“Prof Ndalichako si ungekuwa Waziri wa masifuri?” -Mbunge Goodluck Mlinga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Goodluck Mlinga ambaye ni Mbunge wa Ulanga ni miongoni mwa Wabunge ambao siku zote wakisimama kuchangia Bungeni hawakosi kuacha headline, sasa leo alisimama kuchangia mapendekezo ya taarifa mbili zilizowasilishwa Bungeni ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya maendeleo ya jamii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge kuhusu masuala ya UKIMWI. Sasa leo kashauri Bora Rais Magufuli ateue Waziri wa elimu ambaye hajasoma kabisa.

КОМЕНТАРІ • 409

  • @josephmwakabungu8385
    @josephmwakabungu8385 6 років тому +26

    Leo Leo Leo umeongea mambo ya msingi tangu umeingia bungeni.Ushauri wangu kwako,jitambue ww ni kijana uliyepata nafasi hii kubwa na ya heshima simama kama kijana mwenyewe dhamira ya dhati kbsa kutetea vijana wa nchi yako.Utumie ujana wako bungeni kwa hoja mzito ukiwawakilisha vijana wa nchi hii.Acha na miongozo ya kuwapotezea mwenzio point,wangalie akina Zitto,walikuwa vijana wadogo kama ww walipoingia bungeni mpk sasa wamekulia bungeni wamekomaa kisiasa wanazo hoja zenye nguvu zilizo shiba zinazomfanya mtu asimama na jambo llte analofanya ili asikilize nn Zitto amebeba kwa ajili ya nchi yake.Wapi wengi Upendo Peneza n.k jifunze kutumia ujana wako vzr ndani bunge uweke ALAMA ktk nchi yako.Leo tunazungumza hbr vzr za Mwl.J.K Nyerere ktk ujana wake angekuwa kama hivyo na mizaha yako bungeni ninaamini ktk ulimwengu wa siasa tusingemfahamu hata kdg .Lkn machachari yake yalianzia Tabora Sec.Sch.Mpk Leo hayupo lkn Mwl kaacha ALAMA,Walikuwepo akina Edward Moringe Sokoine wameacha ALAMA ktk Taifa lao,akina Deo Filikunjombe wanabeba mioyoni mwao mambo ya msingi.Deo alikuwa ni kijana bungeni jifunze kwao lkn bado tunakumbuka dhamira yake kwa vijana na Taifa lake.Dhamana hii uliyopewa nitumie vzr nitumie vzr nitumie vzr.

  • @maxmilian9966
    @maxmilian9966 6 років тому +18

    inatakiwa uwe unongea vitu mhimu kama hivi good

  • @pilycotar8448
    @pilycotar8448 6 років тому +18

    Kiukweli leo umejitahidi tunataka wabunge wote wa ccm muongee point kutetea maslahi ya wanyonge

  • @godypatrick6485
    @godypatrick6485 6 років тому +1

    Yeye watoto wake wanasoma shule za pravet sisi wasendi kayumba tuta isoma namba

  • @martinempuya5974
    @martinempuya5974 6 років тому +29

    Mh... Mlinga mm huwa nakuelewaga sana, wasemee Basi na walimu wa Sanaa waliotelekezwa mtaani toka 2015

    • @anitangao3135
      @anitangao3135 6 років тому

      safii sana mwambiee

    • @waboreshajitv4808
      @waboreshajitv4808 6 років тому

      Martine Mpuya watoto wengi zamani waliuziwa mithihani sasa hapa Nazi, pia hatutaki vyeti feki. Hugo Mlinga afikiri

    • @waboreshajitv4808
      @waboreshajitv4808 6 років тому

      Sasa hivi wanatumia akili zao kwamwendo huo akuna vyeti feki

    • @ibrahimsamson8097
      @ibrahimsamson8097 6 років тому

      kiukweli umeongea maneno ya Hekima sana mheshimiwa

    • @halimahashim7828
      @halimahashim7828 6 років тому

      ni kweli ama jokking tu

  • @issamalipa8699
    @issamalipa8699 6 років тому +1

    Mlinga wewe unafaa kuja kuwa kiongozi mkubwa sana nchini nakupenda sana ndio unaenifanya nisikilize bungee yani we we ni mkweli kabisa

  • @cksassi991
    @cksassi991 6 років тому +2

    Mlinga huwa unaongea ukweli Sema hawaelewi kwa kuhisi unachekesha. Halafu hii elimu bure ni kampeni ya tengeneza wajinga wengi tuendelee kuwatawala.
    Ndalichako hafai maana marekebisho yake na maelekezo katika wizara ya elimu anatumia mihemuko tu kukomoa watanzania hususani wa hali ya chini.

