SIMULIZI YA SIN - PART 01

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Kila mwanachuo ndoto zake ni kuweza kupata ajira nzuri sana kwa kile alicho kisomea kwa miaka mingi sana kipindi alipo kuwa chuoni. Ila mambo ni tofauti sana kwa kijana Evans Shika. Elimu ya Masters of Business Administration - International Business aliyo isoma katika chuo cha IFM, inamfanya azidi kutesaka sana katika swala zima la kutafuta ajira. Kila ofisi aliyo weza kupeleka maombi ya kuajiriwa, ana kataliwa na kujikuta ana zidi kukumbana na maisha magumu sana yaliyopo katika jiji la Dar es Salaa.

КОМЕНТАРІ • 416

  • @EddazariaMsulwa
    @EddazariaMsulwa 2 місяці тому +41

    Asante kwa kusikiliza stori zangu X na hii SIN By Eddazaria G Msulwa

    • @BNSF2012
      @BNSF2012 2 місяці тому +3

      Wacha weee..wewe kiboko

    • @husnamwinyi8295
      @husnamwinyi8295 Місяць тому

      MashaAllah mungu akupe uwezo wafkra Zaid

    • @geoflwena9669
      @geoflwena9669 Місяць тому +1

      Upo vizur Sana brother naamini hiki pia kigongo Cha maana Kama Cha akina Eddy simuliliz ya X

    • @ReyKatuni
      @ReyKatuni Місяць тому

      Mwamba huyu hapa🎉🎉🎉

    • @LyidiaSilayo
      @LyidiaSilayo Місяць тому +1

      Hakika wewe ni genius mzuri sana wa kutuburudisha na simuliz tamu ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Lucy-vp8pm
    @Lucy-vp8pm 2 місяці тому +42

    Akoj 😂😂😂😂umenivunja mbavu hapo kwa baba mchungaji kukemea pepo la mapenzi kweli ww nkiboko ya wapenzi wako ❤❤❤❤❤kwako ankoj tunakuenzi sana wale tuko pamoja gonga like

    • @user-jk8qn4zi5t
      @user-jk8qn4zi5t Місяць тому +6

      🤣🤣nimecheka kwa nguvu eti Pepo Toka Pepo Toka🤣🤣🤣

    • @JoharMrutu
      @JoharMrutu 10 днів тому

  • @zeynabahmed3578
    @zeynabahmed3578 2 місяці тому +13

    AnkoJ kina ss twasahau hata kula Kwa kusikiliza simulizi, Asante Kwa SIN ushatuweza

  • @user-uq6pb7yh6e
    @user-uq6pb7yh6e 2 місяці тому +11

    Woow asante brother kwa sin namba 1

  • @user-ex6je2uj8s
    @user-ex6je2uj8s 2 місяці тому +11

    Wowo sijachelewa sana leo asante uncle j kwa kutuletea mzigo mpya wa sin 🎉🎉😊😊❤ tunakupenda uncle j mapesa mungu azidi kukueka🎉🎉

  • @user-hz5bo3mn9t
    @user-hz5bo3mn9t 2 місяці тому +8

    Waooo,,anko j mungu azidi kukuweka hai jaman

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 2 місяці тому +11

    Guys hamlali duuuh jaman nlikua naisubir kwa ham sana hii ngoma ubarikiwe sana ankojay ❤❤❤❤❤

  • @user-qt4th6yt6m
    @user-qt4th6yt6m 2 місяці тому +23

    Nmkua top 10 na nlvyo na furah sku ya Leo wadau mskose kunwesh birthday 🎂 🎂 tuenjoy pmja huku tukilwazk na SIN

  • @hellenwanjiku9891
    @hellenwanjiku9891 2 місяці тому +5

    hapo Sasa ankojeii hongeraa muuno kwa hadithi hii tamu ya sin tuko bamoja hadi mwisho

  • @Shamshuunoon
    @Shamshuunoon 2 місяці тому +8

    Heeee
    Tupo kitako kusubiri SIN tunakuamini Ankojay
    Hakika ni safari ndefu tupo pamoja 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻❤❤❤

  • @husnakamana
    @husnakamana 2 місяці тому +26

    Leo wakwanza jamani naombeni like 👍 zenu wapedwa 🎉❤

  • @Madameochu
    @Madameochu 2 місяці тому +10

    Weweeeeeee mambo hayooo🎉🎉🎉

  • @swalhamaduwa7172
    @swalhamaduwa7172 2 місяці тому +11

    Ila sikuchelewa nimewayi wow 🤩

  • @Mwanasiti-xd3lv
    @Mwanasiti-xd3lv 2 місяці тому +10

    Ndio tuko apa Anko twasikiliza sin km sin ❤❤❤❤ from saudi

  • @user-rc3om5hs9i
    @user-rc3om5hs9i 2 місяці тому +47

    ❤❤❤(1) wadaue njoon anko huyuhapa anatimiza ahad ya sin mungu akubalik🙏 wewe na mwandshi nawapeni nyote, like zeu naziomba ote mlioisubli kwa ham.🌹🌹👏🏃

