Muziki ndio unampa amani prof jay, na ndio kusudi lake hapa duniani. mi nadhani kwa mtihani wa maradhi alioupitia tayari roho yake ipo karibu na Mungu, sio mpaka aimbe nyimbo za dini. msimhukumu sana. pia sidhani kama hajapata ridhaa ya kitabibu mpaka ameperform hapo. Tuendelee kumshukuru Mungu kwa afya yake sio kuhukumu tu. Big up kwa komando JIDE huyu ndo jeshi la mtu mmoja sasa.
Acheni miziki hakika itawapeleka kuzimu. Ni hatari. Pro J umepona, sasa mtafute Mungu, achanana na mziki itakuangamiza. Neno la Bwana Yesu inasema hivi, Mtafuteni Mungu maadamu anapatikana, mwiteni maadamu yu karibu. Mtu mbaya na aache njia yake... Isaya 55:6-7. Bwana Yesu Kristo asifiwe sana!! Haleluyaaaa!!! Hii ni habari njema iletayo wokovu ulimwenguni kote. Amen.
@@DavidNyiraha kazi isiyomtukuza Bwana Yesu haiwezi kukupa Mbingu. Tafuta kazi inayompendeza Bwana Yesu!! Sio mziki, 1 Yohana 2:15. Mtu akiipenda dunia kumpenda Baba hakumo ndani mwake. Acha mziki, okoka, mpende Bwana Yesu. Amen.
Hiindoilikuwa miziki ya kufurahisha na kuelimisha jamii Lkn profesa j umetoka kwenye mtihani mzito sana ingebidi ujiudhuru rasmi na umshukuru mungu kwa kileulichopitia tu Nakupenda na tunapenda Sanaa yako Lkn ungeacha kwa sasa ili uone maendeleo yako kiafya na kufanya sana ibada
Kwa mitihani uliyopitia ndugu yangu mimi ningeshauli uwimbe nyimbo za kumtukuza mungu kwakweli kwani najuwa nimungu kunasehemu au kunajambo alitakakukukumbusha
Wakoma waliponywa 10, ila aliyerudi kumshukuru Mungu alikuwa mmoja tu. Yesu akauliza wale 9 wako wapi? Profesa J, Mungu anakuuliza uko wapi baada ya kutoka kitandani ulipolazwa na Mungu kukuponya? Nashauri Anza na MUNGU kwanza.
Uyo Anafanya ivyo kwa sababu kaanzisha taasisi yake na alitoahadi ya kuwasahidia watu wenye matatizo ya figo na kuna watu waliahidi kuchangia hawakufanya ivyo kwa kupitia uwezo wake na kipaji anafanya shooo anapata pesa ambazo ataweza kuwagusa wenye matatizo ya figo
Mbn nyimbo zake ni injili tosha tu coz zinabeba ujumbe nzuri na Muhimu Sana!!Cha Msingi ni ujumbe na sio aina ya muziki unaoimba!!! Mfano Bob alikuwa anaimba injili Katika rege
Mungu ni mkubwa, tumsapoti Sana professor j katika j foundation, maana bado hajawa sawa na msaada wetu wa kumchangia utamtia moyo kupambania afya yake.
Kila nikiangalia kuna utofauti mkubwa sana kati ya wasanii wazamani na wasasa, Kwanza hapa hata mashabiki wanaonekana wamenona na mavazi ni simpo tu nimependa sana
J mi nadhan siasa ndo imekuletea hayo magonjwa ,sasa ungeokoka uimbe gospel ungana na chilambo najua talent haifi ila siasa kata kabisa ule mziki tu mbn unajina na mizizi mikubwa hapa na nje
Dah anajitahidi Ila bado hajarikava,,,,Achana na Hilo,nlikuwa Nawaz nilivoiona Ile clip vipi kwa mtu ambaye Hana kitu atapona kweli..mana huyo hela ziliisha,,serikal ikaingilia kati,,,na bado hajarudi yule,,,skizeni kuumwa kupo ila tujitahidi kutunza afya zetu angalau tusogee sogee.
