HALIMA - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Majira ya Mchana wa jua la saa nane, Halima alimaliza kupika chakula cha mchana na kutenganisha katika vyombo mbalimbali huku akitenga kwa ajili ya waliokuwepo na ambao hawakuwepo wakati huo.
Morning, wale Wa kuwahii, Mumbi Wa Naivasha ako locked wapi likes
Nime karibiya anko jay ya mwandishi sumaiya mwendo Ana mastory mengi mazuri Sana na mafunzo dani yake nauko halimisha ❤❤❤
Tunamsbr na malaika mweusi jamn lakn Acha Leo tuendelee na halima❤🎉Huna kazi mbovu ankoo
Woyooooo anko jay ww mwambie tumemiss sana sumaiya mwendo mpaka tumemsaau twende kazi anko jay kwenye simulizi yetu mpyaa🇴🇲🇴🇲❤❤
❤
Hali powa wewe je naona mambo yanazidi kunonga halima weee kunani Tena halima halima 🎉🎉🎉🪑🪑🪑🪑🎧🎧🎧🔥🔥🔥
Ahsante bwana anko Jay simulizi bandika bandua mwendo hapaapa❤❤❤❤kwendambele😂😂😂😂
Haswa mambo yapo hapa
Leo nmewahi Sana,kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love,
Wow mzigo mpya wa kuitwa Halima upo mjengoni jamann🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Woyooooo 😂Ahsante Anko jay ❤,unatufanya sisi mashaghala kazi ziende bila kuchoka wala stress,wangapi munaungana na mm kwa hili nililosema 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nipo pamoja nawe
Nafurahi stori nzuri sana hadi napitiwa na usingizi🎉🎉🎉❤
Jioni anko j tuletee sin 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 maana ninamawazo ya kuachwa labda ntainjoy na anko j maana naipenda sana
Anko jay ujee hukuu😂😂😂 kuna mtuu haelew hukuu😂❤
Pole sn hakika inaumiza inauma usijal yote yatapit
Daaah anko ata hatupumui ani saiv nibandika bandua ty anko 🎉🎉🎉🎉yako haya ❤❤❤❤
Yule dada wa kutoa like mdogo mdogo naingia kuwapa like zenu ❤🎉
Khalima mrembo nyie❤❤❤
Sumaiya welkam again Girl
Asanteee anko kpenz kitu kipya jaman 🎉🎉❤❤❤
Asante anko j,hatujakaa sawa na maraika mweus mara halima upewe 🌹🌹🌹🌹yako
❤❤❤❤ good job ubarikiwe sana kaka yangu kipenzi nakupenda mnooooo ankooooo Jay wetu kipenzi KING 👑
Wow tamu tamu🎉🎉🎉 asante Sana ANKojay akika nitamu tayari Nishaimaliza🎉❤
Jamani wamama wengine hawana akili lakini mungu yupo kaka tupo pamoja❤❤❤❤❤❤❤
Wow nimechelewa lakini nimefika kwa binti halima time fulusi tujuwane hapa❤❤❤❤😂😂
Napenda sanaa simulizi naitwa rahma kutoka 🇴🇲 oman
Wao Mashallah wajina kafany Nin ten Halima wajina wangu Asante San ankoj ❤❤❤❤
Halima jina la kubwa na la maana sana wacha tuone nni kitajiri
Asante sana ankojy kwa simulizi hii mpyaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao wote wanafamily wa ankojy
Huyu mama shenzi kabisa Kama hakwenda leba bwana na sada ngoja dawa yake iko jikoni tu 🥲🥲🥲🥲
Thanks Ankoo J kitu kipya,good morning muruwa kabisa ❤❤❤❤❤ nafasi nyingi sijui nikae pembeni wala katikati maana nimewai mpaka nachanganyikiwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani nzurii mnooo...naisubir part2
Familia kama hii kwahakika nikipata sehemu paturivu siwezi kurudisha fikra zangu nyuma maana kunyanyasika kama huku aaaaaah misiwezi kabisaa huyo mama asubilie ujauzito kutoka kwahuyo binti yake mupendwa mwenye roho kama yake daah pole sana HALIMA😢😢😢
Wallah anko j ❤❤❤❤❤ ninamiaka mine hu unaenfa wa tano nasikiliza stor zako zinanifundishasana Nahistor nijina langu
