KAMA BADO HUJUI KUPIKA MKATE KWENYE JIKO LA MKAA VIDEO YAKO HII, NIMEELEZEA KILA KITU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 151

  • @AgnesMasanja-pj8nz
    @AgnesMasanja-pj8nz 6 місяців тому +2

    Asante kwa masomo ya upishi,uko vizuri,Mungu akubarki

  • @magrathmichael7475
    @magrathmichael7475 2 роки тому +1

    Waaaooh hongera dada kwa mafunzo mazuri nimekuelewa nitajaribu kupika.

  • @maryclement8248
    @maryclement8248 2 роки тому +1

    Asante dada kwa mafunzo yako ya mapishi. Nimejaribu kupika naona mambi bien🥰🥰

  • @winnerkimaro3210
    @winnerkimaro3210 3 роки тому +5

    Asante sana dada wewe ni mwalimu mzuri. Nitajaribu na mimi

  • @ShukuruElizabeth
    @ShukuruElizabeth 7 місяців тому +1

    Asante san mimi nilikuwa sijuwi kabisa ila leo umenifunza ubarikiwe

  • @BahatiMusa-ol5zp
    @BahatiMusa-ol5zp Рік тому +1

    Nimekupenda bule kwa elimu hii nzuri

  • @salamaamini
    @salamaamini Рік тому

    Asante sana dada angu unajua kuelekeza vizuri

  • @donatilamathias390
    @donatilamathias390 2 роки тому +1

    Ubarikiwe mpenzi umenifundisha Sana kumbe nilikuwa nakosea kukanda

  • @mhangwasonda3338
    @mhangwasonda3338 3 роки тому +1

    Unaelekeza vizuri saana hongera nimependa me pia nakifunza kupika

  • @iblahimforget7270
    @iblahimforget7270 3 роки тому

    Ubarikiwe dada umeelekeza vizuri sana najaribu nitakupa mrejesho na

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 Рік тому

    Mkate mzuri sana hongera dada.

  • @Shimi-zv2es
    @Shimi-zv2es Рік тому

    Umeelezea vizuri sanaaaa. Asante

  • @kirezibellia3911
    @kirezibellia3911 2 роки тому +1

    Shikamo dada sasa iyo amira atuja yifamu vizuri tufahamishe dada yang

  • @FurahaLyimo-s5x
    @FurahaLyimo-s5x 6 днів тому

    Ubarikiwe dada

  • @lulustanley340
    @lulustanley340 2 роки тому

    Nàomba kupata maelekezo ungainly gani ni mzuri kwa kupata matokeo mazuri. Ahsante kwa mapishi Anty

  • @sharifahbintlune6800
    @sharifahbintlune6800 2 роки тому

    Thx darling may Allah bless u 4 good heart ❤ 💙 💜 💖 💗

  • @BonithaMoyo-ms1he
    @BonithaMoyo-ms1he Рік тому

    Nimekupata dada Asante sana u mwalimu kwelikweli

  • @babyphina1481
    @babyphina1481 2 роки тому

    Dada unafundisha vizuri sana nimefurahi sana

  • @ednaapiyo1011
    @ednaapiyo1011 3 роки тому +1

    Asante sana mungu akubariki dada

  • @VICTORIAJAPHET-hr6hi
    @VICTORIAJAPHET-hr6hi 7 місяців тому

    Uko vizur boss lady❤

  • @neemapatrick-os9ww
    @neemapatrick-os9ww 4 місяці тому

    Asnt my dear

  • @msakygaudencia8125
    @msakygaudencia8125 3 роки тому +1

    Barikiwa Sana dada umeelezea vzur Sana

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +1

      Namshukuru sana pia kwa support dear🙏🙏🙏

  • @FaridaM.Shomary
    @FaridaM.Shomary 2 місяці тому

    MASHALLAH,,LAKINI SWALI LA HAMIRA HUJAJIBU,,YAANI MIKATE UNATOKANA NA NGANO HAMIRA JE??.

  • @vickyayo8712
    @vickyayo8712 2 роки тому

    Nimefurahia mapishi Mungu akubariki

  • @mathiasmarco4178
    @mathiasmarco4178 2 роки тому

    Asante sana kwa Elimu nzuri

  • @felistermategwe9403
    @felistermategwe9403 2 роки тому +2

    Asant sana na leo nitapika pamoj na ww

  • @LivanNkya
    @LivanNkya Рік тому

    Asnt dada kwa mafundixho mazuri

  • @PiliMuhibu
    @PiliMuhibu Рік тому

    Mashallah dada ang umenifunza

  • @AnitaMr-g3b
    @AnitaMr-g3b Рік тому

    Asante sana Dada,tutajabribu piya🙏

  • @elizamagembe9302
    @elizamagembe9302 2 роки тому +2

    Asante sana dada ila naomba kuuliza hamila inaumka kwa md gani

  • @JohnMawere-w6p
    @JohnMawere-w6p 10 місяців тому

    Ahsante nimekuelewa

  • @deborafisoo9367
    @deborafisoo9367 3 роки тому

    Asante dear kwamapishi mazur ntajaribu

  • @uwashemamary7910
    @uwashemamary7910 3 роки тому +4

    UBARIKIWE SANA KWA KUTUPATIA MAFUNZO MAZURI DADA🙏

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 роки тому

    MashaAllah shukran Sana mpenziii YaAni kwa mtu ambae hajawai pika basi kwa hii video atapika bila kukosa

