SUGU AFICHUA USIYOYAJUA KUHUSU LADY JAYDEE | ASEMA UKWELI WOTE HADHARANI, UTAPENDA STORY ZAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc День тому +2

    Imbeni nyimbo zenye ujumbe wa mzuri kama ile nyimbo ya nay wa mitego inayoitwa sema na nitasema sitaogopa chochote kuhusu utekwaji wa watu na kuuliwa

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 15 годин тому

    Jade tunakutegemea kama legend wa bongo music.utaungana na wapenda haki.acha kuwaangalia machawa

  • @abdulazizjeizan-vx1mc
    @abdulazizjeizan-vx1mc День тому +1

    Na wasanii wa kike wavae mavazi ya heshima na maadili Rio mavazi ya nusu uchi au mavazi ya uchi hatutaki na hatukubali kabisa huo upuuzi na huo upumbavu sawa

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila День тому

    Yunasubiri ndokuwa nawakongwe,wamziki