PUTIN: Tumezishinda juhudi za nchi za Magharibi za kutaka kuangamiza uchumi wa Urusi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 12 годин тому +17

    🤝🇷🇺💪Hawa ndio viongozi wachache Duniani wanaojitambua

  • @gilbertblackfire2683
    @gilbertblackfire2683 12 годин тому +14

    Jeshi la mtu mmoja🙌🙌

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 59 хвилин тому

      😳jeshi la mmoja??? Una uhakika

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 13 годин тому +17

    Boss kesha ongea 🤩
    Vikwazo vinawatafuna wao wenyewe

  • @babuumaeda7671
    @babuumaeda7671 13 годин тому +13

    Uraaaaaaaaaaaaaaaa❤

  • @IsmailiNiraji
    @IsmailiNiraji 13 годин тому +5

    sns nawapenda sana mungu awabariki na wadau wote tuzidi kuisapoti kwa dhati amen🎉🎉🎉

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 13 годин тому +10

    SMART BRAIN SIR PUTIN...

  • @rukusaisumaili6504
    @rukusaisumaili6504 13 годин тому +12

    Mtakatifu putin

    • @AhmedMuhammad-b5n
      @AhmedMuhammad-b5n 4 години тому

      @@rukusaisumaili6504 huyo ni mkristo kabisaa lakin sijui alibatizwa au laaaa

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 6 годин тому +4

    Good work mr Putin ❤🌹
    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🔥💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 12 годин тому +6

    Boss kama boss🪖🇷🇺❤️✨💪 Father of the world#PUTIN🎶✅

  • @Viva01Bigs-r7f
    @Viva01Bigs-r7f 9 годин тому +3

    JESHI LA MTU MMOJA VIVAAA PUTIN Amna kucheka namashoga

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 13 годин тому +6

    Marecani nishetani 😢

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx 13 годин тому +5

    Wameshindwa kweli

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh 3 години тому +1

    Safi sana

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 Годину тому

    Taifa teule YESU alitunze taifa lenye haki kama hili🤲🤲

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 Годину тому

    Kweli pongoz sanaaa kwako putin

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 11 годин тому +1

    King Himself❤❤❤

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 13 годин тому +3

    Jeshi la mtu mmoja

  • @faridmichael1307
    @faridmichael1307 13 годин тому +4

    Sio mwamba ni zaid ya miamba

  • @MejackPaul
    @MejackPaul 21 хвилина тому

    Aminia sana putin

  • @BillySmart-n3y
    @BillySmart-n3y 11 годин тому +1

    CONGRATULATIONS COMRADE Putin 🤝👏👏🤝🌍🇨🇩🇷🇺🇨🇩🌍

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 12 годин тому

    kweli kabisa

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 3 години тому

    #URAAAAAAAAA❤❤❤❤

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 13 годин тому +2

    Mwamba hata waburuza mno 😂😂😂💪🏼💪🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 13 годин тому +2

    Naomba Ile anamchana mwandishi wa ujeruman kutumia kingereza

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 13 годин тому +5

    Hilo ndio wameshindwa tena vibaya, ila sasa jitahidi tupambane pambane uuchukue ushindi tumia nguvu ya ziada kazi imalizike, muda umekuwa mrefu huko Kiev

    • @marcedeskaigarula
      @marcedeskaigarula 8 годин тому

      Anata waendelee kugawanyika hao magharibi kulingana na chamgamoto wanazopitia wananchi wao .

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 4 години тому

      @marcedeskaigarula itakuwa maana hatetereki mwamba richa ya vita kuwa kubwa kutokana nakuingiliwa na maitaifa mengi ya uraya

  • @SidBrand
    @SidBrand Годину тому

    Nchi za kiarabu zikipinga unyonyaji wa wamagharibi tunawaita magaidi😢😢

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 11 годин тому

    Kwa kweli Western wamechemka... mwamba Anapigana kisha Anajenga miji yote aliobomoa.... Check Mariopoli now

  • @amisselutaviamisselutavi3833
    @amisselutaviamisselutavi3833 13 годин тому +4

    Akili ya MTU 1 yavuruga vichwa vya wasomi WA kimangaribi

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 41 хвилина тому

    😅😅 hii habar inatoa burudani kwa wotee

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 2 години тому

    Vikwazo vya Marekani na magharibi vinafanya kazi kwa mataifa ambayo viongozi wake hawajitambui kama wa kwetu Afrika.