  • @suzanmaswatu3814
    @suzanmaswatu3814 6 років тому +1

    Toka uwe mbuge leo ndio umeongea point

  • @lusungukitago9000
    @lusungukitago9000 6 років тому +8

    UPO VIZURI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MBUNGE UMENENA VYEMA SANAAAAA

  • @emmanuelmwampashe8278
    @emmanuelmwampashe8278 6 років тому +3

    Mlinga Na bashe kwa wabunge wa upande wa ccm mnatambua nini kimewapeleka bungeni hongeleni sana.

  • @fanuelmpesa3484
    @fanuelmpesa3484 6 років тому +8

    umenena vema hakika, maana kunako sasa hakuna haja ya shule za serikali maana sasa Zero tu sasa

  • @giovannygracious3434
    @giovannygracious3434 6 років тому +5

    mlinga nakupendaga bureee mie si unajua eeee!!! walimu wanakaaga kama makomandoooo

  • @lovenessgoodluck3486
    @lovenessgoodluck3486 6 років тому +5

    👏👏👏👍bora ccm muamke mana ccm imepoteza muelekeo

  • @amosmohono4153
    @amosmohono4153 6 років тому +16

    kufeli lazima walimu mashuleni ni wachache sana harafu mtaa ni wengi sana hata masomo ya sayansi wapo mtaani lakini serikari inajili kama asernal inavyosajili wachezaji

    • @psterinishayo4270
      @psterinishayo4270 6 років тому

      Amos Mohono jaman mpka na timu yangu imetajwa tena humu asante

    • @edsonsibuti6914
      @edsonsibuti6914 6 років тому

      na Chelsea😀😀😀😀😀

  • @annastephen50
    @annastephen50 6 років тому +4

    hongera mbunge umeongea jambo la msingi sana wewe ni mtetezi wa wanyonge naomba uliyoyaongea kwa uwezo wa Mungu yawaguse watu na yatekelezwe.

  • @kennedyjaramba9693
    @kennedyjaramba9693 6 років тому

    ukweli mtupu, muna bunge bora watanzaini wezangu ,God will expose corrupt leaders...................

  • @shedrackmdendu2758
    @shedrackmdendu2758 6 років тому +5

    Naona baada yakokosa uwaziri ameamuwa kufunguka

  • @habilmselemu4610
    @habilmselemu4610 6 років тому +2

    Msione aibu teueni waziri wa elimu kutoka upinzani yapo majembe ya kutosha tena msije mkathubutu kutuletea msukuma na lusinde hao waacheni wapige kelele hukohuko

  • @pettermollel2531
    @pettermollel2531 6 років тому +6

    Jamni, sante kaka, ndalichako ikuguse basi...., uonefuuu kweli me nimeonewa

  • @laurentthomas8851
    @laurentthomas8851 6 років тому +2

    nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 років тому +3

    Hizi ndio hoja za msingi bila kujali itikadi ya vyama huyu mbunge ana hoja za msingi zinazolenga kulijenga taifa bora.

  • @catherinejohn2067
    @catherinejohn2067 6 років тому +1

    Walimu wanaishi kama makomando mh mh kweli

  • @ayubusanga3796
    @ayubusanga3796 6 років тому +6

    Sasa hivi mlinga upo kitaifa zaidi, yaan upo vizuri sana dah!

  • @peterdominick8678
    @peterdominick8678 6 років тому +11

    Hahahhahahaha aiseee ni zaidi ya makomandooo daaah!!! VIVA BABA VIVAAA

  • @janethjackson5370
    @janethjackson5370 6 років тому +29

    Ndalichako umeharibu elimu sana,aibu tupu

  • @mwidu8774
    @mwidu8774 6 років тому

    Ha ha ha wanafunzi wasikaririshe madarasa WANAKUHUSU NINI....kaazi kwel kwel

  • @gibsonkagaye7654
    @gibsonkagaye7654 6 років тому +10

    kwa Leo umejitahid

  • @raphaelluhemeja3560
    @raphaelluhemeja3560 6 років тому +4

    wanakuhusu nn

  • @muhammedabdulla2179
    @muhammedabdulla2179 6 років тому +32

    Hata saa mbovu hufika wakati ikasema kweli..