@@directorbitofirms haloooo, kwa hio hawezi pata miundo mbinu mingine zaidi ya muziki.. hapo enyewe hajatengamaa unamtetea ..sawa anatafuta riziki je akianguka jukwaani 😔😔
Hawa ndiyo wakupiga shoo Tanzania nzima, watu wajuwe Sababu kazizao ni🔥🔥🔥🔥🔥💯siyo wale wavulugu Hawana ujumbe,,Eti nyimbo Naesabu nambar,123456 🤣🤣🤣🤣ninyimbo🤣🤣pigeni KAZI wakongwe
Ulita apige picha akiwa kanisani adhibitishe kuwa amemshukuru mungu kwani watunmkoje unataka Kila kitu chake ujue hata vywa Siri ya wezakuwa ameshamshukuru mungu mara nyingi tu tangu amepona acheni kukalili kuwa ukiugua sana lazima ukipona uokoke kunakutoa shukrano tu basi nahapo ni kumpa mngu shukra syo mpaka ajutie usikalili mwache afanye kazi zake alizokuwa akizifaya atakuwa anatoa zaka, sadaka napo nikumshkur mungu pia na kusali atakuwa ana sali everyday
Muziki ndio unampa amani prof jay, na ndio kusudi lake hapa duniani. mi nadhani kwa mtihani wa maradhi alioupitia tayari roho yake ipo karibu na Mungu, sio mpaka aimbe nyimbo za dini. msimhukumu sana. pia sidhani kama hajapata ridhaa ya kitabibu mpaka ameperform hapo. Tuendelee kumshukuru Mungu kwa afya yake sio kuhukumu tu.
Big up kwa komando JIDE huyu ndo jeshi la mtu mmoja sasa.
Unapaswa kumrejea Mungu. Achana na huu mziki mrejee Mungu amekunusuru na kukupa muda wa kutengeneza njia zako. Mrejee Mungu
Mungu mkubwa,tunakuombea afya yako iendelee kuimarika Kaka❤
Mwanaharakati wa kweli Allah Akupe Afya njema kaka ww ni mfano wa kuigwa nimeangalia hii video nimetokwa na chozi hommy live long professor
Acheni miziki hakika itawapeleka kuzimu. Ni hatari. Pro J umepona, sasa mtafute Mungu, achanana na mziki itakuangamiza. Neno la Bwana Yesu inasema hivi, Mtafuteni Mungu maadamu anapatikana, mwiteni maadamu yu karibu. Mtu mbaya na aache njia yake... Isaya 55:6-7. Bwana Yesu Kristo asifiwe sana!! Haleluyaaaa!!! Hii ni habari njema iletayo wokovu ulimwenguni kote. Amen.
Na mungu nae anasema asiefanya kaz na asile kwahio anafanya kaz na kumuomba mungu
@@DavidNyiraha kazi isiyomtukuza Bwana Yesu haiwezi kukupa Mbingu. Tafuta kazi inayompendeza Bwana Yesu!! Sio mziki, 1 Yohana 2:15. Mtu akiipenda dunia kumpenda Baba hakumo ndani mwake. Acha mziki, okoka, mpende Bwana Yesu. Amen.
Hiindoilikuwa miziki ya kufurahisha na kuelimisha jamii Lkn profesa j umetoka kwenye mtihani mzito sana ingebidi ujiudhuru rasmi na umshukuru mungu kwa kileulichopitia tu Nakupenda na tunapenda Sanaa yako Lkn ungeacha kwa sasa ili uone maendeleo yako kiafya na kufanya sana ibada
Ahsante mungu kwa zawadi ya uhai wa professor j
Atukuzwe Mungu aliye mbinguni .Jehova Rapha uinuliwe Mungu wa mbinguni kwa uponyaji
Wow wow wow love to see the legendary professor on stage
Mungu ni mwema sana professor Jay mshukuru mungu sana
Mungu wetu mwema mponye Professor J
Professor Jay nakuombea broo mungu akusaidie upone kabisa kutoka 254
Kwa mitihani uliyopitia ndugu yangu mimi ningeshauli uwimbe nyimbo za kumtukuza mungu kwakweli kwani najuwa nimungu kunasehemu au kunajambo alitakakukukumbusha
Ameeen! Ameeen! Ameeen! Hallelujah! "Glory be to God"
Hakika hujafa hujaumbika live long out professor ❤
Ahsante sana Mungu kwa kumponya Joseph Haule aka profesa Jay, tunaheshimu kila upangacho baba yetu ila niseme tunakukupenda Mungu wetu!!!
Mungu ni mwema....Aendeleee kukupa afya njema uimalike
Inaleta furaha sana asikwambie mtu ukionekana tu hata kama hujaimba kwa muda lakini watu wanafurahii sana wakikuona. Umekuja kuwa salimu ❤
Happy to see you Proff
Safi cna mti mkavu profujize Mungu nimwema sana
it was one of the classic hits in those days
Love from kenya we love you professor
Nimebaki nalia tu yupo jamani🙏🙏🙏🙏 acha niemseleee kumtukuza sana huyu Mungubwa ajabu
Uganda wanae Dr chamilion TANZANIA mwamba uyu apa na wote walikua wanaumwa mungu amewaponya wote
Mungu ni mwema sana
Yan nmefurah km nmeokota ela😍
Pro yaaani mungu ni mkuu sana
Get Well Soon Ding Naimani Na Sauti Itarudi Kama Awali
Wakoma waliponywa 10, ila aliyerudi kumshukuru Mungu alikuwa mmoja tu. Yesu akauliza wale 9 wako wapi?
