ZUCHU AFUNGUKA, HANA TATIZO NA MAMA DANGOTE| ASHAURIWA KUMZALIA DIAMOND PLATNUMZ MTOTO WA KIUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 113

  • @kantai737
    @kantai737 Рік тому +29

    Zuchu is very matured Masha -Allah , na anajua kuongea sana

  • @Godelivemwamba-z6p
    @Godelivemwamba-z6p 9 місяців тому +1

    Daimond anapendezwa na zuchu na pamoja wataenda mbali katika maisha yao

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Рік тому +5

    Wote mnaocoment makasiriko wivu wa nini kwa zuchu katoto kanayaweza mambo yule .wanaume tunapenda mwanamke mwenye kuyaweza sio gogo kitandani ss ninyi zuchu awatowa roho wakomeshe tu zuchu tena zidisha zaidi ya hapo ❤zuchu

    • @saphiasaid1038
      @saphiasaid1038 Рік тому

      Nyie nyie hajpajupa nitanipa sikunajua vitu

  • @kimah9855
    @kimah9855 Рік тому +8

    Zuuh❤❤❤❤❤❤❤❤❤Very smart girl

  • @PatricMwantimwa-nx4nh
    @PatricMwantimwa-nx4nh Рік тому +4

    Zuhu much love ❤

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 Рік тому +9

    Zuchu anaonekana kuwa na Akili timamu sana🙏

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 Рік тому +9

    Zuu kaongea vizuri

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 Рік тому +4

    Maturity! ZUCHU anayo,

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 Рік тому +3

    Zuchu Ni mtoto wa malkia wa mipasho Tanzanian. Bi Hadija kopa. Namkubali sana. Ila huyu jamaa B levo ba fundi majumba namkubali kinoma.

  • @Nakawunguevelyne
    @Nakawunguevelyne Рік тому +2

    ❤❤❤❤zuchu

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Рік тому +5

    Nimechoka sana isay

  • @DirectortristanKevin_POKOTTV
    @DirectortristanKevin_POKOTTV Рік тому +8

    Zuuu ❤🎉

  • @othmanmusilm
    @othmanmusilm Рік тому +13

    Bimkubwa wa Big ana sauti kuliko hata Big zuchu ana safari ndefu sana kwenye hayo mahusihano sijui nini kilimpata mpaka kujiingiza kwenye hayo mahusihano Daaah!

  • @faidhacute
    @faidhacute Рік тому +9

    Et ametoka wakat amezaliwa leo😂😂

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂wazae tu wao,kama kuzaa ndo kutunza mwanaume akuoe tu shoga angu,ndo kwanza life has just began for you usijidanganye na kuzaa na mwanaume nje ya ndoa..ana watoto wangapi uyo bwana mpaka sasa hata wengine haudumio,wewe ni nani😂😂😂😂

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 Рік тому +1

    😄😄😄😄Babalevo unaujingaa sanaaaa

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 Рік тому +2

    B levo mshenzi sna et ulimulushia bakuli

  • @Estherjaph
    @Estherjaph Рік тому

    Next part plz❤❤❤

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Рік тому +3

    Inshallah

  • @jackiecarmen8374
    @jackiecarmen8374 Рік тому

    Baba Levo very sarcastic 😅😅😅😅

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 Рік тому +7

    Babalevo nimungo sana 😂😂😂😂

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 Рік тому +2

    Huyu msichana , sijui ...uwii

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Рік тому +5

    Zuchu sio mbea hayo ya keki waulizeni wenye kuzaa yy yanamhusu nini hilo swali mlizeni diamond na tanasha.zuchu yy mwalikwa tu ndio maana hana jibu

  • @jaanetakelvin6164
    @jaanetakelvin6164 11 місяців тому

    Zuu asikubali kuzaa ndoa kwanza

  • @saphiasaid1038
    @saphiasaid1038 Рік тому

    Zuchu hajui lakin diamond nampenda Subiri utanipa.niceeee

  • @KIPUDA2021
    @KIPUDA2021 Рік тому +6

    Mnamshauli aolewe au azae dah saa god kachoshwa na haya mazombi alio yaumba na kujisahau

  • @esterpaul5856
    @esterpaul5856 Рік тому +2

    Zuchu na huyu dada mbona zuchu mjuhwa??? Hlf anamuita dada ..hehe😅

    • @ismailykazumal
      @ismailykazumal Рік тому

      Kwaiyo kama mtu ukiwa naye sawa au ukiwa mkubwa uwezi kumuita dada? Dada ni neno la heshima

