DUDU BAYA AMCHANA HARMONIZE KUTOKA NA MALAIKA CUTE, UNAPENDA MIZIGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 День тому +2

    Safi dudubaya hapo ndio nakupendea👌👌👌👍👍👍majibu yako

  • @Mulei-Nasibu
    @Mulei-Nasibu День тому

    “ Hata mwezi humalizi nakupiga chini “ 😂😂😂

  • @BarakaHarrison-l4t
    @BarakaHarrison-l4t День тому

    Hapo nkwel kbs duduu

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 День тому +2

    Dudu baya anawez akawa usalama wa taifa,kwanza ana akili nyingi alaf anajitambua saana

  • @NifikeNgajilo
    @NifikeNgajilo День тому

    Ha ha ha we jamaa uko vizuli sana, nafuatilia sana interview zako

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 дні тому +1

    Konki master🔥🔥🔥🔥

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 2 дні тому +1

    Umenena points Sana leo

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 День тому

    Waandishi bana😂😂😂😂

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx День тому

    Hivi hamonize ni nani mbona simfahamu

  • @TwalibumsaaMusharaba
    @TwalibumsaaMusharaba 11 годин тому

    Koki uwa nakukubali kwanza sio mnafiki uwa msema ukwer uyo konde anatakiwa aje apigiwe na mwanamke anae mpenda fara uyo anacheza na akili ya watu

  • @BrackJazz
    @BrackJazz 2 дні тому +1

    Unawongea ukweli konki

  • @luganojaphet5616
    @luganojaphet5616 День тому

    💪💪💪

  • @IddiHaji-b1j
    @IddiHaji-b1j 2 дні тому

    Harmonize atakimbiwa na sio levo yake

  • @Mcsadjomovies
    @Mcsadjomovies 2 дні тому

    Wa kwanza kutoka DRC liké hapo basi

  • @farouqsilvester9918
    @farouqsilvester9918 2 дні тому +3

    Dudu baya kazi ya mwnamke sio kupika wala sio kufua … Sio kazi za mwanamke hizo

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq День тому +1

      Msikilize vizuri acha kurukia mambo. Wapo wanaume wanaotaka mke anayepika vizuri na kufua nk. Amezungumzia vigezo vingi kwa wanaume tofauti.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День тому

      Nini tuambie sasa 😂

    • @simbaedouardo8499
      @simbaedouardo8499 День тому

      Kwani mwanamk kaziyak nini tumbiy sasa

    • @solomtz7049
      @solomtz7049 День тому

      Sasa kazi ya mwanamke ni nini kweli wewe punguani…….ndio maana amuolewi leo

    • @shabanJuma-fe6wf
      @shabanJuma-fe6wf День тому

      😂😂😂😂

  • @benedictmtiganzi3532
    @benedictmtiganzi3532 2 дні тому +2

    Mwanaume anamkinai mwanamke ndani ya siku tisini ambayo ni sawa na miezi Mitatu .
    👆👆
    Hii fact nmeondoka nayo😂😂

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 11 годин тому

    Ifike mahala nyie wapuuzi mjifunze maswali ya kuuliza sasa mtu mzima kama konki unamuuliza kuhusu matakl ya malaika yani hamna haibu wala heshima,mumesomea kweli kazi hii hamna maswali ya maana nonsense tupu