  • @darkenrole4062
    @darkenrole4062 6 років тому +6

    Leo nimekuelewa tangu umeingia bungen

  • @aloycesilayo2939
    @aloycesilayo2939 6 років тому +7

    Leo nimekuelewa sana

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 6 років тому +4

    Mi Nasemaga Uongozi na Kuwa na Elimu kubwa siku zote ni Vitu viwili Tofautii. Ndio Maana Mwl Nyerere alitengeneza mfumo wa Elimu mzuri ndio mana hata vyyo. Vilikuwa vinatoa Kozi Maalum mfano Kuanzia Uongozi Mpaka Watendaji.. Vyuo kama. Mzumbe, sua na Mzumbe nk.. ila sikuizi kila. Mtu anataka Kuwa Bosi..

  • @mankomwita8692
    @mankomwita8692 6 років тому +5

    manyumbu mmeanza kupunguka bungeni

  • @mvughamramba1804
    @mvughamramba1804 6 років тому +2

    Mbona ya kawaida tu haya, maana kama ni utekelezaji wake labda baragumu likilia, na wafu wakifufuliwa ndipo ziro, na madai yatakaponishia hapo

  • @farajagoodluck7557
    @farajagoodluck7557 6 років тому +7

    Leo umeongea kwa kweli

  • @mtoramtora9152
    @mtoramtora9152 6 років тому +2

    Ndalichako naha jipya kazi kybdili gred kila kukicha anashindwa kusimama imara yaan waziri wa ma 00000

  • @hassaniswedy2737
    @hassaniswedy2737 6 років тому +6

    Leo umeongea points

  • @mbishitrump5621
    @mbishitrump5621 6 років тому +4

    Uyu mzinguaji sana. Ila leo atleast umetema fact..

  • @fatmashaban5557
    @fatmashaban5557 4 роки тому +2

    Walim wnzangu gonga like hapa

  • @wanenetv9672
    @wanenetv9672 6 років тому

    TIBA ZETU: ua-cam.com/play/PL_DSXHfkoymy4oJyCRzfM9atrIwMgXRVz.html

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 6 років тому +8

    Kumbe wewe ninoma good for you

  • @juliuskitomari3057
    @juliuskitomari3057 6 років тому +3

    umesema vizuri sana kaka,kwa kweli umefanya wajibu wako kama Mbunge,hayo ndiyo mambo anatakiwa mbunge kuyasema bungeni

  • @edisonmjema2620
    @edisonmjema2620 6 років тому +4

    Kwamara yakwanza umekaa kwenye sens

  • @dullahoroond5241
    @dullahoroond5241 3 роки тому

    Umeongea point .umeongea na umeona waziri mzigo. Kama kunawaziri mzigo ndalichako mzigo na hatoshelezi kabisaa katika nafasi hiyo. Alistahi awe mwalimu mkuu wa Shule ya Sekindari

  • @sigitymaiko5986
    @sigitymaiko5986 6 років тому +1

    jichunguze waziri so busara

  • @kapolesyaba3133
    @kapolesyaba3133 6 років тому +1

    Mlingaaaa! duuuuh! nimecheka sana leo,,,,
    HONGERA kwa mtazamo na kuwa muwazi.

  • @mercykimuto9882
    @mercykimuto9882 6 років тому +4

    Fact mheshimiwa umeongea Kama mtanzania

  • @gihokoramachotta3228
    @gihokoramachotta3228 6 років тому +2

    Goodluck Leo nimekukubali.Kipindi kingine waeleze walivyodanganya Taifa kuwa wangepandisha walimu madaraja badala yake wakapokonya walimu madaraja ya 2015 na kuwafanya wapande 2018 ili walimu hao wasilipwe madai ya nyuma.Kwa hiyo hakuna Mwl yeyote aliyepandishwa cheo.Tunaumia sana rohoni.

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 6 років тому +3

    Mheshimiwa Mlinga hii ni fact...

  • @pauldeogratias1037
    @pauldeogratias1037 6 років тому +1

    GOODLUCK UMEONGEA VITU VYA MSING SANAA NA SERIKARI ISPO YAFANYIA MTAONA ZAIDI YA HAPO.MAANA WALIMU WAMEKUWA WATU KUDHARILILISHWA

  • @emmanueljackson1863
    @emmanueljackson1863 4 роки тому

    Naomba namba yako nikutumie vocha ya buku..haki ya Mungu wwe ni mkweli mtupu....Elimu yetu kanga la macho

  • @godblessmrema9679
    @godblessmrema9679 6 років тому +2

    Daaah kweli ccm wanaanza kuwa na akili mungu awabariki mujue kutetea haki na kujua jukumu lenu....musiwe watu was ndio sasa munajifunza kujenga hoja.....

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 6 років тому +2

    Ipo haja yakuangalia malipo ya wabunge na wafanaykazi wengine ili tuboreshe mishahara na posho za walimu.

