JINSI YA KUPATA PESA | NJIA 7 ZA KUFANIKIWA KIFEDHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 бер 2023
  • Katika video hii, tutajadili njia saba za kufanikiwa kifedha na kujenga maisha yako ya kifedha. Kufanikiwa kifedha ni lengo ambalo wengi wetu tunalitamani sana, lakini mara nyingi tunashindwa kufikia lengo hilo kutokana na sababu mbalimbali.
    Katika video hii, tutakupa vidokezo na mbinu za kujenga tabia za fedha zinazoweza kukusaidia kufikia malengo yako ya kifedha. Tutajadili pia jinsi ya kuweka malengo, kubadili tabia zako za matumizi, na kujifunza kuhusu uwekezaji na jinsi ya kuwekeza kwa usahihi.
    Tutashiriki pia njia za kuboresha mapato yako, ikiwa ni pamoja na kujifunza ujuzi mpya, kuanzisha biashara, na kujenga mtandao wa kijamii. Video hii itakusaidia kuboresha ujuzi wako wa kifedha na kufikia mafanikio ya kifedha katika maisha yako.
    .
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    .
    NUNUA KOZI YA SPEAKING SKILLS:
    Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    Bei ya punguzo: 20,000 TZS tu.
    .
    OUR SPONSOR’S DETAILS:
    Al-Rahmah Schools
    Location: Mkuranga
    Phone: 0673-52-66-44
    IG: / alrahmahschools
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp.com/JxOUqZBdf35...
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Voice-over Talent | Content Entreprenuer | Speaker
    Instagram: / ezdenjumanne
    Twitter: / ezdenjumanne
    Facebook: / ezdenjumanne
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    JE WAJUA?👇🏽
    / @jewajua5506
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / voiceovertanzania
    .
    KWA MATANGAZO KWA BIASHARA:
    - Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    - Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    - Kutengenezewa tangazo zuri
    Tuwasiliane kwa taarifa hizi hapa chini:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    #njia7 #kupata #pesa

КОМЕНТАРІ • 27

  • @Steven-uj5nz
    @Steven-uj5nz Рік тому +1

    Ah! Ezden pole Kwa changamot ya KAZI yako watu Weng hua wanakwepa Sana matangazo wanapoangalia TV,

  • @sethgoodluck1
    @sethgoodluck1 Рік тому +2

    Mwalimu bora kwangu kweli sijutiii mb zangu mmekuwa mkinisaidiaa sana maishaa yangu yamebadilika kupitiaa nyie Mungu awabariki sana

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Рік тому

      Nashukuru sana ndugu. Usisite kuwashirikisha wengine katika masomo yetu

  • @suhailaothman
    @suhailaothman Рік тому +1

    Hongera sana kaka 👏 👏 👏 Allah bless u ila me napenda kujuwa zaid kwenye uwekezaji wa hisa tafadhal 😌 Sante 🙌

  • @nyamizibundala-lg4ig
    @nyamizibundala-lg4ig Рік тому +2

    Kaka naitwa Nyamizi Bundala ninakaa Chalinze mkoa pwani ninawazo la biashara ila sna mtaji

  • @GelvasMayunga
    @GelvasMayunga 2 місяці тому

    Asante San bro

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Рік тому +2

    Shukran sana

    • @josephmagaluda5240
      @josephmagaluda5240 Рік тому

      Nipe miaka mitano nitumie njia tatu kati ya hizo nitafanyikiwa shukurani

    • @rehematawalani733
      @rehematawalani733 Рік тому

      @@josephmagaluda5240 kwa uweza wa allah imafanikio yatapatikana

  • @chiragisha-ir3oo
    @chiragisha-ir3oo Рік тому +1

    Shukrani Sana Mheshimiwa nimejifunza Sana kweli! Lakini mkuu nahitaji vitabu vyakujisomea Ila sijui navipata Je ilhali Niko mbali Sana nchini congo

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Рік тому +1

      Tafadhali njoo WhatsApp tuangalie vitafikaje huko +255759191076

  • @Steven-uj5nz
    @Steven-uj5nz 8 місяців тому +1

  • @alvinelia7517
    @alvinelia7517 Рік тому +1

    Kwenye matangazo ad nimecheka😅😅😅

  • @clementphilimoni
    @clementphilimoni Рік тому +1

    hii ndio video ambayo imebeba siri nzima za namna ya kupata pesa, kilichobaki ni kufanyika kazi tu njia hizi tano(5)

  • @conc5999
    @conc5999 Рік тому +1

    Kaka hapo nimekuelewa kwenye biashara je kuhusu kutangaza pikipiki

  • @alvinelia7517
    @alvinelia7517 Рік тому +1

    Me chakukwambia bro nikwamba tulio nyuma yako tupo weng sana nani Daima bro 🫡

  • @elijahap7871
    @elijahap7871 Рік тому +2

    Wow ahsante kwakutufunua zaidi kiakili Kaka Edzen Jumanne Stay Blessed🙏

  • @conc5999
    @conc5999 Рік тому

    Kaka hapo nimekuelewa kwenye biashara je kuhusu kutangaza pikipiki used kwenye mtandaoni kama UA-cam inakuwaje

  • @johntarmo
    @johntarmo Рік тому

    Asant sana kwa elimu nzuri ya mafanikio elimu unazo toa ni nzuri sana zimebadili maisha ya wengi

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Рік тому +1

      Nashukuru sana brother

    • @irenelukas1370
      @irenelukas1370 2 місяці тому

      ​@@successpathnetworkkama siwezi ktumia mitandao yaan simu nifanyeje

    • @irenelukas1370
      @irenelukas1370 2 місяці тому

      Nana ya kutumia sim kujitangaza mtandaon

  • @Freecross189
    @Freecross189 2 місяці тому

    Ili pia fedha zidumu ni lazima watu wajue kuweka akiba

  • @conc5999
    @conc5999 Рік тому

    Kaka hapo nimekuelewa kwenye biashara je kuhusu kutangaza pikipiki