  • @j4amas5
    @j4amas5 2 години тому

    Kaka Sky tunawezapata historia ya putin?

  • @AhmedMuhammad-b5n
    @AhmedMuhammad-b5n 12 годин тому +2

    Putin ndio mkristo kwelikweli

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 12 годин тому

      Sio mkristo huyu wala hana dini

    • @wadantz123
      @wadantz123 12 годин тому

      Naskia viongoz wakubwa awanaga dini cjui kweli😢

    • @blueboybajos6880
      @blueboybajos6880 11 годин тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @hopechidera
      @hopechidera 8 годин тому

      Ndio ​Putin ni mkristo wa ortodox kama ulikua hujuw @@MichaelMathew-j3f...

    • @hopechidera
      @hopechidera 8 годин тому

      ​@@wadantz123 viongozi wana ma dini,nao pia c ni binadam kama ww,kila mtu iko huru kuamini dini anayo jiskia kuamini...

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 13 годин тому +3

    Mwamba kaongea

  • @hbdina
    @hbdina 13 годин тому +2

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Watanzania tumelala badala ya kufanya biashara ya mafuta na Urusi.Viongozi wengi wa Africa ni inferior hata kusimamia maslai ya Wananchi wao.Viva Traore wa Burkinafaso

    • @anny19988
      @anny19988 12 годин тому

      Mafuta ya Urusi kuyasafirisha hadi hapa ni gharama ulilinganisha na ya waarabu.

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 38 хвилин тому

      ​@@anny19988 ww unakumbuka ofa aliyo itoa urusi ya kusafirisha maft popot kupitoa vyombo vyake na kwa gharama nafuu.. na kama aliwez kusafirisha ngano mpk afrika vip mafuta ashishindw

  • @DodoKabasele
    @DodoKabasele 12 годин тому

    Urussi siyo washenzi kama wa marekani na wamagaribi

  • @amateuranalyst9863
    @amateuranalyst9863 Годину тому

    Umeona sarafu ya Urusi ilivyoshuka…?

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 5 годин тому

    WALIO ALIKWA KWENY HUO MKUTANO UNAWAONA KABISA WA MFULAHIA VLADIMIR PUTIN..... KIONGOZI WA DUNIA...... MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU VLADIMIR PUTIN....

  • @jerryndondole1965
    @jerryndondole1965 13 годин тому

    West wamefeli vibaya, wao sio miungu.Shame on them

  • @chirezaasende4247
    @chirezaasende4247 5 годин тому

    Huyu Mzee ni Kama anapitiya wakati mgumu sana walahi Mara kwa Mara anaongea nini shida kila Mara inchi Za mangarabi

    • @swedywamba5535
      @swedywamba5535 4 години тому

      Kwann magaharibi wanaongea kuhusu Putin kila wakat? Usijizime data yuko sawa

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 37 хвилин тому

      Mbona magharibi kila siku wanaongea na sio kuongea tu wanaweka vikao kama wachawi kila siku

  • @BulukayMollel-j3g
    @BulukayMollel-j3g 12 годин тому +1

    Hakika wameshindwa kweli na tuwaombea waendelea kushindwa

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 години тому

    Putin kiboko

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 11 годин тому

    nime like coment zote 99 nilizokuta humu❤🙏

  • @anny19988
    @anny19988 12 годин тому

    Na huko Ufaransa kimewaka😂😂😂😂. Serikali yapigiwa kura ya kutokuwa na imani. Dah mwamba aliwaambia lakini😂😂😂. Mchimba shimo kadumbukia mwenyewe

