Nampenda sn uyu dada cjui ❤nifanyeje nimuone live kwanza Hana Tabia mbaya kama wasanii wenzie respect mzee mwenzangu nakupenda mnoo jide unajitambua sn🎉
Mwanamuke mfano mzuri mkimya haweki hazarani mambo ya utajiri wake hunaga mambo mengi uko simpo Sana ,pamoja na umarufu wako na utajiri wako huna majigambo na majivuno na maringo hongera najifunza mengi mazuri kuhusu wewe
Nampenda sn uyu dada cjui ❤nifanyeje nimuone live kwanza Hana Tabia mbaya kama wasanii wenzie respect mzee mwenzangu nakupenda mnoo jide unajitambua sn🎉
jide respect sana mauwa yako upewe heshima yako kubwaa sana katika tasnia hiii long time kwenye game bado tupo pamoja na wewe one love jide
Much love. Wewe unajua sanaaaaaaa.❤❤❤
Nakupendasanaaaa
❤❤❤❤na wasaniii wengine wa kike wangekua kama jide tungefika mbali
Mungu azidi kukuweka dada usiye na makuu ❤
Jide jide malkia wa nguvu.love you so much dear
Msanii wangu kipenzi Tz Nakupenda Komando ❤
You don't fake it Jide! You are so real!
Legend
Hakuna kama WEWE na atokuja kutokea❤❤
Love you so much ❤
Umependeza Sana💕💕💕💕
Jide for life...🎉❤
Hongera huzeeki upo simple mpk raha sio wale wakina mwafulan kukaa uchi
Nampenda sana jide
Anapoimba huyu wasanii wengine unaweza ukaona km wanaukosea sana mziki
❤ 1:23
🎉🎉🎉
❤❤❤

❤❤🎉
❤❤❤
❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