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 2 місяці тому +12

    Mumbi Wa Naivasha ako Ndani, Twende kazi

  • @samychance
    @samychance 2 місяці тому +9

    Wooooow! The sin is sinning🎉🎉. Haya nipeni like zangu nisinike mimi😊

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 2 місяці тому +9

    ❤❤❤weeeeee timu Eddazaria tujuane

  • @user-go2hc4pm2s
    @user-go2hc4pm2s 2 місяці тому +10

    Waooo Leo na me nimewah watu hawalali jamn

  • @user-ge9uy9db7g
    @user-ge9uy9db7g 2 місяці тому +4

    Asante anko tuko pamoja sana mama sam
    Chake Pemba sote ni famly

  • @lisazainabu3626
    @lisazainabu3626 2 місяці тому +28

    Woyoooo wakwanza nipeni like zangu 🎉🎉🎉🎉

  • @user-xd8qy1cx2b
    @user-xd8qy1cx2b 2 місяці тому +3

    Hii simulizi ni nzuri sana nainaonekana ni chuma kikali sana ancle wetu ametujulia jamani kama we ni shabiki wa ancle jay weka like hapa 💪💪💪

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 2 місяці тому +2

    Daah nimechelewa mwezenu mambo nimampya kabisa. Akubaliki na ww Anko jay 🇴🇲 Ahasante sana kwakutuletea simulizi tamu🇴🇲🇴🇲🇴🇲🤸🤸♥️♥️

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 2 місяці тому +5

    Ok umeamua Anko kutupelekesha safari hii thanks❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 2 місяці тому +13

    Kimeumana hukuu❤️❤️❤️❤️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️asnte anko mapesa wetu

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 2 місяці тому +1

      Eti anko mapesa mbaya weye😂😂😂

    • @UmayyaNkya-ze3ri
      @UmayyaNkya-ze3ri 2 місяці тому +1

      @@ashaabdalla924 🤣🤣🤣c ndo anko wetu mapesa ana balaa huyoo😇😇

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 2 місяці тому +1

      @@UmayyaNkya-ze3ri namjua na hii simulizi haifiki popote itauzwa😂😂

    • @UmayyaNkya-ze3ri
      @UmayyaNkya-ze3ri 2 місяці тому

      @@ashaabdalla924 fresh tuu tushazoeya🤣🤣tutangoja hapa hapa sie team viporo 💯💪💪

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 2 місяці тому +1

    Wow hatimae wanaviporo tumekumbukwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 shukrani tunakupenda 🎉🎉🎉 acha tusikilize sin munanini

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 місяці тому +4

    Asante sana ankojy kwa simulizi mpyaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @user-to6tq5tu3m
    @user-to6tq5tu3m 2 місяці тому +20

    Wakwamza naombeni like na mm leo

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en 2 місяці тому +6

    Sawa Kaka asante kwa ahadi

  • @Angle22-kk8fz
    @Angle22-kk8fz 2 місяці тому +11

    🎉namba 1🎉😂❤❤

  • @rosebasily477
    @rosebasily477 2 місяці тому +28

    Wakwanza jmn nipeni like zng team kadama😂😂😂

  • @BethMdoe
    @BethMdoe 2 місяці тому +5

    Weeee ebu tuanze nusu ya pili ya mwaka na kigongo kipya❤

  • @user-ui6rf8yx7s
    @user-ui6rf8yx7s 2 місяці тому +5

    Ankoakeeeeeeeeeee jaman mbona mie inachelewa kufika ila nipe I like

  • @ayranShehe
    @ayranShehe 2 місяці тому +3

    Weuweeeeeeeee Anko jay tunakupendaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @Rahimabdul-bt6vq
    @Rahimabdul-bt6vq 2 місяці тому +6

    Love this❤❤❤

  • @Saida-tv2vj
    @Saida-tv2vj 2 місяці тому +9

    Waaakwaaaanzaaa🎉🎉

  • @NurahMummy
    @NurahMummy 2 місяці тому +8

    Jamani nyie watu😊😊

  • @annaheagle2915
    @annaheagle2915 2 місяці тому +6

    Wooooooohy🥳🥳🥳🥳

  • @emathumani2901
    @emathumani2901 2 місяці тому +7

    Wakwanza mm hapaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 2 місяці тому +5

    Kazi nzuri Kaka listening from Kenya much love.

