Guehi awavimbia FA kwa kuandika tena 'I Love Jesus' kwenye kitambaa cha Unahodha cha rangi za Upinde

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 2 години тому +1

    Glory to JESUS mbarikiwe sana Watumishi wa MUNGU msikate tamaa mpiganieni YESU KRISTO

  • @EliyaJelemiya
    @EliyaJelemiya 7 годин тому +3

    Safisana Yesu nimwokozi wetu ameni

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 4 години тому

    Safi sana Yesu ni Bwana wazungu waache ujinga

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 7 годин тому +3

    Ipsich # Ipswich

  • @EzekielKandonga
    @EzekielKandonga 3 години тому

    Mizungu mingi inasumbuliwa na Ushetani tu😮

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 6 годин тому +2

    Yaani marufuku ujumbe wa Kidini, lakini kuvaa ujumbe wa kishoga lazima. Hii dunia hii

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 години тому

      Imeisha

    • @ProsperUlungi-p3t
      @ProsperUlungi-p3t 3 години тому

      Ukisoma vitabu vya dini hiyo sio alama ya kishoga kwa hiyo tusiruhusu vitu vya Mungu mashetani wakatumia kama nembo zao

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations 5 годин тому +1

    England nao wanashinikiza mambo ya hovyo sana sasahivi

  • @pierremlay8717
    @pierremlay8717 8 годин тому +2

    Tamka vizuri majina ya wachezaji na timu sasa

  • @mudighurayra
    @mudighurayra 3 години тому

    Sasa haki za binaa adamu ziwe kwa wote aliekua hataki asilazmishwe kulinda nae haki yake,

  • @wadantz123
    @wadantz123 6 годин тому

    Eeeeh wanasapoti 😂😂😂

  • @JamesmalesaMavere
    @JamesmalesaMavere 7 годин тому +1

    Huu uchafu ubaki tu huko ulaya usije Africa

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 7 годин тому +2

      HAO NDIO RAFIKI ZAO NA WAYAHUDI WEUSI MAANA WANAWAKUBALI SANA😂😂😂

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 4 години тому

    Trump atamtetea

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 5 годин тому

    Sio ispich ni ipswich😂