  • @IshaEuly-vf3mk
    @IshaEuly-vf3mk 8 місяців тому

    ❤🎉

  • @fatimammowa8312
    @fatimammowa8312 Рік тому +2

    Sasa kuzuzuwana 😅

  • @godlema6104
    @godlema6104 Рік тому +1

    TV kila siku kuzungumzia boss wenu tu

  • @Hazfir.Official
    @Hazfir.Official Рік тому +2

    Gidigidiii

  • @mishikombowato1457
    @mishikombowato1457 Рік тому +5

    Oscar buana anajua anaingiza mtu chaka 😂😂😂😂😂

  • @leakanze-ut4pe
    @leakanze-ut4pe Рік тому +11

    Zuchu ukizaa tu mama sahau diamond dadangu

    • @najmahamso8364
      @najmahamso8364 Рік тому +5

      Kama ulikua kwa akili yangu mwache ajipoteze akizaa tu baasi 😂😂😂

    • @kantai737
      @kantai737 Рік тому +1

      Zuchu kwani unamuona mjinga, angetakaa kuzaa angeshazaa, zuchu Ana malengo yake, she is still has goals for her career.

    • @leakanze-ut4pe
      @leakanze-ut4pe Рік тому

      Zuchu hajui kukurupukia mambo kama wengine wanavyofanya,wanaona kuzaa ndio kushika mwanamume 😅😅😅😅

    • @zenahmugo1974
      @zenahmugo1974 Рік тому

      Hawezi zaa sai aki 😂😂angekua wa kuzaa izo miaka karibia tatu angekua hajaweka apo mbegu, anajua chenye anafanya 😂😂ngoja wajinga wazidi kuumia na kumchukia kila siku

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 Рік тому

      Kabisa ataharibu kila kitu

  • @nihadshighadi4095
    @nihadshighadi4095 Рік тому +2

    Machawa kwenye ubora wao

  • @azizamohammed583
    @azizamohammed583 Рік тому +2

    tumia akili yako zuu ndgyang wasikulazimishe walimwengu

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому

    Baba Levo haha😅 eti ke ngkeke itata itaa

  • @HalimaAbdallah-w5s
    @HalimaAbdallah-w5s Рік тому

    ❤❤

  • @ziporaa8570
    @ziporaa8570 Рік тому

    Munitafutie bwana TZ nimechoka na kenya😂😂😂😂

  • @Jasminiomary
    @Jasminiomary Рік тому

    Mmhh ila zuu roho inamuuma😅

  • @dianamonyo1960
    @dianamonyo1960 Рік тому +4

    Mnampa kichwa na Diamond kashapiga tukio na Aliya uko

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 Рік тому +2

    Imekuaje tena 😂😂😂

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc Рік тому +1

    Hii imeenda

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 Рік тому +1

    Kuzaa na mwanaume sio chochote

  • @SalmaSalma-wz1xv
    @SalmaSalma-wz1xv Рік тому +3

    Acheni ujinga wenu zuchunyuko kwa nassibu punguzeni makasiriko .

  • @philipmastory
    @philipmastory Рік тому

    B. Levo unaongea Sana, mpe Zuchu MDA aongee

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 Рік тому

    Osca Fala Sana 😂😂😂😂😂

  • @aishaz1
    @aishaz1 Рік тому +4

    Zuchu ni wetu akuna mkimbizi atakuja kuleta mbwembwe tz wakenya tulieni kwenu mnauaga mabwana

    • @nihadshighadi4095
      @nihadshighadi4095 Рік тому +2

      Kuna mmeo kauliwa na mkenya?

    • @everrineanyango7410
      @everrineanyango7410 Рік тому +1

      Bado wewe tu

    • @aishaz1
      @aishaz1 Рік тому +1

      @@everrineanyango7410 inakuchomaeee na bado utasema ujasema kunguru mmoja ww

    • @mishikombowato1457
      @mishikombowato1457 Рік тому +2

      Unateseka na wakenya ukiwa wapi kwani ww hauna mbele si nawe ukajikite ili asipige sim huko kenya unajiona unaongea la maana kumbe mnatiana madole majukwaani

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 Рік тому

      ​@@mishikombowato1457inakuchoma eeeeee mbona mnaumizwa na Mtoto mdogo najuwa uchungu wenu mtoto yuko romantic sana kazuchu chetu koleza zuchu mpaka mfe na wivu wenu ❤zuchu

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 8 місяців тому

    Tatizo la zuchu anaongea sana hata ndoa hana .ajifunze kuwa na kiasi ktk kuongea. Siku akikosa ndoa atapata albu.sio kila kitu ukiulizwa ujibu.