  • @AnithaSantus
    @AnithaSantus Рік тому

    Barikiwa sana

  • @marysteven3543
    @marysteven3543 2 роки тому +2

    Asante sana dada,mm kila nikijaribu mkate hautokei yaani una kuwa kama mandazi,half kingine moto chini napunguza kabisa lkn ss unaiva chini tu juu hauivii kwann?

  • @sarahsingiza1943
    @sarahsingiza1943 Рік тому

    Nipendeda Asante mwalimu

  • @ZuleshQtq
    @ZuleshQtq 11 місяців тому

    Jaman nmepika ikawa haijaumuka na ikawa migumu sana

  • @ruthomolo8862
    @ruthomolo8862 Рік тому +2

    Hamira unaiacha kwa mda gani

  • @hildaernestmarco4687
    @hildaernestmarco4687 2 роки тому

    Asante xn nmejifunza mpz

  • @elizachanda7873
    @elizachanda7873 Рік тому

    Nmependa sana

  • @AlexiaBeno-kq5mc
    @AlexiaBeno-kq5mc Рік тому

    Mungu azidi kukutunza ili tujue mengi kutoka kwako,

  • @sarahsingiza1943
    @sarahsingiza1943 Рік тому

    Nimependa

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 3 роки тому +1

    Asante sana dear

  • @yohanadaniel2770
    @yohanadaniel2770 2 роки тому

    Ahsantee

  • @nshimirimanaezekiel1138
    @nshimirimanaezekiel1138 2 роки тому

    Asant sana najifunza sana

  • @credo7837
    @credo7837 3 роки тому

    Nakubali sana mama mpishi

  • @AzminaMuhaji
    @AzminaMuhaji 5 місяців тому

    Mashallah 😋

  • @uwashemamary7910
    @uwashemamary7910 3 роки тому

    JAMANI SHUKRANI SAAANA TENA SANA MAANA ELIMU ULIYOTUPATIA INAFAA SANA🙏

  • @julieth-ch9jl
    @julieth-ch9jl Рік тому

    Tunashukur dada Kwa kutufundisha

  • @ZainabOmary-fw7rw
    @ZainabOmary-fw7rw 7 місяців тому

    Kweli dada hilo pishi ni tam sana

  • @nancyranah3808
    @nancyranah3808 2 роки тому +1

    Amira ku lugha ya français ni levure boulangère

  • @salamajohnson3295
    @salamajohnson3295 2 роки тому

    Kwakwel Leo nimepika mkate super

  • @MbaroukMbarouk-fs3km
    @MbaroukMbarouk-fs3km 8 місяців тому

    Asante sn

  • @mireillekahigi
    @mireillekahigi Рік тому

    Asante mamangu

  • @DoreceChacha
    @DoreceChacha Рік тому

    Waooooo

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW Рік тому

    MANSHALLAH ❤️❤️

  • @AthumaniKarugwe-kc6rf
    @AthumaniKarugwe-kc6rf Рік тому

    Ais kazi ninzur lkn samahn naombakuuliza mbn mikate ilivotengenezwa sivyo ilivyotoka maan imewekwa ya aina nyingin imekuja ya mviringo

  • @rachellukumay5742
    @rachellukumay5742 Рік тому +1

    Naomba kuuliza hiv nusu kilo ya ngano itatoa mikate mingapi sawa na ile mikate huwa inauzwa 1000
    Nataka nipike ya biashara plz help

  • @dottohussein3674
    @dottohussein3674 2 роки тому

    Nice

  • @hidayahamza8572
    @hidayahamza8572 3 роки тому +1

    Asante dada🙏🙏🙏😋😋

  • @happyswai3641
    @happyswai3641 2 роки тому

    Asante sana nlijaribu ikatokea tam lain

  • @zulfaiddy7612
    @zulfaiddy7612 3 роки тому

    Mzuri sana

  • @joylee3984
    @joylee3984 3 роки тому

    looks so yummy.. 🤤

  • @LuluYosiah
    @LuluYosiah 26 днів тому

    Mm naomba kujua kama nikipika kilo Moja hamila naweka kias gan

  • @SylviaWiston
    @SylviaWiston 4 місяці тому

    Unajua

  • @elinakahindi7245
    @elinakahindi7245 3 роки тому

    Maziwa kiasi gani

  • @esthermodestus7649
    @esthermodestus7649 2 роки тому

    Hongera sana, Mimi sijawai kupika mkate ila Leo nitajalibu kupika nitakuja majibu

  • @OtiliaLusilo
    @OtiliaLusilo 7 місяців тому

    Asante

  • @FaithSoundWorshipTeam
    @FaithSoundWorshipTeam Рік тому

    Je ukiwa hutaki kuweka sukari unaweza kuweka chunvi?

