ZUCHU ajivunia kuwa mama wa kina TIFFAH ''Tiyari mimi ni mama kwa upande huo, nimebarikiwa''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 86

  • @chany9950
    @chany9950 День тому +6

    Love you 😘😘😘

  • @kitengediedonnee5190
    @kitengediedonnee5190 День тому +9

    Kuna kitu ambacho Zuchu na Mond awafichuwi mtandaoni , sababu , Zuchu anaongea kama anauakika na anachokisema...

  • @safarimusa5946
    @safarimusa5946 День тому +12

    Wote mnaomshambulia Zuchu acheni makasiriko wajinga nyie.

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 День тому +9

    Komaa shogangu me mwenzako Mr. angu anawatt wa nje kama watatu na bado anawajaza lakini nipo mie🤣🤣🤣🤣 king'ang'a

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому +1

      Pole yako

    • @sund2553
      @sund2553 День тому +1

      😂umaskin mbaya sana 😅

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 День тому +1

      @@humbleshoal Pole ya nn?🤣

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 День тому

      @@sund2553 🤣🤣🤣🤣 Nimecheka kwa sauti😂😂😂😂

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому

      @@StrongbowArrow2004
      Pole kwa uvumilivu wa Ivo maana unaweza kuletewa maradhi kwa kua mvumilivu na unajua hajatulia ila unavumulia tu, hongera mwaya

  • @OlgaAmboulou
    @OlgaAmboulou День тому +3

    Les FEMMES HATERS sont réunis ici 😢😂😂

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 День тому +6

    Zuchu anawapea wambea story ya kuongea

    • @RehemaKatana-m6l
      @RehemaKatana-m6l День тому +3

      Washaanza taar ..kubadilisha maneno uko Kwa mitandao Na kuanza kumtukana

  • @Zawadi111Kajumwa
    @Zawadi111Kajumwa 22 години тому

    Huwezi kuwa mama yao kama unaweza zaa wa kwako tuone,tena huolewi na hakuna wakukuoa sio jini hilo meno

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i День тому +1

    Kwa huyu diamond aumwingine😂😂

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 День тому +1

    Bado hujafika level ya mama wa kambo. Mana huna ndoa. Olewa kwanza. Kwa sasa wewe ni demu tu😅 Na Mama wa kambo, dha mimi naona mama wa kambo hawezi kuwa mama bali mshikemshike kwa huyo mtoto cha moto atakiona kichinichini. Mama wa kambo hapana aisee

  • @salama1113
    @salama1113 День тому +7

    Unavyo jipa mamlaka utafikili ushakuwa mke unajivunia kuzini pole

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh День тому +2

      Kashaolew Zuch Na Ndoman Anajiami

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy День тому

      Hata mwaka jana mida kama hii mlituambia kashaolewa😂😂😂😂

  • @sophiemuthoni9841
    @sophiemuthoni9841 День тому +1

    This one is obsessed she needs to wake up and read the signs

  • @BimHamdi
    @BimHamdi День тому

    alipoingia wasafi alikua mshambaa saivi sasa😅

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 День тому +2

    KING'ANG'ANIZI HICHO!!!!

    • @MNHAMAOFICIAL
      @MNHAMAOFICIAL День тому

      Naweang'@ng'@nie

    • @miriamvihenda7408
      @miriamvihenda7408 День тому

      😂😂😂😂😂wacha aongee imtoke 😂😂😂

    • @chany9950
      @chany9950 День тому

      Imbwa wewe😡😡😡

    • @miriamvihenda7408
      @miriamvihenda7408 День тому

      @@chany9950 🖕🏼🖕🏼🖕🏼bora aongee imtoke makasiriko jiekee ama utakuwa nyama December 😂😂😂😂

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 День тому

    very very very😅😅😅😅😅😅 kasomee English. sio kila sentesi una sema very

  • @BimHamdi
    @BimHamdi День тому

    Kuingia wasafi kumejua kukutoa saivi wa mjini wewe😅

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 7 годин тому

    😂😂😂😂😂 hivi zuchu anawaumiza sana akisha yy hana habar hamuwajui wazanzibar uzur pigeni kelele nyie yy yake yanamuendelea hata akiachika basi atakuwa keshafanya mengi mazur kiupande wake nyie pigeni makelele tu

  • @noel3290
    @noel3290 День тому +1

    😂 you don’t even qualify to be called a part time mom. you can’t call yourself a mom for a baby that doesn’t live with you 24/7. Stick to being their father’s girlfriend . A title mom is too big to claim just because

  • @AminataBangura-pp3mo
    @AminataBangura-pp3mo День тому +1

    Please help some of us in English 😢

    • @munezerohawa4697
      @munezerohawa4697 День тому +3

      Zuchu was asked today about having a baby, then she replied I have children already, my partner's children and my relatives children as well. I am blessed and happy having them as being a parent doesn't mean it must be my own child. At the moment she is happy for that. But these fools on this channel has edited only the part she mentioned Diamond's kids didn't put all she said