Profesa J, Mungu anakuuliza uko wapi baada ya kutoka kitandani ulipolazwa na Mungu kukuponya?
Nashauri Anza na MUNGU kwanza.
Lady j de the living legendary
Yaani cameraman kweli umetuonyesha shoga kwa zaidi ya dakika 1? Sijapenda. Tz na ushoga wapi na wapi?
Legend
MUNGU akutunze jy wa mitulinga❤❤❤❤❤❤❤❤
Greatness of GOD!
Uyo Anafanya ivyo kwa sababu kaanzisha taasisi yake na alitoahadi ya kuwasahidia watu wenye matatizo ya figo na kuna watu waliahidi kuchangia hawakufanya ivyo kwa kupitia uwezo wake na kipaji anafanya shooo anapata pesa ambazo ataweza kuwagusa wenye matatizo ya figo
Mungu nimwema skuzote sasa jey angekufa haya tungeyapata wapi jameni? Asante mungu 🙏
One love my brother Profesa jey
Jamaniii kaka kweeiii anaimbaaa Rakiniii ajaponaaa vizurii msimfosiii muacheniii kwanzaaa mpakaaa 27 iviii
Naona wapuuzi wanakoment
Kweli Yani angeimba injili ingekuwa ni shukrani yake Kwa Mungu
Mbn nyimbo zake ni injili tosha tu coz zinabeba ujumbe nzuri na Muhimu Sana!!Cha Msingi ni ujumbe na sio aina ya muziki unaoimba!!! Mfano Bob alikuwa anaimba injili Katika rege
Mungu ni mkubwa, tumsapoti Sana professor j katika j foundation, maana bado hajawa sawa na msaada wetu wa kumchangia utamtia moyo kupambania afya yake.
Mi nimelia sana mungu ni mungu tu
God protect you brother
Jay umepona mwanangu believe that
Aishi sana mwananetu 😢😢😢
Mungu ni mwema
Jide❤
Mungu mwema
❤🎉
The legends all the way up
Kila nikiangalia kuna utofauti mkubwa sana kati ya wasanii wazamani na wasasa,
Kwanza hapa hata mashabiki wanaonekana wamenona na mavazi ni simpo tu nimependa sana
Kuna muda kama alitaka kuanguka jay Dee akamzuia atulie kwanza twajua anaweza aliyoyafanya yanatosha
Big up bro jay
Ila jdee amebalikiwa sana aisee hadi raha
Sauti ya vyombo iko juu kuliko waimbaji
❤❤❤
Professor
Bado hajakaa vizuri angepumzika tu, wenzie wawe wanamuwezesha
Sasa bila mazoezii ataa kaajee vizulii
Kwahyo awe omba omba au sio?
Anatakiwa apumzike kwanza jamani daah
Now he is ridding the pity bus too far.
J mi nadhan siasa ndo imekuletea hayo magonjwa ,sasa ungeokoka uimbe gospel ungana na chilambo najua talent haifi ila siasa kata kabisa ule mziki tu mbn unajina na mizizi mikubwa hapa na nje
Sasa leteni Hao kuku wenu muone kama watabeba ndoo kichwani, commando tunaye mmoja tu na ndiye Jay d
Watu wanakuonea huruma ndo maana wanakushangia ungeturia kwanza bro upone vizuri sauti Yako Bado inaonyesha hauko gud braza
Huyu iwafaa atulie mana hata sauti haitoki vzr
Proff pole sana ila kimziki akuna kama wewe unatisha sana kaka
Hakika
Dah jamaa angetulia kwanza
Maokoto Ndugu
Big up niga J
Dah anajitahidi Ila bado hajarikava,,,,Achana na Hilo,nlikuwa Nawaz nilivoiona Ile clip vipi kwa mtu ambaye Hana kitu atapona kweli..mana huyo hela ziliisha,,serikal ikaingilia kati,,,na bado hajarudi yule,,,skizeni kuumwa kupo ila tujitahidi kutunza afya zetu angalau tusogee sogee.
Shoo imejaa mashetani kibaao mpka Agrey yupo!! Ndiomana sipendagi kwenda sehemunza starehe kwa kuohopa kukutana na mashetani kama hawa wakina Agrey
Kwan ulialikwa?