  • @periswairimu2545
    @periswairimu2545 2 місяці тому +5

    Wakwanza❤❤❤❤

  • @JosephBisimwa-ul2eg
    @JosephBisimwa-ul2eg 2 місяці тому +9

    Ankoooooo we kiboko kk naitwa Joseph kk salut

  • @violethezekiel251
    @violethezekiel251 2 місяці тому +5

    Duuuh! Anko J, kongolee kwako, Mungu aendelee kukutunza

  • @user-ot6nc5tf3h
    @user-ot6nc5tf3h 2 місяці тому +3

    Asante dear anko Jay hongera yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ ila mm hata kama itachukua mwaka pia ntasubiri naamini utatuwekea tu ulindwe na Mungu kipenzi cha wengi

  • @victoriaedfonss727
    @victoriaedfonss727 2 місяці тому +4

    Weeeeeee nimeisubiri kwa hamu sana hiiii simuliz❤❤❤❤ atimae shauku yangu imetimia😊🎉

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 2 місяці тому +3

    Shukran sanaa kaka jay,kama ulivoahidi,umetiza anko Jay shukran sanaa kaka Jay, Alhamdulillah

  • @RukiaYasini-dm1tr
    @RukiaYasini-dm1tr 2 місяці тому +4

    Ahsante anko jay kwa kigongo kitamu ubalikiwe kipenzi che2❤❤❤🎉🎉

  • @user-mp1eo9nr8p
    @user-mp1eo9nr8p 2 місяці тому +10

    Wakwanza mm anko j mauwa yako kaka❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-rh6vp7bx1u
    @user-rh6vp7bx1u 2 місяці тому +3

    Leo ni leo asemye kesho umechelewa wandau nipeni htakma ni moja tu na ankojey chukua maua 🎉🎉🎉yko kwa simulizi nzuri pamoja na mwanishi eddazaria G msulwa

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 2 місяці тому +4

    Waooo weeeeeeee🎉🎉🎉🎉

  • @BerthaMateru
    @BerthaMateru 2 місяці тому +12

    Naombeni like zenu Leo ningekuwa kwanza🎉🎉

  • @Khadija-mk7qw
    @Khadija-mk7qw 2 місяці тому +2

    Waoooooh tuseme bismillah ❤

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 2 місяці тому +6

    Hello am hereeeeee❤❤❤❤ tunaanza sasaaaaaaa

  • @AishaAljadidi
    @AishaAljadidi 2 місяці тому +5

    Atimae mzigo unefika❤❤

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 2 місяці тому +4

    Wow nimewahi 🎉🎉🎉❤❤

  • @violetmulya
    @violetmulya 2 місяці тому +7

    Tunatoka Kwa simulizi ya lisa ya tamaa, mapenzi na visasi sasa tumeingia Kwa pambano Aya sasa ni kweli yaliomo Yamo

  • @juliusmalunde9636
    @juliusmalunde9636 2 місяці тому +4

    Inaonekan simulinzi ni nzuri sana

  • @user-jt5tm6dl1g
    @user-jt5tm6dl1g 2 місяці тому +7

    Ngoja tuone, kazi mpya ya edazaria Kama Ni moto kushinda Lisa ya jomba wajo

  • @AminaMangale-nr1ic
    @AminaMangale-nr1ic 2 місяці тому +8

    W 1 leo

  • @kibibikombe9203
    @kibibikombe9203 2 місяці тому +5

    Safi sana

  • @donatatesha4492
    @donatatesha4492 2 місяці тому +2

    Asante kwa simulizi mpya ank. Ila naomba kama unaweza kupunguza sauti ya mus kidogo. Ningeshukuru sana