    • @agbordorothy4901
      @agbordorothy4901 День тому

      ​@@munezerohawa4697I love Zuchu. She is not only smart but wise and intelligent. Bloggers are just chasing cloud.Zuchu forever number One❤❤❤❤UK 🇬🇧

  • @sabinajeanpierre7149
    @sabinajeanpierre7149 День тому

    Wewe demu wakamboo tuuu wala siyo mama lol 😂😂😂😂😂 I see you wish to be merry and mond but that nigaaaaaa my sis hivi wewe unawazidiii nini wa beby mom wakeee ?? 😂😂😂😂😂 forget about it hoooo😊😅

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 День тому +6

    Auna aibu kin'ganga promax

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 День тому +1

      😂😂😂😂😂khaaa ningelipemda Zari na Tanasha wamujibu

    • @miriamvihenda7408
      @miriamvihenda7408 День тому

      @@michelinemapendo6652😂😂😂😂😂wacha aongee imtoke

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому

      ​@@michelinemapendo6652
      Wamjibu uko iweje

    • @MaggieMbanda
      @MaggieMbanda День тому

      Zari already said that zuchu is a good woman to her children,she said that she is comfortable when her kids are with zuchu,this means that zari accepted zuchu as the mother of her children,are we communicating?​@@michelinemapendo6652

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy День тому

      @michelinemapendo6652 Zari alimwambia Tanasha ahakikishe kuwa ana akiba benki ili akiachwa na mtoto ajue pa kuanzia. Watu walimtukana sana hasa mange lakini few months later ikatokea kweli. Kajifunza hatasema ataacha tu watu waongee vile wanataka as long as anajilelea wanae mwenyewe

  • @filskischannel9737
    @filskischannel9737 День тому +1

    This woman is sick , can you leave Diamond alone hey.... kingangaaa

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou День тому

      Continue de pleurer jusqu'à fatiguer Hater 😭😭😭😭😭😭

  • @Nihadshighadi
    @Nihadshighadi День тому +2

    Hujaposwa,hujaolewa ila ushajipa taji la stepmother una akili kweli😂😂😂

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому +1

      Wanaume wameisha ndio maana bado yuko huko😢

    • @Nihadshighadi
      @Nihadshighadi День тому +1

      @humbleshoal labda mamake ndio anampush aolewe na daimond

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому

      @@Nihadshighadi
      Anataka mwenyewe

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou День тому +4

      ​@@Nihadshighadimais vous ne dormez jamais, tout les jours sur ZUCHU, tu n'a pas de famille toi , la haine va tuer un jour 😂

    • @annndunda3953
      @annndunda3953 День тому

      Ila huyu mwanamke akae kwa kujielewa, what is she saying eish aamke bwana akiendelea na hii ndoto atakojoa kitandani

  • @sund2553
    @sund2553 День тому

    😅mpka kasema hivyo ana uhakika wa ndoa.

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy День тому

      Afanye haraka huyo mondi amuoe kwa kweli maana ikipita miaka miwili bado ndoa hata na yeye ataamua azae tu maana kizazi hakingoji ndoa

  • @Bravo-or8oy
    @Bravo-or8oy День тому +1

    Zuchu wewe ni demu wa baba yao sio stepmom wao sababu bado hujaolewa na Diamond

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому +2

      Mwenzako anajua ye ndio ataolewa

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy День тому +1

      Akishaolewa ndio aseme hivyo na watoto watamuita stepmom lakini kabla ya hapo ni kujimwambafai. Tena bora Diamond angekuwa anaishi nao hao watoto lakini hawaishi wote kwa hiyo haji kuwalea. Mara ya mwisho watoto wa Zari kuja Tanzania ilikuwa mwaka jana hapo hakuna ulezi kwa upande wa baba zaidi ya child support tu

    • @humbleshoal
      @humbleshoal День тому +1

      @@Bravo-or8oy
      Anajiamini ni lazima ataolewa yeye na ndio maana hata diamond akimfanyia nn anavumilia.

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy День тому

      @humbleshoal haya namtakia uvumilivu mwema kwa kweli😂😂😂😂

    • @zulfahabib-jo9qp
      @zulfahabib-jo9qp День тому

      Huwezi jua yaliyomo ndani so kila kitu km kinaletwa mitandaoni n ukiona kasema hivo bimanaa kajiamn

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 День тому

    Zuchu ameongea ukweli na ni maoni yake

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 День тому +1

    Kinganganizi mwenye PhD yake huyo....

  • @NAYLASULTAN-td4ks
    @NAYLASULTAN-td4ks День тому

    ZONGO SANA NOT GOOD