  • @coupleschannel58
    @coupleschannel58 3 роки тому +2

    Yum😋

  • @RehemaFrank-d7x
    @RehemaFrank-d7x Рік тому

    Unafundisha vizur had Raha jmn si naweza kutumia hata ges

  • @muniramohsin441
    @muniramohsin441 Рік тому +1

    Tume subscribe❤❤❤

  • @lightnessjohnson1326
    @lightnessjohnson1326 8 місяців тому

    Kwa unga kilo moja natumia kiasi gani cha amila?

  • @bettymwangeka9501
    @bettymwangeka9501 3 роки тому +1

    Ahsante Sana

  • @SarahMikua
    @SarahMikua Рік тому

    Samahani he naweza kutumia mayai mangapi?

  • @OdiliaChami
    @OdiliaChami Місяць тому

    Hiyo margarine unaiyeyusha au unaweka imeganda

  • @maryclement8248
    @maryclement8248 2 роки тому

    Kwani baking powder huwa haitumiki?

  • @asisocelle8933
    @asisocelle8933 3 роки тому

    I follow your recipes but once nimeeka kwa oven inatoka ngumu what am I doing wrong I use gas's oven please help

  • @amucherll9654
    @amucherll9654 3 роки тому +1

    wow

  • @ShahadaBuzige-jo6yg
    @ShahadaBuzige-jo6yg 2 місяці тому

    Kitambaa chochote au hata kipande cha kanga ni sawa kwa kufunikia

  • @rechokarume5145
    @rechokarume5145 2 роки тому

    Je ukianika juani hun a oven inakaaje itakuwa sawa

  • @hakizimanarahma6515
    @hakizimanarahma6515 2 роки тому +1

    Samahani dada wakati wakupika ni lazima uweke sufuriya mbili na ukitaka kupikiya maziwa je???

  • @dorahconnies3439
    @dorahconnies3439 2 роки тому

    Je naweza kutumia maziwa fresh?

  • @merycianaferdinad2219
    @merycianaferdinad2219 2 роки тому

    Mbona nimejaribu nikashindwa sijui wapi nilkosea nisaidie

  • @rashkizakiza949
    @rashkizakiza949 3 роки тому

    Dada kunawatu Wenye kuumwa Kiskari atatengeneza vipi?

  • @MpelwaYona
    @MpelwaYona 9 місяців тому

    Je chumvi haitajii?

  • @lucymagesa6874
    @lucymagesa6874 2 роки тому

    Na vipi nikiongeza rangi ya chakula ili mkate wangu uwe na rangi ya tofauti?

  • @lilianbarongeza1236
    @lilianbarongeza1236 2 роки тому

    Baking powder ni lazima?

  • @alexorawo2999
    @alexorawo2999 3 роки тому

    huo mchanganyiko wa maji sukari na amira utaipa nafasi wa dakika ngapi ili kuumuka?

  • @emillianapaulo462
    @emillianapaulo462 2 роки тому

    kwenye oven natakiwa nioke dakika ngapi? mkate

  • @irenekosgei2092
    @irenekosgei2092 2 роки тому

    Asante kwa mafunzo yako, pia naulisa amira utanunua wapi ? Supermarket or where please direct me

  • @Mariamkimaro2024
    @Mariamkimaro2024 Рік тому

    Je nilazima uweke hamra

  • @mariamsalim1377
    @mariamsalim1377 2 роки тому

    Kwaio ukichanganya amira kwa unga haito umuka ama

  • @anathshabani2952
    @anathshabani2952 2 роки тому

    Tupatie vipimo dada

  • @marymwende7834
    @marymwende7834 2 роки тому

    Mimi nauliza hivi juu Sina yeast naeza tumia baking powder

  • @uwashemamary7910
    @uwashemamary7910 3 роки тому +2

    Mbona haujatueleza kuumua hamira ni kwa dakika ngapi?

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly  3 роки тому +2

      Oooh jamani,poleni..dk5 tu mpaka 10 hamira inakuwa tayari

    • @uwashemamary7910
      @uwashemamary7910 3 роки тому +1

      Asante sana, mie tayari nimekwisha oka mkate uliotufundisha kupika kwa kutumia jiko la mkaa na kesho asubuhi tutautumia kwa kifungua kinywa🙏

  • @neemamakombe7365
    @neemamakombe7365 3 роки тому

    Shukran but naomba kujua kipimo kama ni nusu au ni kilo moja

  • @FaithSoundWorshipTeam
    @FaithSoundWorshipTeam Рік тому

    Ante dada nitajaribu nione

  • @bernadethachacha9005
    @bernadethachacha9005 3 роки тому

    Samah icho kikombe ulichopimia ni mls ngap ?