  • @bensonthobias8401
    @bensonthobias8401 6 років тому +5

    nimekubali

  • @deogratiuskombe5789
    @deogratiuskombe5789 6 років тому

    Huy Mbunge Anaongea Kama Masihala Ila Ujumbe Umefika

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 3 роки тому

    Ndiyo maana hujarudi Bungeni kwa kuongea ukweli pole Kaka ukweli wako umekuponza

  • @paulinarobert1181
    @paulinarobert1181 6 років тому

    walimu bhna ndo each and everything kwanza ilistahri walimu kupewa mshahara mkubwa maana ata mprofesa amewafundisha yeye sema ata wasomi tunakua na negative attitude toward teachers instead of fighting against negative attitude kwa ushauri tu ni kuwa kila MTU atafakri Nani alimtoa ujinga na mpaka now anaitwa profesa ....ni hicho tu

  • @steavmcper7322
    @steavmcper7322 6 років тому +2

    Leo nimekuelewa kumbe wewe ni mzima ila unajifanyaga chizi

  • @pauloalufayo6145
    @pauloalufayo6145 6 років тому +26

    Mbunge naomba naomba namba yako nikutumie Vocher hakiamungu

  • @WACOPALECOM
    @WACOPALECOM 6 років тому +3

    Leo umetoa point za kutosha safi sana

  • @ibraharuna3045
    @ibraharuna3045 6 років тому

    nchi I aishi bila Sera.mtanzania angalia yangu jins elim inavoyumbishwa tangu nchi inapata huru.kila wazir anakuja na ya kwake.hatuwez kufanikiwa hata siku moja.

  • @bonabonala7685
    @bonabonala7685 6 років тому +4

    Hapo point ccm mkiwa hivi tutawakubali

  • @emmanuelmosha2278
    @emmanuelmosha2278 3 роки тому

    Mwambie ukweli huyo, kwanini shule za private zinafaulisha vizur alafu za serikali zinafeli alafu angezisapoti hizo zinazofaulisha hata kama ni za private

  • @emmanuel_mihambo3
    @emmanuel_mihambo3 6 років тому

    Yupo sawa maaana wenyetaluma yakufundisha mliwatumbu nawatu haoa walikua wanajituma saaana sasa wamebaki wenye vyeti nahawana taluma yakufundisha😆😆😆😆😆

  • @jestamkumbwa9780
    @jestamkumbwa9780 6 років тому

    mungu atusaidie tulomaliza vyuo maana hali ya ndalichako so yenyewe

  • @jacklinekchawele3700
    @jacklinekchawele3700 6 років тому +1

    safi sana Mlinga!...leo nmekukubali umeongea point!...hahahahaaaa....eti wazir wa masifuri!..

  • @gabymumwi6198
    @gabymumwi6198 6 років тому

    PR Ndalikacho Wenda akawa waziri mwenye busara wanaomwangusha ni wabunge wa CCM ambao hawataki kusimamia serikali,wanatumia wingi wao kutoa hoja za kinafisi balada ya uzalendo,kwa unafiki huu walaumiwe wabunge hasa wa chama tawala ambao hawataki kusema ukweli

  • @ahmedhassan2619
    @ahmedhassan2619 6 років тому +1

    Hhhhhhhhh shkamooo brother leo umezungumza aseee kwa mtazamo wangu wa elimu kusoma sana ama kusoma mmbo mengi si kuelimika ila kuelimika Ni kutenda kwa ubora zaid kutokan na maarifa uliyonayo . Shkamooo brother msalimie mama tumemsom bhn

  • @aggreydominickmagombana9388
    @aggreydominickmagombana9388 6 років тому +10

    lelu guyowera sana mtuwa hongera .

  • @theonlydayonicedionis3294
    @theonlydayonicedionis3294 6 років тому +4

    Mbona umeacha kuzungumzia swala la kutelekezwa kwa waalimu wa arts kuhusu suala la ajira wakati huitaji bado upo!?

  • @zedekiazakayo156
    @zedekiazakayo156 6 років тому +4

    mabosi hadi madiwani

  • @ibratanzania1328
    @ibratanzania1328 6 років тому +18

    Point Tupuuuuuu Bro Mlinga

  • @andrewluvinga9702
    @andrewluvinga9702 6 років тому

    kweli kwanza walimu hakuna kwasababu kaweka macredit mengi eti mi nipate three niende ualimu naumwa lakini mwanzo ilikuwa poa four walimu kibao Leo nisiende zangu advances level eti niende nikafe umaskini pumbafu waziri

  • @oscarmwambonja4417
    @oscarmwambonja4417 6 років тому +4

    Umezungumza Hoja Nzuri #Mlinga.