Asante anko jay ubarikiwe sana
Kwa mara ya kwanz tok nianze kumsikiliza anco j nimekuwa watatu naomben like zenu wadau kwa wingi
❤❤❤🎉
@@Ketteneema-k9f😊❤😊❤😅❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😅😊❤😊❤😊❤😅❤😅😅❤😊❤😅❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😅❤😅❤😊❤😊😅❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😊❤😅❤😊❤😅❤😊❤😅❤😅❤
Na umezipata za haja
Nimesikiza nizuri sanaa❤❤
Anko Jay hivi Hawa mashabiki zako wanalalaga youtube eeh😢😂😂Ila nimewahi na mm leo🎉❤
Wa kwanza leo ❤
Twende kazi❤❤🎉🎉
Aya tupo uku kwa alima....je lucy 😊
Mm 1 Leo aya halma ana nn tena Anko jay asubui asubui n halma 😅 twende nalo team fulus 🇰🇪🇶🇦
🎉🎉🎉🎉🎉
Unyama namba one
❤❤ ndonaingia rasmi kuisikliza bint halima kutoka kwa sumaiya ikiwasilishwa na kipenzi chetu anko mapesa wangap tunatulizwa nakusahau mapto tunayoptia? simliz za anko,like tujuane asante ankojy🙏🙏👂👂🪑🎧🧎
Haya jamaniii 😂BINTI HALIMA KAFANYANINI TENA TUNASIKILIZA HILI TUJUWE LIKE 10 LEO NIMEWAHI 😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani nimechelewa 😢😢 nilikuwa nipo pize na kazi ware wezangu wa mchi ya uwarabuni tujuane bae jamani naombeni like zenu😭😭
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tupo apa
Tupo ap
🎉🎉🎉🎉
Jaman sjachelewa sana naomben like hata kumi tu❤
Aweeee, Asante anko jay
Haya bint halima❤
Haya leo wa kwanza Tm Fulus tujuane❤Asante anko jay❤
Jamaniii mbonaa nimechelewaa😂😂 like zenuuu please 🎉🎉
🎉🎉🎉
Jamani hii simulizi inaumiza sana kwa kweli 😭😭 imenitoa machozi jamani
Wanadamu timejaa maovu sana Mungu atuhurumie
@@YasintaHongelahuyo ni mtoto wake wakumzaa je wamwenzie
Waoo, asante Ankojay, miss you Sumaiya Mwendo😂😂
Na amekuja na kasi ya 5g...yaani bandika bandua ....huyu dada yuko vizuri sana hana matusi mengi kwenye simulizi zake ukijumlisha na sabra Abdhulla
Ndio nimewasili😍😍
Jamn nimecherewa nilikuwa bize saivi nime jituliza na sikiliza apa jmn naombeni like zangu
Anko upo vizuri sana ❤❤
Chenye mwanzo hakikosi mwisho, pole san dear halima 😢 ila binadamu wengine hawanaga huruma
Mama Halima ww ni nyama sama mm pia jina langu ni Halima lakini nikipenzi cha mamangu na mm pia nampenda sana mama
Huyo sio mama yake itakuwa😢😢😢
@@AminaHussein-vy4gxni mama yke lkn anaujinga kweny kichwa chake
Wa mama wa hivi wapo mfano hai ni mama yangu 😢😢
@@TheresiaMnunga-cg1sd pole kipenz
@@Babyfaty-m3y Asante dear
Asante anko maana hata ukiwa na mawazo.. Ukisikiliza simulizi yanaisha kabisa❤
Leo wa pil asante anko j ngoj nisikilize binti halima kafanyaje tunakupenda san
Ankojay akunakupoa kazkazi asante❤
Asante ankoj kwa burudani muruaa
Asante sana ANKO J. TUKO PAMOJA KWA HIYI ZUMULIZI
Asante sana ankojay mapesa 🥰🥰
Nime ipenda ❤❤❤
Asante sana Anck Jay 🎉🎉🎉
Ila ankojay 😂icho kimombo dah nmecheka 😂😂😂😂😂
Anko ubarikiwe upate afya njema inshallah nyingi kwako siti anakiliza simulizi zako akiwa saud
Wow wakwanza nimimi nipe like atamoja❤❤❤
Tuna macho bwana wewe sio wa kwanza😃😃
😅😂😂😂😂
❤
Asante sana ankojay nakukubali sana kaka uko kwenye ubora wako
Watatu jaman ❤❤
😂 😂 Muonekano mzur kam wa @ankojay,, nmeipenda iyo
Mm nasubir binty nani vile nimesau ila twende nalo ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂
Halima Mungu ana sababu ya Yale yote umepitia na atajibu.
