🅻🅸🆅🅴 TUNDU LISSU, ASKOFU MWANAMAPINDUZI NA JOHN PAMBALU WANAUWASHA MOTO WILAYANI IKUNGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 чер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 8

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Місяць тому +2

    RAISI AJAYE NI LISU

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Місяць тому +1

    We fara unaamini magufuli alikuwa na wapiga kura wengi kuliko lisu bado uko usingizini sis hatuhitaji kura za wateja wa magufuli tunajitosheleza ni zaidi ya nusu ya watanganyika tunachotaka tume iwe huru

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 Місяць тому +4

    Lissu oyeee

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 Місяць тому

    Namuunga mkono kwenye mambo mengi lakini hawezi kuchaguliwa kuwa Rais kwa sababu LISU hajui siasa za uchaguzi. Siasa lazima uweze kushawishi upande mwingine wakuchague hawezi kushinda uchaguzi kutegemea wanachadema. Magufuri bado anakubalika na watanzania walio wengi na anawapiga kura wengi kuendelea kumtukana Magufuri hakuna manufaa kisiasa. Kwa mfano matendo yote ambayo Lisu anasema Rais Samia anafanya yanazidi kumpa Magufuri umaarufu. Ukiongelea demokrasia kuhusu Magufuri nakubali ilimshinda lakini mambo mengi ya kitaifa Magufuri aliyafanya vizuri.

    • @jeremiahngoka4980
      @jeremiahngoka4980 Місяць тому

      Zero brain.Ccm hawachaguliwi wanashinda kwa nguvu za ......

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd Місяць тому +1

      Wewe ni mmoja wa MATUTUSA wengi wa nchi hii wengi mnaishi kama kasuku ( mnakaririshwa. Tundu Lisu huwezi kumlinganisha na Magufuli mdhulumaji huku akiifunika dhuluma yake na kujenga miundo mbinu Mingi na Wajinga wengi kama wewe mliishia kuangalia madaraja n.k bila kujali HAKI HIYO NI HATARI SANA!!! UKISIMAMA UPANDE WA MUNGU MAGUFULI HAMBULII KITU!!!

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 Місяць тому

      @@FrankMwakatundu-cu6bd Hizi ni siasa za uchaguzi ndugu yangu na wapiga kura wapo kama mimi huenda ni matutusa lakini wana akili timamu. Tatizo mmeingia kwenye siasa lakini hamuelewi jinsi ya kushawishi wapiga kura mnategemea usomi watanzania walio wengi hawajasoma lakini wanajua mambo mazuri wakiyaona. Kama unazarau miundo mbinu utafanya nini cha maana kwa watanzania? Watanzania walio wengi sio wanasiasa. Chadema walio wengi ni mafisadi kama ccm na ndio maana kwa muda mrefu mlimpamba Rais Samia. Wakati wa Magufuri wizi na ubadhirifu wa Mali za Uma ulipungua, alilinda lasilimali za nchi misitu, madini, bahari, maziwa na bandari zake, alihalalisha vijiji elfu tatu ambavyo wananchi wengi waliuwawa kuchomewa makazi yao na Askari wa wanyama poli vikiwemo vya maeneo ya ngorongoro na loliondo, alizuia rushwa hospital na ofisi za serikari, aliwapa haki wafanya bishara kuondokana na unyanyasaji na mengine mengi. Hizo haki za demokrasia ni kilio cha wanasiasa sio watanzania walio wengi. Sasa kwenye siasa za uchaguzi lazima ujue nini kitawashawishi wapiga kura kukuamini chadema hawawezi kukufanya ushinde uchaguzi kwa sababu watanzania walio wengi hawana vyama. Kama hamlijui hilo mtafanya sana mikutano japo ni jambo zuri lakini hamta fanikiwa haswa mkiendelea kumtukana Magufuri. Fanya utafiti wa kina kuhusu Magufuri na watanzania utapata majibu kama kweli unataka kuitoa CCM. Tatizo hamfanyi tafiti kwa wananchi mnapiga kelele tu.