MUFTI ATOA TAMKO ZITO KUFUNGWA MADRASA KISARAWE, ATUMA OMBI HILI KWA RAIS SAMIA, AWATULIZA WAISLAMU
Вставка
- Опубліковано 10 вер 2024
- • MUFTI ATOA TAMKO ZITO ... #KHIDMATV #SamahaMufti #RaisSamia #MwakaMpyawaKiislamu #MkuuwaWilayayaKisarawe
=
Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
UA-cam: / @khidmaonlinetv350
Uko vizuri mufti
Nikweli waangalie msikiti wa Makkah wazamani na wasasa unafanana inamana kila kitu kinaenda kwa hatua Mungu akujaalie kheri shekhe wetu
Allah ukuhifadhi mfti na umuonye magoti sisi waislamu sio magaidi Wala hatufundishi ugaidi hao magaidi nitofauti na ss
Asante mifti tunakuunga mkono sisi masalafi wa tanzania umeongea kwa usahihi
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI......
Mwenyezii Mungu kweliii akoseiii
Allah huleta kheri sehemu yenye dhiki huyu mkuu wa wilaya kama asinge funga hii madrasa asingetoa hiyo mifuko ya saruji ndio maana Allah ameleta neema yake pale penye dhiki hakika baada ya dhiki huja garaja
Kwa kifupi Dc hajatenda haki mpaka vyombo vya habari vinapiga picha. Mambo haya yanayogusa imani ya w
Jamii yoyote ile usilikurupukie
Nambii Suleiman aliomba Hekima hekima nijambo kubwa sana hekima ndo hutengeza mambo kubwa viongozi wasijisahau katika mamlaka zao
Tusiwe wanafiki ile hali haikuwa nzuri kwa usalama wa afya za wale watoto alichofanya mkuu wa wilaya ni jambo zuri tu na ametaka yale mazingira yawekwe vuzuri.
Hapo ilibii hao wazee wa watoto wachukuliwe hatua haiwezekani ukapeleka mtoto wako aishi katika hali kama Ile halafu baada ya kumpongeza mkuu wa wilaya kwa kuchukuwa hatua mnalalamika na kuona mnaonewa.
Toweni sadaka chuo kijengwe 😮 Mbona waislam matajili wapo wengi tuuu
NDUGU, HUYO UNAYEMTETEA KAJIPIGISHA SHOTI MWENYEWE NDIYO MAANA KAWAHI KURUDI NYUMA HARAKA KABLA MAMBO HAYAJAHARIBIKA. HIVI NI WAPI PALE WATOTO WAMEENDA KUJISAIDIA KWENYE MACHAKA KAMA SIO UONGO?! JE MSIKITI HAUNA CHOO?! TUMEAMBIWA WANALALA CHINI (ARDHINI) JE KILE KITANDA NA NETI WALICHOTUONESHA ALIKUWA ANALALIA NANI NA HATA YALE MAGODORO WANAYOLALIA MBONA YAMEONEKANAYAPO MSIKITINI NA SI KWENYE ZILE SEHEMU ZENYE UZIO WA VIROBA?! NA PIA KWANINI KAULI ZILIKUWA MBILI MARA YA KWANZA ALISEMA WANALALA CHINI BAADA YA MAMBO KUANZA KUPAMBA MOTO ALIVYOKUJA MARA YA PILI KUTOA SIMENTI AKASEMA WALIKUWA WANALALA MSIKITINI, JE LIPI NI SAHIHI?! PIA MBONA WALIKUWA WANATOWA KAMERA HARAKA HARAKA KWENYE VYOO WANAIPELEKA KWENYE SHIMO LA KARO?! NA KAMA KWELI WALIKUWA HAWAFUNDISHWI QUR'AN NA WANAFUNDISHWA MAFUNDISHO YA AJABU KAMA ALIVYODAI IWEJE WATOA MAFUNZO HAYO WASICHUKULIWE HATUA BADALA YAKE HALI