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Рік тому +4

    Yaani hii Radio hd inaboa muda mwingine aah mchana kiki ya Esma saa hizi ya mkwe yaani kutwa kuongelewa wao Radioni wakitoana chunusi cm inapigwa wakitekenyana cm kah hebu tuacheni bwana na zinaa yenu mnayoitangaza hovyo mtu hata akitaka kusikiliza kipindi kizuri anashindwa 😏

    • @alexmayugi7313
      @alexmayugi7313 Рік тому +1

      Makasiriko

    • @godfreyislael9887
      @godfreyislael9887 Рік тому +1

      Umelazimishwa kusikiliza shobo tu

    • @ismailykazumal
      @ismailykazumal Рік тому

      Kwaiyo apo ulipo auelewi maana yakiki 🤣 ile ya Esma siyo kiki ni interview alafu hujalazimishwa kusikiliza , Alafu hata izo radio zingine wanatamani wa mfanyie interview Esma wa mfanyie interview zuchu lakini hawana uwezo wakuwapata

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 Рік тому

      @@godfreyislael9887 Shobo mm au ww mkundu uliekuwasha hd kuja kureaply

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 Рік тому

      @@alexmayugi7313 Radio au App ya mapenzi

  • @nyandatesther6045
    @nyandatesther6045 5 місяців тому

    BabaLevo😂😂😂😂

  • @OmariStopper-hx3jn
    @OmariStopper-hx3jn Рік тому +1

    Zuchu becup

  • @lydi791
    @lydi791 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂Baba Levo anabituko

  • @naufalmustafa565
    @naufalmustafa565 Рік тому +2

    babalevo unanfraishaga xana

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim Рік тому +1

    Shoga zuchu

  • @aud548
    @aud548 Рік тому +2

    Hili litakhira😂😂😂😂

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 Рік тому +32

    Huyu zuchu akili timamu hamna unajitoa akili kwanaume yupo bussy na HPD ya mwanae na mzazi mwenzie 😏😏😏

    • @elizabethchabluma-zw5qz
      @elizabethchabluma-zw5qz Рік тому +6

      Sasa wewe mjinga zuchu anatatizo gani

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 Рік тому +3

      @@elizabethchabluma-zw5qz kusuguliwa bila ndoa na yeye anajua tabia ya daimond kwa baby's mama zake siujinga

    • @zenahmugo1974
      @zenahmugo1974 Рік тому +8

      Amejitoa akili gani Sasa, kwani uko mnakoishi hamna watu walioolewa na wanaume walio na watoto na wakakutana kushugulikia mtoto wao, nyinyi mnaumia na Nini na maisha ya zuchu mscheew 😤

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Рік тому +1

      Kuma wewe

    • @aishaz1
      @aishaz1 Рік тому +5

      Kwani unataka aseme nini? Visheti nyie mnao mchukia zuchu

  • @godlema6104
    @godlema6104 Рік тому +1

    Bimkubwa anamambo B anamambo

  • @zakiaomar5217
    @zakiaomar5217 Рік тому +1

    Ila baba levo 😂😂😂

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 Рік тому +2

    One word in English you people have foreign subscribers please 🙏

    • @pilimwanza8117
      @pilimwanza8117 Рік тому +1

      Why subscribe in a channel you know down right it's only Swahili that is spoken. Get a life. you're not funny

    • @Swahili14
      @Swahili14 Рік тому

      ​@@pilimwanza8117you didn't have to roast strange that hard 🤡😭🤣

  • @kelementbushishi3687
    @kelementbushishi3687 Рік тому

    🤣🤣🤣🙌🙌

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому

    Zuchu ukitaka kuachwa mzalie

  • @MariamUwimana-e9b
    @MariamUwimana-e9b 9 місяців тому

    😂

  • @MlimaLikwesotunduru-w6s
    @MlimaLikwesotunduru-w6s Рік тому

    unzalie uachwe kenge wewe

  • @magrethmalobola5470
    @magrethmalobola5470 Рік тому

    😂😂😂

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 Рік тому

    Wewe babalevo mbumbavu

  • @belabelaz6551
    @belabelaz6551 Рік тому

    😂😂😂😂😂

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 Рік тому +1

    Iv Zuchu anajionaje, mi namuona kama ni kasichana flani ambako hakana akili Ivi!

    • @ismailykazumal
      @ismailykazumal Рік тому

      Ukiwa nazo wewe inatosha

    • @zenahmugo1974
      @zenahmugo1974 Рік тому

      Ww ndo huna akili, kuchukulia mtu vile unamuona tu mitandaoni humjui uhalisia wake 😂😂😂

  • @filskischannel9737
    @filskischannel9737 Рік тому

    Achana na mondi wewe, siku utaachwa na ndo mziki wako utaisha....utashindwa kuimba wewe... Demu gani wewe... Mwembamba kama nyuzi eti boyfriend wangu ni mondi eish fyoooo. Toka apo

  • @Hazfir.Official
    @Hazfir.Official Рік тому +1

    😂😂😂😂

  • @MartinWilondja-x3t
    @MartinWilondja-x3t Рік тому

    😂😂😂😂😂

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 Рік тому

    😂😂😂