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 6 років тому +44

    hahahahahahaha bora badhi ya ccm mmeanza kupunguza undezi hongera mbunge

    • @samsonkusupa8115
      @samsonkusupa8115 6 років тому

      Jane Suma 😂😂😂hili jamaa shida leo sijui limekuwaje leo lakn haliwezi acha undezi wake

    • @angelbenward4244
      @angelbenward4244 6 років тому

      jamani Leo mbunge wetu kidogo ameongea point

    • @janesuma2193
      @janesuma2193 6 років тому

      Samson Kusupa hahahahahahahahah ujue ivyo nae katandikwa na baba jeska wataisoma namba waliyo kua wanaitambia kwa mbwembwe zote

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 6 років тому

      Jane Suma wameanza kujitambua

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 2 роки тому

    Waalimu wanaishi kijijini Kama COMMANDOO

  • @kudraharuna9410
    @kudraharuna9410 6 років тому +7

    duuuuu, imepenya hyo

  • @burhanisadik4994
    @burhanisadik4994 6 років тому +4

    kweli kaka,elimu ya Tz inasikitisha sana.

  • @gabymumwi6198
    @gabymumwi6198 6 років тому

    hata wewe unaemwita PR waziri wa masifuri ni mnafiki namba moja maana ungeaza kusema serikali imepuuza kero za walimu,kwa unafiki wako huu we jimboni kwako msaidie waziri kwa kusema umefanya nini ndo maana jimbo lako elimu ipo juu.

  • @bettydackman1442
    @bettydackman1442 6 років тому +1

    Kunywa Pepsi nalipia Wametumbuwa Walimu ,Tumehamia pravite Mta2bu tu,Ndalichako Umeishauri Vibaya searikali

  • @alexanderdexter3316
    @alexanderdexter3316 5 років тому

    Ndalichako fikiria vizuri kabla ya kutenda

  • @briankatani8765
    @briankatani8765 3 роки тому

    Mbunge anàsema heri drs LA saba awe waziri elimu mbunge wa ajabu

  • @chakalaboti9709
    @chakalaboti9709 6 років тому

    daaa;;;;waziri hana jipya kidato cha sita wanaanza upyaaa waziri w masifuriii

  • @annastephen50
    @annastephen50 6 років тому +2

    hongera mbunge umeongea jambo la msingi sana wewe ni mtetezi wa wanyonge naomba uliyoyaongea kwa uwezo wa Mungu yawaguse watu na yatekelezwe.

  • @ameyzayumba5628
    @ameyzayumba5628 6 років тому +7

    Mheshimiwa amenena haswaaa asante kwa kututetea baba

  • @festomeshack8581
    @festomeshack8581 6 років тому +3

    Uko sawa mh. Mlinga

  • @coterstar8284
    @coterstar8284 6 років тому

    nimeipenda nimekuelewa;; ww ni prof hata kama hawataki

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 4 роки тому

    Kumbe sometimes unatoa hoja nzuri

  • @nestoryemmanuel210
    @nestoryemmanuel210 6 років тому +4

    leo umesomeka

  • @frankmorgan174
    @frankmorgan174 6 років тому +4

    we genous mzee mbunge fundi

  • @sophiaclemence6076
    @sophiaclemence6076 6 років тому +3

    Angalau Mh.Mlinga leo umeongea point sana kaka..Daah

  • @mahdihemed4395
    @mahdihemed4395 4 роки тому

    Sawasawa umeongea pointi sana maamuzi ya ajabu ajabu tu

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 6 років тому +1

    Aswaaaaa!!anatutia hasira sana toka tunasoma....kila siku kubadili Grade.😯😯😯

  • @nashonmarco8448
    @nashonmarco8448 6 років тому

    naona huyu ajuzuru wizara imemshimda

  • @movieskalinaseries6232
    @movieskalinaseries6232 6 років тому

    jembe anaropoka lakn yuko sahihi kabisa

  • @isayanduguti8453
    @isayanduguti8453 6 років тому

    kweli ndalichako ni waziri wa masifuri

  • @joshuainc8791
    @joshuainc8791 6 років тому

    leo kidogo naona kichwa kimerudi

  • @fredducaunt1724
    @fredducaunt1724 4 роки тому

    Itakuwa wahojiwa walikunya mavi siku hiyo

  • @agnizzonzengo3093
    @agnizzonzengo3093 6 років тому

    we we jamaa nomasana njoo uwe mubunge wetu saluti kwako

  • @ramadhaninkenka6286
    @ramadhaninkenka6286 2 роки тому

    Waziri wa masufuri kabx tena kweli