@ChoroTesla Uvunjifu wa Democrasia na Haki za Binaadam sio lazima mpaka mtu afe.... Lkn pia kw kiwango sawa na hcho kingefanyw na nchi nyengn tofaut na wao lingekuzwa kupita kias Na hata ikitokea kafa au kaumizwa usitarajie BBC itakutangazia
Wanafunzi wa tz hawafundishwi elimu ndiyo maana hawajielewi kwenye maswala kama haya ya kisiasa; wanafundishwa mataputapu ya elimu ndiyo maana hawawezi kuchukua hatua
ubaya ubwelaaaaa tuuuu marekani SI amelianzisha siria Ili warusi tusipumue? acha na sie Tuliamshe dude huku kwa mashosti zake,,km ulikuwa hujui tafsiri ya ubaya ubwelaaaaa kiundani basi nahis hapa umeanza kumuelewa,,usisahau Mungu miaka hii ya elfu mbili yuko fasta kichizi kwenye upande wa majibu
Then unakuta hawa wanawatishia north Korea na kusema hakuna uhuru pia kuna njaa ni nchi maskini lakin hayajawahi kutokea mambo kama hayo wanayofanya wao.
Ndomana mm nashukuru sana pale serikali ikiwazibit chadema wazungu wanawatumia sana baad ya viongoz kuondoa amani ya nchi saiv tuna ichukia ccm lakini amini nawambieni siku ccm ikishindwa kuizuia chadema tumekwisha
Hii dunia, inaenda pabaya sana, tukirudi huko! Watu kutokua na uhuru wa kujieleza, kupinga walio wachache kuliingiza taifa ktk misingi sawa hali wao wakimiliki vingi kutoka kwa masikini walio wengi, wenye kuchukuliwa kama mbuzi na ng'ombe, ni hatari sana, democracy inaenda kufa, ht TZ yameanza, watu kutekwa, kuuwawa, kufanyiwa jambo lolote mbele ya uma.
Saa nane usiku unasubiri watu walale halafu unalisanua hii nimefurahi sana hivi vitu vilikuwa vinaonekana afrika tu sasa naona vimerudi kwao rais anang'ang'ania madaraka kwa hali yoyote ile na kusingizia nchi nyingine
Mtaalam wa bibilia hii dini inanichekesha sana yani unaenda kupiga mziki j2 kanisani unakunywa na soju kidg unasubiri kwenda mbinguni mkuu mnapotea ohooooo hii dini wasanii inawafaa sana hii wanatoboa fasta 2 akina lil wizy wote mbinguni mashoga shoga ao dah mnafeli mtaalam wa Bible
Yani wee unavoijuwa Bible mpk leo upo kwenye ukristo akili zko kdg hamna hamna mana m2 yyte mwenye taaluma na Bible anajuwa km ukristo hamna jambo paleTAFAKARI MKUU
@@SalumSanaa-oc8cw kua na adabu na dini za wengine. Kama dini yako inakufunza matusi tu na ugaidi usitulelee roho yako chafu ya kumwaga damu hapa,mnasumbua dunia kila kona. Dini yenu mashoga wanajaa kama mchanga wa bahari wanafki nyie...
Tafuteni message ya Nelson mandela .inyosema ukiona nchi in vita au misukosuko isioeleweka ujue marekani kaitembelea
Swadakta
Malizia " marekani alimtembelea jirani yake" ulisahau huo mstari.
Fact
USA kawaida sna kashafanya yake
aahaaa nimeelewa vizuri kabisa sns ni channell pendwa
Hapo nimeelewa
Nilikua sielew sharia ya kijeshi
🎉
yan jamaa anafanya makosa anavoiendesha inchi alafu anazingishia vitusho kutoka korea kaskazini😂😂😂
Umeona jamaa alivyokataa mwnaajeshi hapo hahaha KongFu Noma
Hahaaa ee
Nadhani wa kusifu na kuheshimiwa ni mwanajesji ambaye amejiepusha na vurugu
@EmilyTembo-pg6tg Sifu wanajeshi wa Nchi yako tu ndio Sifu. Hao wengine hawatuhusu sie. Safi hasa alivyopanguliwa😂😂😂
Bro jamaa alivyomgeuza uyo mwanajeshi kuna kitu anajua,uwezi mgeuza mtu ivyo kirahisi alafu chap chap,yuko vizuri
Dunia inaendelea kuchangamka kwa kasi kwelikweli
Nikama Congo Nord-Kivu washa fanya ivo
Hi sheria nzuri ❤
Kiduku atawanyoosha 😂
Nimeona hii habari sijaelewa kizungu, nikasema apa niende kwenye SNS ,nimeamini umetafsiri na kweli nimeikuta 🔥🔥🔥🔥🔥
Iwepo na bongo jwtz wasiwe Kama policcm
Wale Wazee wa Haki za Ki-Binaadam na Utawala wa Sheria hapo hutowaskia (West) maan huyu ni mshkaji wao
Hizo ni internal conflict z kawaida tu umesikia hata mtu kafa?
