HAJI MANARA AOMBA KUMUOA ZUCHU LIVE/ AMSIFIA KUPATA MALEZI BORA/NIMETUNZA MILIONI SABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 156

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 4 роки тому +1

    Jux mm uwa nakupenda sn ww si mnafiki kbs yn hongera broo

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 4 роки тому +1

    Manara umependeza sana

  • @ibnkhaldun1164
    @ibnkhaldun1164 4 роки тому +29

    Ha yo sio malezi bora kaka Manara we we ni muislamu unajuwa mfumo wa Malezi yetu

    • @mahamedabdi1881
      @mahamedabdi1881 4 роки тому +1

      Huyu jamaa nimbwange moja tu

    • @DuniayaHabari
      @DuniayaHabari 4 роки тому

      Mmmh hizi ni Kali bhana.. Angalia ukicheka tu bonyeza subscribe ua-cam.com/video/uN5vigp2fwE/v-deo.html

    • @ummyjuniour8260
      @ummyjuniour8260 4 роки тому +2

      Kwa kweli,malezi bora ni ya kufuata maelekezo ya dini

    • @seifsuleiman3866
      @seifsuleiman3866 4 роки тому

      akuna watt walio alibika kam wa mashehe au bab zaoau familly yao wanajua din san kizazi chake utashika kichw

    • @nshonabdll9363
      @nshonabdll9363 4 роки тому

      We nawe kwaiyo wt wasi afanye maisha au ww unayafahta hayo daini

  • @sharkysharkyhassan8964
    @sharkysharkyhassan8964 4 роки тому +1

    Ww manara mungu anakuona malezi bora ya kumchukiza allah duh

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 роки тому +17

    Waislam!
    Bora kujitambua tulicholetewa hapa Duniani kabla ya kuvikwa sanda na kuenda kuishi nyumba yenye chumba kimoja na ukumbi
    (Kaburi na mwanandani)

    • @loolaa1783
      @loolaa1783 4 роки тому

      Tunaishi kiduniaa zaidi akhera tumeweka mgongon hakika tutalia na kusaga meno siku ya mwisho

    • @joharijj2164
      @joharijj2164 4 роки тому +1

      Wallah umesema jambo ambalo Jana nimesikitika Sana, halafu wengi ni sisi waisilamu, yaani tunakesha mitandaoni kutizama uchafu, nimemuuliza dadangu laiti yangekua ni mawaidha Ata kusingefika watu elfu Moja, subhanalah. Wallahi Allah atuepushie na anasa za Dunia

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 4 роки тому

      @@joharijj2164
      Johari! Tumuombe Allah atuhidi.
      Nnakumbukumbu ya magazeti.
      Nikiyapitia naona wengi kati ya majambazi sugu ni majina ya Waislam.
      Wasanii wengi waislam.
      Matapeli wamo waislam.
      Malaya tumoo!
      Hatujabakisha kitu.
      Yarabi tujaalie mwisho mwema.
      Amiin.

  • @fadhilsanga2847
    @fadhilsanga2847 4 роки тому +2

    Kazi nzuri WCB FOR LIFE

  • @khamisally6743
    @khamisally6743 4 роки тому +3

    hizi ni zama zilee zilizotajwa na wema waliotangulia kwa hio hatushangai sana . malezi bora ni malezi ya kiisalam tu hakuna mengine, kumuogopa ALLAH S.W NA KUYAFATA ALIOTUAMRISHA NA KUYAACHA ALIOTUKATAZA.

  • @rahimbaissa2385
    @rahimbaissa2385 4 роки тому +16

    Na Mimi Niko singleeee

    • @jrm9448
      @jrm9448 4 роки тому +1

      Kwahiyo unataka Manara akuoe pia au??

