MSTAAFU KARUME AFICHUA - "MAALIM SEIF ALINIOMBA MSAMAHA, AKANITAJI WANA CCM WANAONISEMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 26

  • @arafahashi5043
    @arafahashi5043 3 роки тому +5

    Seif Hamad dedicated his whole life to Zanzibar. A good & humble human being.
    May Allah reward him with Jannah. Amin

    • @jamaaladam6821
      @jamaaladam6821 3 роки тому +1

      Allaahumma Aamiyn
      Allaahumma Aamiyn
      Allaahumma Aamiyn

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 3 роки тому +7

    Kama walivyomusingizia Hayati Magufuli. A katukanwa, akasingiziwa, kila mtu CCM kimya. Mtu aliyewasafishia chama chako, , na kuwatengenezea uchumi na kuwanunulia ndege, leo wanazipanda huku wakimutukana. Binaadamu bwana ogopa. Lala salaama baba Magufuli umepumuzika wanyonge uliokuwa ukiwaterea moto wana uone. Wanakulilia na wanakukumbuka. Yote uliyokuwa ukiyasema kweli tupu. Hayo uliyokuwa ukiyafanya hakuna mwingine anayeweza kuyafanya. .

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому +3

    Sifa zote hizo Wapemba wanajisikiaje wakati wote wa uhali wa Mzee Maalim Seif waliempenda na kumfuata? Hongereni kumuenzi. Umoja wa Zanzibar ni mkubwa kuliko Mzanzibar mmoja moja.

  • @hajiabdalla770
    @hajiabdalla770 3 роки тому

    Global tv on line , muko vzr tena matangazo yenu yanatoka bila chenga

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +3

    Kufa usifiwa 🤔🤔 pumzika kwa amani Maalim

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 роки тому +2

    Kweli unafiki ndo unaotafuna watanzania na maendeleo yanakwama

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 3 роки тому +2

    Dahh Dunia inakwenda mbio unatoa Siri yamarehemu unaficha Siri ya aliehai 😁😀😁😀

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 роки тому +2

      😂😂😂😂Hao ndo binadamù

    • @sadikidaudi1223
      @sadikidaudi1223 3 роки тому

      @@khadijahali4837 Tunajifunza mengi kupitia wanadamu yaani ukifa takataka zote zitakua zako sasa anahabari yawatu ambao wapo hai anasema amewastahi nasubilia wafe awaaibishe

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 роки тому +1

      @@sadikidaudi1223 hana lolote hy nae mnafiki tuu

  • @mwigaadam9076
    @mwigaadam9076 3 роки тому

    Waliijuwa na wanaijuwa haki lakini bado wanafanya dhambi ishara ya watu walio pigwa muhuri wa motoni ktk nyuso zao hutubia mchana usiku wakatenda dhambi palepale. Tubuni toba ya kweli na mungu atawapokea.

  • @thanimosi8906
    @thanimosi8906 10 місяців тому

    Mh Karume hyo ndo zambi ya uongo tu imeendelea walikusingizia basi na hao alokutajia ni uongo pia hatambui km walitaka kujikosha tu na huyo Jussa ndo tabia yake hadi sasa anamsingizia Mh Rais wa Zanzibar na kumtolea jeuri majukwaani

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 3 роки тому

    Amani yupo vizur

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 11 місяців тому

    Kwa kujisifu uyu Babu uyu

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому +1

    "Mimi pia mtoto wa mjini" Wazee wa busara na hekims. Mungu awajali maisha marefu.

  • @mwajumashauri9674
    @mwajumashauri9674 3 роки тому +3

    ukifa ndio sifa zako niaonekana

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 3 роки тому +1

    Maalim Seif amesha enda peponi je wewe utaenda wapi ?

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 3 роки тому

    Kisa kafa ndiyo mnaongea unafiki mwacheni Maalim apumzike mnaona hawezi kuwajibu ndiyo mmeona mahalo hapo pa kumsingizia?

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 3 роки тому

    ♥️

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 3 роки тому

    Leo haongei amekufa mna msingizia Maalim Seif

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 роки тому

    🙏🙏

  • @tetiteti7127
    @tetiteti7127 3 роки тому

    Wanajisafisha tu hao ni uongo mtupu mbona haja wahi kusema kipindi yupo hapo. Hiyo ndo ccm

  • @vuaiabdallah332
    @vuaiabdallah332 3 роки тому

    Hukuyasema kipnd upo kwenye uongoz unayasema Leo ww mnafiki na hapo hutengezi ila unaboa

  • @luganomwambulutukutu5000
    @luganomwambulutukutu5000 3 роки тому

    Kitambo