@ChoroTesla Uvunjifu wa Democrasia na Haki za Binaadam sio lazima mpaka mtu afe....
Lkn pia kw kiwango sawa na hcho kingefanyw na nchi nyengn tofaut na wao lingekuzwa kupita kias
Na hata ikitokea kafa au kaumizwa usitarajie BBC itakutangazia
Kimewaka tayari,,.. Dunia inaelekea sehemu ngumu sana.
Nice
tukisikia yetu nuu yawenzetu midomo juu ndio hii😂😂😂😂
Hao ndio wanafunzi Sio Wana funzi wetu Tanzania wasio jielewa hawa
Wanafunzi wa tz hawafundishwi elimu ndiyo maana hawajielewi kwenye maswala kama haya ya kisiasa; wanafundishwa mataputapu ya elimu ndiyo maana hawawezi kuchukua hatua
hahahaha dah aiseee
Anamuogopa kiduku Anaenda Kuihalibu ENCHI YAKE
Hawa si ndio walikuwa wanamsimanga kila siku kuwa mr kiduku ni mbabe san ooh wanawafinya watu wake.haya ss nao wameyapata hayo
Kim John apo umempa fursa ATAKUPIGA vitu vizito. 😂 Mmareka atafanya nchi yako kuwa kama kuleeee kwa KISTUL
tatizoo akiii mkewe ana tesaa sanaa watu ndio tatizoo akii ina vunjaaa amanii
Et à de siège ndoivo
UFAFANUZI MZURI ASANTE
Anataka aanzishe majaribio ya makombora ya nyuklia wakiwa na wamarekani ndio yaliyo changia urusi nayo kutoa usaidizi kama huo noth corea
Vita vya Panzi neema kwa Kunguru
Kuwa adui wa marekani ni hatari, na kuwa rafiki wa marekani ni kujiaangamiza😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Siyo kweli ,ukiwa adui WA marekani utakuwa rafiki WA MUNGU
@@KolamuWabene Mungu sio babu yako kumuingiza kwa komenti zako za kipumbav...
@@hopechiderahahahahaha😂😂😂😂
Ahhaahahah watu wengine hamna hakili nimecheka mpaka basi 😂😂😂😂😂
ubaya ubwelaaaaa tuuuu marekani SI amelianzisha siria Ili warusi tusipumue? acha na sie Tuliamshe dude huku kwa mashosti zake,,km ulikuwa hujui tafsiri ya ubaya ubwelaaaaa kiundani basi nahis hapa umeanza kumuelewa,,usisahau Mungu miaka hii ya elfu mbili yuko fasta kichizi kwenye upande wa majibu
Then unakuta hawa wanawatishia north Korea na kusema hakuna uhuru pia kuna njaa ni nchi maskini lakin hayajawahi kutokea mambo kama hayo wanayofanya wao.