  • @SanguloRaahoo
    @SanguloRaahoo 12 годин тому

    Iv uku Tanzania tutapata kiongoz kama huyu apendwe na dunia😊

    • @godfreysudi7264
      @godfreysudi7264 10 годин тому

      Tunao Ila CCM imeweka ugumu WA kuwa na serikali Bora Kwa wananchi

  • @neckaphotostudio728
    @neckaphotostudio728 13 годин тому +1

    Mungu amekubariki sauti kaka sky
    Anyone can pay attention whenever you speak

  • @allymbaruku4710
    @allymbaruku4710 11 годин тому

    Западные страны привыкли притеснять только слабых как наши африканские и арабские страны, а в Москве варятся 😁😁😁🇷🇺

  • @JonasPhilimon
    @JonasPhilimon 13 годин тому

    Vita ya uchumi bhado hajashinda aise maana pesa yake bhado haijapanda samani

    • @Dilinhosgod
      @Dilinhosgod 12 годин тому

      Kabla ya vita thamani yake ilikuaje na baada ya vikwazo thamani yake ikoje?

    • @Dilinhosgod
      @Dilinhosgod 12 годин тому

      Kabla ya vita thamani yake ilikuaje na baada ya vikwazo thamani yake ikoje?

    • @Dilinhosgod
      @Dilinhosgod 12 годин тому

      Kabla ya vita thamani yake ilikuaje na baada ya vikwazo thamani yake ikoje?

    • @Dilinhosgod
      @Dilinhosgod 12 годин тому

      Kabla ya vita thamani yake ilikuaje na baada ya vikwazo thamani yake ikoje?

    • @Dilinhosgod
      @Dilinhosgod 12 годин тому

      Kabla ya vita thamani yake ilikuaje na baada ya vikwazo thamani yake ikoje?

  • @slavianseif498
    @slavianseif498 13 годин тому +1

    huyu ni mwamba

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 12 годин тому

    KAKA SKY NA WEWE WATAKUFUNGIA CHANNEL YAKO KWASABABU UKO UPANDE WA URUSI KILA TAARIFA UNATOA KWA WAKATI 😂

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 13 годин тому

    Putin mjinga wamwisho, anajigamba na badovita havijaisha.

    • @songamberetv2219
      @songamberetv2219 13 годин тому +5

      Wewe kwanza upimwe mkojo hauko sawa

    • @nsabimanasuleyman2008
      @nsabimanasuleyman2008 13 годин тому +1

      Vipi ya Urusi na Ukraine imeisha Toka mwaka 2022 mwezi wa 6 Sasa ni vita kati ya NATO , Ulaya ,Amerika,UK na Ujeremani. Elewa hilo kaka

    • @FrankieFrank-e4e
      @FrankieFrank-e4e 12 годин тому

      Hiyo ni operation bandugu vita bado

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 12 годин тому

      Yani iyo vita alikua anatafutwa mtu tu na kaingia muache 2 aendelee kupeleka msaada

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 12 годин тому

      ​@@mudighurayra😅😅😅😅 Waache wa jichanganye mana najua hawaelewi kabs

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 13 годин тому

    Leo nasoma comment za waislamu humu ndani...Yani nacheka Tu 🤣🤣🤣😂... juzi nimeona Urusi imewashambulia wale waasi pale Syria ila raia wengi pia wakaangamia Kwa shambulio Hilo... hakuna hata muislamu yeyote aliyelalamika kuwa raia wanauawa... lakini Israel ikiwashambulia Hamas na raia kufa kwenye shambulio kelele zinakuwa nyingi 😂😂

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 12 годин тому

      Hakuna anae lalamika coz lile kundi linajulikana alie liunda so wacha wapigike tu

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 12 годин тому +1

      Wew nae Ukilala ukiamka ni magharibi uko sawa kweli😅😅😅

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 12 годин тому

      @@mudighurayra Hamas na Hezbollah wahifadhi wake pia wanajulikana Tu.. halafu issue sio hao rebels.. issue ni kuwa waliposhambuliwa bomu liliwafyeka pamoja na raia wasio na hatia... mbona hamkemei Russia Kwa Hilo kama mnavyokemea Israel

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 12 годин тому

      @@peteremmanuelymatwimatwiem3258 sasa hapo magharibi nimeitaja wapi🤣🤣

    • @wadantz123
      @wadantz123 12 годин тому

      We jamaa unashenyetwa na myahud sio bure