IMEBADILIKA GHAFLA NA SERIKALI IMEAMUA KUWASAIDIA?! ZUNGUSHA BONGO NDUGU YANGU... KWENYE KADHIA HII INAONEKANA WALIOMPELEKA PALE WALIKUWA WANAMBUGISHA NA WANAICHONGANISHA MAMLAKA NA RAIA WAKE. BUSARA ILIHITAJIKA KULIKO KILE KILICHOFANYIKA, KAMA KUNA SEHEMU WALIKOSEA WANGEWAFATA NA KUWAELEKEZA KULIKO KUWADHALILISHA NAMNA ILE NA KUTENGENEZA TAHARUKI ISIYOKUWA NA SABABU, MAANA KWA NAMNA WALIVYOWANGILIA USIKU USIKU NAMNA ILE NA MAASKARI NA MAKAMERA JUU WATU WENGI HASA WA UPANDE WA PILI KWENYE MITANDAO WALISHAANZA KULETA DHANA YA KUHUSISHA KILE KILICHOKUTWA PALE NA UGAIDI, HALI AMBAYO ILIKUWA INACHAFUA HAIBA NA TASWIRA NJEMA YA UISLAM!!
@@isakhamisi8923we ni mwislamu kweli mbona unatetea kafiri kuuzalilisha uislamu ye angefuata taratibu ile ni kudhalilisha dini isitoshe Mambo yetu ya elimu yanasomeshwa kwa tabu Sana izo taratibu sio kwamba hatupendi sema uwezo lazima uanze chini upande mpaka ufike uko kwenye mabweni
🎉🎉
Hekima kubwa
kichwa cha DC ni halali yetu,.
Magoti anakauli mbaya hata sikukadhani kama kanweza kuwa nakauli zakipuuzi vile 😡
Anakosea eti ugaidi kwa hiyo misikiti ndio ugaidi
Astaghafilu.llah..AmetakasikaMolaWangu..
Lakini sheikh alitakiwa akushirikishe katika hili sio kijichukulia maamuzi kama yeye,hili suala linahusu taasisi ya kidini na liko na uhuru wa kuabudu na kimatendo mahimu hapajavunjwa sheria,tusipoangalia watakuja kutufungia misikiti kwa ajili hakuna viti kama makanisa yao ,sisi sasa tushakua wazee lakini tulilala chini misikitini tukuwa ni sehemu ya wahudumu wa misikiti na tuliridhia ayo kwa ajili ndio taratibu zetu keenye maisha ya kiisilamu,ndio maana tunafunga ramadhani na vyakula yunavyo ili upate ladha ya kukaa na njaa kama wale wenye njaa kiukweli ipate nafasi ya watu kufanana kusiwe na alie juu.
Inakuwaje mnajitolea muhanga hata kulala chini kwa
ajili ya Alah ambaye haonekani,hawasaidii wakati hamna chakula,nyumba ,mavazi, matibabu,na mengine 😂
Haonekani wewe ndio unawalisha waislamu wote?Kafiri wewe.Kwa taarifa yako waislamu ndio wanaongoza Kwa utajiri.@@mataypanga5262
Kwa nini waislamu mkate mikono😂
Kwanini arusha wananchi wame ua wezi unaona ajabu kukatwa mkono wakati Kuna wengine wana ua?
Halafu kinatokea kimtu kulee kimeshiba dengu kinasema bakwata waislamu hatuitaki? 😉
Eewe hujui lolote nakama unashadadia inaonekana unafungu kwenye hy bakwara bakwara ni kichomi kwa waislamu huo ndio ukweli
Makosa mliofanya hamkuupigania uhuru wa kiislam mliupigania uhuru wa mtu mweusi pan africanism
Hapa sio uarabuni mmevamia dini ya watu wenye nayo wako hukoooo😂😂😂😂
Mufti katika ubora wake❤❤❤❤❤❤❤