Achaa
Acha watu wainjoy maisha wewe lala na baba Yako nyumbani kwako
🔥🔥
Watu hawa wamekua pamoja ktk game
Huyu professor jay alitakiwa asirudi kwenye haya mambo ya dunia kwa hatua alivyoumwa 😢😢
Wewe Malaika uko hapa unafanya nini?
Utamlisha ww
Naimani ana Daktari anaye fatilia afya yake ondoa wasiwasi na pia kumbuka ndio kazi yake
@@directorbitofirms haloooo, kwa hio hawezi pata miundo mbinu mingine zaidi ya muziki.. hapo enyewe hajatengamaa unamtetea ..sawa anatafuta riziki je akianguka jukwaani 😔😔
Hapana
Mungu ndio amemtengenezea sehamuyake yakula ndiko huko chamsingi amemjua na ameijua nguvu yamungu
Pr kapambania sanaa afya yake jamani!!😢😢
Ni mungu tu jamani
😢😢😢 nimelia machozi ya furaha
Mzki ni asili yake
Alafu kuna mtu sijui kala maharage ya wapi anamlinganisha komando na zuchu.
Alilewa msamehe
Tusake pesa pro jay isingekua umaarufu na pesa tungesha sahau kama alikuepo
Hapana siyo pesa, wangapi walikuwa na pesa na walishafariki, Tarehe yake Bado Mungu anaendelea kumlinda
ila ukweli uo upinde uliojitokeza hapo sijapenda ,,ni kinyume na maadili
Hawa ndiyo wakupiga shoo Tanzania nzima, watu wajuwe Sababu kazizao ni🔥🔥🔥🔥🔥💯siyo wale wavulugu Hawana ujumbe,,Eti nyimbo Naesabu nambar,123456 🤣🤣🤣🤣ninyimbo🤣🤣pigeni KAZI wakongwe
😂😂😂😂😂😂
Wcb vepee 🎉🎉🎉
Mashogaa
Hadi nashindwa kuandika natetemeka😢
Ase wasanii wa kipindi hicho sio miziki yao tu inaishi mpk leo hadi upendo ila hawa wasanii wa sasa mhmh 😅
Sisi na wanyaru tunavyoish
Tunajua walimharibu sauti...we know they messed up with his vocal box
says Dr. who?😂
@@1961nungwi says me...
MUNGU AZIDI KUKUPIGANIA PROFESSIONAL WA HIP HOP TANZANIA
NAKUOMBEA UPONE KABISA
ila afya yake bado mwamba haijatengemaa
Malkia Wa Muziki
Ndio chanzo chake Cha kipato
NYIE HAMJAMJUA MUNGU MNAMFANYIA MZAHA TUU LAKINI KAMA AHADI YAKE PUNDE TUU MTAMJUA KWA YAKINI MCHEZEEENI TUU
Nilichojifunza ni kwamba mtu aweza akavaa vizuri na kafanya show yake vizuri si kama kina zuchu.
Yaani mwanzo mwisho hajavaa utupu
Fatilia show za Zaman za Jide,
Huyo ni AGE GO fuatilia alivyokuwa binti
Kweli kabisa labda mungu hanataka kuku hona imanaako mutumikie mungu utashi mama imara
Sauti bado haijarudi sawa
hata sauti hiyo tu inatosha kumshukuru mungu maaana kuna kipindi hakuongea kabisa mwaka mzima
Taratibu taratibu akiendelea na mazoezi itarudi tu.
The promoters will kill Prof Jay earlier that health is still not stable for concerts
Mtu ukipata majanga kama Yako baada ya kupona yapaswa umshukuru Mungu, achana na Mambo ya mziki
Ulita apige picha akiwa kanisani adhibitishe kuwa amemshukuru mungu kwani watunmkoje unataka Kila kitu chake ujue hata vywa Siri ya wezakuwa ameshamshukuru mungu mara nyingi tu tangu amepona acheni kukalili kuwa ukiugua sana lazima ukipona uokoke kunakutoa shukrano tu basi nahapo ni kumpa mngu shukra syo mpaka ajutie usikalili mwache afanye kazi zake alizokuwa akizifaya atakuwa anatoa zaka, sadaka napo nikumshkur mungu pia na kusali atakuwa ana sali everyday
Mwambien uyu...@@victoriajames-q7s
Kuna Aina mbali mbali za kumshukur mungu siyo kushinda na kulala kanisan
Mbinguni ni kuimba na kusifu acha afanye mazoezi...
Unawajua sana watu ww kuliko muumba
Good to see you Prof. Qr
Mungu ni mwema
🔥🔥🔥🔥🔥
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu ni mwema