Thanks Ankojay wetu ❤️
Wow halina Yuko na nn Tena maana Ankojay acheka kweli kwli❤❤❤
Asantee anko j❤🥰❤😍🥰🙏🙏
Jamani kwema jana niricheka sana mke wa sana kwenye kiapo
@@JozeFeeen 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kaperekwa kuzimu na Mage🤣🤣🤣
@@Evelynmoreen3655🤣🤣 mpaka kamkumbuka MUNGU😂😂
@@ZenaidaDaniel-r9d hata mimi kanishangaza🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nilikuw na huzuni lkn nilichek kma kichaa
Jaman hii simulizi nimeipenda sana Daah
😭😭😭😭 mpaka nimelia sana kwa hii story ya halima kweli
Asant anko❤❤❤
Wa pili❤❤❤🎉🎉
Woooooi anko wetu tuletee SIN plz❤❤❤our love
Wajina ndani ya simulizi ngoja nijisikilize
Love uu anko j❤❤❤
Thanks much uncle wetu
Jaman mm leo mbona mm pole sana nimefanya nn nicheke kwanz😂😂😂😂😂
Ni simuliz yko iyo ndo mna🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Binti Halima❤🔥🔥🔥
Jaman inauma sana hasa kwa wale waliopitia hali kama hii ,,mim ni mmojawapo tuliachwa na mama yetu mzazi tukiwa wadogo hata hatujajitambua nikiwa mim na mdogo wangu na sasa ni mtu mzima na sijasahau
Asanta kwa kitu kipya anko jay🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jaman siku jua kunakitu kipyaaaaaa haya ngojea niskilize
Nimewahi jamani nioneeni huruma laiki jamani 😮😮😮
Kitu kitamuu😊☺️☺️Lini tutasherehekea 100k jamani 🎉😢..
Hii simulizi ya halima inauzunisha😢😢😢
Wa 28wapendwa wa ankojay nawapenda
Jamani ank j hicho kiengereza mimi hoi 😅😅😅
Inahuzunisha😢😢
😢😢😢😢wengine tunatamani sauti zdmamazatuu lkn hatuwapati huyu mama halima alitumwaa kwani azae kabilaa ndoa kwann bs hukutoa hiyoo mimba kuliko kumtesa mtoto halafu unaongezea sumu kwa wadogo zake loo mwisho wahii naona huyoo sadaa atazaa injee yandoa huyu halima ataolewaa kwaheshima
ᴷⁱᵈᵒᵍᵒ ⁿⁱ ˢⁱⁿᶻⁱᵉ ᵇᵃⁿᵃ😅 na ᵐʳ ᵏⁱⁿᵍ ᵃˢʰᵃᶠᵃⁿʸᵃ ᵐᵃᵐᵇᵒ tayari😅😅😅😅
nime chelewa😢😢😢
Mwendo wakobe nakupat anko jay nikiwa songea❤❤❤❤
Nimekuja hope sijachelewa❤😂😂😂
☺️☺️☺️☺️niliwamisi
Jinsi ninavyo imiss sin 😢 bas ngoja nmzikilize huyu halima Kefanyaje
Jamani Kuna watu wenye roho chafu yani mpaka mtoto wako wamtesa kweli naomba Halima apate mtu ampendae
Simulizi nzuli ❤❤❤
mh watu mnawai jamani ila sijachelewa sana
Cjuwah kua wakwanz mim😮😮😮 mungu nisaidue niwe wa kwanz😅😅😅