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 4 роки тому +3

    Manara hoyee🇰🇪🇰🇪❤️

  • @gabrielgabito4197
    @gabrielgabito4197 4 роки тому +1

    Shout out sana mnyama jux uko simple sanaa

    • @asharamadan2762
      @asharamadan2762 4 роки тому

      Manara acha upumbavu wako Hugo anakaa uchi pumbavu

  • @atlantistyrants6993
    @atlantistyrants6993 4 роки тому +11

    🔥🔥🔥🔥🔥 WCB4LIFE

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 4 роки тому +2

    Haji Manara Msemaji wa Taifa✌️

  • @fettyally333
    @fettyally333 4 роки тому

    Piga kelele kwa manara wake kum love Zuchu akeeee

  • @asharamadan2762
    @asharamadan2762 4 роки тому +1

    Malezi gani anavaa uchi

  • @wahabingaheka637
    @wahabingaheka637 4 роки тому +5

    Malezi bora yakuimba kweli wewe umeyumba

  • @princessfa9048
    @princessfa9048 4 роки тому +40

    Na mimi niko single 😂😂😂😂

  • @calosenock5723
    @calosenock5723 4 роки тому

    Ndoa ya diamondi na zuchu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 роки тому +6

    Jamani dunia iko kinyume nyume kweli malezi bora?

  • @edithhassan4196
    @edithhassan4196 4 роки тому

    Lily omy suite yake safi

  • @masoudseif4962
    @masoudseif4962 4 роки тому +3

    Simba baba lao

  • @sulemanissa5488
    @sulemanissa5488 4 роки тому

    jux yupo kumbee safi sana

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 4 роки тому +1

    Hayo malezi gani kukaaauchi

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 4 роки тому

    Huyu manara anajuwa kucheza na maiki kweli

  • @alirahma8967
    @alirahma8967 4 роки тому +1

    Love u haji

  • @christianmichael5331
    @christianmichael5331 4 роки тому +2

    Aaaaah Haji mwanao huyo

  • @austine255
    @austine255 4 роки тому

    Wewe wataka Vita na simba

  • @kiulungmsomali8445
    @kiulungmsomali8445 4 роки тому +4

    Ww manara ni msenge sana yaan zuchu amelelewa kwenye maadili ? Afu unasema ni muislm ,muislm wa kweli haende pale!!/hizo milioni 7 kuna masikini kuna watoto yatima

  • @MdEmon-yn4cw
    @MdEmon-yn4cw 4 роки тому +1

    malezi bora ataimba mziki na kutembea uchii

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 4 роки тому +2

    Buggati dela boss basi basi basi basi

  • @michaeltandike5011
    @michaeltandike5011 4 роки тому +1

    unapenda sifa sana wewe,mkeo amekushinda Zuchu utamuweza?kwenda zako wewe...

  • @petromwalongo178
    @petromwalongo178 4 роки тому +1

    We mzee kafie mbele uko tafuta mzee mwenzko boya ww

  • @rodrickmataba8999
    @rodrickmataba8999 4 роки тому +2

    Budweiser zimefanya kazi🤣🤣🤣🤣

  • @irakozeinnocent7199
    @irakozeinnocent7199 4 роки тому +6

    Huu mzee bana😂😂😂

  • @sajidamsury4211
    @sajidamsury4211 4 роки тому

    Kweli manara c

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 4 роки тому +1

    Manara

  • @guccij3549
    @guccij3549 4 роки тому

    Hapo si mahali pa kuongelea habari za Mikia

  • @dinnoallex9158
    @dinnoallex9158 4 роки тому

    Mbona umekuwa babu

  • @hipolitykulaya4132
    @hipolitykulaya4132 4 роки тому

    😂😂😂manara acha tamaaa

  • @marwalzzy5983
    @marwalzzy5983 4 роки тому +1

    Hawa ndo wale mnaobaka watoto wenu shenzi kabsa

  • @tabumussa6705
    @tabumussa6705 4 роки тому +1

    Ila kumbuka malezi bora ya dini yetu ya kiisilamu si unayajua yanavyotakiwa?

  • @mgenisaleh3501
    @mgenisaleh3501 4 роки тому

    Haji manara hapo panamalezi bora kweli?

  • @jeremiadaudi5780
    @jeremiadaudi5780 4 роки тому +1

    Huyo chukua tu

  • @shabankawambwa4397
    @shabankawambwa4397 4 роки тому

    Fact bro

  • @suleimanomar6467
    @suleimanomar6467 4 роки тому

    Jaman mm mpenzi wa Simba lkn huyu si Haji manara ni Haji Misifa

  • @maryamsaidi8891
    @maryamsaidi8891 4 роки тому +1

    😂😂🤣😅😅😅😅😅Manara uko single eti

  • @mikingamojuma1463
    @mikingamojuma1463 4 роки тому +19

    Manara acha kusifia uozo malezi gani hayo ya kukaa uchi mbele za watu?
    Kumbuka wewe ni mwalimu wa madrasa halafu unaongea ujinga mbele za watu.

