RAIS SAMIA: WAPAMBE WA MAALIM SEIF WALICHUKIA, ALINIAMBIA HUPATI KITU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Taasisi ya Maalim Seif leo November 5 2021 imeandaa Kongamano la kumuenzi aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif ambapo kwenye kongamano hilo Mgeni rasmi alikua ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambapo haya ndio aliyoyazungumza.

КОМЕНТАРІ • 14

  • @alawiali3475
    @alawiali3475 2 роки тому +6

    Ukisha kufa ndio yatasemwa mazuri yako,alipokuwa hai mbona hamku yasema hayo mulimuona adui yenu mkubwa.

  • @amourmattar773
    @amourmattar773 2 роки тому +1

    Mashaallah

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 2 роки тому +2

    Haisaidii kitu. Alipokuwa hai Maalim alipata msukosuko kila uchao na dhuluma kwenye haki zake na kuihujumu CUF yake !! Iko haja kutenda haki wakati wote na sio baada ya mtu kuiaga dunia ! Huo ni kujidanganya wenyewe !! Wenye kutunza historia wataielewa ! Kuna nukuu ya Mh. Tundu Lissu ... "hakuwa malaika ..."

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 роки тому

    Mungu awalinde san

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 2 роки тому +1

    😂😂siasa oyeee

  • @miltonjohn1402
    @miltonjohn1402 2 роки тому

    Unadharau Sana mama.

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 2 роки тому

    *🇹🇿NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🔥*

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 2 роки тому

    🙄

  • @silvangabriel3592
    @silvangabriel3592 2 роки тому

    Amakwel akiwa hai mnataka auwawe yaan

  • @swahilimovie4436
    @swahilimovie4436 2 роки тому

    Unakampeni ya shea ushinde

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 2 роки тому

    Kila hotuba unasoma toa basi akilini tujue kwel ww kichwa

    • @ShebeShebe-us3ow
      @ShebeShebe-us3ow 7 місяців тому

      Ukitak usitak mama kichwa tu...na kusoma hutoub alio inadaaa sio vibya.