  • @mariamsaidi1658
    @mariamsaidi1658 2 місяці тому +4

    One number 😂❤

  • @user-qm4zg7bu3g
    @user-qm4zg7bu3g 2 місяці тому +4

    Wakwanza leo❤❤❤❤

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 2 місяці тому +3

    Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤

  • @user-fu6ew1jb6e
    @user-fu6ew1jb6e 2 місяці тому +19

    Jmn wtu mpo vzr sjuw mm.wa kwnz au folen imejaa😂😂😂😂😂😂

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 2 місяці тому +3

    Oyooyooyooo mzigo umeachiliwa hakuna kulala wadau

  • @emmanuelmwatujobe8450
    @emmanuelmwatujobe8450 2 місяці тому +5

    Mwanangu umetisha kinyama yani

  • @Mupawarda-gj9qo
    @Mupawarda-gj9qo 2 місяці тому +3

    Wooooow!❤❤❤❤❤❤❤nice

  • @RitaannyManegabe
    @RitaannyManegabe 2 місяці тому +8

    Wakwaza na wamusho naomba like leo

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo 2 місяці тому +2

    Waoooh ❤❤ penda sana ww anko wetu 🎉🎉

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 2 місяці тому +7

    Hatimaeeeeeee mau yako bro 🎉

  • @ChristinaJohn-gn9sp
    @ChristinaJohn-gn9sp 2 місяці тому +7

    Hello dear tuanze maisha Mapya

  • @user-mf3sk6hc1z
    @user-mf3sk6hc1z 2 місяці тому +6

    Simulizi hii ya sin ni murwa,tamu kama kitu kingine

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 2 місяці тому +5

    Tuko dani ya yumba ya Ankojay naomba like poa mm😊😊😊❤❤❤🎉🎉🎉

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 2 місяці тому +2

    MashaAllah kitu kipya kwa muda sahihi ❤ shukrani sana

  • @JamilaFarijala
    @JamilaFarijala 2 місяці тому +4

    Anko j unapromise za kweli tunakupenda sana ❤

    • @HadjiYusupfu
      @HadjiYusupfu 2 місяці тому

      Mbn kipandee chapilii hakitokii

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 2 місяці тому +2

    Aisee 😊😊 daaah yakwaza sasa ❤❤❤wacha tuone yaliyoomo yamoo 😊

  • @lepisonleveliani7731
    @lepisonleveliani7731 2 місяці тому +7

    Niwa mwisho jamani naomba mau yangu 🎉🎉

  • @joyfayla12
    @joyfayla12 2 місяці тому +4

    Hatimahe imefika

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +2

    😮♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 pamoja sana Ankojay 💃

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 2 місяці тому +3

    Wow nice story 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lightnesshassan6222
    @lightnesshassan6222 2 місяці тому +4

    Hatimae mzigo tunao🎉❤

  • @user-sy6md7fh4w
    @user-sy6md7fh4w 2 місяці тому +2

    Shukrani sana anko jey na kwa lisa pia😢😢😢❤❤❤ tumeinjoy sana aendeleze ingine lisa, mmwaaaa

  • @usterbae
    @usterbae 2 місяці тому +3

    Finally imeletwa asante sana ankojay wetu good job may God bless you🙏❤❤

  • @iamrike8420
    @iamrike8420 2 місяці тому +3

    Wamwisho 🇺🇸 ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Jasmeni-ns9dg
    @Jasmeni-ns9dg 2 місяці тому +6

    0:20 nyie nyie familia ya ankojay simulizi njoeni tuaze mambo matamu❤🎉

  • @saodashabani2652
    @saodashabani2652 2 місяці тому +2

    Mambo poaaa❤❤❤

  • @HusnaAthumani-yr3kp
    @HusnaAthumani-yr3kp 2 місяці тому +1

    Asnte sana anko Mungu akubariki na uwe na afya njema❤❤❤❤❤

  • @DamariJohn
    @DamariJohn 2 місяці тому +2

    aweeee anko j twakupenda sana ❤

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 місяці тому +17

    Wakwanzaaaaa mnipe likes zakuwai jamaniii😢 anko maua yako hayaapa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @momylaviel
    @momylaviel 2 місяці тому +4

    Nyieeee hatimaeee

  • @MaryNake
    @MaryNake 2 місяці тому +6

    Mbona hamna sauti

  • @MarimGodifrey
    @MarimGodifrey 2 місяці тому +1

    Waooooo nimesubiri hatimae imetufikia hongela sana edazaria❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ pongezi zako kipenzi changu anko jey 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Yako

  • @nooraahmed6948
    @nooraahmed6948 2 місяці тому +4

    Dud watu wote wako macho😂😂hamulali

  • @user-zj7hd6sg3y
    @user-zj7hd6sg3y 2 місяці тому +7

    Mashaallah Ankojay mungu akubariki sana nakubali kazi yako

  • @HawaSweedy
    @HawaSweedy 2 місяці тому +11

    𝙰𝚒𝚜𝚎𝚎 𝚠𝚊𝚔𝚠𝚊𝚗𝚣𝚊😅😅

  • @BinkanaKinyasi
    @BinkanaKinyasi 2 місяці тому +3

    Oyooo❤

  • @NailatYahayamkova-yu9qu
    @NailatYahayamkova-yu9qu 2 місяці тому +7

    Jmn kumekucha 😮😮😮😮😮😮

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 2 місяці тому +3

    Oyooooooo🔥🔥🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @JeromeBaraka
    @JeromeBaraka 2 місяці тому +6

    Mimi natakareyana kwanza