana na hawa Masheikh hawataki kuitukuza jia la Imam Ali (a.s) .lakini angekuwa sahaba mwengine angemtaja kama aliyomtaja baada ya hadithi ilifwata aliyekuwa akiinsimbuliwa. Peope inatokana kupenda Nyumba ya Bwana Mtume . Na Imam Ali (a.s) ni mmoja katika hao Ahulubayt .
    .

    • @ismailally3170
      @ismailally3170 3 роки тому

      Njoo umtaje ww

    • @عليجبار-ن3ي
      @عليجبار-ن3ي 3 роки тому +1

      Tuwapongeze mashekh wetu kwa kazi nzuri wanayofanya,sio kuwaponda nasababu zisizosingi

    • @ismailally3170
      @ismailally3170 3 роки тому

      Ww unaonekana unakibri njoo umtaje ww

    • @ala1608
      @ala1608 Рік тому +1

      Wew ni mushia

    • @allyshaban5444
      @allyshaban5444 Рік тому

      wakati mwingine nawaza sipati majibu kwani SAYYDNA ALLYY QARAMATLAHWAJHA ana tatizo gani na kwann hawataki kumtaja?

  • @mohdzubeir6227
    @mohdzubeir6227 4 роки тому +3

    Llll

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 роки тому +2

    Darsa nzuri illa namuomba huyu shaikh wangu atengeneze lugha kwa anapomtaja Mtume..yaani awache kusema EE BWANA EE..bali aseme maswahaba wakiamiliana na Mtume wanamuita YAA RASULALLAH...sio ee bwana ee....##SIJUI ANANIELEWA?????

    • @habibakhalfan1065
      @habibakhalfan1065 3 роки тому

      Upo_sawa_kabisa_eee_bwana_wa_viumbe(Allah)ya_rassull_mtume

  • @badaral6167
    @badaral6167 2 роки тому +2

    Mashallah

  • @hassanhusen5859
    @hassanhusen5859 Рік тому +1

    Mashallah

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 4 місяці тому +2

    Mashallah