Embu nieleweshe kwan kuitangaza iyo sheria haipiti bungeni
Ingekuwa urus angewauwa wote hao wanaopinga maalekezo yake
Wao Korea ya kusini wasije wakafanya kosa kama walilofanya Ukraine
@@homecraft227 Kwa nn
Dunia imechafuka
Naon soldier kazungushwa km katoto
Raia wote wanamafunzo
Wanajeshi wenye heshima ao hawapigi raia
Hajazungushwa kaheshimu isionekane anapigana naye we vipi
Watu wanajali haki za raia
Wananchi wa Korea wengi ni wanajeshi ni vile hawana silaha kama hao walioajiriwa jeshini
Haya ndo madhara ya kile kinachoitwa "demokrasia" ya MAGHARIBI
Walishindwa kujisimamia wakawa v8baraka, leo mambo yanawarudia sasa mwenzao North korea katukia anawacheki tu
Ndomana mm nashukuru sana pale serikali ikiwazibit chadema wazungu wanawatumia sana baad ya viongoz kuondoa amani ya nchi saiv tuna ichukia ccm lakini amini nawambieni siku ccm ikishindwa kuizuia chadema tumekwisha
CCM ndiyo mnavunja amani ya acha kuongea upuuzi ungea mengine we mja wa mwenyezi Mungu
Kumeanza kuchangamka wale wote ambao wanasapoti ushoga na mauwaji ya kiholela wataanza kuvurugana
Mbona mashoga hata tz wapo
@robertphilip385 ila hatuwasapoti Wala hakuna hiyo Sheria tz tunalaani hayo mamb ya upinde
Rais Mwoga Anamuogopa Rais wa Korea Kaskazini
vibaya mnoooo
Hii dunia, inaenda pabaya sana, tukirudi huko! Watu kutokua na uhuru wa kujieleza, kupinga walio wachache kuliingiza taifa ktk misingi sawa hali wao wakimiliki vingi kutoka kwa masikini walio wengi, wenye kuchukuliwa kama mbuzi na ng'ombe, ni hatari sana, democracy inaenda kufa, ht TZ yameanza, watu kutekwa, kuuwawa, kufanyiwa jambo lolote mbele ya uma.
Bora wawe busy sasa na nchi yao maana kutwa kwa wasaniii wao hadi wengii ujiuwaa kwa maneno yao ya chukiiii
Vip kuhuso msumbiji mbona hauwongelei mandamano??
Dhambi ya ubagizi ukishaifanya haikuachi salama
😂😂😂😂mtu wowote anaebadu asiekua Allah akili huwa haipo
Kim atawamaliza
kama ulivokua tanzania 🇹🇿 asaivi 😁😁🤣🤣
Hata Ulaya kuna Rais mjinga kam huy korea kusini kuna kitu gan mpk aseme hivyo
Kiduku ana wapa joto watu
Saa nane usiku unasubiri watu walale halafu unalisanua hii nimefurahi sana hivi vitu vilikuwa vinaonekana afrika tu sasa naona vimerudi kwao rais anang'ang'ania madaraka kwa hali yoyote ile na kusingizia nchi nyingine
Au wana mpango wakujitenga na marekani
Yaani hata ukijikwaa wenzako wanasema mamaaa,we unamtaja Marekani 😂
@vincentcharles4385 sasa hujui marekan haikubalianag na mifumo ya utawala wa kidicteta inataka uhuru wa raia
YETU MACHO.....MIMI NIPO RUSSIA....
Ni vitisho gan ambavyo North Korea wamevifanya hivi karibuni mpaka rais wa Korea Kusini atangaze Martial Law?
Mtumwa wa Marekani huyu bwana wake kamuamrisha😂😂😂
Nikisingizio tu hio Hakuna anaemtishia amani
Ukibaraka wa marekani umemponza, Wakorea hawamtaki ndio maana kuitangaza nchi iwe chini ya amri za kijeshi.
America ameshafanya fitna yake
Naona dalili ya Tanzania kufika uko pale CCM watashindwa kuokolewa na Police wanaweza kutumia mfumo huu ili kusalia madarakani
Waoga haoo😂😂😂
Ukiangalia jinsi mambo yanavyoendelea duniani na usome Biblia kunakitu utaelewa...
Kweli kabsa👍👍
The beginning of the end...
Mtaalam wa bibilia hii dini inanichekesha sana yani unaenda kupiga mziki j2 kanisani unakunywa na soju kidg unasubiri kwenda mbinguni mkuu mnapotea ohooooo hii dini wasanii inawafaa sana hii wanatoboa fasta 2 akina lil wizy wote mbinguni mashoga shoga ao dah mnafeli mtaalam wa Bible
Yani wee unavoijuwa Bible mpk leo upo kwenye ukristo akili zko kdg hamna hamna mana m2 yyte mwenye taaluma na Bible anajuwa km ukristo hamna jambo paleTAFAKARI MKUU
@@SalumSanaa-oc8cw kua na adabu na dini za wengine. Kama dini yako inakufunza matusi tu na ugaidi usitulelee roho yako chafu ya kumwaga damu hapa,mnasumbua dunia kila kona. Dini yenu mashoga wanajaa kama mchanga wa bahari wanafki nyie...
Rais amekosa influence kwenye nchi ndo ameamua kutumia nguvu ivoo
Wakina Jumong wame fungiwa nao!!😢
Sema huyu rais Nimjinga mjinga tu nilimuona mapema sana
😂😂😂😂
😂😂😂😂