    • @pendondossy2158
      @pendondossy2158 4 роки тому +1

      Kumbe manala n mwalim duuuuh

    • @loolaa1783
      @loolaa1783 4 роки тому

      Hata kama asingekuwa mwalimu hizi ni anasa za kidunia kisha linasifiaa mbele ya umma mungu amufungue ubongo wake

    • @tariqpaul9724
      @tariqpaul9724 4 роки тому +3

      Aisee huyo no mwanamziki ko razima awe anavaa Kama mwanamziki ko ulitaka aende stejini kaji still Kama anaenda ku swali..??

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 4 роки тому

      Tumsamehe

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 4 роки тому +1

      @@pendondossy2158 manara ni aalim sijui kakwama wapi hiyo m7 angepeleka madrasa ingekuaje?

  • @farajakomba5926
    @farajakomba5926 4 роки тому +3

    Semaji la dunia

  • @rehemamsamba8596
    @rehemamsamba8596 4 роки тому +1

    Simba oyeeeeeee😜😜

  • @rayanalmahrooqi4661
    @rayanalmahrooqi4661 4 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂mashaallah

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 4 роки тому +1

    NAOMBA NIKUALIKE
    Habari naitwa Hero msanii wa muziki naomba nikualike kutizama na kusapoti video ya mziki wangu mpya nao uzindua leo rasmi kwa ku SUBSCRIBE naomba SUSCRIBE yako shabiki wangu GUSA hapa kuona ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 4 роки тому

    unasema hao sasa hivi badae yumzwia yasiimbe tena kwa sababu wivu utakushika

  • @magretpeter2845
    @magretpeter2845 4 роки тому +8

    Ujana wako umekula na nani .utuuzima wako umalize na mtoto wa mwenzio

  • @jriyadahmad5617
    @jriyadahmad5617 4 роки тому +2

    Hili jamaa xilikubli ata kidogo linajifanya shee sana kumbe senge tu msukule wa simba

    • @barakamlowe2426
      @barakamlowe2426 4 роки тому

      Wee cyanga

    • @abasialimussa5372
      @abasialimussa5372 4 роки тому

      Mwamba unakosea sana mimi ni yanga kindaki kindaki lakini kwa upande mwingine namkubali haji manara kwa sababu anaichangamsha ligi yetu

    • @jriyadahmad5617
      @jriyadahmad5617 4 роки тому

      @@abasialimussa5372 ttzo sio uyanga au usimba ttzo ni mwalimu wa madrasa but Anglia mambo anayofanya

  • @fatushabdi2786
    @fatushabdi2786 4 роки тому

    Mm pia niko single pia Siku hizi afadhali uwe single .🤣

  • @moodmmanga3252
    @moodmmanga3252 4 роки тому +7

    Dah huyu ms*ng* sana hahahaha 🤣🤣

  • @mzeesulemani7448
    @mzeesulemani7448 4 роки тому

    Naili haji Manara chadema Eee.?

  • @jumasaidi8157
    @jumasaidi8157 4 роки тому +2

    Wewe ni mpiga kelele wa simba na mziki wapi na wapi?

  • @josephojwang4387
    @josephojwang4387 4 роки тому +1

    Umezeka

  • @maisarasid8670
    @maisarasid8670 3 роки тому

    Nimecheka sana huyu baba eti yuwataka zuchu ajioni kuwa yeye nimtu mzima zuchu nikama mwanawe

  • @HaleluyaTv
    @HaleluyaTv 4 роки тому

    KAMA BADO HAUJATAZAMA USHUHUDA WA MAMA ALIEPONA KANSA YA ZIWA KARIBU KUTAZAMA LINK HII CHINI ua-cam.com/video/NEpJOZ1FsCM/v-deo.html

