LISSU AKINUKISHA MANG'ONYI SINGIDA MASHARIKI, "UBUNGE WA MTATURU ULIKUWA UNATEGEMEA KIFO CHANGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • #TANZANIA: Tundu Lissu akinukisha kata ya Mang'onyi jimbo la Singida Mashariki, awavaa Rais Samia na Mbunge Mtaturu, adai aliupata Ubunge uliotokana na damu yake.
    Zaidi: • LISSU AKINUKISHA MANG'...
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 13

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 3 місяці тому +4

    Dah huyu mtu na nusu kbs akili mingi adi zinamwagika hongera kwa kuwapa elimu wananchi ambayo ccm hawawezi kuwaelimisha wananchi

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 місяці тому +3

    Hongera sana Shujaa wetu

  • @SamwelKazembe
    @SamwelKazembe 3 місяці тому +3

    Usiliache kuliongelea hiili mweshimiwa

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 3 місяці тому +1

    😅😂😂😂 KWELI KAMANDA LISSU HATA UPIGE SPANA MPAKA USIKU TUNAKUPENDA SANA MAANA WEWE NI CHAGUO ĹETU FOREVER "

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 3 місяці тому +2

    Tundu lisu zindabad

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 3 місяці тому +1

    Piga Spana Kiongozi Lissu Taifa Linaalibika Na Kuangamia Kupitia Hili Lichama La CCM,
    Hayo Unayozungumza CCM Wao Wanajua Kusifiana Ujinga Na Uchawa Wa Kijinga "

  • @RichardMadebe-f1m
    @RichardMadebe-f1m 3 місяці тому

    Msenge wee lisu jembe ccm wezi watupu niambie ktk ripoti ya ceg nani ameshitakiwa Kwa wizi wa pesa za serikali!

  • @AgapeElias-v6b
    @AgapeElias-v6b 3 місяці тому

    Fikeni na Sumbawanga (Rukwa)

  • @RichardMadebe-f1m
    @RichardMadebe-f1m 3 місяці тому

    Pumbavu zako chawa umepewa pikipiki sio?

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si 3 місяці тому

    Na ndio hapo hapo nyumbani kwenu na ukiwa mbunge miaka Kumi ! Hakuna hata moja ulilolitekeleza! Mimi ni miongoni mwa waliokupigia kura lakini nilijuta kukuchagua ! Mbele ya utawala wako tulinyanganywa migodi ya dhahabu hukututetea! Aibu kubwa kabisa kudanganya watu hadharani

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 3 місяці тому

      Ni vizuri sana akili yako ikipimwa. Unaelezwa Bandari zimeuzwa, kiwanja kikubwa Cha kimataifa Cha KIA kimeuzwa, ngorongoro nk vimeuzwa na watu kukosa maeneo ya kuishi. Huko uliko kama una biashara unamalizwa na tozo, hadi za mazao yako, lakini huelewi. Unadai hakufanya maendeleo yoyote akiwa mbunge. Swali, angefanya nini ili hali yeye alikuwa mbunge upande wa upinzani ambao watawala ndio wameshika pesa zote. Tumia akili3hata ndogo tu kufikiri. Hamtakuja kuondokana na hayo anayoyaeleza Tundu Lisu. Utapata dawa dukani sio hospital, utakazwa tozo ya kutuma pesa kwa mamako au shangazi yako, utatoa mchango shuleni mpaka Mtoto wako amalize shule ya msingi.

    • @fwc5552
      @fwc5552 3 місяці тому

      Singida ni masikini kwa sababu ya watu kama ww wajinga kutupwa hawana akili wabinafsi na ni ziro brain

    • @MohammedAwadh-gq9si
      @MohammedAwadh-gq9si 3 місяці тому

      @@margarethsolomon9823 kweli akili ni Mali na aliyewaita manyumbu apewe maua yake! Yaani huna kumbukumbu kabisaaa! Eti Kia,sijui ngorongoro,sijui nini! Haya zimeuzwa kiasi gani shogaangu ! !