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 Рік тому

    Wewe manara wewe unamwambia naseeb akupe zuchu umuoe huku na yeye anampigia hesabu ya kumtafuna na mifupa yake mtoto mdogo mbichi hajatumika sana kwa akili yako diamond atamuacha aliwe na wengine subutuuu niko pale nimekaa huko mbeleni lazima utakuja kujua diamond anamla zuchu wewe manara wewe acha zako kabisa diamond hawezi kukupa wewe zuchu huku yeye mwenyewe yupo 😂 😂 😂

  • @allysangama6309
    @allysangama6309 4 роки тому

    Zuchu hapendi mazeluzelu

  • @saidsinani8765
    @saidsinani8765 4 роки тому

    Mm

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 4 роки тому

    🤣🤣🤣❤️niko single

  • @peterelisha1828
    @peterelisha1828 4 роки тому

    Mmj

  • @ramarramar9909
    @ramarramar9909 4 роки тому

    Saf

  • @alexjeremiah8389
    @alexjeremiah8389 4 роки тому +2

    Oyeeeeeee

  • @crystalrhymesofficial3379
    @crystalrhymesofficial3379 4 роки тому

    Afu uyu manala wmefanana na magufuli

  • @naellalove1681
    @naellalove1681 4 роки тому

    msemaji WA simba

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 роки тому

    Haji manara kuna wakati hajui anachoongea,lakini watu wanaona kila anachoongea nisawa

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 4 роки тому

    Eeeee baba weee ushazeeka ww

  • @sirijoseph655
    @sirijoseph655 4 роки тому

    Misifa ya kifira

  • @annastaziamashimi4236
    @annastaziamashimi4236 4 роки тому +2

    😂😂😂😂

  • @speriasmohamed5604
    @speriasmohamed5604 4 роки тому +6

    No views

  • @farajibugi9924
    @farajibugi9924 4 роки тому

    Hapo ndo umeharibu mbwa we hapo ni starehe za watu ww unapeleka usimba wako

  • @metuselakamanzithedon1764
    @metuselakamanzithedon1764 4 роки тому

    Mnajifanya wengn mnajua maadili mnaingia hum kutfta nn

  • @joycemajala4355
    @joycemajala4355 4 роки тому

    Hahaha

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 4 роки тому +2

    Manara ujielewi iyo dini umesoma wap tufatilie labda umesoma kwa mashia! Mtu anakaa uchii! Mziki ni haramu unasifia ujinga alafu unajiita umesoma dini

  • @damianmzwangijames3002
    @damianmzwangijames3002 4 роки тому

    Follow account yangu kwa cartoon animation movie fanya kusubscrible hizi ni kwa wote wakubwa kwa watoto. 🔥🔥🔥🔥

  • @wahabingaheka637
    @wahabingaheka637 4 роки тому +1

    Anakaa uchi mbele za jamii unamsifia Aiseee Muislam wewe

    • @emiljames4357
      @emiljames4357 4 роки тому +1

      ww

    • @azizakombo6551
      @azizakombo6551 4 роки тому

      Angeanza mama mtu kujistiri anaonekana hakumlea vizuri ktk mavazi ndio maana anatembea uchi

    • @iddiabdalah4593
      @iddiabdalah4593 4 роки тому

      Acha ujinga huyo simwanao

  • @irakozeinnocent7199
    @irakozeinnocent7199 4 роки тому +5

    Huu mzee bana😂😂😂

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 4 роки тому +4

    NAOMBA NIKUALIKE
    Habari naitwa Hero msanii wa muziki naomba nikualike kutizama na kusapoti video ya mziki wangu mpya nao uzindua leo rasmi kwa ku SUBSCRIBE naomba SUSCRIBE yako shabiki wangu GUSA hapa kuona ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html

  • @sayianmadara7286
    @sayianmadara7286 4 роки тому +1

    🤣😂😂😂😂

  • @ommygoldene3636
    @ommygoldene3636 4 роки тому

    NAOMBA NIKUALIKE
    Habari naitwa Hero msanii wa muziki naomba nikualike kutizama na kusapoti video ya mziki wangu mpya nao uzindua leo rasmi kwa ku SUBSCRIBE naomba SUSCRIBE yako shabiki wangu GUSA hapa kuona ua-cam.com/video/kHp-9wK9Tyw/v-deo.html

  • @kareemmlyon4758
    @kareemmlyon4758 4 роки тому

    😂😂😂